22 Maovu ya Mapinduzi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 154

  • @AbdallaMwagora-sm1rj
    @AbdallaMwagora-sm1rj 11 หลายเดือนก่อน +7

    Mm ni mtanganyika lkn sifurahii mateso waliopitia wazanzibari.

    • @MohdIkra-d7s
      @MohdIkra-d7s 10 หลายเดือนก่อน +1

      Wewe sio mtanganyika t wewe ni binaadamu mwenye kuujua utu

    • @omarbaabad2706
      @omarbaabad2706 5 วันที่ผ่านมา

      Mzee wangu Allah akurehemu

  • @hakimtzu9157
    @hakimtzu9157 7 ปีที่แล้ว +5

    Dah meng yamefichwa nyuma ya mapinduz,mungu atawalipa wote na uonevu wao na chuki,
    Hongera mzee wetu kwa kuongelea ukweli

    • @nduryamwadzaya3972
      @nduryamwadzaya3972 4 ปีที่แล้ว

      Mzee ovyo

    • @nassorali5511
      @nassorali5511 3 ปีที่แล้ว

      @@nduryamwadzaya3972 mh

    • @MussaMussa-v4x
      @MussaMussa-v4x 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@nduryamwadzaya3972Hayajakufika ww2

    • @NassorOmarDadi
      @NassorOmarDadi 2 หลายเดือนก่อน

      Unasemaje we mtwana mshenzi, chuki zako dhidi ya uislam ​@@nduryamwadzaya3972

  • @charlesbibombe2301
    @charlesbibombe2301 6 หลายเดือนก่อน

    Duuh, tumedanganywa Sana kuhusu mapinduzi ya Zanzibar. Nipo bara natetemeka mzee anavosimulia haya

  • @Qadar-vx4gj
    @Qadar-vx4gj 4 ปีที่แล้ว +4

    Allah Akupe Qawl Thabit

  • @hashirsalim9570
    @hashirsalim9570 3 ปีที่แล้ว +1

    Wanaosherehekea kazi kwenu.

  • @ussikhamisussi4882
    @ussikhamisussi4882 7 ปีที่แล้ว +5

    Mambo haya yanaumiza sana nafsi, wengi wetu tunazugwa na viongozi.

  • @madinayussufhamadi2678
    @madinayussufhamadi2678 7 ปีที่แล้ว +5

    Wallah umesema kweli allah atakulipa kwa ukweli ulio sema

    • @aiyamirubba6528
      @aiyamirubba6528 3 ปีที่แล้ว

      Yote yatalipwa

    • @alialamoudi9729
      @alialamoudi9729 10 หลายเดือนก่อน +1

      Wazanzibari waliuliwa kinyama ilfu ishirini walikufa wakawazika pamoja katika mashimo makuubwa wtoto wadogo NA wazee NA wanawake NA wanaume wakawapanga fuleni NA wote walipigwa raisi bila huruma wakawazika pamoja katika mashimo wakati serekali ya hapo awali ilichaguliwa ki halali

  • @salimabdallah5176
    @salimabdallah5176 ปีที่แล้ว

    DHIKRI FIKRI SHUKRI SUBRI

  • @biramsakh9212
    @biramsakh9212 6 ปีที่แล้ว +4

    Wanasherehekea mauaji ya kuuliwa waislam zanzibar damu yawaislm ndio ayo mapinduzi daima.

    • @nduryamwadzaya3972
      @nduryamwadzaya3972 4 ปีที่แล้ว +1

      Endelea kuota. Mukiuwa waafrika ni Sawa lakini waAfrika wakilipiza walia na dini! Hahahah

    • @nassorali5511
      @nassorali5511 3 ปีที่แล้ว

      @@nduryamwadzaya3972 mh

    • @MussaMussa-v4x
      @MussaMussa-v4x 4 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@nduryamwadzaya3972ww kafir nyamaza

  • @ablamaryamsalehvg5eazhst3n52
    @ablamaryamsalehvg5eazhst3n52 4 ปีที่แล้ว

    Hamna faida yoyote ya mapinduzi labda kuendelea dhulma na kuwadhalilisha raiya' na mauwaji yanaendelea km kawaida 'inshalla Allah atawahukumu madhalimu 'tunajua hakuna mwanzo usio na mwisho

