MTOTO WA MAREHEMU MWANSASU AFUNGUKA SABABU YA KIFO CHA BABA YAKE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ส.ค. 2024
  • #bishopmwansasu#sikunikilala#kenya

ความคิดเห็น • 55

  • @mwambimwalimu4917
    @mwambimwalimu4917 ปีที่แล้ว +4

    Mungu ampuzishe salama huyu baba nilimpenda sana kwa nyimbo zake, hata nikiwa Sunday school tulikuwa twazicheza sana nipo katika dunia mama changa moto nyingi zina nikabili... 😭😭😭

  • @judithmakuto3612
    @judithmakuto3612 2 ปีที่แล้ว +9

    Like father like Son,Mungu akupe hekma Na Maarifa

  • @mabitajunior
    @mabitajunior 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu yu Pamoja nanyi nyote kakamapenzi ya Mungu yatimie kila wakati,Mungu amlaze pema Bishop Mwansasu.

  • @jumannemwakalinga2586
    @jumannemwakalinga2586 ปีที่แล้ว +2

    Pole sana Emmanuel Mwasansu, Mungu akutie nguvu. RIP Bishop Mwasansu!

  • @PresenterKai
    @PresenterKai 2 ปีที่แล้ว +4

    Yote maisha ndugu, Mungu akusaidie uiendeleze kazi aliyoiwacha Babako

  • @yusuphfesto1931
    @yusuphfesto1931 2 ปีที่แล้ว +3

    Pole sana mwanangu 😭😭 Nakumbuka sana siku mlikuja Majimoto kuhubiri Injili nimelia machozi,nimeumia sana ila Mungu akutie nguvu uzifate nyayo za Efraim Mwansasu sitachoka kumpenda Pasta wangu japo sipo nae kimwili lkn kiroho niponae

    • @madoratv
      @madoratv  2 ปีที่แล้ว

      AMENIII. USIACHE KUANGALIA MADORA TV NA USISAHAU KUSUBCSIBE ILI UWE WA KWANZA KUPATA TAARIFA

  • @samsonoryema7363
    @samsonoryema7363 ปีที่แล้ว

    Ndugu Emmanuel....
    Thank God i have heard and seen you.
    Be strong God is with you.
    I feel bad about the loss of your dad.
    Condolence from Uganda.,,

  • @hamisikaberege2759
    @hamisikaberege2759 2 ปีที่แล้ว +1

    Pole san, namkumbuka sana Bishop Ephraim R. Mwansasu alipokuja Mpanda, nsemulwa kuja kufungua kanisa mwaka 2018. Daah aliniombea. R.I.P Mwansasu.

  • @magrethmollel1078
    @magrethmollel1078 2 ปีที่แล้ว +1

    Utafika mbali kijana your very humble Mungu akutunze

  • @Njokira_Fx
    @Njokira_Fx ปีที่แล้ว

    Like father like son Hadi vile unaongea nasikia TU sauti ya mwansasu nakumbuka mwansasu akija Mombasa Kenya miritini mahubiri yake Hadi waleo yananitia nguvu Mungu ampumzishe Kwa amani na bro Emanuel endeleza kwenye baba amekuachia jipe moyo Mungu mbele

  • @user-rs8qs3ec6l
    @user-rs8qs3ec6l 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu akutie nguvu. Nimewahi sikia mahubiri ya babako na nyimbo zake zakutubariki huko mombasani mikindani reedemed church mwaka wa 2005- 2006 hadi leo nilikuwa nashangaa kwani mtumishi wa mungu alienda wapi? Little did i know that he was promoted to glory. Mungu akuinue Emmanuel undeleze kazi ya mungu.

  • @amockkalinga1520
    @amockkalinga1520 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akutunze mtoto wa Bishop endelea kumtukia mungu kwa uaminifu hatakuacha daima ila inauma Sana 💔 kifo kinauma jamani🤔🙆😭😭😭😭😭😭😭

  • @reginamollel9688
    @reginamollel9688 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu hawatie nguvu kwakweli inaumiza sana ila mungu kalichuma tunda lake tutamkumbuka sana pastor mwansasu

  • @violetsaru9297
    @violetsaru9297 ปีที่แล้ว

    Pole sana kakayangu Mungu akupe nguvu na uweza,

  • @janetnjobvu2871
    @janetnjobvu2871 2 ปีที่แล้ว

    Pumzika kaka nashindwa kukusahau tulikupenda kaka lakini mungu kakupenda zaidi pumzika kwa amani Amina

  • @nashondaniel3592
    @nashondaniel3592 2 ปีที่แล้ว +3

    Mungu amtunze sana

  • @bellatvonline
    @bellatvonline 2 ปีที่แล้ว +3

    Ubarikiwe Sana

  • @evelinemlay5572
    @evelinemlay5572 ปีที่แล้ว

    Kweli wewe ni Mtumishi wa Mungu, Mungu azidi kukuinua!

