Maoni yangu kwenye mechi ijayo club bingwa huko Cairo Simba wanakuwa kama hawajiamin mipira ya Kona hawaruki kama wameduwaa hvi Hawana making nzr ya 1v1 kwenye ukabaji na kushambulia tunakuwa kama hatujiamin hivyo game ijayo tupige ball kwa speed na kujiamin tusiwe woga
Tumebaki kujiamini zaidi tu pindi tunapopata mpira. Pia tuhakikishe kila nafasi inayopatikani inatumika ipasavyo. Mmeonyesha kuwa timu za Afrika Kaskazini sio za kutisha tena.
ata me naipenda simba damu damu
Simba nguvu moja❤❤❤
1:44 ❤😂
Wapili ku comment naombeni like zangu sema simba hawana cha kujitetea tena ccl
Kivipi?
kweli mji upo shwari
kweli nchi ipo shwari kabisa
Thank you😅😮
Tujitetee vp unavo taka
Simba oyeeeeee❤❤❤
Asante
Simba sijawazoea na jez za blue 💙 naona kama wengine. Wamecheza wote mashetan wekundu❤
❤
Lin Yanga watafika level hii ya kuheshimisha Tz fifa
Ni balaa jamani ki aziz aje kwa baluwa aje kufundixhwa
Simba anampa mechi ngumu mnoo Ahly😅
Simba vs geita gold
Unyamaa
Maoni yangu kwenye mechi ijayo club bingwa huko Cairo Simba wanakuwa kama hawajiamin mipira ya Kona hawaruki kama wameduwaa hvi Hawana making nzr ya 1v1 kwenye ukabaji na kushambulia tunakuwa kama hatujiamin hivyo game ijayo tupige ball kwa speed na kujiamin tusiwe woga
Hii mechi simba walifanya makosa mengi sn na ahly walishindwa kuyatumia so inabidi kuwa makini sana kwenye mechi yetu ijayo kwa kweli
Simba hi hi mbovu ahly anasumbuka😂😂
Hapa makolo msijifanye mlijitahid
Nyie mbona mulipasuka😂
Tumebaki kujiamini zaidi tu pindi tunapopata mpira. Pia tuhakikishe kila nafasi inayopatikani inatumika ipasavyo. Mmeonyesha kuwa timu za Afrika Kaskazini sio za kutisha tena.
Mzinga nimwamba kwelikweli anatialaa sana kutafsili mpila mnaopanga twaomba sana uyu mwamba awekwenye gem kama izi apa
Simba nguvu moja
Simba tujipange
Simbanibora
safalii atu kubali
Wanasimba tuombe mungu 2
Simba inatisha
Simba mabeki tatizo
Simba dude kubwa
Safar hii awa tutakufa naooo
Mechi za Simba dhid ya Hawa ariahal ni big mechi kuliko ya yanga na hii tim
1 be up
Yallab akatuongoze hapo kesho kutwa
Inshallah tutashinda
Simba ndo inanifany nipende mpira
Utopolo kama mjue hao sio stand united
Al hilal wamtaka kiungo mpya msimu ujao
th-cam.com/video/C2bgZcU5G8c/w-d-xo.htmlsi=hhqdzzHok-TXPiit
Amna kitu
.
Thank you😂
Unyama nimwing
Jaman tujipange mpaka tutoboe
Mbn wepec
Tunaishi nao
Nyie
Tutakukumbuka baleke
muone saidoo alivyosimama
Kwanini
Ukiangalia hii game Simba Kam wamekubali wafungwe licha ya kuwa wanauwezo ...Yan hawaonesh asa Kam wanaitka game
N; ;. Mb nn; n n n
Off side goli la AFC
na goli lao la kipindi cha kwanza haikuwa offside @3:03
@@groovy5357 aisee hii gem wao walikuwa na viwango vya juu
@@groovy5357we ndo unajua mpira acha ujuaji
Nikweli Robertinho ni mpuuzi kweli, watu woote anaowatumia pale mbele hakuna mtaalamu kama Philili lkn mpumbavu hajui
Nenda ue kocha sasa tuone
Sema mpila haupo hvo hata angekaa phir baleke bench ungeongea tu phir ajawa kwenye form aletwe baleke pale
Xxxx
Kibu alizingua sana hii mechi badala atoe pasi kati anakimbilia kufunga na pili sub ya ya chama na kennedy juma ndio walifeli kabisa yaani
Simba nguvu moja