  • @MohamedJuma-x5y
    @MohamedJuma-x5y 15 วันที่ผ่านมา

    YA ALLAH TUNAKUOMBA UTAJALIE TUPATE UHURU WETU TUMECHOKA

  • @khamissalum9285
    @khamissalum9285 4 ปีที่แล้ว +7

    Eti waarabu niwakoloni wakoloni nitanganyika wanatutawala

    • @officialwawa4370
      @officialwawa4370 4 ปีที่แล้ว

      Jamaa umedanganyika daahhh Sasa Unataka kusema etii unalani mapinduzi

    • @yasiralkindi5332
      @yasiralkindi5332 4 ปีที่แล้ว

      @@officialwawa4370 ww co mzanzibar so kaa kimya mama cwa

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 4 ปีที่แล้ว

      @@yasiralkindi5332 Mzanzibar ni nani?

    • @abuually-ol2xc
      @abuually-ol2xc 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@officialwawa4370ndio mapinduzi ya Zanzibar yamefanyika Kila unyamaa 😢 kama hujui maana ya mapinduzi basi maana yake ni dhulmaa

    • @abuually-ol2xc
      @abuually-ol2xc 3 หลายเดือนก่อน +1

      Hizi zote ni ajenda za wazungu na watanganyika ndio walioivamia Zanzibar na kufanya mauwaji ya kikatili dhidi ya wazanzibar 😢

  • @LovelyBubbleTea-vz4ol
    @LovelyBubbleTea-vz4ol 6 หลายเดือนก่อน

    Makame fidia ana hostoria mbaya sana

  • @charlesbibombe2301
    @charlesbibombe2301 2 หลายเดือนก่อน

    Kila Mara napenda kusikiliza simulizi hizi mbaya za mzee wetu huyo. Kwa hakika Mambo hayo anasimulia yamenitafakarisha sana. Kuhusu viongozi wetu. Mm Niko bara, lakini nimesoma vitabu kuhusu mapinduzi lakini Ni Kama tulidanganywa

  • @nduryamwadzaya3972
    @nduryamwadzaya3972 4 ปีที่แล้ว +3

    Ni sawa. Wakati mukishika waAfrika kutoka Congo kuwatembeza maelfu ya kilomita na kumuuza kama mnyama. Sawa kabisa.

    • @yasiralkindi5332
      @yasiralkindi5332 4 ปีที่แล้ว +3

      Mapicha ya kuedit yameshakuathiri tyr pamoja na histry za uongo
      إنالله وانا اليه راجعون

    • @nduryamwadzaya3972
      @nduryamwadzaya3972 4 ปีที่แล้ว +1

      @@yasiralkindi5332 tutapigana na hamtachkuwa ardhi yoyote tena. MWEUSI SASA FOREVER. Hata kama sisi waislamu pia. Sisi sio weupe.

    • @misscoast3174
      @misscoast3174 4 ปีที่แล้ว

      @@nduryamwadzaya3972 kwani huyo anaeelezea hapo ni mweupe??? Mbona me siwaelewi nyie wengine??

    • @SaSa-n2t1w
      @SaSa-n2t1w ปีที่แล้ว +1

      Yamewakuta ss roho zinauma tangu lini muarabu akawa mtu. ?

    • @FeisalDoctor-tn9vd
      @FeisalDoctor-tn9vd 10 หลายเดือนก่อน

      ​@@nduryamwadzaya3972We ni kafiri uislam haun rangi

  • @canoksancomprehensivelearn7182
    @canoksancomprehensivelearn7182 5 ปีที่แล้ว +1

    Na atakayeuliwa au kuteswa kwa ajili ya Allah ujira wake ataupata wala hataonewa. Msihuzunike yupo nanyi na mola atawalipa uovu Wote waliohusika na mapinduzi hayo watapinduliwa pinduliwa motoni huko. Nayachukia maana nayajua maovu na uovu wa waliohusika.

