Akipata boss mzuri hakuna shida, na anapo ingia mara ya kwanza hawezi kupata hiyo laki 7. Labda 5 na nusu kwa sasa, akimaliza mkataba na akaongeza tena anaweza pata hiyo pesa. Na akipata watu wenye kutoatoa sadaka uta patapata maokoto.
@@Abbychibu Mishahara imepanda kweli, ila ubaatike kumpata ajenti mzuri na boss mzuri. Unakuta ajenti anakutafutia boc then anamwaabia mpe riali 100 natunajua kwa sasa anae ingia kwa mara ya kwanza ni 120 mkongwe ni 150 . Kwaiyo waarabu walisha zoea kupanga na maajent na wanakua wagumu ukimwaambia mabadiliko ya mishahara. Tena kunawengine wanasemaga afrika kunakuaga na poromoshen ya wafanyakazi.
❤❤ dazai nakupenda 😢 tunapambana oman familia wee 😂😂😂 dazai
Nimecheka Sana zai mungu akuweke
Zai na ww njoo Oman uje uchekeshe wanangu nimekupenda bure
Hivi kweli umfanye zai katuni😂😂
Uso kah mwikoo😅😅😅
😂😂😂😂😂 tuna raha na oman yetu
Nakupenda sana zai unechekesha
Bora upate mwarabu mzaliwa kuliko mwarabu mswaili
Waharabu mswali ndio wanaongoza kwa kudhulumu pesa mm mwenyewe ni moja wao
😂😂😂😂 mm zai unanikata mbavu❤❤
Warab wa swahili Wana shida Sana kuliko.. Warabu wenye nchi. Kama huna subra mnaweza mkazipiga kisha ukatorokea ubalozin
Kigoma wapo Waarabu Zai. Usituzarau bana. Mwache Chawa aende kazini maisha magumu bongo. Mi mwenyewe nipo ughaibuni mwaka wa saba sasa.
Team strong piga kelele😂😂
@@aminathaabubakarmasoud565 weuweee🤣🤣🤣
MashaAllha namimi mwezako natimiza wakumi na moja sasa😂
@@ayshaali1384 Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi insha Allah.
@@shakilamasoud2983 amini IshaAllha kwasote
Chawa kawaenda wooman 😂😂😂😂 chawa shikaaaamo
🤣🤣🤣🤣Ilo Jina la zai hapana😂😂
Kwann lkn😅
Akipata boss mzuri hakuna shida, na anapo ingia mara ya kwanza hawezi kupata hiyo laki 7. Labda 5 na nusu kwa sasa, akimaliza mkataba na akaongeza tena anaweza pata hiyo pesa. Na akipata watu wenye kutoatoa sadaka uta patapata maokoto.
Mishahara imepanda lak 7 sasaiv kwa mwez ukiwa mgen
@@Abbychibu Mishahara imepanda kweli, ila ubaatike kumpata ajenti mzuri na boss mzuri. Unakuta ajenti anakutafutia boc then anamwaabia mpe riali 100 natunajua kwa sasa anae ingia kwa mara ya kwanza ni 120 mkongwe ni 150 . Kwaiyo waarabu walisha zoea kupanga na maajent na wanakua wagumu ukimwaambia mabadiliko ya mishahara. Tena kunawengine wanasemaga afrika kunakuaga na poromoshen ya wafanyakazi.
Hapana Kihalali ni lak7 hata mgeni
Mm mwarabu mswahili smtaki hata kwa bure kwanza wanalip pes kidogo pili wanamasimango tatu wengi wao hawaripi wafanyakazi mishahala
Hujakoseya may namimi mwezako piya
Duuh nimecheka sana
Zai mbona me npo kwa warabu Lakin sjaona mwarabu wa kingoma 😅😅😅😅😅
Hahahahah eti mwez wa lamazan utajua mkole wako ulichezwa lini
Wee utakuja ua wenzako jmn🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Asante wajina😅😅😅
😂😂😂😂😂yani leo umenichekesha.
😂😂😂😂😂zai Yani Leo kacheka kweli
😂😂😂😂eti uso km mwiko
😂😂😂😂😂😂Zai una balaaah
😂😂😂😂😂😂 Nimecheka mie zai kaaaah
Haaaaaa dazi weye kiboko chawa kakukomesha da geya kwakufagiliya.hatari
Mimi Zai mwenzenu😅😅😅😅
Zai Jamani Chawa kaondoka, Mtoto mpe mandazi 3,Yanamtosha😂😂🙏.
