Yaani Hamisa ni mzuri kweli yaani hajulishi kabisa kama ni mama wa watoto wawili napenda sana umbo lake kwa kweli na ucheshi wake. Nakuombea mema wakati wote 🙏 😘
Nakupenda amiss sina jinsi inabidi niendelee kukupenda tu uwezowa kuana Ww sina tuchanganyemama muache Simba akutupe Ww mzuli Tanzania nzima sijaona wakukuzidi ww
Kweli aso mtu ana mungu mana family ya dai kila kukicha wanamzulia mabalaa hawajui km chuki zao ndio wanamfungulia njia za kupata neema hongera mama wawili nakupenda misa achana nao tizama maisha yako songa mbele mamii hamisa ww mzr achana na lile liwema linaropoka tuu nakujifanya limekamilika limezeeka halina mtt ata wakuchonga cjui akizaa litakuaje
Hamisa ww kiboko yao yani kashepu kako dada kana nikosha mie nakupendaje Basi Yani wee acha tu...shukran kwa Allah kwa kukujalia uzuri pia kwa mama alie kuzaa hongera kwake...Allah akulinde hamisa😘😘😘
Yaani Hamisa ni mzuri kweli yaani hajulishi kabisa kama ni mama wa watoto wawili napenda sana umbo lake kwa kweli na ucheshi wake. Hamisi mbele zaidi nakuombea mema wakati wote🙏😘
ningekuwa rais tusingeendelea kuwa watumwa kutumia lugha za wenzetu nawakti tupo kwenye nchi yetu acha kiswahili kikue bhana mnatumia kingereza ili iweje sasa nawakati mnajua watanzania wengine hawajui hii lugha yakigeni
Yaani Hamisa ni mzuri kweli yaani hajulishi kabisa kama ni mama wa watoto wawili napenda sana umbo lake kwa kweli na ucheshi wake. Nakuombea mema wakati wote 🙏 😘
Nakupenda amiss sina jinsi inabidi niendelee kukupenda tu uwezowa kuana Ww sina tuchanganyemama muache Simba akutupe Ww mzuli Tanzania nzima sijaona wakukuzidi ww
中川アーシャ angekuwa kwa mashindano ya umiss angepita uyu
@@denniskalisti2570 ni kweli kabisa maana wote kawazidi👍
中川アーシャ ni kweli na wala haoneshi kama ni mchawi😂😂😂😂
love u hamisa xx
hamisa kapendeza sana kama unakubaliana na mimi gonga like yako hapa tujuane
Sigifridy Franky katupia
May you raise more hamisa
Kapendeza hamisa
@@wakifedhayakub7834 kapendeza sana
Nakupenda sana hamisa ww ni mzuri sana pia mrembio kuliko pendeza mno mamy.
Hamisa mzuri jamani kama na yeye yupo kwenye mashindano huwezi jua kama mama wawili tz sweet heart
Yaani Hamisa ata akingangania hicho crown bado naweza kunyakua ,,,Huyu mama 2 hazeeki wala kupoteza uzuri wake 😘😘😘👍👍👍👍
Rose Irungo
Hamisa umemdashiii sana my piga kazi tu waache na majungu yao
hamisa wewe ndio unaonekana kuwa miss sasa wow hongera mama tunakupenda sweet
Mungu hakunyimi vyote Hamissa...Tunakupnda mnoo.. 😍😘😘😘
Hamisa umepata sifa kuzidi mamiss unapendwa sana misa 😍😍😍
Kabisa my
Tutazid kumpenda ht wakimchafua
Hamisa we mzuri bhana😍ulipendeza sanaa
Mbona sihelewi hamisa mbn kama ndo miss tz kama nawewe humeoma hivyo ngoga lake
Kweli
Sanaaaa!! Kawazidi wote.
Royce Merchades kapendeza Lear kweli baby Hamissa Tanzania sweetheart😀😀
@@magrethakida7579 umeona eeeh
Upo juu mama
Naona warembo ila sweetheart tz kapendeza zaidi ya wote ukumbini@hamisamobetto
Rozina Hamisi 👆❤❤❤❤👏👌misa moto
hmm
Mashallah hamisa our sweat heart tz,umependeza sn,nakupenda sn,mungu akulinde sn,na husda
Tully Abdul amiin inshallh yarabi
Ufala ni nn
Ufala ni pale upo kwenye nchi yako halafu unaongea kiingereza
Wakati bibi yako hajui kitu unacho ongea
🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Wambie
we mwenyw pia umeongea ufala pia asa kama bibi anajua kinge wat if
Kenyan detected bora uhai asi
Ha ha ha
hahahaha
Swthrt wangu hamisa love you mama dee❤❤❤❤ umependeza sanaaaaaa💋💋💋💋
hamisa umependeza sana umenifurahisha kwa kweli tz sweet heart hamisa
Hao n mamiss uinjereza? Mbona wofe wanasema enjilish
So cuuute hamisa ..wasio kupenda wameze wembe
Kabisaaa
Nice mbeto
Kweli aso mtu ana mungu mana family ya dai kila kukicha wanamzulia mabalaa hawajui km chuki zao ndio wanamfungulia njia za kupata neema hongera mama wawili nakupenda misa achana nao tizama maisha yako songa mbele mamii hamisa ww mzr achana na lile liwema linaropoka tuu nakujifanya limekamilika limezeeka halina mtt ata wakuchonga cjui akizaa litakuaje
My baby so cute 😍😍😍 Love you Hamisa Mobetto 😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘
Woooo hamisa muzuri sanaaa love u so much maman
Wow!I love you miss Tz very fluency English mmmwwwah.
