Haya mwenye nyumba akijitokeza mtutangazie pia😂..celebrities wa bongo bana mnashindwa kuwa proud na kile cha kweli mlicho achieve ukweli mpka mdanganye!!! Si useme tu nime make nimehamia nyumba bora zaidi..kazi kwelikweli😂😂
Watu hawaamini kwa hamisa maana anapenda kiki sana kama gari ya kiki lakini itakuwa vizuri mama diamond atahayari ikiwa itakuwa ana nyumba huo jamisa isijeikawa nikiki
❤pongezi kwake maana wasanii wengi wanahiyari wakodi majumba ya kifahari kuliko kujenga hususan wasanii wakike akili zao zote zipo kwenye maurembo 2 na sifa za kijinga
Jamani tumechoka kupigwa Changa la Macho, kwenye Pati yake ya kuzaliwa tulionyeshwa gari ya maonyesho. Ili tumwamini atuonyeshe Hati ya Nyumba, vinginevyo hatumwamini ng'ooo.
Ww mtangazaji acha umbea ulitoa rist ukasema hamissa hajapata mafanikio katia mwaka ulio isha?na ukasema huwa ana piga dili za bule?haya sasa Leo kachukue wembe unyoe vu..............zi
Katka kitu huwa nafurahia,ni mafanikio ya wale waliodharauliwa,Mungu akuinue zaidi ya hapo
Bahati
PVT
Amiin
Amen
Let her prosper.. Made more live long Hamisa from Kenya bgapu sana
ina bidi tuamini. Kwamaana anajituma. Hongera sana.
Mabrooq Alf Mabrooq Hamisa,Binadamu Kusema ni kwao na hawachaguliwi la Kusema. Hongera Sana.
Hongera sana misa bado mdogo sana hamisa kumiliki nyumba hongera mwari
Hakika Mungu aendelee kukuinua zaidi hamisa
hongera sana hamisa mungu hamtupi mja wake ubarikiwe sana uzidi kusonga.mbele mama
Mungu akupe afya njema inshallah akubariki inshallah
Hongera misa 😍😍😍
Kweli fatma hongera sana hamisa
Hongera misa wangu
Hamisa hongera nakukubali xana
Masha Allah Amissa 💖💖💖
Hongera mwaya
Hongel San hamisa
manshallah iwe heri baby
Mhhh mungu akusimamie kwa kweli
Congs hamisa
Honger san dad Hamish mung atakuxmamia waache waxme we fwat yako
Hongera sanaaaa
MASHAALAH
Ongera my hamisa
MABROOK ALFU MABROOK ALLAH AKUZIDISHIE RIZKI YAKO BILA HISAB AMIN YARABIY 🤲
Amiin 🤲
Hongeraa Sanaa Misa bora hivyo wakuache sasa
😍😘 congratulations mis 🙏
Hongera hamisi ya kwako hiyo
Mungu akuongoze akufanyie wps kwa kila jambo
Hongera hamisa ❤❤❤❤❤❤
Mashallah
Kweli maex wa diamond Kaz wanayo pia Wana jeur hawapend dharau kabisa wanaamua kujenga nyumba zao,tunamsubir tanasha nae,na alivo mlendamlenda
Khaa khaa khaa khaa nimecheka aiseeh amakwel mlenda
Wanajenga wapi??kila kitu audio for instagram only
Mwapenda kuzoa Sanaa WA tz Tanasha ni pesa tupu na mtasubiri Sanaa tu aji show off pumbavu nyinyi
Nice
Madam Hero is a very beautiful woman
hongera yake Hamisa yaliyompata Zarina Hassan kwa nyumba na Hamisa yamempata Allah kareem Mungu ni mwema😃😃😃😃
Haya mwenye nyumba akijitokeza mtutangazie pia😂..celebrities wa bongo bana mnashindwa kuwa proud na kile cha kweli mlicho achieve ukweli mpka mdanganye!!! Si useme tu nime make nimehamia nyumba bora zaidi..kazi kwelikweli😂😂
Hamisa tunakupenda.pongesi kwako mrembo
Watu hawaamini kwa hamisa maana anapenda kiki sana kama gari ya kiki lakini itakuwa vizuri mama diamond atahayari ikiwa itakuwa ana nyumba huo jamisa isijeikawa nikiki
Safi mama mkwe wako akajifiche chini ya jiwe nawale wote waliokua wanakuita maskini
Hongera hamisa mobeto
Nampenda uyu dad anavo pangilia mavazi
Kma kweli basi hayaaa
Hamna cha mjengo wala nini. Ila me hua nakuaminia Dada kwa kazi yako nzuri but kwa hili litakupa uongo shogangu mchengo apo amna
Hongeramykimwananakupendasana
Wao,, congregations...hope God will bless me to I complete mine...in Jesus name..
