ZAI KIJIWENONGWA: Mwanangu anaingilia mahusiano yangu, Ukipika pilau unatumiwa paka usiku,Mme wa mtu
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 11 ก.พ. 2025
- Mwanadada anayebamba kwenye mitandao ya kijamii nchini haswa kwa video zake za ucheshi, Zainabu Mbaruku maarufu kwa jina la Zai Kijiwe Nongwa ameongelea masuala mbalimbali yanayotokea katika jamii haswa kwa wakazi wa vingunguti hususani maskani yake ya kijiwenongwa
Zai alifanya mahojiano maalum na Mwananchi Digital Januari 17, 2023 na kueleza masuala mbalimbali ikowemo mfumuko wa bei za vyakula, ugomvi baina ya mke na mume, wivu wa maendeleo na masuala mbalimbali yakiswahili.
Lakini pia Zai amesimulia kuwa kumetoke lawama nyingi kuwa wanawake wanapigwa na wanaume zao na kufikishana mbali kama vile mahakamni lakini kwao hawafanyi hivyo alikiri kuwa wanawake wa Kijiji hicho wanapigwa sana na wanaume zao.
“Huku kwetu mtu anapigwa kiasi kwamba sura haijulikani ni ipi shingo niipi lakini hatuachani tunasutana tunaendelea na maisha ikishindikana naita ndugu wanampiga huyo mume,” amesema Zai
Kutokana na hali ya kupanda kwa bei ya vyakula, na hali ngumu yakimaisha Zai ameomba Serikali iangalie namna gani wanaweza kupunguza au kusaidia upatikanaji wa bei nafuu ya nafaka kwani kijini hapo wanateseka kupata chakula.
Yan we dad mungu akuwek 😂😂😂😂😂😂😂 unaniuwa
Zai mm nimzanzibari ilanakipenda Sana mwaka nikija dar ishaallah nitakutafuta nimepata hizo story mpenzi naomba unipokee undugu wangu
Jaman zai anatutoa stress
Zai wallah umedata haswa story zako zinatowa stress
Kbs yaani
Msambaa mwezangu nakupenda sana😂😂😂ongea yako tu mi hoiiii🙌
Wajina wangu Zai nakupenda sana
Bwelaaaaaaaaaaaa......behind ze Camera 📷...nakubali mzee wangu......🤟
Zai noma nakupenda sana
Wewe zai da! Kwahiyo ukipigwa na mumeo una chambia nje uwanjani da! Umenichekesha sana
Nampenda zaiiii
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 gwasumaaaaa uwiii we zai atari
Nampenda Wajna Wangu jamaniiii
Dah zai mwisho
Nimecheka kwa sauti kama mjinga zai unajuwa kutoa strees
Hii😢
haishiwagi story 😄😄😄
❤❤❤❤
Huyu zai jamani mbavu zangu mie du
Hahahahaaaa jamani awatoe familia nzima🤣🤣🤣🤣
Zai mbavu😂😂zangu
Kofi gizan
nimecheka akisimuliayamwanae😄eti kamjibu mwalimu wafundishe wenye akili 😄
Et palepale unatetwa😅😅😅
Mama zai kageuka kuwa mama mandonga
Zai story zake zinazotebdeka mitaani na majumban
Zai weka no
Milipsi ya ng'ombe 😂😂😂😂😂😂😂 ila zai khaaa 🙌
Ngwasuma ndio nn jamani ndio nyama gani
Ila Zai 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌
Nimecheka na ilo kofi la mjumbe😂😂😂😂
Ila zai jaman
Du zai hatareee unauwa mbavuzangu
🤣🤣🤣Zai jamani eti mjumbe kapigwa Kofi gizani🤣🤣🤣
😂😂😂😂bajaji mbil 3 😅
Huyu dada mumlipee jamn ni nomaaaa
Ila zai🤣🤣
Da zai🤣🤣
😂😂😂😂😂😂😂 eti bajaji mbili
🤣🤣🤣Feisali🤣🤣🤣
Hiyo mitama mliyozoea eti ananyanyuka?🤣🤣🤣
Ila zaiiiii 😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😆😆😆mi nachoka kucheka
Ngwasuma
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Heeeee makubwa eti kijiji hicho hakishi no ngwa majanga etiukiwatoa ati ziwe bajaji tatu
😂😂😂😂😂
Duu Kofi Tena 🤣🤣🤣
lips za ng'ombe😂😂😂😂
🤣🤣🤣
🤣👌👌
Hahha
🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
😂😂😂
😂😂😂😂 jamani zai wewe
😂😂😂