HAMISA MOBETTO Afunguka "WEMA SEPETU hajawahi kunibagua/Sina mpango na Muziki"
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024
- ...........................................................
Contact Us : 0742447854
-------------------------------------------------------------------------------
Instagram www.instagram....
---------------------------------------------------------------------------------
Facebook / rickmediatz
---------------------------------------------------------------------------------
Website www.rickmediatz.com
-----------------------------------------------------------------------------------
She's beautiful with or without makeup...km unampenda gonga like😗😗😗❤
She's very classic and beautiful girl❤
Mobetto ni mrembo jamani❤
😃😃🥰🥰misa, mfungo umekunenepesha vixurii, ukapendeza sanaa
You look super gooooood! mother of 2 😍😍😍😍
Uzur unamchangnya 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂nmcheka jmn hamisa amemaster eyes contact ❤️
Alivyo sema “nimekula nimeshiba” 😍😍
Kazuriiiiiiiii💕👌
Misa mzuri bhana ❤️❤️🙏🙏
Mashallah vitambaa vizur
Mbona hayupo comfortable
Hamisa mzuri sana jaman
Yaan leo nimekubali , mtoto PC Kali kweli kweli
Hamisa mzuri sana afu mpole
She is super cute
Kazur ❤
She's so cute mashaallah
Waandishi wamejipanga na Maswali maana kuna jicho wamekatwa la mwana ukome😂😂😂😂ila tz mara mingi wanapenda kuuliza maswali ya kifamilia ambayo yananyima mtu raha
Mbona kama leo hayuko free sana!
Wote wamesema ujinga ila wewe umeliona la kweli hana furaha analazimisha nafsi
Apendi kuhojiwa
Ukweli mtupu sjui yupoje
Yn hamisa anaonekana tu hapendi kamera
Ndy alishasema anaogopa kamera
mashallah❤
Hamisa ww mzuri Sana na ulikuwa na rangi nzuri ya chocolate, ila kule kubadilisha ngozi ndio ulinikeraaaaa.. au lzm ukiwa msanii lzm uwe mweupe..
Afu kana anamakasiriko mtizame na majibu yake
Unajua watu hawajui kama kuna rangi unakua nayo ambayo siyo yako pia tafuta hela utanielewa ila kama hunz hela huwezi elewa utanungunika tu kua watu hawana rangi zao😅
Kama hayuko sawa maana mmh
Yaani napenda huyu dada sana
She looks nervous and distracted
Kazuri
Hamisa naomba namba zako kuna jambo nataka nikuulize
Anglia page yake ya Mobetto style hapa ni ngumu kusoma comment na pia hawezi kukutafuta hapa
That's a super women 💪
Mashaallah ❤❤❤
❤❤❤❤❤love you A.M
Hawa nao kipindi alipokua na Diamond Wema alikua hampendi Sasa ya Dai yameisha wamerudi kuwa mashoga
Kanenepa_Mashaallah
Huyu hamisa SI miss tz....wema ndio mid tz mbona anajilengeleza ama juu ameona diamond hapo 😂😂😂😂😂
@Boss Lady 🤣🤣🤣🤣wewe fala nini kwani haujaona chibu
Umenenepa
Anajifanyisha
Akijipost mbona hayo mashavu hayaonekanagi😂😂😂😂😂
Na mie najiuliza sura hii sio tunayoinaga kwenye page yake
Mbonq mzuer TU dada watu
❤❤❤❤❤
Mmmh leo anaongeaje cjamuelewa
Nimrembo kwel
Naogopa saana Kemeraa
😊
Leo Mbona namuona tafauti
Kapoa
Mbona lei kapoa sawa
❤, 🇰🇪
Kijuso kama kisheti
😂😂😂😂😂😂😂
Khalsa salim😂😂😂😂😂
Mbona umeanza uchawi mapema sana Lol
Usimkosoe mungu
Why is her mouth kind of twisted
Leo umbayaaaaaaa
Hamisa uliiga kuongea mpaka ukajua Earth is hard Wacha kujivuruta weee kibibi be yourself bana hakuna mtu anakuataka Kwa sahii
Truee anaiga someone anajibadilisha haswa mdomo
Hamisa mzuri sana
Ili mjue mashabiki ni wanafiki wenzenu wako pamoja