Hana ubavu huo
Hongera
Hongera yake
Wewe mnafki ulisema misa hana chochote for you info shez going to launch mobetto hairs
Ongera kabisa
Kama na wewe unamsubiri Lokola aje kututhibitishia Hill, please gonga like yako hapa👍👍
Mpaka leo hajaongea
❤pongezi kwake maana wasanii wengi wanahiyari wakodi majumba ya kifahari kuliko kujenga hususan wasanii wakike akili zao zote zipo kwenye maurembo 2 na sifa za kijinga
Congratulations gal
Ha ha ha ha wajenz walikua wanaganyaga ganyaga mwachen hamisa bn mnamchosha
Hogera sana sana
Km kweli kama uongo kama kajenga kama kanunua iyo ni sehem y life yake binafsi ainishtui
Safi misa mashallah
Misa 🔥
Amenunua ndio akakarabati
😂😂😂😂😂😂bongo movie bhana
Hoger dada
Ajenge asijenge, anunue asinunu Misa Madame hero ktk maisha yake.
Vizr kama amejenga amemaliza nivizr maan kwenye habar yanyumba amemaliza bas atafanya mambo mengine t
Jamani tumechoka kupigwa Changa la Macho, kwenye Pati yake ya kuzaliwa tulionyeshwa gari ya maonyesho. Ili tumwamini atuonyeshe Hati ya Nyumba, vinginevyo hatumwamini ng'ooo.
Watu wameisha zoea kudanganywa hiyo nyumba aseme kahamia sio nyumba mpya .
Na usimwamini mwezio ndo keshajenga
Mwenye choyo haamini
Hahaha
@@fatmamohammed4132 kabisa
Yaani mnaonesha hotel za watu eti nyumba zenu
amejua kuwanyoosha
Manshallah
Mashallah sister
Mhhh hy acha tufatikie tujue
Unanua tena watu wivu unawasumbuaaa
Hizi habari munazitoaga wapi??
💃💃💃👏👏👍❤
👌 👌 👌 👌 👌 👌 👌
Alihamia hapo December for your info mlimsema sana wee mnafki
Ww mtangazaji acha umbea ulitoa rist ukasema hamissa hajapata mafanikio katia mwaka ulio isha?na ukasema huwa ana piga dili za bule?haya sasa Leo kachukue wembe unyoe vu..............zi
Umeona ee mnafiki huyu penda misa pambana my 😍😍😍
fety china 😀😀😀😀😀 uwiiii
anaejua huyu mdad anatumia jina gan insta, naomba aniambie
Kwani kk zimeisha eti nyumba ya hamisa kwani nyinyi waandishi hamna habali za kuandika
Sasa kuonyesha hako kamguu halafu unajificha ficha nini? Si umeamua kuonyesha utupu.
Dishi limetumba naona
Keep it up love...
Hongerasan
uyo mtoto kafanana na lulu kama wake aise
Mashallah mobetto wetu
MKIJI BLEACH JIPAKENI HATA MAGOTI MKOROGO
Sura nyembamba Kama kona sambusa
Washamba 🙄 mara hijambu mara uleve washamba waemrevurevu shwa na wahindi
Mbona hata ww kama una kinyongo ss duh
Siwezituma inia bwana waleo naye ajifuze hakiri aje ge ka kuwe ka dogo kake kesho asikose kondi tena wamucheke
Kujishughulisha kunalipa haki!
HAWAAMNINIKI HAWA KWAKUONYESHA NYUMBA ZA WATU, WEMA ALISEMA AMEJENGA NYUMBA YAKE 400MIL MWISHO WA SIKU MWENYE NYUMBA KAJITOKEZA NA KUMTUPIA VITU NJE.
Angaliya washamba haha muna nuka hebu toweni mecap manyani
ELIZABETH AMETULIA SANA
Binadamu huwawezi anaesema hivo yeye anayo midomo tu
Hongera HAMISA SWEET....sasa na wewe da fatma mtafute HAMISA TUJUWE UKWELI
Baba ako mobeto kiboko kadanga mpka kajenga nyumba yake
Bora anaye danga na kufanya kitu km hicho cha maana,kuliko wanaofanya starehe
@@m.mmarckus6298 ila kweli
Wangapi wamedanga mpaka sasa wana miaka kumi mpaka sasa hawana hata kitanda na ni mastaa tajika
Na we kadange upate
Tutajua tu apo baadae atoe wapi nyumba yake
Fatma not turn
Cheap support ama child support🤦🏾♀️🤦🏾♀️🤦🏾♀️
Tz bana mwacheni apuumue
Hicho ndo ninachokichukia kwako hamisa uongo, Mara umenunua Range kumbe kakodi.
Fatma never buy
👏👏👏👏👏👏🥰🥰🥰🥰🔥🔥🔥🔥🔥
Asha amia na wewe
naikweli basi maana wamitaan bado hatujaongea kitu kama kweli tunashukulu
Hongela hamisa mungu mkubwa acha mungu aitwe mungu
ALAFU ANZE KUTUSUMBUA NA HELA KODI MWAKANI.
Some of tansania Women they like only fake life
How fake life? Instagram, youtube and her business pay her very well
Hongera sana hamisa
Mashallah
Hongeramykimwananakupendasana