USO KWA USO HAMISA MOBETTO NA MAJIZO SHUHUDIA KILICHO TOKEA KATI YAO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ส.ค. 2024
  • #hamisamobetto #majizzo #mwendokasitv

ความคิดเห็น • 109

  • @omartaty1930
    @omartaty1930 5 ปีที่แล้ว +27

    Yani caméra inamfata hamissa tu utazani yupo pekeyake kwenye ukimbi missa utabaki kua juuu chiiiii💕💕💕😍😍😍😍🔥🔥🔥🙌

  • @junemuchiri609
    @junemuchiri609 5 ปีที่แล้ว +8

    Gosh missa is super tall, people pretend kumchukia lakini bado wanaangalia hamissa akipita Tu😂😂

  • @irinekatumwakatumwa6606
    @irinekatumwakatumwa6606 5 ปีที่แล้ว +10

    Misaaaa kpnz change nakupenda mnooooo na umependeza saaaaaaaaaaana yaaaan wasokupenda wajiue tu

    • @rosemaiko9405
      @rosemaiko9405 5 ปีที่แล้ว

      Wajinyonge na mzubo wa tabora

  • @sadanassor7966
    @sadanassor7966 5 ปีที่แล้ว +7

    Ni mzaz mwenzie lazim waongee achen vuvuzela

  • @joselynendayisenga7204
    @joselynendayisenga7204 5 ปีที่แล้ว +10

    Umependeza dada

  • @naimanurdin2846
    @naimanurdin2846 5 ปีที่แล้ว +10

    Misa mashalallah jamani

  • @Noah-se3ni
    @Noah-se3ni 5 ปีที่แล้ว +14

    Hamisa she is very beautiful young girl mother of two well done,

  • @carolinesanga2329
    @carolinesanga2329 5 ปีที่แล้ว +14

    So cute? 👌ona alivyo natural 😍

    • @sophiajackson5001
      @sophiajackson5001 5 ปีที่แล้ว

      caroline sanga natural wapi???kajichubua huyu siyo rangi yake

  • @munnababygal8460
    @munnababygal8460 5 ปีที่แล้ว +8

    Wamezaa jamani hawafai kufungiana midomo

  • @jamilajamila9682
    @jamilajamila9682 5 ปีที่แล้ว +5

    Wamependazana sana hamisa na majizo mashallah yareti wangerudiana wakalea mtoto wao na wakamlea Dylan kwa pamoja.

    • @rodsemziry4142
      @rodsemziry4142 5 ปีที่แล้ว

      Hizo ndoto za bunuasi,mi nafikiri majizo anawazaga hata ilikuwaje nikazaa na huyu jamani!?kamwanamke kajinga!!!

    • @cestlaviecestlavie4606
      @cestlaviecestlavie4606 5 ปีที่แล้ว

      @@rodsemziry4142 ehééé mimi sija ku elewa ? Hamisa atabaki kuwa juu kikeleni 🔥👌...

  • @saumukaisi3996
    @saumukaisi3996 5 ปีที่แล้ว +5

    Miss tt ya nyota camera kwako tu nakupendajeee 😘😘😘

  • @user-he2pk6io4d
    @user-he2pk6io4d 8 วันที่ผ่านมา

    Wazazi ❤🎉

  • @lovethssongphilimon484
    @lovethssongphilimon484 5 ปีที่แล้ว +5

    Hamisa ni mcute 😍😍

  • @aronmrema2108
    @aronmrema2108 5 ปีที่แล้ว +26

    Hivi mlitaka wasiongee wawe maadui ama

    • @fatmakhamis1018
      @fatmakhamis1018 5 ปีที่แล้ว

      Aron Mrema hao wajinga kwao wao walishaona kuachana ni uadui sio hivo ni maamuzi tu namaisha yakaendelea

  • @gracerosi6179
    @gracerosi6179 5 ปีที่แล้ว +9

    Mm napenda nyimbo zake hamisa piga kazi

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 5 ปีที่แล้ว +4

    Bonyeza arama ya kengere. Hivi hiki ndicho kiswahili tunacho dai kujivunia

  • @saumukaisi3996
    @saumukaisi3996 5 ปีที่แล้ว +4

    Wazazi lazima wakutane pia Mjey mkiristo Miss muislam kuoana ningumu sn

  • @josphatsimkoko545
    @josphatsimkoko545 5 ปีที่แล้ว +12

    misaaaaaaa weeeee yan nakupebd tyu bure

  • @halimams2127
    @halimams2127 5 ปีที่แล้ว +2

    Namna hiyo majizo kwa salama hatii mimba safi sana ukuonana na mzazi mwenzako fullu salam