Hamisa you rock mummy Love you to the fullest cutee
Mashaallah hamisa kapendeza ucjali ddangu kila mti wenye matunda ndio unayo purwa mawe
asante jmn nafurahia uwepo wako hamisa you so cute
Wow! Hamisa is the most beautiful than all.
Congratulations Hamisa
Pink Pink hmm
Hamisa wewe unawashinda wote yani ungekuwa miss Tz inge pendeza Zaidi yani wewe mremboooooooo
Hamisa umependeza mashallah😍😍😍😍
Waooh hamisa wetu anazidi kung'aa tu wengine mrudi vijijin singida mkalime
Vailet Samwel wakarimee arizeti 😀😁😁😁watuletee mafuta yakupikia tupikiee
Hahahaha na kweli wapambane na hali zao
Wanazidi kunenepeana tu Kama magunia ya viazi
@@deusdeditmasinde7615 😀
Misa. Hamisa u lk good Mama Dee
Masha ALLAH beauty with brain kizungu hapo umeuwa wabongo Elizabeth
jamani Mimi nnamuona hamisa tu ndo kpndz.km na ww wamuona hamisa ndio kpndza gonga like
Nakupenda hamisa wangu yani kamaumeniroga we Dada
Hamisa ww kiboko yao yani kashepu kako dada kana nikosha mie nakupendaje Basi Yani wee acha tu...shukran kwa Allah kwa kukujalia uzuri pia kwa mama alie kuzaa hongera kwake...Allah akulinde hamisa😘😘😘
Masha Allah tusiwe wanafki Hamisa kapendeza jamani
sweet heart tanzanian bby hamisa kapendeza sanaa
Kapendeza sana tena sana😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘💕💕💕💕💕💕
Yaan nadhan kwa kunoga huku kuna watu matumbo yamewauma, hamisa oyoooooo
Hamisa umependeza balaa hongera mumy
Mliojibu maswal kwa lugha ya kiingereza bado mnatetea ukoloni, Kiswahil ndo lugha ya Taifa letu. Jarbuni kusoma nyakati
mwenyewe nilijua hamisa yupo kugombea umiss naye mana kapendeza sana
Haaa uyo miss tanzania kesho utasikia mchepuko wa mond mana ndo mambo yake hayoooooo
You rock hamisa mabeto
Hadi goosebumps queen Elizabeth alivyojibu maswali.Miss tz
amisa umependeza sanaa 😍😍😍yani sanaa😍
Congratulations.
The new Miss World Tanzania 2018. Is Beautiful lady.
Mimi sipendagi kujiusisha na mitandao lakni msema kweli mpenzi wa mungu hamisa umependeza sanaaaaaa
Ukiona wana kusema jua umewazid kweli sweet heart Tanzania umewazidi wote hadi wana hamia inji jirabi 🔥👌✨💘💪
Hamisa mrembo kuliko mamiss wote mama2
Yaani Hamisa ni mzuri kweli yaani hajulishi kabisa kama ni mama wa watoto wawili napenda sana umbo lake kwa kweli na ucheshi wake. Hamisi mbele zaidi nakuombea mema wakati wote🙏😘
no 09 kajibu poa pia kazuriiiiiii😘😘😘😘😘😘
Sanaaaa
Lugha ya kiswahili ni nzuri zaidi wakati mwingine tumieni lugha ya nyumbani
Hamisa unacheka vizur umedamshi sana mama wawil Aiseeh! Nakupendaga2
Waoooo Tanzania sweet heart 👑
🔥🔥 misaaaaa ❤️🤸♀️🤸♀️
Hamix banaa umedamshi mim nilijuaa we Ndioo tz swetht
Madam hero herself 😘😘😘
asante miss no 3 kwa kukienz kixwahil,
Nmeamin mung akisema ndyo hakuna wa kupinga misaa Nakupenda. Hatar
Beatrice Mveyange 😘😘mobeto
Wow very clear english i love this
Ndio Mwanajuma Esma anakuchikia n Mamake sio kwa kupendeza hk mamadayllan wacha wasokupenda iwacost pingakazi majungu muachie muuza vitenge
Reemii Omar dada umeongea kweli exact
Na kweli ajali maisha yk t
Mbona hamissa kapendeza sana kuzidia warembo wote Mama Dee much love for you
ayo mungu amemuangazia mwanga kwayote mlio sema
❤❤❤❤❤ hamisa achana nahuyo mwenye kutakasifa mdaote we nikarembo sana mama dee
Hamisa❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Elvin Nyanchama mh
ningependa kutumia lugha ya kingereza. na waingereza watatumia kiswahilk
hahaha ndo apo sasa
Confidence ya Queen Elizabeth nimeipenda
team hamisa, piga kelele oyooooooooooooooooo
Oyoooooooooooooooooooooooooo
Mungu akupe maisha marefu hamisa wangu piga kazi mm
Hapo sawa lugha. Yetuuuu. Kwnzaaaa kiswahili hoyeeeeeeeeee
Nimempenda huyo dada aliyekuwa karibu na Hamisa yuko natural. No fake hair or colour.