  • @imraniqbal00765
    @imraniqbal00765 6 ปีที่แล้ว +3

    Wameshafika mbele ya haki wapo kwa Allah
    Huko hakuna mapinduzi huko
    Ni haki tu ,na sifikiriii ktk wapinduzi kama yupo alokufa kifo cha kibinaadamu wengi wao walidhalilika kabla ya kufa kwao
    Mandela alikua akikaa kidongo
    Chekundu siku ya mauti yake alfungiwa chumba jinsi alivyokua
    Akipaparika na mwisho alikutwa
    Chini ya mvungu wa kitanda
    Ulimi Pima

    • @wakilihaji4809
      @wakilihaji4809 5 ปีที่แล้ว

      KHAMIS khamis

    • @allyderossi9742
      @allyderossi9742 5 ปีที่แล้ว

      KHAMIS khamis;:Ndo nani huyo MANDELA tena???? naona mapya hayo nayackia

    • @misscoast3174
      @misscoast3174 4 ปีที่แล้ว

      @@allyderossi9742 mandera alikua kwenye hiyo jela ya mateso akitesa watu na kuuwa... angalia video zote kwenye channel hii ametajwa sana

  • @misscoast3174
    @misscoast3174 4 ปีที่แล้ว +1

    Ama kweli fitna, chuki na uongo una nguvu sana.. lkn naamini haidumu ipo siku itajitenga na ukweli utajulikana nani ni nani na kwanini walifanya waloyafanya... ni swala la muda tu! Allah awasamehe walotangulia na awahukumie kwa dhulma walotendewa

  • @kingosman9311
    @kingosman9311 8 ปีที่แล้ว +1

    Nimekuelewa mzee.

  • @ruaiyatruaiyat691
    @ruaiyatruaiyat691 7 ปีที่แล้ว +3

    Subhanallah

  • @hashirsalim9570
    @hashirsalim9570 3 ปีที่แล้ว +1

    Ayo yote inshallah yataonekana na yatalipwa,

  • @ludacrissrangiyabank3737
    @ludacrissrangiyabank3737 5 ปีที่แล้ว +1

    Fidia namjua story zake tumepewa na wazee

  • @salummzee9739
    @salummzee9739 4 ปีที่แล้ว +1

    Nyny mulikuwa vibaraka warabu kwaio kujikomboa ss tumefaidika mbona mashamba yetu waliyahodhi warabu sasa leo jumejikomboa kwaio kusherekea mapinduz lazima

  • @ahmedmussa8231
    @ahmedmussa8231 5 ปีที่แล้ว +2

    Mola alikuhifazi wasikuuwe ili uje utujuze yalopita mola atawalipa pepo walozulimiwa nafsi zao

  • @OmarMohamed-zf8dp
    @OmarMohamed-zf8dp 2 หลายเดือนก่อน

    Mm naomba kukuuliza. Uhuru na zanzibar 63 na 64 upi uhuru halali. Na jengine saa jojimoreni alikuwa nani hapa visiwani pamoja na tanganyika na Kenya alikuwa kama nani huyo joji moreni

  • @jumambazi7173
    @jumambazi7173 2 หลายเดือนก่อน

    Vipi Kama utawala wa kisultani ungerudi Mara baada ya mapinduzi,ungesema Nini?

  • @hohi7746
    @hohi7746 3 ปีที่แล้ว +1

    HESABU IPO

  • @LovelyBubbleTea-vz4ol
    @LovelyBubbleTea-vz4ol 7 หลายเดือนก่อน

    Kumkubali sio kumkubari

  • @salamakhamis7245
    @salamakhamis7245 5 ปีที่แล้ว +1

    ALLAHU AKBAR

  • @mshairikinda4694
    @mshairikinda4694 5 ปีที่แล้ว

    Wazanzibar mnaudhi kisha mkakera isee,hivi hamuelewi siasa zilikua zinaendaje,mkimchukua muarabu unatarajiwa uchukie kila chake

  • @LovelyBubbleTea-vz4ol
    @LovelyBubbleTea-vz4ol 7 หลายเดือนก่อน

    Wewe mbara ?

  • @AllyHamran
    @AllyHamran 9 หลายเดือนก่อน

    Diria aliishia wapi na vpi?

  • @fatumamisinga6211
    @fatumamisinga6211 2 ปีที่แล้ว

    Aman than anaishi wapi hivi sasa?