  • @zuenaziad2238
    @zuenaziad2238 5 ปีที่แล้ว +4

    Watanzania bhana yan kuna vitu vya maana vyakuongelea mnakuja kuleta habar za Hamisa na Majizo kwan kuna tatzo wakizungumza wale ni wazaz na wataongea sana2 coz wanajielewa na wanaelewa kwa nn bado wanazungumza

  • @cestlaviecestlavie4606
    @cestlaviecestlavie4606 5 ปีที่แล้ว +9

    mbona mmetowa sauti, wivu uyooo 😏...

  • @albertinemacimu1247
    @albertinemacimu1247 5 ปีที่แล้ว +2

    Vizuri sana kwakweli

  • @peninabita3732
    @peninabita3732 5 ปีที่แล้ว +2

    They have a good parenting relationship. That called grown up. Now naanza kuwapenda ote. Mungu awa kuzia Fantasy wenu jamani.

  • @aishaalsaidi3021
    @aishaalsaidi3021 5 ปีที่แล้ว +9

    super staaa kazi camera misa tuuuu ndo aliekuja hapo jamaniiii penda sana misaaaaa😘😘😘😘💯💯

  • @husnajohn7466
    @husnajohn7466 5 ปีที่แล้ว +7

    Hapo ka lulu Michael kanatamani kufa

  • @ashulamusin9811
    @ashulamusin9811 5 ปีที่แล้ว +5

    Kwahiyo watu wakiachana kimapenz inamaa hawatakiw kusalimiana misa umenog kwamishono ukovizur sn

  • @happyjacline988
    @happyjacline988 5 ปีที่แล้ว +3

    Camera inamfata hamisa tu haaaaaaaa

  • @user-cd4di1pp5i
    @user-cd4di1pp5i 5 ปีที่แล้ว +5

    Love you misa

  • @leahkparsino481
    @leahkparsino481 5 ปีที่แล้ว +6

    hamisa ni mrembo kwa kweli

  • @beyoncewangari496
    @beyoncewangari496 5 ปีที่แล้ว +5

    Hamisa ana roho safi sana and she is beautiful .

  • @deboramrema2861
    @deboramrema2861 5 ปีที่แล้ว +7

    Safi my chuki ya nn maisha yenyewe mafupi sana kusalimiana sio vibaya hata ungekuwa hujazaa nae

  • @elieereka8744
    @elieereka8744 5 ปีที่แล้ว +5

    Angalia anamtumia SMS

  • @husnauthman7609
    @husnauthman7609 5 ปีที่แล้ว +8

    Ni wazaz haifai kua maadui

  • @munam7104
    @munam7104 5 ปีที่แล้ว +1

    Fanya shughuli zako tu hamisa waja kusema nikazi Yao kitu nakupendea huwa una makini ya kuvaa na una pendeza mashallah

  • @marymoris6411
    @marymoris6411 5 ปีที่แล้ว +7

    Misa kapendeza hatar

  • @kanyangefrancoise1313
    @kanyangefrancoise1313 5 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana mobeto

  • @masimilianajoseph3234
    @masimilianajoseph3234 5 ปีที่แล้ว +2

    Umetulia kweli my Yani mpka raha

  • @rahmajuma1696
    @rahmajuma1696 5 ปีที่แล้ว +8

    Love misaa mwaaaaaa

  • @millicentkirimi8730
    @millicentkirimi8730 5 ปีที่แล้ว +12

    Yaani hamisa anajua kuvaa c chocha Jamani

    • @husnauthman7609
      @husnauthman7609 5 ปีที่แล้ว +1

      Kinajua kujipangilia

    • @sophiahmedza929
      @sophiahmedza929 5 ปีที่แล้ว

      True 💯. Anajua kuvaa nguo na kwa occasion gani. Love you Missa

  • @rmussa7196
    @rmussa7196 5 ปีที่แล้ว +5

    Kweli acheni unafki wny uzuri wa asili wapo ila sio hamisa,apo ana shepuu muangalien kwny tangazo la always mnambie tako lmeenda wapi

