Yan nilikumbuka hii nyimbo nataka kuangalia nakuta RIP nyingi😭😭😭 nimeumia sana mungu wetu wa mbinguni akakuweke upande wake kwani mwendo umeumaliza na imani umeilinda🙏🙏
Mmmmmmwweeeeee Mwansasu pumzika kwa AMANI Mtumishi wa MUNGU ❤❤❤❤❤ sana huu wimboo. Owokile olwanaloli tosikowa kange po papo ipo siku 2taonana maana sisi wote ni wasafiri
Asante sana mtumishi Wa MUNGU Aliye hai natamani nikuone Hakika wanaoshindana nami Hawatanishinda MUNGU yu pamoja na Mimi ili aniokoe wakati wa shida Zangu
Ndio nikweli wata anza pigana nami awatanishinda watabigana nasi awata tushinda maana bwana upamoja nasi tusiogope awo wanywa damu balituogope hauwaye roho apana mwili god blessing. U pst good job
Nimekuja hapa baada ya ushuhuda wa ALIYEKUWA CHIFU WA WACHAWI AKIMTUMIKIA SHETANI MIAKA MINGI kutoka kwa Promover TV . Hakika Mungu ni mkuu, huyu Mwansasu yuko Mbinguni!
nani bado tupo pamoja kuangalia huu wimbo mwaka huu? leta like yako hapaaaaaaaa
Pamoja sana
Nikohapa sikinai jumbe takatifu kutoka kwa pasta Mwansasu! Apumnzike kwa Aman🙌🏻
@@tumaininzunda7206 mwasasu alikufa lini jameni,, Sina habari😭😭😭
Nko apa 😢😢😢
2021 kama unaamini Mungu yupo pamoja nawe like🙏
Wataishia kunawa na hawatokula maana mungu wa mbinguni Yu pamoja nawe endelea kupumzika kwa amanii mtumishi wa mungu
The Legend Himself ❤ Rest in Peace Man of Almighty God! 😭😭
2024 watching this song❤❤
Wakishindana nasi watakuwa wa wanashindana na Mungu maana tuwatoto wa Mungu,hivyo hatashinda kamwe
2024 bado huu wimbo unatesa
Mungu aliokoa wengi kupitia wimbo huu nikiwa mmoja wao
Watu hudislike nice song Ka hii....mungu awaona to
Apumzike kwa Amani Mtumishi Wa Mungu🙏🙏
Bigger up nyimbo zinagusa moyo❤
Kweli
2020 tujuane kama bado tupo pamoja
2021
2021
Pumzika kwa Amani rafiki yangu,loo!umenifikilisha sana,
2025 Mungu yu pamoja nami ili aniokoe wakati wa tabu zangu🙏🙏
Hajawai kosea nyimbo zake na kweli zina ujumbe ndan yake
I love this song God bless and blessings nawapenda wote Wacha mungu
R.i.p. tuta kukumbuka daima baba puzik kwaaman
Tunaimiss hii sauti ya mchungaji
Endelea kupumzika kwa Amani
Yan nilikumbuka hii nyimbo nataka kuangalia nakuta RIP nyingi😭😭😭 nimeumia sana mungu wetu wa mbinguni akakuweke upande wake kwani mwendo umeumaliza na imani umeilinda🙏🙏
Hata mi nashangaa sai. Wimbo wenyewe una 10yrs hapa.
Mmmmmmwweeeeee Mwansasu pumzika kwa AMANI Mtumishi wa MUNGU ❤❤❤❤❤ sana huu wimboo. Owokile olwanaloli tosikowa kange po papo ipo siku 2taonana maana sisi wote ni wasafiri
Ni mwaka mmoja umepita Sasa tangu uondoke Duniani 😭😭 Pumzika Kwa Amani, mahubiri na mafundisho Yako bado yanaishi...
My brother one Blood Ahsante hata Hapa ulipo niacha watoto wako wananiuliza maswali magumu Sana kaka
Nice song yawah....watashindana NAMI lakini hatakushindane
Umefika nyumbani jisikie uko huru kumuona kristo na mungu ulio watumikia utapata taji kama ulikua mwaninifu kwake
Continue resting in heavenly glory Hayati Bishop E.R.Mwansansu.
Stronger encouraging tusonge mwaaaaaaa God of another chance
Kwani aliaga mwaka gani ata sina habari ila Mungu amlaze pema peponi
Asante sana mtumishi Wa MUNGU Aliye hai natamani nikuone
Hakika wanaoshindana nami Hawatanishinda MUNGU yu pamoja na Mimi ili aniokoe wakati wa shida Zangu
Nipo katika dunia mama
Asante kwa maisha yako ya duniani, tunabarikiwa sana na kuuona utukufu wa Mungu. Pumzika kwa Amani mtumishi mwendo umeumaliza salama.
