SHEIKH WA KIGOMA ABATIZWA ATOA MANENO YA UWONGO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ก.ย. 2024
  • #sheikhmwaipopo #sheikhmwaipopotv #muhubirimwaipopo

ความคิดเห็น • 74

  • @johngerald4677
    @johngerald4677 วันที่ผ่านมา +1

    Uyo jamaa namjua vzr aliwahi kushindana na kina simba ulanga maeneo ya mwanga sokoni akawa anahic wanasoma quran ya uongo akaenda kuleta ya kwake

  • @LucaWanzuki
    @LucaWanzuki วันที่ผ่านมา +5

    Sheikh mwaipopo waalah mungu akuzidshie elimu ili tujifundishe kwako unasema ukweli kabisa

  • @clementndilanha6936
    @clementndilanha6936 วันที่ผ่านมา +2

    Hongera Sheikh wa Kigoma kwa kujua kweli na kuwekwa huru.Mwache Sheikh Mwaipopo aendelee kuuza mafuta na kufuga majini

    • @Nedjadist
      @Nedjadist วันที่ผ่านมา

      Unajua maana ya Sheikh wewe? Hili jitu letu siyo hata mwanafunzi.

    • @taheraljaberi2688
      @taheraljaberi2688 วันที่ผ่านมา

      Mimi naona , haina haja kuwajibu watu wanao utukana "Uislamu" . Wengi walijaribu kuupotowa lakini wameshindwa. Wengi wana miminika ndani ya Uislam. Hakuna uchawi ndani ya uislamu. "ALLAH" atuhifadhi na wanafik.

    • @nassorsharifu9837
      @nassorsharifu9837 วันที่ผ่านมา

      Ukisikia maelezo yake unakuwa hiyo hakuwa shekhe

    • @Jesusalmasihi4193
      @Jesusalmasihi4193 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ACHA uongo wanakitumia, naapa nilienda Kwa mganga nikakuta anakitumia, hata Dr Sulle

  • @EnuelAbunimkali-rl1jj
    @EnuelAbunimkali-rl1jj วันที่ผ่านมา +2

    Huna hoja sheik wangu!

  • @gabrielmzomkunda4881
    @gabrielmzomkunda4881 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wewe mwaipopo upo hapo kwa kufuata pesa za warabu ... haukusoma uisilam (kuruan) wala bibilia hauijui ... unababaisha tu ... umepayuka kuhusu shekh wa mwanza pia umemtukana mwaka ukuishia hapo pia umemzushia shekh sule kila mtu mbaya kwako kwa nini?

  • @KabatoniBoraa
    @KabatoniBoraa 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kabla hujamzliza kusema uongo, nakwambiya towa uongo apo.nyiye mkipewa pesa uko mnaenda kuzingishiya waislam ni wachawi.kweli?

  • @KabatoniBoraa
    @KabatoniBoraa 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ivi tukichunguza kabisa kunawachawi kushinda nyinyi wakristo?ambawo mnashinda kanisani kutabiri na kutowa mapepo..hayo mapepo mnayatolesha Nini?nakuuliza.siyo uchawi mnatumikisha?wengine mapaster mpaka wanenda filmason kutafuta nguvu za giza zakutowa Ayo mapepo mabaya.nani hawajuwi nyiye.

  • @KabatoniBoraa
    @KabatoniBoraa 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Iyo aya unawaonyesha Watu we unaijuwa tafsiri yake wewe?mpotevu mkubwa...unajuwa sheriya yakushika aya ya Q,urban?wewe.tena shika adab zako we apana kushika icho kitab kama huna udhuu. Mshenzi wee.

  • @KENETHANDARSON
    @KENETHANDARSON วันที่ผ่านมา +1

    Huyu kasema kwl kabisa ila huyu popo ndo hakumjua

    • @jumamussantuiche
      @jumamussantuiche วันที่ผ่านมา +1

      Kweli ya kishetan ila njaa.

  • @thomasemmanuel4818
    @thomasemmanuel4818 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mwaipopo anaumia kuona sheikh kuwa mkristo! Ila yy yuaona raha mkristo kuingia uislam. Acha Dawa ikuingie, kukiliwa kwa mwali nakwakungwi kuliwe.