  • @machintangachibwena5922
    @machintangachibwena5922 2 หลายเดือนก่อน

    Karume si mtu ni jini wapemba walisha sema zamani

  • @kaliskaguzkalis4424
    @kaliskaguzkalis4424 2 ปีที่แล้ว

    Wote leo mko mbele ya Mola Wenu

  • @hassandeuj2517
    @hassandeuj2517 5 ปีที่แล้ว +1

    Ccm niwaongo kupita kiasi

  • @aliyabdillahi7332
    @aliyabdillahi7332 6 ปีที่แล้ว

    Wee Ahmed Masoud si umezaliwa juzi tu.

  • @msakuzikondo536
    @msakuzikondo536 3 ปีที่แล้ว

    Waislamu waliwafanya waislamu wenzao watumwa Zanzibar.Mtu mweusi wakati wa Sultan alikuwa kama hana thamani.Mapinduzi Tukufu Daima .

  • @LovelyBubbleTea-vz4ol
    @LovelyBubbleTea-vz4ol 7 หลายเดือนก่อน

    Huy sio kibaraka alikua kiongozi

  • @LovelyBubbleTea-vz4ol
    @LovelyBubbleTea-vz4ol 7 หลายเดือนก่อน

    Wewe mbara sio wakoroni atakiswahilli chako kinaonesha

  • @yasiniselemani2412
    @yasiniselemani2412 6 ปีที่แล้ว +1

    Truth do pain

  • @nassorali5511
    @nassorali5511 3 ปีที่แล้ว

    Apo zamani tulikuwa twasema znz ni Mkka ndongo kwa elimu lkn sahiz naona znz ni Itali ndongo kwa uwovu

  • @yanayojiri1900
    @yanayojiri1900 5 ปีที่แล้ว

    Ongea

  • @zahorsalum663
    @zahorsalum663 3 ปีที่แล้ว +1

    Mapinduzi yamekuja kutuua njaa wazanzibar nakutawaliwa.namafisadi tuu.

  • @andrewnyamwaro5174
    @andrewnyamwaro5174 4 ปีที่แล้ว +1

    Hata useme nini, usultani Mwafrika kakataa. Unayesema we Mwarabu mbona usende uko huko ukaishi raha mstarehe. Mapinduzi ulikuwa lazima kupinga dhulma. Jengeni nchi yenu kwanzia hapa...

    • @misscoast3174
      @misscoast3174 4 ปีที่แล้ว

      Kwani kulikua na haja gani ya kuuwa watu wakati sultan alikimbia? Ukishafanya mapinduzi na mtawala akakimbia raia walokuepo ni wako wote sasa ubaya ni pale walipowauwa wale raia.. hugo dhambi haitawaacha milele daima

    • @MohamedAliMohamed-mm4sq
      @MohamedAliMohamed-mm4sq 4 หลายเดือนก่อน

      Kweli nchi yenu dhulma ipi iyo unaongelea allah akufungue akili ila usultani haukumtesa mtu tafuta historia za kweli kijana ila yote yamepita wacha tumuwachie allah tabaraka wa taala ataamua yeye

    • @AllyGege-h4r
      @AllyGege-h4r 2 หลายเดือนก่อน

      Ww unamchukia mwarabu wakati anauza makuta lining tunadalaliwa na mzungu nanil mbaya kwetu hujitambui ww

  • @khalifanassor5349
    @khalifanassor5349 5 ปีที่แล้ว +1

    Unapofanya unyama malipo duniani akhera hesabu

  • @awadhirajabu7754
    @awadhirajabu7754 6 ปีที่แล้ว

    apo nimekuerewa mzee kwa msemo wa kuua mtu ni zambi sana rakini utamkuta mtu anashiliki kuua uku akijiamini mbere ya wezie kwa asira kali ajui kama kila nausi itaonja umauti kuua ni zambi mwenye kuamini uwepo wa mungu asiuwe wandugu

