Mwijaku uwa anapenda kukuza mambo.ila mm ninakujua tangu enzi za john komba labda ambao wamekujua ivikaribuni wanaona unabwatuka ila hawajakuzoea dadangu.acha na maneno chapa kazi kipaji upewa na mungu dadangu da khadja kopa.
Ata akiwa na degree 100 uwezi kujua vitu vyote lazima masomo mengine yakupite mwijaku Anapenda kukurupuka kuropoka kiswahili kigumu ndo maan chuo wengi wanafeli somo la kiswahili alafu anaadabu
Mbna sisi wa Mombasa tulikuelewa sana...Huku watoto ka hao tunawaita Wana haramu..mbna si jambo geni...watuachie kiswahili chetu sie...wa Mombasa na Zanzibar sie tulikuelewa..fanya kazin mamas na Allah akueke inshallah
😂😂Duh,sikutegemea kama bibi huyu angekuja kuipangua ile ishu ya walozaa na walokunya,kweli huyu ndio mwenye kiswahili chake,binafc umenifumbua nikafumbulika,nimekoma mama,na hilo Mwijaku lingefungiwa tu siku moja halijui uchawa linakurupukaga tu 👌
Bikhadija mimi nilikufahamu umemaanisha nini hiyo ni misemo yetu ya kiswahili, tunaitumia sana,,haimaanishi km umetutukana wengine,,huyo mwijaku sometimes kichwa maji tu
Watu wampe heshima uyu bimkubwa kama wanavyo wapa wazaziwao heshima basi ni wampe mama khadija maana ikiwa mtu kweli uko naishima na umefunzwa kwa wazazi wako navyuoni kwanini usimpe heshima mtu mkubwa alokuzidi miaka na isitoshe nimtu nawatoto wake wakubwa na hata ckumoja mtotowake haja jaribu kumtusi mtu ama kumtangaza kwaubaya plz tumuogope Allah sio sawa kabisa na inauma kwakweli
mziki sio mzuri hasa tunakokwenda mbele ya mungu ukifa watu wakiskiliza nyimbo zako unapata adhabu kaburini tujitahid kutafuta kazi za halal na rizik za halali tunakokwenda kuna adhabu
Mwijaku mwijaku nilikwambia umekurupuka na hiyo ndo maana halisi ya ile kauli,,,asa www umetokeauko tu unaropokaropoka ona sas adi umeambiwa unakipwate
Hadija kopa yuko sahihi kuna kuzaa na kunya" mfano mmejionea arusha moshi na mbeya"watoto wamewaua wazazi wao kisa Mali "sasa hao utasema wamezaliwa au wameharishwa
Mwinjaku ashike adabu yake kumdharau bi Khadija..mwinjaku unasababisha huyu mama aanze majibizano na ww kwenye mitandao ..usitake kumdharaulisha huyu bi Khadija tunamuheshimu pumbavu weeee mwinjakou.