Aggi Bibi Angel bila shaka na wewe upo hivyi ndomn mnajuana na memuona mwenzio, fny nije nikufuate mm huhuhu
Mnzava Chris hahahahaha ulijuaje? Usinichekeshe mi wa mwaka 47 ndo maana..........niko mbali .......
Twakupenda Queen Hamisa keep it up ur one in a million
Misaaaaaaaaaaaaaaàaaa😘
Hamisaaaaa wewe ni noma Mungu akulinde
yaan misa umetishaaaaaaaaa love
yani aka kadada number 9 nakapenda vibaya
Mwazan Gomaa hata mi nimekanokii manzee
ndo yupi uyo..
Yan kazur na kalivyojibohnua sas sjui hakachoki hahaha sema so nice
Hamisa umewafunika wote ao sjaona wakukufikia sula ata shepu
Penny John kuna shepu haraf kuna figure sawa?
wao mama dee pendeza
Hamisa bby umeua,pendezano😘😘😘
Ila mobeto kapendeza jamani
Sanaaaaa my
Kweli. kabisaaaa
Huyo mwanaume alinichekesha jana daah sema mama semaaaaaaa
madam hero did a good job. this gal is flying higher congrats misa
Waoooo sweetheart tz #Hamissamobetto 🍏🍓
MashaAllah Hamisa kapendeza
mi nashangaa, hamisa mzuri sana why umlilie diamond, wapo type yako mama,,,,
You are so cute hamisa. I like your confidence
gorgeous Missa
Watanzania bwana hawaelew kiingereza wamebk kukoment tu hamisa,hamisa
nakupenda sana hamisa ur so cute
nakupenda bure mobeto, mungu azidi kukuongoza,..
Linda samsoni no.11 umejibu vizuri dear
mmmmmh sema kiswahili kigumuu wallah
Misa you rocked mama
hamisa mrembo
Beautiful hamisa much love
Mashindano ya kuchagua VYOMBO VYA STAREHE....!
Na ujinga Sio kutokujua KIINGEREZA’ bali ujinga ni kutojali LUGHA YAKO...!
Ismail Yusuph sana uzalendo kwanza
#dismaskayombo ....Haya mashindano hayakutakiwa kabisa kuwepo’ maana hayana faida yoyote Kwa nchi wala Vizazi vyetu...!
ningekuwa rais tusingeendelea kuwa watumwa kutumia lugha za wenzetu nawakti tupo kwenye nchi yetu acha kiswahili kikue bhana mnatumia kingereza ili iweje sasa nawakati mnajua watanzania wengine hawajui hii lugha yakigeni
🤣🤣🤣🤣
Yani hili jambo mm linanikera kwann wanadharau lugha yao?
anthony mwandu !! Ni kweli ndo mana aliyeongea kiswahili wengi wameelewa na wamependa
hii ndo tunataka uzalendo huyo alieongea kiswahili bora apewe hilo taji
@@dionestermwinuka9446 yaan ni zaidi ya utumwa
Hapa Leo nimeona jinsi gani kiswahili kilivyo kigumu kuliko lugha nyengine....
Ume damshi mama dee
Hamisa mzur Sana sema mitandao inamchafua sana
daah! quen hongera rafiki angu kwa kuwa mis tanzania nakumbuka tulikuwa wote pale 823kj msange
Really Hamisa she's beautiful woman.
Iwe kwa kiswahili au kiingereza sawa tu, zote ni lugha za kimataifa.
Love you hamiss you look so mwaah
love u hamisa you are cute😘😘
Hamisa gorgeous
Mahali nyumba huko Leo anahara tumbo inauma.hamisa Fanya job Darling
no 16 umeelewa vzur abt tour yako ya Amani nature reserve.. karbu tena Tanga, Muheza
annaw kiwale Amani ipo tanga enh.??
misa u looks so cute
Hamisa such a pretty women..
hamisa unafunika jamannakupenda my cute
miss tz katisha kjibu swali big up sanaa