    • @mwajujomba7782
      @mwajujomba7782 5 ปีที่แล้ว

      Si mzuri hata kidogo ashukuru kuna hizo make up siku hizi

  • @carohkilonzo4688
    @carohkilonzo4688 5 ปีที่แล้ว +5

    Hamisa hako juu wacha majizo ajue pia hamisa mungu amemuinua,mbona Lulu hayuko huku usikawahi dharau mtu

  • @zakyahya4645
    @zakyahya4645 5 ปีที่แล้ว +3

    Inapendeza xn sio km yale ya tandale

  • @millicentkirimi8730
    @millicentkirimi8730 5 ปีที่แล้ว +10

    Watu wa camera mkona ujinga Sana yaani Hamisa tu ndio mnaona akuna mwingine

  • @saidahj2543
    @saidahj2543 5 ปีที่แล้ว +8

    Yaani hamisa hanaga hasira wala chuki na baby daddy zake...she is cool...jamani wa camera naye kamwandama tuuuu misa...poooooh

  • @bintyhermesyembe735
    @bintyhermesyembe735 5 ปีที่แล้ว +8

    Maashallah missa mzuri

  • @aishaabdi7334
    @aishaabdi7334 5 ปีที่แล้ว +4

    Nice

  • @sarahkarimi5390
    @sarahkarimi5390 5 ปีที่แล้ว +3

    Hamisa oyeeee

  • @alicewanjiku557
    @alicewanjiku557 5 ปีที่แล้ว +5

    Nawarudiane sasa

  • @celinekanda1850
    @celinekanda1850 5 ปีที่แล้ว +5

    Wow misa

  • @hamzanasry8011
    @hamzanasry8011 5 ปีที่แล้ว +12

    Ndovizuri niwazazi

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 5 ปีที่แล้ว +2

    Si majizo wali zaa nae

  • @glorysifa8499
    @glorysifa8499 5 ปีที่แล้ว +24

    Niko wakwanza kutizama video nipe likes

  • @sophiamose1328
    @sophiamose1328 5 ปีที่แล้ว +3

    Sasa lipi laajabu hapa 😏😏😏😏mkikosa habari mkae kimya

  • @davinahevenly7899
    @davinahevenly7899 5 ปีที่แล้ว +18

    Hamisa ni mcute jamani kusema kweli.

    • @omartaty1930
      @omartaty1930 5 ปีที่แล้ว +1

      Kweli💕💕💕

    • @davinahevenly7899
      @davinahevenly7899 5 ปีที่แล้ว +1

      @Omary Bora Mtoto wa kiume kuwa na wivu kwa Binti mremvo kama hamisa lazima uwe ulisha kaa lia kigogo

    • @juliuschacha9359
      @juliuschacha9359 5 ปีที่แล้ว

      Acheni unafiki

    • @rosemaiko9405
      @rosemaiko9405 5 ปีที่แล้ว +1

      Mnyamwezi atakuaje mbaya tunakimbiza Tabora kila aina mashombe ukitaka mchanganyiko

  • @hebybiba6442
    @hebybiba6442 5 ปีที่แล้ว +1

    ila unamuhis asa km majizo bado anatamani mazungumzo yaendelee

  • @maryalex4915
    @maryalex4915 5 ปีที่แล้ว +1

    asandonn mlitakawasiongee

  • @abdulqareemabdala2772
    @abdulqareemabdala2772 5 ปีที่แล้ว

    Tatizo la waswahili mnapenda uswahili kwani kuachana ndio kutokusalimiyana msimamo wake tuh mwanamke mwanaume kama paka kwa mwanamke

