Mm nmeelewa haya majina ni specific kwa watu wenye tuna wapenda,sio eti nilazima mtu azaliwe umuite hvyo nop,Like for example my name is Gladys,sasa mpenzi wangu anaeza niita Sweety juu ananipenda.Hizi majina niza huku nje tuu,wapenzi wetu,ama hta rafiki yako pia.Kama sivo mtu anirekebishe bt matusi sijazoea plz, Love you all guys.Watching from Kenya ❤❤.
Innamoratoo
🤩 karibu sana Rosemary!!!
My only one
Whaooo! ❤
Valentina kama wa kike
Valentinho kama wa kiume
Adorable, Braveheart, na soulmate ndyo majina yanguu. Japo soulmate n mama angu jamani duh
Asante sana bro
Majina mazur kwl❤
Asante kwa majina mazur
Nice majina mazur sana
Mimi ni napenda Dr love thky bro
Hapo kwenye mama la mama Arusha lets gather here😂
Asantee jamani ila min ntamwita my hubby
Soulmate
Kusanya majina ya kiswahili, achana na haya ya kiingereza , fanya haya ya huba langu, laaziz na mengine ndio tunayoyataka 😢
We mkorofii😂😂
Asante kwamajina mazur ngoja niyafanyie kaz nimpagawishe kwakumuita namajina motomoto🤝😄🙏
😅
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂
Maana ya my solace
Second father❤💯 hivyo ndy nina Seve na trust love❤💯
Bring more lessons I love your results
Maana ya my dr
Mm mpenzi wangu namuitaga Dream mine au first dream
Umetisha
Even me ilove it
Mr everthing
Nice name ❤
Thenks annamorato😂
My everlast😘
Huhuh❤
Gud names thnx
Okays welcome.
Mmhh kiukwel majina yote mazur sana nimevutiwa nayo
Karibu sana 🙏🤲
❤❤❤ nimependa sanaaa na hubby
Oooooh asanter bro
mm nimependa my everlast
other half ❤️
Asante
Mr right
My everything
Maana ya amour
My savior
Mhh jamani savior kweri???
Jee. Jina. Ia. My. Love
Maana ya cute mamy
Maana my dr
Nme enjoy San,I think my wako anarah san
Safi mazur
Aisee nimeipend hivyo ila mm nitamuita my hunny❤
My soulmate
Maana ya my dear
Kimeo/kibenteni kwa kiingereza?,maana tunaitana ivo, mi namuita hilo la pili na yeye ananiita la kwanza😂😂nipe tafsiri tafadhali.
Mim napenda my king 😂😂😂❤❤❤❤❤❤
Kalo😊
Naomba maan ya LOML
Love of my life
MyFuture hubby
Asante sana kaka 🥰🥰👌👌👌
Haya rafiki
Haya rafiki
Aaaaaaaaa. Mazuri. Sana❤😂🎉😢😮😅😊
Je my love
Mm nmeelewa haya majina ni specific kwa watu wenye tuna wapenda,sio eti nilazima mtu azaliwe umuite hvyo nop,Like for example my name is Gladys,sasa mpenzi wangu anaeza niita Sweety juu ananipenda.Hizi majina niza huku nje tuu,wapenzi wetu,ama hta rafiki yako pia.Kama sivo mtu anirekebishe bt matusi sijazoea plz, Love you all guys.Watching from Kenya ❤❤.
Daah nimependa kiswahili chako❤❤❤ from Tzmg
My crush in maana gani
Hahahahaha jameni ni mazuri sana ❤❤❤😚😚🥰🥰😘😘😘💓🌹
My wif
Majina ni mazuri san.
Oooooh wooh♥️♥️♥️
❤❤❤
My fience❤
My only mana ake nn
Honey ❤❤🎉
Nice
Maana ya my darling
So good😘
Oby
Lifeline
My baby❤
Naomba nisaidie maana ya jina monika
Wakuwaita awapo hote wauni tu
me ananiita mam kishikwambi😂😂😂
Hah
My world
Maji naomb kuulza maana yake ilineno corazon
Corazón ni sweetheart😊
Sweety
My apple
Neno darling
Naomb maan ya jina Ya Rouhy
Na mm natafuta maana yake
Nmependa mam la mam
Maana ya jina Christopher,halima,Consolatha,tatu,grace,Anna,Esther,haika,Carlos,Innocent,baraka.
Super hero
Jina la s
Natak kujua maan ya my huzbandy
Jaman😂😂😂😂
Si mme wako sema sina hakika kama inaandikwa hivyo 😁😁😁
@@jamesobedy3940 😁😁😁😁🤣🤣🤣🤣🤣
😃😃husband maana yake mume
Mume wangu
Majina mazuri
My forever nini mana yake
Maana ya Jina Ethel
Ahsante sana brooo nitamwita mtt wangu baby mama 🙏🙏 akinijalia mwenyenzi mung inshaaallah
Inshallah 🙏🤲
Karibu sana Moza.
@@Quotes24life tuko pamoja
Shukrani sana
Naomb maana ya one love
One love linamaana gani
Mpenzi mmoja
Umesahau my husband n'a my wif n'a lef
My husband Lina mana gani
Kuna jina la BAE likoje hilo
Unamuitaje hot lips mtu kma marioo jamn😂😂😂natania jamn
😂😂😂
Utachapwa na Paula wew
Hahaha me ni mshikaji wangu2😂😂
My vow manayake nn
Kiapo changu
Faustina
Dear mimi kiukweli silipendi maama linatumika kama rafiki
Lovebugg
🎉❤
yot mazr sjui nimpe lipi
Nashida na Jina lakumpatia mwanangu kama amezaliwa valentine day
Valentino
😂😂😂sie tushajizoelea yale yakiuswailin ndio matamu unakutwa unaitwa mzee baba alaf fresh tu mama kitobo yan fresh tuuu
😂😂😂😂
😂😂😂😂
😂😂😂
Apple
🍎🍏🍎🍎
Nawakuba San mm
Shukran sana mm napenda my kng ❤❤❤❤🔥
🥰🥰🥰
Waooo
Shukran Saan nmelind la braveheart
❤❤❤Mi pia yaan 😂
Ma mr perfect ninini.??
Thank u for telling us names of good and bad,so the name of starlon?means
Hubby