hakuna awezae kupanga maisha ya mweziwe usikate tamaha dungu futa machozi wacha kujitharau hii nyimbo imenibariki sana nimejipata ni mbubujika machozi ya furaha nilipo elewa kua maisha ya mtu upangwa na Mungu kumbe kilio changu Mungu amekisikia 😂😂wacha nicheke nafuraha mahana shetani ata nikoma sitabaki kua vile amina umenihimbia mimi god is great wapendwa🙏💘
Kweli kabisa mpendwa, hatakama hauko pamoja nasi kimwili lakini kiroho upo pamoja nasi Amani iwe nawe.🙏🙏🙏❤️❤️🇰🇪🇰🇪🇰🇪
baba ang najua unajua mwanao nakupnda pumzika kwa amani baba ang ni mimi mwanao gradnesi emanuel mwansansu
Endelea kupumzika mtumishi wa mungu , vizuri havudumu siku zote
Daah Mungu akupokee pastor
Mungu wambinguni awaongezee familia yako kwa ujumla
How can I said! Let me to thanks to God. Kila Jambo hupangwa na Mungu.
Kweli Mtumishi wa Mungu aliye hai Hakuna anaye weza panga maisha ya mtu wakati ka yeye kapangiwa maisha yake na na Mungu aliyetuumba ..!
Nyimbo za mwansansu hua zinanibariki zaidi kila nisikilizapo,,, mola akujalie zaidi
Endelea kupumzika, Mungu akumbuke kazi zako na akulipe ujira wako
Jamaa alikua mwamba Kweli
Kweli ulikuwa mwalimu wa faraja
Jamani nautafuta wimbo unaitwa ikitima kikungola
Inashangaza kwanini huu wimbo hauna millions of views.
Endelea kupumzika kwa amani mtumishi kazi zako zitadumu milele 🙏🏿🙏🏿
Nikwerii
Tuta kuku mbuka daima punzika salama
Kazi zake zitaendelea..milele
wonderful and full of anointment song.Keep on Good work.. I always become so blessed when listening WOSIA WA BABA ALBUM.
hakuna awezae kupanga maisha ya mweziwe usikate tamaha dungu futa machozi wacha kujitharau hii nyimbo imenibariki sana nimejipata ni mbubujika machozi ya furaha nilipo elewa kua maisha ya mtu upangwa na Mungu kumbe kilio changu Mungu amekisikia 😂😂wacha nicheke nafuraha mahana shetani ata nikoma sitabaki kua vile amina umenihimbia mimi god is great wapendwa🙏💘
Hiyo ni kweli kabisa enzi hizi wanarukaruka tu ata ujumbe hawana!!!Mungu atusaidie barikiwa sana mchungaji popote pale ulipo ameeni!!!!
Nami pia
Hakika
Mungu
Akubaliki
Mtumishi
Haaahaaa kwel
Achakujitharau kumbuka kwamba maisha yana pangwa na Mungu haaahhaa raha sana
Huyu ni komandoo wanyimbo zainjiri
there is a great change in Mwansasus Life i used to watch his songas like Vumilia,siki ya kilala,watoto wachanga etc i still love his performance
Futa machozi acha kujizalau ubarikiwe huu wimbo unanibariki sana.ubarikiwe
Jaman 😭 😭😭
Safisafi.mungu.akubariki
R.I.p Baba
A Blessing song..mmmmm...God bless you
R.i.p hakika ulikuwa mtunzi mzuri sana wa Nyimbo za lnjili
Upumzike kwa amani pasta
Rest in heaven mwansansu
Umetuachia ujumbe utaishi vizazi Hadi vizazi
Rest in paradise
Rip mwansanu jaman😭😭
Rest easy
Amina kaka
Good brother
My favorite song bless you
R.I.P Father i remember you
🎉
Nzur
NICE
Nice
Amen
Rip
anton
Nice
😭😭😭