SITAISAHAU MSUMBIJI:MAUAJI/ALICHOMWA VISU/MELI YA UJERUMANI/NAKAMATWA/BAHARI INATISHA...PART 02

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ก.ย. 2024
  • --
    Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
    JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
    ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
    ⚫️ Website: www.dar24.com
    ⚫️ Instagram: @Dar24news
    ⚫️ Facebook: @dar24
    ⚫️ Twitter: @Dar24News
    #Dar24 #Dar24Media

ความคิดเห็น • 22

  • @dar24media
    @dar24media  3 หลายเดือนก่อน +1

    Kama una simulizi au mkasa wasiliana nasi kwa namba #0653127761

  • @stanastana3199
    @stanastana3199 3 หลายเดือนก่อน +3

    Kabinyau ndio mtu alikua anajua kupanga story,huyu janja janja tu hakuna mtu alisafiri hapa

  • @aoloathumani10
    @aoloathumani10 12 วันที่ผ่านมา

    Jamaa anatoka sana nje ya mada, yaan hakuna ule mtirirko mzuri wa safari na kueleweka anazungumza nin

  • @emmanuelasheri7037
    @emmanuelasheri7037 3 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂 kichaa huyu nikajua part 2 atakua katulia lakini wapi unga kichwani haeleweki

  • @Jicholahabari
    @Jicholahabari 3 หลายเดือนก่อน +1

    Jitahidi muhoji kwa mtiririko ametokea mkoa gani kuja Dar na safari aliipanga kwa muda gani? Alionodoka na nani? Nani alimshawishi kusafiri? Alitoroka au aliaga? N.k

  • @rasjamal9854
    @rasjamal9854 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu story nyingi je ulivyoo kuwa kaburu umebanda meli?

  • @OnesmoKilindo
    @OnesmoKilindo 3 หลายเดือนก่อน +1

    Story nzuri sema haina mpangilio
    Story nyoka nyng

    • @stanastana3199
      @stanastana3199 3 หลายเดือนก่อน

      Sana haina mpangilio

  • @wahiwaziri7363
    @wahiwaziri7363 3 หลายเดือนก่อน

    Brother anasimulizi nzuri ila mwandishi kashindwa kucontrol interview that's why hakuna mtiririko mzuri wa matukio, mwandishi amenogewa na stori na yy amekua mskilizaji na kasahau kwamba kuna walaji/watazamaji wanahitaji kujua mtiririko mzima wa matukio

  • @dyangwe
    @dyangwe 3 หลายเดือนก่อน

    Duh.. Kazi kweli kweli.

  • @NicolausMwanjali
    @NicolausMwanjali 3 หลายเดือนก่อน

    Natusokota huyo usd 1500 kwa siku

  • @gilliardgodfriend5745
    @gilliardgodfriend5745 3 หลายเดือนก่อน

    MUELIMISHE KWAMBA AMERIKA SIO ULAYA KUNA NCHI ZA ULAYA AMBAZO NI EUROPE NA AMAERCA NI AMERCA

  • @amlikejames646
    @amlikejames646 3 หลายเดือนก่อน

    Duh story inaboa

  • @rashidyiddy5035
    @rashidyiddy5035 3 หลายเดือนก่อน

    Awe malume

  • @rasjamal9854
    @rasjamal9854 3 หลายเดือนก่อน

    Kuchimbuka Una chimbuka mdaa wote inategea na jinsi ulivyo choka machimbo,Hoyaa huyu muhongo ajapanda meli anatoka Ktk mstari piga chini huyu

  • @abdulnaseermrisho4342
    @abdulnaseermrisho4342 3 หลายเดือนก่อน

    "The most worst history i hear ever" 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Mamae hadi nimeandika kiingereza cha form one shule ya kata,mwamba story mingi saaaana,yaaani HAJUI KUSIMULIA

  • @user-zi6ci9sg8s
    @user-zi6ci9sg8s 3 หลายเดือนก่อน

    Jamaa anazingua

  • @DafiMohamed-dz8xk
    @DafiMohamed-dz8xk 3 หลายเดือนก่อน

    Anaongea haraka sana huwezi kupanga vzr ..Africa sio njaa ni mifumo mibovu tu hilo ndio tatizo letu waafrika kujidharau hao wazungu bila Africa hawawezi kuishi vzr akili ya ukoloni bdo ipo vichwani..Story haina mpangilio hata kidogo

  • @hamzaforogo
    @hamzaforogo 3 หลายเดือนก่อน

    Mshikaji mtu wa story wee kama hujakaa vijiweni huwezi kumuelewa yeye anaongea na mtangazaji sio wasikilizaji

  • @AllySalum-j9y
    @AllySalum-j9y 3 หลายเดือนก่อน

    Bichiii boy kasafiriii semaaa storiii zakeee apangii vizuri manaaa ataaa sieriwiii nini pwent yaaa msingiii

  • @kalengashoppingcenter1108
    @kalengashoppingcenter1108 3 หลายเดือนก่อน

    Apa kama tunapoteza MB,, kutoka dar, mtwara, Mozambique,,, mmmmmh

  • @nassorkimbaru5888
    @nassorkimbaru5888 3 หลายเดือนก่อน

    Dupa muelekeze jamaa siyo anaongea ongea ovyo tu angee kitaratibu story ituvutie siyo alopoka lopoka story inakuwa mbovu