  • @ubuntubantu2404
    @ubuntubantu2404 ปีที่แล้ว

    Kijana ana hekima sana. Mungu azidi kumuongoza

  • @anjiwikeulomi2852
    @anjiwikeulomi2852 2 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa sana kijana

  • @SamsonKonki
    @SamsonKonki 2 หลายเดือนก่อน

    Kweli kbs

  • @barakamwangalaba8027
    @barakamwangalaba8027 2 ปีที่แล้ว

    Pole mungu awalinde na mpendane

  • @d.methuselah9329
    @d.methuselah9329 2 ปีที่แล้ว +3

    MADORA TV INAFANYA VIZURI SANA MUNGU AWATUNZE SANA

  • @magrethsanga942
    @magrethsanga942 2 ปีที่แล้ว

    Mungu mwema akusaidie kk

  • @rubenijackisoni5679
    @rubenijackisoni5679 2 ปีที่แล้ว

    Mungu wambinguni anatuwazia mema pole kijana mwenzangu

  • @stellakita5289
    @stellakita5289 2 ปีที่แล้ว +2

    May his Soul rest in Eternal peace😥..Huyu Baba aliniuma mno.

  • @EstherMbogella-cd9kx
    @EstherMbogella-cd9kx ปีที่แล้ว

    Mungu àtakusaidia mutumishi

  • @sarafinasakalla1156
    @sarafinasakalla1156 2 ปีที่แล้ว

    😭😭😭😭Mungu akutunze mtumishi usia wababa uzidi kutembea na Mungu usimwache Mungu

  • @amockkalinga1520
    @amockkalinga1520 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akutie nguvu kaka

  • @erastomwakalukwa3946
    @erastomwakalukwa3946 2 ปีที่แล้ว +1

    Aliimba siku nikilala, Sasa amelala!

  • @charlesnzwalla3001
    @charlesnzwalla3001 ปีที่แล้ว

    Kwa hapa Dar kanisa lake lilikuwa wapi ndugu zangu

  • @micracyrbukulu8141
    @micracyrbukulu8141 2 ปีที่แล้ว +4

    Dada yangu mtangaxaji unazidi kupaa 2022 ukawe wabaraka kwako

  • @joshuasitta293
    @joshuasitta293 2 ปีที่แล้ว +1

    ❣️❣️madoratv

  • @miyamediatz
    @miyamediatz 2 ปีที่แล้ว +2

    Dhuuuu 😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @jeniphersamson6852
    @jeniphersamson6852 2 ปีที่แล้ว

    😭😭😭mungu akulehem

  • @chalazaonetv4749
    @chalazaonetv4749 5 หลายเดือนก่อน

    Daaaah sikujua km alikufa

  • @MamaEsta-zt6hn
    @MamaEsta-zt6hn 10 หลายเดือนก่อน

    R.i.p

  • @rehemamshiko6753
    @rehemamshiko6753 ปีที่แล้ว

    Poreni sana wapendwa

  • @kosherasengasu5093
    @kosherasengasu5093 ปีที่แล้ว

    MUNGU awe nawe Nabii Emmanuel Mwansasu.

  • @user-qo1bb4ks7k
    @user-qo1bb4ks7k 9 หลายเดือนก่อน

    😭😭😭😭😭

  • @dianacharles5105
    @dianacharles5105 2 ปีที่แล้ว

    Mpaka unavoongea Kama bishop daah

  • @rehemabukuku1008
    @rehemabukuku1008 ปีที่แล้ว

    Duh kifo chake

  • @kinyamagohaatu4496
    @kinyamagohaatu4496 2 ปีที่แล้ว

    mung akutie nguvu unae baba mwinginee

  • @lusajosajent5487
    @lusajosajent5487 2 ปีที่แล้ว +2

    Safiii

  • @witneskawogo4363
    @witneskawogo4363 2 ปีที่แล้ว

    MUNGU akulinde baba

  • @lindakapongo8421
    @lindakapongo8421 ปีที่แล้ว

    Hekima niniona kwako

  • @gervaskazinza3563
    @gervaskazinza3563 2 ปีที่แล้ว

    Sasa mnafanya interview huku mmeangalia pembeni badala ya kuangalia camera

  • @PresenterKai
    @PresenterKai 2 ปีที่แล้ว +2

    Yote maisha ndugu, Mungu akusaidie uiendeleze kazi aliyoiwacha Babako

  • @janetnjobvu2871
    @janetnjobvu2871 2 ปีที่แล้ว

    Pumzika kaka nashindwa kukusahau tulikupenda kaka lakini mungu kakupenda zaidi pumzika kwa amani Amina

  • @augustinenjesi3215
    @augustinenjesi3215 2 ปีที่แล้ว

    😭😭😭😭😭😭