  • @LovelyBubbleTea-vz4ol
    @LovelyBubbleTea-vz4ol 6 หลายเดือนก่อน

    YOTE NIKWELI YAYQ ANAYO SEMA

  • @asiajuma7906
    @asiajuma7906 4 ปีที่แล้ว

    So painful

  • @mjige9088
    @mjige9088 5 ปีที่แล้ว +1

    Diriye aje Hargeisa somaliland tumuathibu babu yake tumemfasiria haya yote unayosema machozi imemtoka

  • @fatmasaid5864
    @fatmasaid5864 6 ปีที่แล้ว +4

    Maneno yako ni ukweli mtupu

    • @tecnof1232
      @tecnof1232 5 ปีที่แล้ว

      Ajabu wengine kasumba na propaganda zimewaganda ndii! hata kufikiri wanashindwa! Mapinduzi matukufu sawa, je waliouwa watakwenda peponi?

    • @officialwawa4370
      @officialwawa4370 4 ปีที่แล้ว +1

      @@tecnof1232 jeee na ss kutufanya watumwa na kutuuwa na kutuzalilisha wataenda mbinguni

  • @asilclub
    @asilclub 7 ปีที่แล้ว +1

    لا غالب الا الله

  • @kassimmbelwa6011
    @kassimmbelwa6011 5 ปีที่แล้ว +1

    we mchawi tu mtoto wa sultani watetee

    • @officialwawa4370
      @officialwawa4370 4 ปีที่แล้ว

      Unaona huyu kibaraka wa sultan ndugu unajuwa sultan bado ana ndoto ya kuitawala Zanzibar tena

    • @samirs764
      @samirs764 4 ปีที่แล้ว

      Huyo anasema kweli shekhe mashalla

    • @misscoast3174
      @misscoast3174 4 ปีที่แล้ว

      Kuna watu hawatoamini mpaka yawafike

    • @rastafare878
      @rastafare878 3 ปีที่แล้ว

      Nyinyi mnaopinga hapa wengi wenu ni watanganyika munajifanya kuwasemea vibaya waarabu halafu haohao wanakusaidieni na wAla hamukatai , hebu jaribuni kuangalia video mmoja youtube magufuli Na kiongozi mmoja kiarabu aliahidiwa atachimbiwa visiwa vingi sana , munawasema vibaya waarabu cha kushangaza haohao ndio wanakusaidieni na wAla hamukatai

  • @madrasatulmujtabahschool7621
    @madrasatulmujtabahschool7621 5 ปีที่แล้ว

    Sasa ukweli upi kila mmoja anatuzonga

    • @allyderossi9742
      @allyderossi9742 5 ปีที่แล้ว

      ABUBAKAR ALI HAMDANI,,wala ucseme jamaa yng.

    • @farhatfatma12
      @farhatfatma12 5 ปีที่แล้ว

      Unajizonga mwenyewe. Huyu mzee ni mtu maarufu zanzibar na anachosema ni ukweli mtupu kwasababu aliwekwa ndani miaka mingi. Allah amsamehe makosa yake na amuingize kwenye pepo yake ya juu kwa kutupa ukweli.

  • @nduryamwadzaya3972
    @nduryamwadzaya3972 4 ปีที่แล้ว +1

    Ni Jambo la aibu kuliko kuteka weusi kwao? Nyie weupe mulileta faida gani hapo zanze

  • @aliyahya7885
    @aliyahya7885 5 ปีที่แล้ว

    Ni haki kimfukuza mtu uliemkaribisha kwako akataka kukuongoza kwa kila ktu hatimae had nyumba akataka iwe yake

    • @officialwawa4370
      @officialwawa4370 4 ปีที่แล้ว +1

      Uyu mpuuzi Sasa yeye alitaka tufanywe punda wa waarabu huyu simtusi lakini dahhh

    • @yasiralkindi5332
      @yasiralkindi5332 4 ปีที่แล้ว

      Ndio kaka ni haki vilevile kunajisiwa mwanaume na ni haki mtoto kumwingilia mzazi wake na ni haki kaka kumwingilia sister wake yote ni haki tu au vp. JITAMBUE WW

    • @misscoast3174
      @misscoast3174 4 ปีที่แล้ว

      @@officialwawa4370 kama ungeamua kusoma historia ya kweli ingekua vyema kabla hujaamua kusema kitu

