SHETANI SIYO LUCIFER NA DR.MWALUSAMBO I MASWALI NA MAJIBU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 33

  • @Spekalifetz
    @Spekalifetz 8 วันที่ผ่านมา

    Mungu akubariki saaana,ignorance inasumbua sana watu wa Mungu

  • @deussimbeye9531
    @deussimbeye9531 3 หลายเดือนก่อน +5

    Baba ubarikiwe nakufatiria mungu akutunze na kuiongezea miaka

  • @liberatusmboje8332
    @liberatusmboje8332 วันที่ผ่านมา

    Kuna upungufu hapa.nilisikia mafundisho haya Kwa masisi aliyefungiwa pale sitaki Shari.

  • @MjumbeAgano
    @MjumbeAgano 27 วันที่ผ่านมา

    Hapo sasa upo vizuri huo ni ukweli.

  • @alphaxardmugabo7848
    @alphaxardmugabo7848 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hapa mch. Nimekueelewa

  • @grantngonyani4728
    @grantngonyani4728 3 หลายเดือนก่อน +1

    Amina Baba nashukuru sana

  • @SharonAron-t1j
    @SharonAron-t1j 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hapo kwenye dhambi ya kumkufuru Roho Mtakatifu sio kweli na kusema Yesu Kristo ni malaika woii

  • @maxmillianmarwa5943
    @maxmillianmarwa5943 2 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe

  • @KamiliusPius
    @KamiliusPius 22 วันที่ผ่านมา

    Naomba group lako, ilinikuulize Maswali,

  • @simonbundala6382
    @simonbundala6382 3 หลายเดือนก่อน

    Ahsante kwa maelezo yako mtumishi wa MUNGU.
    Naomba kujua yafuatayo;-
    (1) Shetani ni jina au neno lililokuwa linatumika kabla ya dhambi kuingia au baada ya dhambi kuingia? Kwa mfano Yakobo baadae aliitwa Islaeri.
    (2) Je, ni kweli kwamba Shetani alimkosea Mungu? Na kama ndiyo alipewa adhabu gani na kwa sasa yupo wapi? Naomba rejea kutoka katika kwenye maaandiko matakatifu.
    Natanguliza shukrani wakati nikusubiri majibu ya maswali yangu maana mimi ni mmoja wa wengi wanaochanganyikiwa kuhusu hili.

    • @gitongatitus1553
      @gitongatitus1553 2 หลายเดือนก่อน +1

      Mungu ndie setan kwa sababu alitokana na muti wa kuua. Genesis 2.
      Kama mungu hangekuako muti wa kuua haungekua na kifo hakinekuako. Na uai wa wanadamu ungekua kwa uai. Mungu alitoka kwa uai lakini hataki wanadamu wajue. Uyo uai ndio alichukua mwili akaja duniani kupea wanadamu habari ya kwamba uai wao uritoka kwa uai lakini sio kwa mungu. Iyo habari mungu anajua lakini hataki wanadamu wajue. Na kwa sababu ya mungu kuficha iyo habari ndio kifo haririsi. Na iyo habari mungu ameficha ndio setani na kwa maana iyo mungu ndio setani hama ndiye hameficha iyo habari. Jambo lingine mungu alipo ona Uai anakuja apa nduniani kuleta habari mungu ali leta habari ya kwamb. Mwana atajariwa na jina lake ni mungu pamoja na wanadamu Isaiah chapter 7:14, Mathew chapter 1 and Luke chapter 1 jina la mwana ataitwa Jesus Christ. Ili wanadamu wasijue yakwamba Jesus Christ si mwana wa mungu. Lakini ni mungu wa kweli ndani ya mwili. John chapter 17:2-3.
      John chapter 10:30.
      John chapter 14:10-11, 20-21, 23-34.
      John 15:22-24.

    • @ManswetKimario
      @ManswetKimario 24 วันที่ผ่านมา

      Mpumbavu sana ww!