Siwezi sapoti ujinga huo wa kuigiza upuuzi,vitega uchumi vipo vingi xn vya kupata pesa bila hata kuteketeza pesa nyingi za watanzania.mashetaan wakubwa
Huyu nae ma zuchu. mungu anaishi kwake yeye ndo ajua kuzaaa mama zetu ndo hivyo tuna shukuru nasie sio machambo kama wake huyo kla cku akitakwa mda wote pesa ni shetani kwel
Wala hajakufuru yuko sawa tu wewe kama huthamini wazazi wako hata mama yako lazima ata sema mimi sijazaa watoto nimekunya kwasababu hamjari wazazi wenu. Wala hajakosea huyu mama. Yuko sawa
Hata yy kanya tu zaa mtoto akufae kesho mbele ya Allah. Kama MTUME S.A.W alivyosema tuwe na watoto wema watakaotuombea dua na wenye kumcha Allah. Haya yote ya dunia ni madudu tu na ni hasara hz faida za dunia tu
Leo umelipangua ila huo si ufafanuzi wake kwanza ulilizungumza Kwa kejeli sana sema nilikosea tu na mwenyezi mungu huwasamehe walokosea halafu wakajua kosa lao wakatubia ila sio kujibabaisha
@@fatmafaki6163 jifunze uungwana na sio kusifia ujinga wewe jamii islam alichoongea mama huyu kwa umri wake ni uhuni na huyu ni muhuni kaolewa mpaka na vitoto vidogo hana aibu
Mie bi khadija nakupenda tuu unabusara na hishima hakuna alotimia kwenye dunia you are the best 👌
Ni kweli dada Hadija unachokisema🙏🙏🙏🙏👍👍👍
Mwijaku uwa anapenda kukuza mambo.ila mm ninakujua tangu enzi za john komba labda ambao wamekujua ivikaribuni wanaona unabwatuka ila hawajakuzoea dadangu.acha na maneno chapa kazi kipaji upewa na mungu dadangu da khadja kopa.
Nimisemo tu waliochukulia personal watajijua. Sisi waswahili bwana. Khadijah my person
mwenye kufahamu alivokusudia hakupata shida kufahamu nn alikusudia mama wawatu
Exactly nakuunga mkono
Mi nilimuelewa toka mwanzo alimaanisha nini.
Nakupenda mamá etu umetulea.zanziba.😭😭uhaiwaomari .tunakuja kwako nakupenda mpaka leo jamani kwamipasho hujichibui mashallah tulikuwa tukija intro kariakoo zanziba lazma tuje ndani kesko.kwanza tukuone ,utushushue turizike.
Wapo wengi mtoto unamzaa mwenyew unamhangaikia mwisho wa cku anakunyanyasa au anakuua kabsa
Ata akiwa na degree 100 uwezi kujua vitu vyote lazima masomo mengine yakupite mwijaku Anapenda kukurupuka kuropoka kiswahili kigumu ndo maan chuo wengi wanafeli somo la kiswahili alafu anaadabu
Mwijaku Sijui hujiona yy Nani duh.
Msemaji Wa dunia Sijui aah
Nakupenda sana bi khadija allah akuhifadhi mamangu 🥰🥰🥰🥰🌹🇴🇲
Kilasiku nakupenda somo yangu💕💕💕💕💕
Bi Khadija❤️❤️❤️
Mbna sisi wa Mombasa tulikuelewa sana...Huku watoto ka hao tunawaita Wana haramu..mbna si jambo geni...watuachie kiswahili chetu sie...wa Mombasa na Zanzibar sie tulikuelewa..fanya kazin mamas na Allah akueke inshallah
.. Fumbo mfumbie mjinga bali mwerevu huling'amua👍👍👍
Kiswahili👌👌👌..
Safi sana mwambie huyo atuachie kiswahili chetu wazanzibar
Kaul yake alioiongea adja kopa sio nzur ebu itafte umsikilze nenda grobal TV alsema yeye amezaa Ila wengne wamekunya
Mwijaku kazidi jamani
Bi khadjaaa💟💟💟💟
Mama Hadija kumbuka sio wengi wanaofaghamu kiswahili kiswahili kwao ni Zanzibar sawa¿thanks
Mie nakuelewa sana bikhadija😊
😂😂Duh,sikutegemea kama bibi huyu angekuja kuipangua ile ishu ya walozaa na walokunya,kweli huyu ndio mwenye kiswahili chake,binafc umenifumbua nikafumbulika,nimekoma mama,na hilo Mwijaku lingefungiwa tu siku moja halijui uchawa linakurupukaga tu 👌
@@successtylish3700 Lin Khadija kopa alisema zuchu anadate n mondi?...
Sikuhiz Sasa anazeeka eti!?