  • @LovelyBubbleTea-vz4ol
    @LovelyBubbleTea-vz4ol 7 หลายเดือนก่อน

    Huna akili wewe mlevi

  • @aliyahya7885
    @aliyahya7885 5 ปีที่แล้ว

    Mm nayathamini mapinduzi kwa sababu yametutoa katika utawala wa wazungu na waarabu

    • @salehsuleiman1218
      @salehsuleiman1218 5 ปีที่แล้ว

      Ww thamini2 isichokijua maana yake Na nn lengo lake lkn kumbuka hao warabau ndio walioifanya Leo kuenea kwa uislam Zanzibar Na kuleta maadili ya kiarabu yan mavazi ya kiheshima pia ujue mapinduzi ndio yalio waua masheikh wakubwa ambao ndio masharifu yan wasomi Na mengi2 yaliofanyika ila ww bado mdogo hauwez kujua ndio maana ukipewa maneno ovyo unakubali2 pass nakujua nn faida yake.
      Sema astaghafillah kwa kuyatukuza kuliko kutukuza dini yako.

    • @khalifanassor5349
      @khalifanassor5349 5 ปีที่แล้ว

      Thamini dunia ya kupita tu wamepita kama moshi

    • @farhatfatma12
      @farhatfatma12 5 ปีที่แล้ว

      @@salehsuleiman1218
      Si kweli kua waarabu ndio waliouleta Uislaam Zanzibar.

    • @wizzoboy2553
      @wizzoboy2553 5 ปีที่แล้ว

      Cali Mahad# Unataka kunambia uislam umeletwa na Mreno pamoja na Muingereza??

    • @officialwawa4370
      @officialwawa4370 4 ปีที่แล้ว +1

      Aaaaaa mapinduzi daima sisi ni waafrika tunajitawala wenyewe muarabu ndoo nani kaja na ushenzi wake tumemtupa uko pumbavu kabisa yaanii ilifika muafrika mwenyew etii kuingia stone town kwa kibali dahh inauma sana wazee wetu!! na lilikuwa sii lakujuwa maana walikuja Kama mbuzi kumbe ndani simba wakatutawala kuona watu weusi tumepambwa na miti ya kijani na matunda yakutosha na wanyama aadim duniani lakini hawa washenzi wametunyanyasa na kutuzalilisha na kutuuza Kama vitunguu maji sokoni wewe leo unaunga mkono waarabu aaahhh!! shida sana ila najuwa nyinyi ndio vibaraka mulio bakia na sultan mbaka Sasa anasema Zanzibar yake na atarudi nakutuma mwambie haiwezekani

  • @davidisaya3625
    @davidisaya3625 5 ปีที่แล้ว

    IPO SKU atayajibu haya mbere ya mungu kua hidini iriwakwaza nn

  • @shd12m55
    @shd12m55 7 ปีที่แล้ว

    Unatuliza wanao baba

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 5 ปีที่แล้ว

    Anaonekana anauelewa mdogo sana!!!!

    • @tecnof1232
      @tecnof1232 5 ปีที่แล้ว +1

      Yeye au wewe? Huna unachoelewa mwenzamgu bora unyamaze tu kama mimi, Mzee kayaona tena unataka nini? Na anasema mwenye shaka aende yupo tayari yeye, tena uelewa gani unaoutaka?

    • @misscoast3174
      @misscoast3174 4 ปีที่แล้ว

      Juma kapilima una matatizo makubwa

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 4 ปีที่แล้ว

      @@misscoast3174 mbona haekezi maovu ya sultan?

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 4 ปีที่แล้ว

      @@tecnof1232 kwahiyo maovu ya sultan hajayaona?