  • @aishaomar4318
    @aishaomar4318 5 ปีที่แล้ว

    Wangapi waliozidisha sauti.😁

  • @haneefaomer6386
    @haneefaomer6386 5 ปีที่แล้ว

    So Cute missa

  • @diyaosman8992
    @diyaosman8992 5 ปีที่แล้ว +1

    👏👏👏👍

  • @faridalundenga8696
    @faridalundenga8696 5 ปีที่แล้ว +7

    Penda misa

  • @zulfamohamed4549
    @zulfamohamed4549 5 ปีที่แล้ว +2

    hamisa umenenep kwasasa umezid kupendez cut

  • @rmussa7196
    @rmussa7196 5 ปีที่แล้ว +3

    Kiuso chake kmekaa vby km anachungulia

  • @belimlilo631
    @belimlilo631 5 ปีที่แล้ว +2

    Kumbe ndiyo kabaya ivyo kama kabibi

    • @maiyaeugen4640
      @maiyaeugen4640 5 ปีที่แล้ว +1

      Hamisa kapo kama kamdoli ka ulaya yani mtt kaumbwa akaumbika 😁😁😁Hamisa ww mzuri mama asikuambie mtu piga kazi wenyewe watainua mikono juu 😘😘😘😍😍😍Hamisa

  • @alihijiiddi8977
    @alihijiiddi8977 5 ปีที่แล้ว

    NYINYI MBONA VICOHII HAINASAUTU VIP NYINYI MAKUFULI AMEWABANA SANA NINI HAMNAPESA TUKULETEENI HOKO AU NDIO MAENDELEO KILA SIKU KUKICHA TANGANYIKA KUNAKUWA NA MAENDELEO LEO HII HIIVIDIO INASAUTI YA Invisible sound Tanzania technology 2019 🇹🇿😂🇹🇿😂🇹🇿😂🇹🇿😇🇹🇿😇😂😂😂😂😂

  • @nellymasengo1419
    @nellymasengo1419 5 ปีที่แล้ว +7

    Sasa mlipenda wawe na ugovi na mondi?majizo ni mtu ana eshima zake

  • @nshomamayungu2326
    @nshomamayungu2326 5 ปีที่แล้ว +2

    Mungu kakupa bahati misa mwanawetu.

    • @rukiahassan6825
      @rukiahassan6825 5 ปีที่แล้ว

      Akuchukiae kweli shida hata ukicheza kwenye maji still atasema unamrushia vumbi

  • @molenikamunya5799
    @molenikamunya5799 5 ปีที่แล้ว +1

    Mcute

  • @godfreymbago7925
    @godfreymbago7925 5 ปีที่แล้ว +1

    Kwa mbali mdomo kama kibibi kizee hivi

  • @rodsemziry4142
    @rodsemziry4142 5 ปีที่แล้ว +2

    Sio wasiongee!ni vile unazaaa nawanaume mpaka ukikutana nao unaona aibu!he hapo angekuwepo na dai je?yaani aibu mpaka anakuwa hata atuliiiii!vijicho anatembeza huku na huku!

    • @irinekatumwakatumwa6606
      @irinekatumwakatumwa6606 5 ปีที่แล้ว +2

      We nae wivu tu unakusumbua kwan kuzaa wanaume zaidi ya moja ajabu!? Usitukane wakunga na uzazi ungalipo

    • @cestlaviecestlavie4606
      @cestlaviecestlavie4606 5 ปีที่แล้ว

      nawe umezaa. a wangapi ? 😏...

  • @Zainab-gu4ss
    @Zainab-gu4ss 5 ปีที่แล้ว +3

    hamisa jitahidi hiyo cream kwa mikono mama ni aibu

    • @husnajohn7466
      @husnajohn7466 5 ปีที่แล้ว +1

      Wabongo hamkosi kusema kila angarae cream hivi hata kama ikizingua rangi ndio kawa mweusi mie nimemuona live hana hata kovu roho mbaya ti

    • @cestlaviecestlavie4606
      @cestlaviecestlavie4606 5 ปีที่แล้ว

      @@husnajohn7466 watakufa kwa wivu, mwenzao anapiga mikwanja na wao kazi ku sema sema 😏

  • @husnauthman7609
    @husnauthman7609 5 ปีที่แล้ว +7

    Hiki kitoto kizur mnoo

    • @ashaali7154
      @ashaali7154 5 ปีที่แล้ว +1

      @Omary Bora Wivu, chuki na roho mbaya ni sumu inayokimaliza taratibi wewe unae chukia. Mola akusamehe.

    • @cestlaviecestlavie4606
      @cestlaviecestlavie4606 5 ปีที่แล้ว +1

      Hamisa mzuri sana 👌

  • @aronmrema2108
    @aronmrema2108 5 ปีที่แล้ว +2

    Hivi mlitaka wasiongee wawe maadui ama