@@successtylish3700 kwa hiyo wakiyaanzishaga Huwa wanamtaja Mwijaku?Au shobo zake tu,watu wanaanzisha kiki zao kivyaovyao so kwann mwingine ushobokwe🤔
sawa
@@junior-zj6bs hawezi kukujibu huyo,anaungaunga tu point zake
Mama nakupenda na nakuombea mazuri mpe moyo zuchu ,achana na mwijaku hasidi tu yule
@Lillian Aradi ❤❤❤🙌🙌🙌
@sheshi beshi 🤝🤝🤝🤝🤝
Kweli mamangu hassad zimewadi subhanallah
Bikhadija mimi nilikufahamu umemaanisha nini hiyo ni misemo yetu ya kiswahili, tunaitumia sana,,haimaanishi km umetutukana wengine,,huyo mwijaku sometimes kichwa maji tu
Watu wampe heshima uyu bimkubwa kama wanavyo wapa wazaziwao heshima basi ni wampe mama khadija maana ikiwa mtu kweli uko naishima na umefunzwa kwa wazazi wako navyuoni kwanini usimpe heshima mtu mkubwa alokuzidi miaka na isitoshe nimtu nawatoto wake wakubwa na hata ckumoja mtotowake haja jaribu kumtusi mtu ama kumtangaza kwaubaya plz tumuogope Allah sio sawa kabisa na inauma kwakweli
Mm weka kauli yako Sawa kutoa uchafu ya Mungu yy ndio muumba nikama una mkosoa ana umba uchafu na wakati binadamu wote ni sawa
mziki sio mzuri hasa tunakokwenda mbele ya mungu ukifa watu wakiskiliza nyimbo zako unapata adhabu kaburini tujitahid kutafuta kazi za halal na rizik za halali tunakokwenda kuna adhabu
Mwijaku akili chache sana
Mwijaku ana kipwate ila uyu mama jamn 😂😂😂
Mwijaku ana kipwate 😂😂😂🙌
Hapo nimekuelewa dada ila mara ya kwanza sikukuelewa
Mwijaku usiendeleleye kumutuka na platnumz Simba ukiendelea mimi tawekamaishayakoatarini
Nakupenda sana mama yangu lakini ujuwe kama mwanao yuko naziniwa kesho uta ulizwa ww ulimwengu unawadanganya pole sana mungu awaongoze 😢
Huyundomalikia🥰🥰🥰😆😆
Sawa mama tumekuelewa
Tumekuelewa mama yeye tu alikua ajakuelewa
Mama uko na busara sana, mungu akujalie.
bi Khadija, love you ❤️💓💔
Kipwate😅😅😅
Mwijaku mwijaku nilikwambia umekurupuka na hiyo ndo maana halisi ya ile kauli,,,asa www umetokeauko tu unaropokaropoka ona sas adi umeambiwa unakipwate
Mwijaku muache hyu mama uta laanika ana maneno mabaya buana
Namuona mijaku anaenda pabaya siku Hadi siku.Hajui kutofautisha utani na kutumia lugha zisizo na heshima.Ushamba utam-cost.
@@chizashungu1236 il sera le 1er à présenter ses excuses (mwijaku)
Hadija kopa yuko sahihi kuna kuzaa na kunya" mfano mmejionea arusha moshi na mbeya"watoto wamewaua wazazi wao kisa Mali "sasa hao utasema wamezaliwa au wameharishwa
Tena wamejambwa
Utamjibu Allah hayo ulioyanzisha kwa nyimbo zako
Kila mtu atapata hukumu yake, tusiwe mahodari kwa kuhukumu kila mtu ana ya kwake!
@@subirajohn728 That wasn’t me it’s in the book if your muslim you should know music is not permitted,period
Hivi Kaka wewe ni mwema?
@@subirajohn728 merci à toi bon ramadan
@@rahyarahya590 merci beaucoup
Mama zuu akusema vibaya ila ni lugha ya wezentu wa zenji usipo wazoea ungeaji wao utaona wanatukana.jaribu kujua wao uwa wanaongeaje?