Rest in peace Mr. Mungu akulaze mahali pema peponi
Lenga ngwimba ne mwinenu sikufwana sunga loli ngimba ne mwinenu
powerful music...huyu mtumishi namjua alikuja MSA saana ndiko nilikomuona live.., Nimefuatilia mziki wake tangu album inayoitwa., kutesa Kwa zamu...,
Watapigana nawe lakini hawatakushinda may his soul rest in peace man of God
Tujuwane 2020 tunaoutazama huu wimbo
Nice job mwansasu
Ukagone tata, ukagone mundu gwa kyala, syepwa😥😥
ushauli wangu,shikilia na karama ya uimbaji achana na mambo mengine
Haleluya haleluya hawatanishinda ameeeeee💪💪
Hawatanishinda Acha Tu wapigane aisee Mungu akubariki hapa uliimba mtumishi
Tutakukumbuka daima
kwa hakika hawatanishinda, be blessed man of GOD
W
Hakuna mwimbaji mwenye nyimbo zenye ujumbe kama za PST mwansasu
Ulale salama Mtumishi wa MUNGU..upole wako unyenyekevu vilitawala nafs yako
Huu wimbo niwabaraka kwangu...Mungu akubariki Mtumishi
Pumzika kwa amani mtumishi Mwansasu
Maajabu na yasikia hapa kwa PST Mwansansu alikufa
usiogope kwa ajili ya hao..nice song
Napenda sana tangu udogo, hadi dada.
Pumzika kwa amani hatupo nawe kimwili kiroho tupo pamoja.
Mungu akubariki wewe pamoja nakizazi chako
Mungu akusaidie ktk kipaji chako
Tutamuenzi sana huyu mwamba hawezi kufeli
Barikiwa sana mtumishi nabarikiwa sana na wimbo huu
Hakika watashindana hawataweza kwa jina la yesu. Mtumishi nahitaji Nyimbo zako
Rest in peace mtumishi nahisi uwepo wa Mungu
Hiyo ni kweli kabisa pastor, kuna watu ambao wameshaniaribiya maisha yangu. R.I.P pastor Mungu baba akupokee
Toka nakua mpaka Leo nabarikiwa Sana na wewe bro
Kaka Mwansasu Mungu aendelee kubariki kazi zako
Ndio nikweli wata anza pigana nami awatanishinda watabigana nasi awata tushinda maana bwana upamoja nasi tusiogope awo wanywa damu balituogope hauwaye roho apana mwili god blessing. U pst good job
Sina chakusema ambacho utakifurahia zaidi ila na nasema Mungu akuinue sana mbalikiwa wake amen
Rest in peace man of God
Whaaaaat he died?
Heee jaman Kwan Alisha ariki?
😅😅huu mwaka jmn duh🙌
Amen🙏🙏 may you continue resting in peace 😭
Kabisa watapigana nami hawatanishinda hallelujah....barikiwa sana pastor
endelea kupumzika kwa aman nyimbo ulizotuachia ni fundisho baba
Rest in peace my pastor and legendary gospo music
you mean it? 🤔🤔
RIP mtumishi wa Mungu
mungu akutangulie bab watashindana hawata nishinda maan mungu yu pamja nami
Rip man of God 🙏🙏
An inspiring song, God Bless you Pastor
Wapo wanadamu wapo wanywadamu, very true
True pastor
Nimekuja hapa baada ya ushuhuda wa ALIYEKUWA CHIFU WA WACHAWI AKIMTUMIKIA SHETANI MIAKA MINGI kutoka kwa Promover TV . Hakika Mungu ni mkuu, huyu Mwansasu yuko Mbinguni!
Nikweli watashinda nami hawatashinda
Amina yupo nami
Amen baba. Nabarikiwa sana na nyimbo zako
Amina!!!hawatanishinda Mungu akubariki Sana pst
learnt of his death with lots of sadness and pain.
condolences to the family and friends
2025 nausikiliza tena
Barikiwa mnoo tusumuike kwa tata
Hawatanishinda 🙏🙏
Am blessed through this song be blessed amen
Watashindane nawe lakini hawatakushinda
Haujafa Mwansansu bado unaishi baba
Wap mchungaji kwa sasa nabalikiwa sana na nyimbo zako kaka angu wa kukaja kumpata
My postar.... Mungu akulinde daima na daima kamanda
Xana
Nakukumbuka sana pastor Mwasansu
Rest in Paradise servant of God
Asante Yesu wangu... blessed mtumishi
Rest in peace God's servant..,
Rest in peace my pastor
Rip pastor mwansasu
My best song ever
God bless you
Pumzika Kwa Amani mtumishi
god bless you bro, unajua kuimba uko wapibunifuze sauti
blessing me pastor. watapigana nami na hawatanishinda
Kiukwel huu wimbo xichok kuuxikiliza hakika mtumixhi uliimba hongera
Pumzika mahali ulipoandaliwa kutokana na uliyoyaishi ukiwa dunian
mungu yu pamoja nawe mch.E.Mwansasu
Amina mtumish nabarikiwa sana na huu wimbo
Tunaimis sana Huduma yake