Chawa nimesikia😂
Jamani da zai🤣🤣
Utakuta tutaaa😅😅😅😅😅
Kaemda woman familia inalia😂
dada zai fanya na ww uje bwana huku omani 🤣🤣mwarabu wa kigoma tena kweli kazi nyingi sana kikubwa uvumilivu tu na subra 🙏Ety mkole wako ulikua wap
Mtatolewa figo
@@user-iv4sf7yl4d mbona mpaka sasa mwaka wa 4 sijatolewa iyo figo
Zai naomba kazi ya uchawa
Jamn da zai mbn woman😂😂
Zai mbavu zangu 😂😂
Uso kama mwiko😂😂😂😂😂
Dagea hichikipundi kisife kwakweli dazai anatutowa stess
Naenda woman
😂😂😂😂 Yaan zaii
😂😂😂 nimecheka
Zai mbavu zangu bwanaa
😂😂😂Jamani
Woman au omani😅😅😅 zai
Zai afazali upate warabu kabisa kuliko mwalabu wa afrka we
Hakika warabu wa kiswahili tuuuuuuuu japo si wote
@@fatmaally7252 wengi wao
Kweli may
😂😂😂ahsante
Kabisa zai yaani
😂😂😂😂 rial dam bwana acha chawa apambaneee
😂😂😂zai oman Raha tuko jeshini huku ila ndugu zetu
😂😂😂
😂😂😂😂hy chawa wako atakuwa anawaona tuu kwa TH-cam
Nakupenda sana zai
@@jumatajiri585 😁😁
Uso kama mwiko 🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂 kuna kuchambuw tende uku
Kumbe tupowengi😂
ila zai jaman khaaa😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂 Zai me naomba namba ya chawa wako nikamtembeleee 😂😂😂😂😂❤❤❤
AISHA OMAN 🇴🇲DA ZAI NIPE NAMBA YA UYO CHAWA MIMI NKONGWE WA OMAN NAOMBA NIPE NAMBA YAKE ATAISHI KWA AMAN BILA SHAKA DA ZAI ATAKUWA NA AMANI
Nipe namba ya uyo chawa nikaona mazingira anayo ishi hakuna chungunga kondoo ataishi vile anavyotaka aisha Oman
@@KhalidKhalid-ox4pgjmn ntafutieni kazi omani niko Dubai 😢
Akuna mwana mke uku anaechunga kondoo
Wapo
Mimi nachunga hadi Mbuzi
@@devidydevidy2301unawachunga su unawalisha majani na matende
@@devidydevidy2301😂
Huko Oman muombee tuh
😂😂😂😂😂chawa chawa
Womaniiiiiii
Zai jamani 😂😂😂😂😅😅
zai kama zai
Mm nalia huku Oman nataman nirud hom
Si ubadili nyumba? Hadi leo hii bado haujaelevuka.nyumba ikikushinda nenda nyingine
We badilisha nyumba ufurahie maisha ya rial
Kama ulikuwepo tunaipata mwezi wa ramadhani
Nmecheka huyu dada jaman
Duh asinge enda OMAN jamani, kuna mateso huko 😢
Wewe sio kweli mimi namika 8 nipo omani nasijarudi Tanzania muache mwezio atafute maisha
Uongoo mihuku mwaka7 Alhamdulillah sijakutana namatesoo hayoo sikila nyumba inamatesoo hapana wazuri wapi piya Kama hukotu Kuna wabayaa nawazuri
Sio kwel watu tunaenda sita 😂miaka tunakata natunaona tupo kama kwababa 😅
Sy ndo tupo huku kwenye mateso
amnna mateso yyte mwaka4 ata kofi sijapigwa
Haaaaaaaaa geah
chawa atakuta tuta kwrli
Hhhh
Nikweli hutakiwi kuonyesha shepu
Hahahahahahah
woman
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Woomani
😅😅😅😅😅
😂😂😂😂
Hahaha
We warabu was wailing shida bora upate mshashi
Swadakta
Mm yalinikuta kwa mswahili uwiiii bora washashi
Waarab washenzi Hao balaa, bora washash
Warburton waswahili vyakula kibao mpaka kisamvu wanakula utapikishwa bora mshashi aina moja tu ya chakula
zai wewe
😂😂😂😂😂😂
Sura kama mwiko duh
😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Acha abambane. miakamiwilisiyomingi. Miniko Iraq naurud miakamitatusasanarudi
Natamani unitumie namba yako
Natamani unitumie namba yako
Iraq
Ata mi nipo iraq miaka 2 nimemaliza kesho kutwa naondoka TZ
@@mariamjuma9486naomba natamani kujua huko kulivo nikimaliza Oman nije iraq
🥰🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂
🇵🇸🇹🇿🇴🇲
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