  • @KabatoniBoraa
    @KabatoniBoraa 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwasababu ametowa aya ya uongo.neva hatuwezi.uchawiii walishatusema sana wakatutangaza sana uko makanisani kwao mpaka wakatumaliza lakini tuko palepale hatugeuki ila wenyewe kilasiku wanasilim wengi tu sisi hamtotuona kwenye izo dini zenu potevu ispokuwa wewe kafiri mpotevu mkubwa mungu atakuangamiza nauongo wako. Kwa ajili ya maisha unaamuwa kusema uongo?

  • @KabatoniBoraa
    @KabatoniBoraa 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sheh mwambiye aache uongo hawo wamemtuma aje aseme hivyoo.?wala hajapatiya wamemtuma tu aje akachafuwe l'islam lakini najuwa kama hatouweza.hata nayeye apo alipo anajuwa kama hatuwezi .ikiwa kama alikuwa muislam kweli wakuujuwa l'islam.najuwa kama anafaham kama hatoweza kuusambaratisha uislam

  • @mohamedS-yd9wh
    @mohamedS-yd9wh วันที่ผ่านมา

    Shekh Mwaipopo huyu kijana mwache ajidanganye nafsi yake, wala mbebaji hataulizwa ila kwa yale aliyoyabeba mwenyewe. Kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe, ma watakaomkubali na kuuacha Uislamu watayakuta hayo wanayoyatenda, Allah atunusuru atujaalie elimu hekma na busara na atujaalie mwisho mwema. Shukran kwa kutuelimisha taarifa mbalimbali

  • @KabatoniBoraa
    @KabatoniBoraa 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Walekumsalam warahmatulah wabarakatuh sheh wetu Allah akuifadhi akupe duniani na ahera.

  • @nassorsharifu9837
    @nassorsharifu9837 วันที่ผ่านมา

    Uzuri wa uislamu ukiujuwa basi mtu akiongea tu unamgudua uongo wake ila wakristo ni wepesi kudanganywa

  • @nassorsharifu9837
    @nassorsharifu9837 วันที่ผ่านมา

    Huyu jamaa niliwahi kuiona clip yake zamani ila sikuona uislamu wake zaidi ya kujifunza uchawi lakini angalia alipotaja elimu akhera kwamba watu wabaya watingia jehannam hao ni pamoja na yeye

  • @KabatoniBoraa
    @KabatoniBoraa 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wala wewe hukuwa muislam wewe waukweli. We ulikuwa ni mpagani wewe hukuwa kuwa muislam

  • @SirikwaMollel-y3k
    @SirikwaMollel-y3k วันที่ผ่านมา

    Unajua je uislamu ni dini ya haki mbele ya mwenyezi mungu ulitoka mbiguni ama usijitee na maneno yko ya mdomo yko watu wengine wana akili kukuliko

  • @partsonchundwa2287
    @partsonchundwa2287 วันที่ผ่านมา

    Meshack ni kijana tuliempokea Kanisa la Angrican Masanga Kigoma

  • @isaackmwakapala8663
    @isaackmwakapala8663 วันที่ผ่านมา

    Je ukoo wako wameslimu, Kama bado Anza na ukoo wako, na utaje majina Yao ya kuslimu.

  • @DaudiMakaza
    @DaudiMakaza วันที่ผ่านมา

    Mwaipopo najua umesoma theorogy hpo unawaleta waisram kmya kmy kw yesu

  • @MustafaRashidi-b2l
    @MustafaRashidi-b2l วันที่ผ่านมา

    Mwaipopo muislamu akiwa mchawi sidhambi maama uchawi uliteremshwa na malaika wa allah

  • @MustafaRashidi-b2l
    @MustafaRashidi-b2l วันที่ผ่านมา

    Mwaipopo muislamu akiwa mchawi sidhambi maama uchawi uliteremshwa na malaika wa allah

  • @MustafaRashidi-b2l
    @MustafaRashidi-b2l วันที่ผ่านมา

    Mwaipopo muislamu akiwa mchawi sidhambi maama uchawi uliteremshwa na malaika wa allah