    • @gitongatitus1553
      @gitongatitus1553 23 วันที่ผ่านมา

      @@ManswetKimario Mimi sio mpumbavu. Lakini nimefulai umepata ujumbe wa ujima ulehuna kufaa. Sasa nijuu yako kupambana nayo vila kuhelekeza asila yako kwa mtu mwingine. Kwa sababu sinda ni wewe siyo mtu mwingine. Asante na kua na wakati mwema hunapo jishunguza thamili yako. Na ukumbuke madido haya John 6:35-57 and John 17:2-3.

  • @SolamhelaKulwa
    @SolamhelaKulwa 22 วันที่ผ่านมา +1

    Wanatumia andiko Isa 14:12 wewe unatumiaje kweli watu yatupasa kujihadhali sana vinginevyo hakuna atakayebaki anguko lolote linavyopatikana na uonvu ndiyo maana linasimama na shetani.

  • @enockkilatu41
    @enockkilatu41 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hakika

  • @BishopAdamGige
    @BishopAdamGige 16 วันที่ผ่านมา +1

    Huyu mzee hajui maandiko hata kidogo, nafikiri ameandaliwa na shetani ili kupotosha watu,Yesu sio malaika wewe

  • @DoriceDamas
    @DoriceDamas 17 วันที่ผ่านมา +1

    Kwhy lusifa ni nani????

  • @liberatusmboje8332
    @liberatusmboje8332 วันที่ผ่านมา

    Siyo mbaya ila una asili ya ubishi.kiukweli kukiwa na ufufuo wa kwanza maanake wa pili upo na kukiwa na mauti ya pili ya kwanza ipo si mpaka uandikiwe kila kitu.
    Usipoamini ni mauti ya kwanza,ukijakutupwa jehanamu ni mauti ya pili.kuamini ni ufufuo wa kwanza na kutotipwa jehanamu(kutopata hukumu)ni ufufuo wa pili.
    Kitabu cha ufunuo kina unabii ndani yake maana kinafunua yaliyopita na yaliyopo wakati ule na mengine ambayo bado hayajatimia bado.
    Ndo maana mwisho anasema ole wake atakayeongeza au kupunguza maneno ya kitabu cha unabii huu

  • @Mahershalalhashbazi-kf6xi
    @Mahershalalhashbazi-kf6xi หลายเดือนก่อน

    Wakati wa Mfalme wa Salemu Melkizedeki walikuwepo wafalme wengine.
    👇👇👇👇👇
    Abrahamu aliporudi Kutoka kumpiga Kedorlama na wale wafalme walikuwa pamoja naye,mlame wa Dodoma akatoka amlaki katika bonde la shawe,nalo ni Bonde la Mfalme. Na Melkizedeki Mfalme wa Salemu akaleta mkate na divai naye alikuwa kuhani wa Mungu Aliye juu sana Muumba wa mbingu na nchi ✍️Mwanzo 14:17-18

  • @KuratiMarwa
    @KuratiMarwa 2 หลายเดือนก่อน +2

    Acha uwongo mch , unataka kumzidi shetani Kwa uwongo ?

  • @chedielnyirenda9664
    @chedielnyirenda9664 22 วันที่ผ่านมา

    Inasaidia nini?

  • @mwaijumba790
    @mwaijumba790 2 หลายเดือนก่อน

    Nawezaje kupata pamphlets za masomo na gharama? Niko Dofoma

  • @PoulMilanzi
    @PoulMilanzi หลายเดือนก่อน +1

    Nataka kujua nimekuwa ninasikia kuwa roho haifi roho chafu inakwenda kuzima na roho iloyotenda mema inakwenda paradisi je roho ya mnyama au viumbe hai roho zao zinakwenda wapi ?

    • @musyokMatele
      @musyokMatele 26 วันที่ผ่านมา

      Soma muhubiri 3/19

  • @perezakinyi6039
    @perezakinyi6039 2 หลายเดือนก่อน +1

    Je,kama Lucifer ni nyota ya asubuhi,na kristo vilevile...mfalme wa babeli alisifiwa kuwa Yesu??naomba kupata jibu na thibitisho kwenye fungu

  • @KalibaToba
    @KalibaToba 3 หลายเดือนก่อน +2

    Dkt,,,
    Huyo Lusifa(Lucifer) ni jina la nani??? Anapatikana kwenye Biblia gani???!!!
    Mbona mnajadili mtu ambaye hajulikani!!!