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 4 ปีที่แล้ว +1

      Ni kweli mlisoma bure, anasahau kuwa idadi ya watu wa wakati huo tofauti na ya wakati huu, na hata matibabu ni hivyo, lakini pia anapaswa kutambua kuwa hata maradhi kipindi hiki yameongezeka tofauti kidogo na nyuma,, na mbaya zaidi anataka kutujengea picha kuwa sultani hakuwa na maovu kitu ambacho si kweli,,,,,,,,,,,,ndio maana naendelea kueleza kuwa bado ana tatizo la uelewa

  • @MuzneOthman-l7i
    @MuzneOthman-l7i 9 หลายเดือนก่อน

    hana lolote mnafiki huyu. tunamjua mtwana mkubwa kusema hayo na mengine na huo umri anaosema ni muongo. aje nimuoneshe kipande/kibali cha kupatachakula 1918 cha baba yangu kipo. mwafrika anapata chakula dona ratili 3,sukari ratili 1. mchele ratili 2 kwa mwezi , waarabu hakuna kitu kama chakula na kidogo afadhali uwe mngazija.

  • @abdulabass5808
    @abdulabass5808 5 ปีที่แล้ว

    Hili zee linaongea nini kama ulikua kibaraka wa waarabu siutwambie ? Na wewe kama huoni matunda ya mapinduzi tuonyeshe hayo mabaki ya ukoloni uliofaidika nayo? Huna points kujipendekeza kwiiingi

    • @mohammedhamad9392
      @mohammedhamad9392 5 ปีที่แล้ว +1

      Oya uyo mzee ni mzee wetu hakuusu kausha bc

    • @abdulabass5808
      @abdulabass5808 5 ปีที่แล้ว

      @@mohammedhamad9392Nazi

    • @gangmore9091
      @gangmore9091 4 ปีที่แล้ว +2

      @@abdulabass5808 mpuuzi sana angefanyiwa family yko ungeona mabati y ukoloni uyo mzee amefanyiwa unyama ww unaongea pumba

    • @officialwawa4370
      @officialwawa4370 4 ปีที่แล้ว

      Ndio jamaa mapinduzi daima na akijatena tunapinduwa

    • @officialwawa4370
      @officialwawa4370 4 ปีที่แล้ว

      @@gangmore9091 heeeeeeed!!! kwaiyo kuuliwa ngozi nyeupe zambi ila mtu mweusi kuuliwa kwenye sehemu yake nchi yake mbele ya ukoo wake mtu mweusi sio zambi sshhtuka broo usiwe mshamba kiaasi ichooo mapinduzi daima tunajitawala ss watu weusi wenyewe

  • @awadhirajabu7754
    @awadhirajabu7754 6 ปีที่แล้ว

    mapinduzi oye wakoroni walikua na wafuasi wengi wazawa sasa kila mtu angemkubari mkoroni nchi ingekua kama somalia iyo mapinduzi oyee

  • @ahmedmasoud3906
    @ahmedmasoud3906 6 ปีที่แล้ว +2

    Mzee umeongea pumba tupu.
    Ni kwamba wajitoa akili juu ya faida za mapinduzi??
    Kuhusu wewe kusoma bure unajua population ilikuaje na sasa ikoje??
    Ninachokiona ni ukibaraka wako kwa waarabu.

    • @aliyabdillahi7332
      @aliyabdillahi7332 6 ปีที่แล้ว

      Awadh wee umezaliwa juzi uyo Babaako haelewi kitu

    • @husseinfarid2883
      @husseinfarid2883 6 ปีที่แล้ว

      wacha ujinga ww

    • @mkude
      @mkude 5 ปีที่แล้ว +1

      ahmed masoud kwanini unawachukia waarabu ndugu yangu je waarabu huko znz walikuwa wanafanya mauwaji,wakifanya kitu gani kibaya sanaa,na hata kama ubaya Wa kawaida yapo wao ni binadaamu hawajakamilika je utawala Wa sasa wanafanya mema tu hakuna ubaya

    • @mkude
      @mkude 5 ปีที่แล้ว +1

      ahmed masoud jua kwamba mtume ynaemfuata muarabu,makhalifa wakubwa wanne walikuwa waarabu,kitabu cha quraan lugha ya kiarabu kaburini utaongea kiarabu siku ya hesabu Kwa ALLAH lugha itakuwa ya kiarabu.

    • @2pacshakur912
      @2pacshakur912 5 ปีที่แล้ว

      Kusoma bure heheheh
      50 hakuna cha maana

  • @davidisaya3625
    @davidisaya3625 5 ปีที่แล้ว +1

    IPO SKU atayajibu haya mbere ya mungu kua hidini iriwakwaza nn