  • @DaudiMakaza
    @DaudiMakaza วันที่ผ่านมา

    Na hkn muislamu ambae anaupend uislamu mpk apew jin jin likitoka tuu unakuw huru

  • @jasminmohamed6145
    @jasminmohamed6145 วันที่ผ่านมา

    SUBHANALLAH
    LAILAHA ILLALLAH WAHDAHU LASHARIKALAHU LAHULMULKU WALA HULHAMDU WAHUWA ALA KULLISHAIIN KADER WAANNA SAYYIDINA MUHAMMADIN RASULULLAHI SWALLAAHU ALAIHI WASALLIM WA BARIK ALAIHI
    ALLAHUMA SWALLI ALA SAYYIDINA MUHAMMADIN WAALI SAYYIDINA MUHAMMADIN WA BARIK ALAIHI WASALLIM
    Barakallahu Feek

  • @nassorsharifu9837
    @nassorsharifu9837 วันที่ผ่านมา

    Na walokole ndio wanaofundisha chuki

  • @SeifAlly-g9i
    @SeifAlly-g9i วันที่ผ่านมา

    Hehehe niajabu shekhe niajabu kabisa

  • @hamisijuma3276
    @hamisijuma3276 วันที่ผ่านมา

    Wangekuwa kilaza wasingetawala dunia

  • @JohnjohnMnonjela-br3xl
    @JohnjohnMnonjela-br3xl 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mwaipopo huna jipya

  • @msambalamjukuu3866
    @msambalamjukuu3866 วันที่ผ่านมา

    jamaaa mjanjamjanja sana sasa sadaka nn

  • @suleimansamweli7316
    @suleimansamweli7316 วันที่ผ่านมา

    Njooo kwa yesu mwaipopo

  • @RashidBusanya
    @RashidBusanya วันที่ผ่านมา +1

    Sheikh huyo ni mtu wa miaka mingi huko Wewe umemuona leo

  • @AdamuIbrahimu-e9m
    @AdamuIbrahimu-e9m 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mwaipopo hujachelewa Rudi njia kuu ukristu ndio njia kuu ya kwenda kwa Mtoto wa Hadi ISSA bin Mariam

    • @topfreelancer5151
      @topfreelancer5151 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ukristu ni Nini na yeye tayar ana dini

  • @MustafaRashidi-b2l
    @MustafaRashidi-b2l วันที่ผ่านมา

    Mbona qurani 2:102 Allah anasema aliteremsha uchawi kwa malaika 2 haruti na maruta? Hao wakawafundisha watu kuloga

    • @nassorsharifu9837
      @nassorsharifu9837 วันที่ผ่านมา

      Kaisome Tena hiyo Aya uilewe Kisha isome vizuri hiyo Qur'an uelewe mafundisho yake acha mihemko

  • @AGM19697
    @AGM19697 วันที่ผ่านมา

    Malafyale Mwaipopo, sisi wakristo tunayachukua hayo magarasha unayoyasema na kuyafundisha taratibu mpaka yawe dume.
    Anakuwa mchanga mpaka anakuwa mtu mzima.

    • @nassorsharifu9837
      @nassorsharifu9837 วันที่ผ่านมา

      Chukuweni tu kwa Allah hampunguzi kitu nyinyi

  • @SeifAlly-g9i
    @SeifAlly-g9i วันที่ผ่านมา

    Huyu nimuongo hata muonekanowake Kama nikweli Basi hakuna mtumwenye unaona yakwanza Hilo lakusema ghazali ikomwanga simkweli huyo

  • @MustafaRashidi-b2l
    @MustafaRashidi-b2l วันที่ผ่านมา

    Mwaipopo muislamu akiwa mchawi sidhambi maama uchawi uliteremshwa na malaika wa allah

  • @DaudiMakaza
    @DaudiMakaza วันที่ผ่านมา

    Okoken waisramu yesu ndo njia ya mbingun kl ulim utakao kir yes n mungu na n bwan ataokolew njoon mpokee yesu akin mwaipopo nafac bd ipo

    • @suleimansamweli7316
      @suleimansamweli7316 วันที่ผ่านมา

      Mwaipopo nakupa pole IPO siku utakuja kujua kama hata wewe inatakiwa ukoke

  • @JacobMbosalee
    @JacobMbosalee วันที่ผ่านมา

    Sasa Sheikh MWAIPOPO kinachokushangaza ni nini?

