Kama kuna mtu anadhani Simba itacheza same way na ilivyocheza Libya nampa pole sana. Kwa Mkapa saa 10 viwanja ambavyo akina balua wamevizoea, Tusiandikie mate. This is Simbaaaaaa
Wale jamaa bila kukabwa vile hata mechi ya marudiano mkibadilisha mkasema mufunguke basi kitawakuta kitu. Wale jamaa wengi uwezo wao mkubwa hasa winga zao ukipanda umelaumiwa
Miraji kuwafananisha wachezaji wa Simba na wachezaji wako hao wa dhamani wakina crebasoni mara fecha nivizuri na inawamotivate wachezaji lakini mi nashauri ujitahidi kuwafananisha na wachezaji wanaojulikana na watu wengi hasa watanzania hao wakina fecha sijui crebasoni ata wachezaji wenyewe hawawajui sa inamana gani mchezaji unamfananisha na mtu ata hamjui ninzuri lakini iwe wanaojulikana na watu wengi hasa
Kwa mara ya kwanza nakupa big up MIRAJ umeongea vizuri sana brother, sasa nimeanza kukuelewa
Huyu jamaa mda wote 🎉
Nmtu wa ball🎉
Simba ni timu bora Africa na Tanzania kama unakubaliana na mimi weka likes hapa chini
Mbovuu pamba anawazd
Siyo Bora pima kati ya makolo na alhal tripoli
Wasiokubali ujue ni uto😂😂😂
Sio timu bora, ni moja kati ya timu bora. 😂
@@jaydencrevoure326 thank you so much
Arafu timu ya simba tukumbuke hatukuwa na mashabiki. Wakija kwa mkapa kazi wanayo tripol
ndio simba timu bola Africa tanzania🎉🎉🎉❤❤
Hongera mwamba Ila hyo nimeipenda hata mm naomba sana hilo jambo liwezekane kuvaa jezi aina moja Kama nyekundu iwe hvo😂
Siku ya jana nilikuwa nacheka mashabiki wa tripol walikuwa wanashangilia wanakata tamaa wanakaa kimya waliona moto wa simba sio poa
من الذي استسلم 😂😂😂😂 نحن لم نرى حارس مرمانا كان عليكم شكر الحكم لان انقذكم من ركلة جزاء وكرت احمر لحارسكم وعليكم تقبيل العارضة ايضا 🤣
team yetu SIMBA imepambana alokua hajarizika na sare ya ugenin na aende akacheze yy na baba yke mzaz 😂😂😂 SIMBA NGUVU MOJA na ubaya ubwela ❤️💯❤️
😂😂😂😂 nakubali
Nyie si mlitoa maneno yanga juzi?? 😢😢 nasubiri mwarabu auae kwa mkapa.
😂😂😂😂😂😂
Safi sana miraj 🎉🎉🎉🎉
Miraji unaujua bana hauna ushabiki japo kuwa wewe ni mnyama lakini unasemaga ukweli 👏👏
Bigup miraj
Nikweli kibu alikua anacheza juu sana❤❤❤
Kwa mkapa wata kuja kuchukua 3 anae kubaliana na mimi gonga like ✊✊
Mlisema majilani wamezingua kwa kushinda moja. Acheni vitu vya ajabu hamna timu hapo.
Kama kuna mtu anadhani Simba itacheza same way na ilivyocheza Libya nampa pole sana. Kwa Mkapa saa 10 viwanja ambavyo akina balua wamevizoea, Tusiandikie mate. This is Simbaaaaaa
Tunafungua turbo zote io
Mitaji uko sawa kaka
Nikweli nakuungamkono sana simba ni bora sana
Jana nimecheka sana ushangiliaj wao
Miraji ulipo TU sisi na wewe ebu munipe liki hizo tunae mfata miraji yeye na sisi
Kwa mkapa atakutana na kono LA nyani❤❤❤❤
Ukiomuona shabalala mabega kaweka juu ujue shughuli 😂😂😂😂
Sipati picha kama tungewafunga hata goli moja..kama sare tu wametufanyia vurugu vile 😂
Ila Miraji unapiga sn wanaokuhoji dah.
😂😂
UTOPOLO WAMECHEZA MECHI YAO HAINA MVUTO UTAFIKIRI KIPINDI CHA COLONA😅😅 MECHI YAHOYVO KABISA UTOPOLO NIUTOPOLO2
😂😂😂😂
Mko kombe gani na cc tupo kombegani tofautisha makombe Kolo ww
Inategemea timu gani waliicheza nao uwezi ifananisha al ahly ya tripol na cbe ya Ethiopia
Lkn ukumbuke CBE upo club bingwa. 😂😂😂
@@FridayMisangoclub bingwa first round hahahhaahhaah dahh
Hilo bega litatoka salama hapo?😂
sema jamaa mpka interview kuisha umekula makofi ya kitosha
Miraji mmoja = wasafi+crown+ Efm wote .