Congratulations good work keep it up
Mwinjaku ashike adabu yake kumdharau bi Khadija..mwinjaku unasababisha huyu mama aanze majibizano na ww kwenye mitandao ..usitake kumdharaulisha huyu bi Khadija tunamuheshimu pumbavu weeee mwinjakou.
Haaaa umenifurahisha
Nikweli
Ooh Sasa hawa ndio wakunya hao hawajali wazazi hao wakuzaliwa ndio hao wakushughulikia wazazi
acha tumfahamishe majitoto yasiyo na msada na wazazi wao tunasema nisawa na kupunguza mchango usikuzururu
Na nyinyi wandishi mumezidi uchonganishi to much
Mwijaku chawaa anataka uchawa kwa mama zuchu
Mwinjaku sawasawa na nune, hajielewi
Watu na kiswahili chao leo ndo nimeielewa ile kaul yako kweli upo sahihi
Safi mama amejibu vyema
Adja kopa ukiongea neno baya Sana na wewe umekunya
Go back to school. U can't be helped
Hee. Hadija kopa kashakomaa. Mh
Achanae mwinjaku mjinga hamjielewi nimemfaha anachoyo sale no wasoshuhulikia wazaziwao
mama zuchu I love you
Hatakama ume fafanua tambua mtoto hanywi
MZANZIBARI!!
MTANZANIA?
Jamani ndugu zangu wa islam leo mwakufuru kwa mwenye ze mungu kwani hamujui nyimbo ni haram
Mwiryaku ana upwate hawajari wazazi wake na hajawajengea kazulamimba.
Ukwele utupo
LEO NDIO UMEFAFANUA SASA
Hivi mkifanya mazungumzo na mwiryaku mwulize alishaenda malangapi kuwaona wazazi wake na kuwajengea kazulamemba??!!
😁😁😁😁
Asallam maalequ maaishaala maaishaala maaishaala maaishaala
Mwijaku wenyewe ndo uchafu wenyewe
Asante
Siwezi sapoti ujinga huo wa kuigiza upuuzi,vitega uchumi vipo vingi xn vya kupata pesa bila hata kuteketeza pesa nyingi za watanzania.mashetaan wakubwa
Kunya na kuzaa maana yake mtoto anaye kufaa ndio umezaa na mtoto aliekua hakusamini, hakuulizi ,hakuzuhulikii ndio umekunya ,hayo sio mayomatusi .
Uko sahihi kk
#focus
Kweli kabisaa
Halina adabu hili lijimama kahaba,pumbaaav xn.
Mama anajua kuongea anaeleweka na majibu yake kama huelewi basi wewe mgumu kuelewa wamwisho
Huyu nae ma zuchu. mungu anaishi kwake yeye ndo ajua kuzaaa mama zetu ndo hivyo tuna shukuru nasie sio machambo kama wake huyo kla cku akitakwa mda wote pesa ni shetani kwel
Hawa mama zetu sio wakubishana nao, hata Kama wanakosea, tuwa ombee dua tu. Vijana tubishane wenyewe
Malkia Ndo Keshasema Kuna Wengine Hawazai Ila Hutoa Maradhi Tumboni .
Imeisha Iyo Fumbo Mfumbie Mjinga Kama Mwerevu Fumbua
mkono mama etu nimekupa kwakweli wivu nao uchawi
Au ana upwate!??
