ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Kazi nzuri sana
Tunakushukuru sana Mtangazaji kwa kuandaa kipindi chako kuhusu historia ya Bishop Efrem Mwasansu. RIP Mwasansu.
Amina lala salama, mtumishi wa mungu, Ninapenda sana Gospel yako
Amen! Ata mm,nilikua nashida yakupata mtoto, mimba kumwaika BT alipokuja kwetu Kenya kwa injili aliniombea na damu zilizokua zikimwaika zika stop na nikashika ball sasa Nina watoto wa2,nakumbuka ilikua 2010,miaka10 sasa
Amen mungu akubaliki umeenda historia yake vizuri( Nimependa).
Big up saaa umetisha saana,haya mambo ndiyo wakristo wanatakiwa kuyajua
Amevipiga vyema vita ... Apimzike kwa amani mtumishi wa Bwana na mwimbaji
Amen 🙏
Jaman kifo eeee mung
Jangalason alienda wapi yule mwimbaji
Umeenda naucheshi kaka umeenda na ukimya wako lala kaka tutakukumbuka
Lala kaka yangu upole wako ucheshi wako umeenda nao
So sad