Magoli | Simba 2-2 Al Ahly | African Football League 20/10/2023
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ย. 2024
- Ni mchezo wa ufunguzi ulioshuhudia Simba ikitoka sare ya mabao 2-2 dhidi ya mabingwa wa Afrika, Al Ahly kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.
Magoli ya Simba yamefungwa na Kibu Denis dakika ya 53, na Sadio Kanoute dakika ya 59 huku magoli ya Al Ahly yakifungwa na Reda Slim (45'+1) na Mahamoud Karahba dakika ya 63.
Simba is the best team ever happen in east africa
much love from Canada❤
🎉
I like how Tanzanians are passionate about football,stadiums are full house even Caf matches unlike here in South Africa only witness full packed stadium in matches between Chiefs,Pirates and Sundowns.I salute the supporters any successful football event is measured my big numbers stadium attendance.
Kama umerudi Tena Kuitazama gonga like 11 march 2024
😂😂😂 uwakika 27 March
AHLY ARE VERY LUCKY !!
SIMBA ARE THE GIANT TEAM.
Wahoooo Simba yangu mmejitahidi mnooo mnooo mmevheza vizuri mnooo mnooo Tunamshukuru Mungu Kwa matokeo jmni
Pairing ya Kanoute na Ngoma ni nzuri sana. Simba mmeheshimisha soka la bongo. Ni muhimu sana kufunga magoli mengi zaidi ili kujipa nafasi zaidi ya kusonga mbele. AZAM mmetisha pia kwenye kipengele cha highlights
اللَّهُمَّ إِنِّي أَعُوذُ بِكَ أَنْ تُحَسِّنَ فِي لَوَائِحِ العُيُونِ عَلانِيَتِي ، وَتُقَبِّحَ فِي خَفِيَّاتِ العُيُونِ سَرِيرَتِي ، اللَّهُمَّ كَمَا أَسَأْتُ وَأَحْسَنْتَ إِلَيَّ ، فَإِذَا عُدْتُ فُعُدْ عَلَيَّ
What does it mean bro.
We are the de king
Ahly the best
Best team in Africa Red Eagles
Simba nguvu moja
Simba na aliahal
Hii ndiyo Simba kabambe ,watake wasitake.Simba waaaooooooo.
Simba kabambe wkt mechi na Dar city wanaruhusu goli kweli utawazuia Al-Ahaly wasitie goli?
Kwel Mungu atusaidie
Hii mechi bado yetu wanasimba haishii mpka iishe tusiangalie historia inasemaje ❤❤❤❤
Ishaa isha iyo😂😂😂
Usijipe moyo mmeishia hapo, kule mnatolewa hata ngomaa ikiisha na droo
Hii mechi imeisha
Hiyo ndio imeisha .kama mlishindwa mkadraw nyumbani kule kwao mtapigwa mabao😂😂
@@yassirswaleh7127okay. Na tumepigwa mabao jana😂😂😂 ... Aibu yenu uto.. sasa kwa taarifa yenu hasira zetu tunawamalizia nyie tareh 5
Ndio mwalimu wetu anavyo tufundisha kila mechi lazima tufungwe hawezi kuwapanga wachezaji wake jins ya kushambulia wakae vip
Unaongea kama una gunzi matakoni
@@simbascdailysimbasctanzani2835 Ni kweli kabisa nina gunzi matakoni. Lkn sio hoja hiyo je uongo si hivyo kua mechi ya nne hii tunaruhusu goli kila mechi ? Mechi ya zambia mbili tukaja chamazi moja na singida moja jana mbili sasa wewe unaongea nini au simba sisi hatuijui unaijua wew pekeyako au unajifanya wew ndio timu ya mama yako ? kinabo mkubwa kwani wew mama klabu ya simba had ujifanye kuijua na kuipenda ? Je kuipenda kwenyewe ndio huko acha shobo kinabo.
Kushambulia Al ahly ni mpaka uwe kwenye shape hyo lasivyo ikipigwa counter hatuna speed ya kuweza kuwakaba
Best timu
Azam nnachelewa sana kutuwekea highlit siyo wote tunakuwaga na mda wa kuangalia mechi
Ni rastaaa mann😅😅😅😅😅😅
Yani timu inashambulia hata balans hakuna kila mechi lazima iruhusu goli mh huyu kocha kimeo
#Nguvu moja🦁🦁🦁🦁
Simb ilikuwa nom
Aliy salim aondoke kigoma amekela ata penat moja kudaka, alikuwa apend kucheza
❤
Mabeki wa Simba wanaruhusu sana magoli
Siyo beki
Mmmmh kumbe aliyedaka ni manula
Inonga anaogopa Kuchagua Rasta??Angechapa takolini
Jamn mhh
Na wengine watashqngilia usikuu wa mananee😅😅😅😅ilaaaa mpenjaaaa
Mtangasaji jirekebishe ujui kutangasa
Huyo beki kashindwa je kulala hapo duh
Kalahaba uyu😢
Manula katuuza
TUNAMSHUKURU MUNGU KWA MATOKEO TULIO YAPATA NA TUNAAMINI TUNAENDA KUSHINDA MECHI IJAYO NA MWARABU ANAENDA KUPELEKEWA MOTO KWAKE
Mnasherehekea draw nyumbani 😂😂😂
WEWE UTOPOLO ULITAKA TUFUNGWE ILI USHEREHEKEE.
HATUKUFUNGWA UNAKASIRIKA NA KUUMIA WEWE.
TUNAENDA KUSHINDA CAIRO.
HISTORIA MPYA INAKUJA....❤
Ngenya
Hivi goli la ugenini lipo kwenye haya mashindano ya AFL
Lipo mzee.
Al ahly ana advantage mpaka sasa.
ATAPIGWA HUKOHUKO KWAO
Uhhy
Kipawetu hawezi kuficha mali
Unaota ushapasaau pale
Sas tuna ayubu
Tukutane pale misri
Katangaze ww aw mpeleke mtangazaji waaakko
Smba
Uongo tu
Simba bovu kama hili kupata sare hapa nyumbani mmetusitiri aibu watz.
.
Kwendraaa
UTOPOLO UTAWAJUA TU.
UJINGA Wao upo pale pale.
Badilikeni hii ni AFL
Simba nguvu moja
Jamn mhh
❤
Jamn mhh