😂😂😂😂😂😂😂🤰🤰 afanye mpango tu wa iyo kitu ila ndoa asaau ndoto za mchana izo azifiki mwisho
Mwijaku anakibwate domo kaya 😂😂😂😂😂😂😂
Kweli mama,wanavipwate hao😂😂😂
Mwinjaku ana kipwate🤣
Acha kujikweza heti unawaombea riziki watoto wa watu unafiki wewe mtu mzm
Bii khadija ulisema vibaya na mwijaku hukuchukizwa pekeake wengi hatupendezwa ulikufuru kauliyako
Wala hajakufuru yuko sawa tu wewe kama huthamini wazazi wako hata mama yako lazima ata sema mimi sijazaa watoto nimekunya kwasababu hamjari wazazi wenu. Wala hajakosea huyu mama. Yuko sawa
Hujamuelewa hata kidogo!
Hata yy kanya tu zaa mtoto akufae kesho mbele ya Allah. Kama MTUME S.A.W alivyosema tuwe na watoto wema watakaotuombea dua na wenye kumcha Allah. Haya yote ya dunia ni madudu tu na ni hasara hz faida za dunia tu
Usijibishane na vinjana ww bibi watutusi
@@hawaomary2782 😂😆😆😆😂
Huna lolote pumbaaav wewe umetukera sana hiyo sio kauli nzuri kabisa
Leo umelipangua ila huo si ufafanuzi wake kwanza ulilizungumza Kwa kejeli sana sema nilikosea tu na mwenyezi mungu huwasamehe walokosea halafu wakajua kosa lao wakatubia ila sio kujibabaisha
Jifunze kuelewa na sio kung'ang'ania ubaya
@@fatmafaki6163 jifunze uungwana na sio kusifia ujinga wewe jamii islam alichoongea mama huyu kwa umri wake ni uhuni na huyu ni muhuni kaolewa mpaka na vitoto vidogo hana aibu
@@abbiecox1 saa mbona umepaniki au ndo uko miongoni mwa wazazi walikunya watoto hawa kuwazaa🤣🤣🤣 wewe kama huwajali wazazi wako juwa walikunya
@@omanatr8729 hahahha shikamoo
@@omanatr8729 hahahha shikamoo
Anakipwatee,..
Kipwate ndio nini ndugu nifaf🤣🤣🤣anulie
🥰🥰🥰❤️❤️
Hadija Samia ni mama ako au mpo sawa ebu msimzeeshe bana
Kampa heshima yake umuelewe
Kampa eshima nq ww bi kidude jieshimu mama kma jinsi ilivyo baba wa taifa maginun 😏
Mtu akishakuwa rais haijarishi ana umri gani lazima umpe heshima yake
MAMA ULISEMA WALA HUKUFAFANUNUA KIUKWELI ULITUKANA
mtu huwezi kujifaharisha kwa kizazi chako na wewe mwenyewe kumlikiwa na IBLISI
na wewe bi MKUBWA jutia hilo utasema nini mbele ya ALLAH
Mh
😅😅😅😅😅😅😅
Hahahhahaa
Usi take kujuwa nyimbo ngapi.. Tumemuandikia mulize yeye mwenyewe anayetamba mziki umemleta mafanikio kama hatakusema nitafute private
Hapana usojiteteye ulisha tukana we Mama
Uhakika alikusudia matusi ila anajibabaisha tu
Shida nyinyi kiswahili kimewapiga chenga ndio mana hamjui mana
@@fatmafaki6163 katukana huyo kweli. Alidhani mond atamuoa zuchu akajiona kiviiiiile, akatukana, sasa anajiteteya.hhhhhh
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kwani miaka yote ulipoimba Faida gani uliyopata
wakati wanaokuandikia nyimbo huna uwezo wakuwalipa.
Mhmm
😂🤣hamna lolote ni madhambi tupu...Allah atuongoe
Ww ulimwandikia nyimbo ngap alafu ajakulipa
Pole kwa wivu wako! Bi Khadija yupo juu🧡🧡🧡
Astagaphilullah
Waombe msamah wazazi kama ww maana umekosa adabu naa Sio mswahili kama wajinga wanavyo shabikia mambo ya ovyo
Sio ufafanuzi ni tusi
@@sahilmlawa2625 😋😋😋😋😂