    • @AGM19697
      @AGM19697 วันที่ผ่านมา

      Ndio, kasikia injili na kuamua kumpokea Yesu sasa shida yake ni nn?

  • @DaudiMakaza
    @DaudiMakaza วันที่ผ่านมา

    Uislam ni din ya mapepo ongera kaka damu ya yesu ikufunike kw jna la yesu

    • @rukiakadzo8053
      @rukiakadzo8053 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @adampetermakombe5654
    @adampetermakombe5654 วันที่ผ่านมา

    Hufanani nauislam

  • @thekingdragon8358
    @thekingdragon8358 วันที่ผ่านมา

    KWELI KABISA

  • @madetetv6576
    @madetetv6576 วันที่ผ่านมา +1

    Sasa kama ww uliacha ukiristo na yeye kaacha uislamu tatizo lipo wapi? Kila mtu ana haki ya kuchagua dini aitakayo

  • @JacobMbosalee
    @JacobMbosalee วันที่ผ่านมา +1

    Wewe ni jana katika dini ya kiisllam

  • @madetetv6576
    @madetetv6576 วันที่ผ่านมา

    Yani ww una miaka 10 tu kweny dini unabishana na watu ambao wanazaliwa wapo kwenye dini mpk utu uzima wao , una akil kwel ww?

    • @AllyhHassani
      @AllyhHassani วันที่ผ่านมา

      Nyamaza kenge wewe wanapoongea wenye dini wewe kojoa ukalale

    • @madetetv6576
      @madetetv6576 วันที่ผ่านมา

      @@AllyhHassani nan kenge sasa kati yangu na ww?

    • @AGM19697
      @AGM19697 วันที่ผ่านมา

      ​@@madetetv6576😂😂 Kenge ni aliyeanza matusi

    • @SirikwaMollel-y3k
      @SirikwaMollel-y3k วันที่ผ่านมา

      Mwipopo ulislimu kwa sabbu haukua unajui yesu ni Nani wakirsto hakuna maandiko tuna kataa kwenye biblia ndio yesu ni mtu lakini kwa wakti Ngani? Pili hukua unajua Mohamed sio mtume wa mungu ulindanganywa tu SAS unaasa kuleta ukafiri kwenye ukrsto WWE Kaa uko moto ya jahanm inakugoja

  • @SarafinaJoseph-f3h
    @SarafinaJoseph-f3h วันที่ผ่านมา

    Ukanywe supu pepoyanan ww acha unafiki yan unajiona wew pepon uxhaenda huyu jamaa kaongea ukwel ww kidampa muhamiaj unawapinga uliowakuta alafu acha njaaa

  • @josephkalonga550
    @josephkalonga550 วันที่ผ่านมา

    Mwaipopo ,juzi nilikwambia ( iwapo wewe umeamua kuwa mwislamu ,uelewa kuwa kuna Mashehe wenye elimu ya jus kuliko wewe wameamua kuslimu na Sasa NI wakristo) na nikakuomba uache kuhutubia. Kama unataka kujadili na wakristo ni Vizuri uandae mdahalo Wa Jambo utakalo.

    • @AGM19697
      @AGM19697 วันที่ผ่านมา

      Asiumie roho, Yesu bado yupo kazini. Kama yeye aliamua kumkimbia Yesu ni yeye, awaache hao wanaompokea finali ni Yesu atakaporudi

    • @Nedjadist
      @Nedjadist วันที่ผ่านมา

      Hebu mtaje Sheikh mmoja tu. Kila Mwislamu-jina, mchumia tumbo, aliyeghafilika akija kwenu ni 'Sheikh'.

    • @KENETHANDARSON
      @KENETHANDARSON วันที่ผ่านมา

      @@josephkalonga550 wewe mapopo hiyo Jamaa WA kigoma ana miaka mingi na Jambo lake unamhadisia Nani wewe Leo ndo unamjua hata uislami wenyewe huujui vzr !!