Nikweli kabisa
Nimekubali uchambuzi wakko
Mnyama simbaaa ❤❤❤
Ni kweli hiyo ndo mifumo ya kucheza kimataif n Simba ndo babaakooo
Simbaaaà ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤️❤️❤️🦁🦁🦁🦁🦁💪💪💪💪💪
Miraji wewe zaidi ya shabiki ni mtu wa bori sanaaaa
Nimekuelewa
Halafu hawajiamini wanazani kama sisi niwatu waroho mbaya kama wao wamekuja na bodigadi
Nimekukubali wajina upo kisoka .sema ssc.tupo vzl.wanasimba .tule mtoli nyama tutazikutaa chiniii
Miraj unajua xanaaaa❤❤
Ubaya ubwela🎉
Bad ngumu kumeza tunakuja kufa hap hap bong niwezi amino japo nakuisifia simba
Inatakiwa tushambulie sana siku ikifika
Jamaa anajua kuongea huyu Safi kabisa
Mbaĺi na ushabiki cmba tuna wachambuz mahìli xana
Hii simba wanaibeza ila kiukwel IPO bonba
Leo umeongea
Km anaasilimia 30 cdhan km atafika mia akiwa Bado yupo simba
30 za moto bado 20 tu zinatosha.. hizo 50 zilizo Baki akizimaliza Kwa ligi hii hakuna timu itaingia uwanjani😅fadru master plan
Aswaa
Unajua sana kuchambua ww bonge mtahalam
uyu anajua mpira
❤❤kewlikabisa
hiko sawa simba
Kweli makolo Mnajua kujazana upepo, mnajisifia Kwa kupack basi!.
Sasa c Kila mtu na mipango yake mwisho wa siku mtu upte mtoano sio makundi ww😂😂
Na juma pili hawattoki kwa mkapa
Kaka miraji utamvunja bega j
Miraji hapo umepaka mafuta.
Tuko pamoja simba nguvu moja
❤
Hivi watu wakigungwa 1wanafurahi, wakitoa sale wanafurahi, duuuuu.
Sa🎉🎉🎉🎉❤❤
😂😂mjombo ukitoka apo ukapime kifua kinavyo oigwapigwa duuh😅😅
Anamwimarisha bhna 😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Wale jamaa bila kukabwa vile hata mechi ya marudiano mkibadilisha mkasema mufunguke basi kitawakuta kitu. Wale jamaa wengi uwezo wao mkubwa hasa winga zao ukipanda umelaumiwa
Hao winger wao hawawazid wa wydad
Timu Bora Africa shirikisho na hata bila on target
Wewe hujui kitu usikalili ndg
Kaangalie tena ule mpira
Kapige wewe
Ongelea yanayo kuhusu acha kujipendekeza utafirwa
Ata off target hamna
❤❤🎉
KAKA NIMEKUBALI TIMU INAPAMBANA SANA
Nikweli hawatoki kwa mkapa tutawapelekea pumuzi ya moto juma pili
Ok
Ila..miraji sterkka bado buttu
Kibu kaisha Amna kitu Yani ata aushuki Chini baada yakurudi anakaa tu juu kule
Yalikuwa Maelekezo ya Kocha ili angalau mpinzani abbakize watu 3 mpaka wanne nyuma kumchunga yeye na Mashaka
Simba ni timu Kali sema figusufigisu tu
Yanga washikina
Mara Moja ubaya ubwela tutawaua kwamkapa
Milaji umenichekesha mbaka mbavu zinauma
Inaongoza ligi? Huyu mwandishi nae kolo
Najana walijaa kwa sababu ya mnyama hawajawah kumuona
Zimbwe akipandisha mabega 😂😂😂
Miraji anapenda kupiga waandishi mabega khaaa
Huyu kumuhoji inabidi uweke distance walau mita 4😂
halipingiki nitimu kubwa
Ila huyu muwandishi hajuwi kuhoji chagamba pekeyake
❤❤❤❤❤❤❤
Miraji kuwafananisha wachezaji wa Simba na wachezaji wako hao wa dhamani wakina crebasoni mara fecha nivizuri na inawamotivate wachezaji lakini mi nashauri ujitahidi kuwafananisha na wachezaji wanaojulikana na watu wengi hasa watanzania hao wakina fecha sijui crebasoni ata wachezaji wenyewe hawawajui sa inamana gani mchezaji unamfananisha na mtu ata hamjui ninzuri lakini iwe wanaojulikana na watu wengi hasa
MIRAJI KUSHINDA DAR LABDA MKALALE MAKABURINI,WALE JAMAA WANAUJUA WANAKUJA KUWAUA HAPA TENA MAPEMA SANA.
Sio wote wachawi kaa na uchawi wako
Kama wanajua mbona hawajafunga
@@kulthumkhan1935ATA wao wakipaki bus km ww huwezi kuwafunga,unapaki Basi utafungwaje
Kelele nyingi Sana makolo, lakini mtanyamaza Tu na kukimbiana Kwa mkapa.
Ww ni mungu?
Ama kwa uchawi mlio nao kubwa roga wachezaji wetu nyie utoporo mnapenda Sana ushilikina
Utopolo mnacheza na maiti za Ethiopia mnafananisha na waarabu wa Libya. We tuliza uchawi wenu huko tuachie simba yetu.
Waarabu ni waarabu tuu
😂😂😂😂
Alama 2 tumeziacha Libya Huo ndio ukweli.
Si uzifuate wwe kama unaweza
Huu mtoano broo , ni mbinu zaid mana ukipoteza tu umejitoa mashindanoni
Points haziesabiki hapa ni ushindi
We akili una nani kakuambia zunatafutwa point hapo
Wao wamezipata?
Na wewe umeanza kuongea uongo
Chawa wa Hersi.😂
HIVI HAWA WAARABU WANAMATATIZO GANI?
ok
❤❤❤❤❤❤❤❤❤