𝐏ENATI ILIYOKATALIWA 𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐃hidi 𝐘𝐀 𝐓𝐑𝐈𝐏𝐎𝐋 (𝟎-𝟎) Wakampiga Refa, MABULULU Ni Mchezaji wa kawaida san

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ก.ย. 2024
  • #simbasc #ligikuu #manara #usajilimpyayanga #yangaleo #mayele #cafcl #simba #yanga #yangatv

ความคิดเห็น • 91

  • @MohammediAyubu-g3b
    @MohammediAyubu-g3b 2 วันที่ผ่านมา +4

    Love simba❤❤❤

  • @user-vi4xg1be4o
    @user-vi4xg1be4o 2 วันที่ผ่านมา +3

    Hakuna penalty, mpira umebadili uelekeo na kutoka nje baada ya beki wa simba kuugusa

  • @abdallahshariff6555
    @abdallahshariff6555 2 วันที่ผ่านมา +12

    Tatizo mnaoumia niwengi hata waandishi na wachambuzi,tulikuwa hatupuwi kwa Mabululu,Leo mtaanza na penalty,tatizo hamuangalii mpira kwa makini,mchezaji wa Hilal aliaanza kujilaza upande wa Chemalon refa alikuwa karibu akaiona,Sasa Leo vichambuzi bahasha tutawasikia watavyoponda,Hamtusumbui,Hongera mwandishi

    • @marcokaroje8980
      @marcokaroje8980 2 วันที่ผ่านมา

      Haikucheza Hilal ni All ahly tripol vs Simba

  • @mwalimualli3076
    @mwalimualli3076 2 วันที่ผ่านมา +2

    Waarabu ni watu wanaotaka ushindi Kwa namna yoyote ile. Na marefa wapo makini sana sio enzi zile za zamani.

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 2 วันที่ผ่านมา +7

    MWANDISHI IMEKATALIWA SABABU SIO PENALTI AU WEWE UTOPOLO SUPU CHAPATI FC 😂😂😂😂 KURUJUWANI OYEEEEEE OYEEEEEE 😂😂😂

    • @maryamnofli2109
      @maryamnofli2109 2 วันที่ผ่านมา +1

      😂😂😂😂😂😂
      Kurujuwani

  • @JumbeOjaso
    @JumbeOjaso 2 วันที่ผ่านมา +2

    Mechi ijayo itakuwa ngumu sana,kwani Ahaly ni wazuri sana kwenye footwork.
    Wana wachezaji wanne Wachezaji hatari sana,ambao tusipo wachunga ,dar watapata bao kitu ambacho lazima tujihadhari nao tutakapo funguka kutafuta ushindi.

    • @henelckneatunga2720
      @henelckneatunga2720 2 วันที่ผ่านมา +1

      UMESEMA UKWELI HAIBU ITAKUJA HAPA HAPA NYUMBANI JAMAA WANAJUA SANA ILA WAACHE WAJISIFIE

  • @ellsonmkonyi1319
    @ellsonmkonyi1319 2 วันที่ผ่านมา +2

    Mm nashaaangaa msemaji wa time msomi na mwanasheria wanasema wanapenda nongwa

  • @halidimgonza5945
    @halidimgonza5945 2 วันที่ผ่านมา +3

    wanaoenda kufungua kesi ya kudai penalt ni UTOPOLO si alhaly tripol 😂😂😂

  • @mwalimualli3076
    @mwalimualli3076 2 วันที่ผ่านมา +1

    Kwani refa hakuwepo uwanjani. Tukio lipo wazi ile ilikuwa ni Tackling ya mchezaji anaejitambua.

    • @user-vi4xg1be4o
      @user-vi4xg1be4o 2 วันที่ผ่านมา

      kweli ni takling ya waz kabisa

  • @ChristinaOberto
    @ChristinaOberto 2 วันที่ผ่านมา +3

    Pongezi kwa lefa🙋‍♀️🙋‍♀️🙋‍♀️🙋‍♀️🙋‍♀️🙋‍♀️

  • @hassanaliamin1104
    @hassanaliamin1104 2 วันที่ผ่านมา +1

    Subir na wao waje kwetyu tutawaonyesha uhuni

  • @LadslausiAugustino
    @LadslausiAugustino 2 วันที่ผ่านมา +2

    Angalia uelekeo wa mpira kabla n'a baada ya chemalon kuucheza ndo utajua kua haikua penati Bali alicheza mpira

  • @DakiaNzunda
    @DakiaNzunda วันที่ผ่านมา

    Clear penalty

  • @pascalPembamoto
    @pascalPembamoto 2 วันที่ผ่านมา +1

    SIO PENATI KABISA ,WANAFIKI WALIONA MAWENGE SHEMARONI ALICHEZA MPIRA BONGE LA BEKI JAMANI.

  • @عاىشةالصبحي-م6ه
    @عاىشةالصبحي-م6ه 2 วันที่ผ่านมา +1

    Ile sio penati jamani sisi sote ni watanzania timu zetu zinzpocheza na wageni tuwe shabiki watimu zetu,mimi simba damu lakini majuz nilishangilia yanga vs edhiopia,nawapata nikiwa oman bahat

  • @AndrewMalole
    @AndrewMalole 2 วันที่ผ่านมา +3

    Vichambuzi bahasha

  • @user-pd5hl9di2q
    @user-pd5hl9di2q 2 วันที่ผ่านมา +2

    Simba kapoga mpira siyo faulu

  • @hamidumpiga6283
    @hamidumpiga6283 2 วันที่ผ่านมา +1

    Uyo mchezaji penati ngapi anasababisha au amuoni mchezo wake

  • @AugustinoSanga-k6p
    @AugustinoSanga-k6p 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hakuna ukweli WA maelezo yanayotolewa na wachumbuzi sababu huchambua kishabiki.Simba jipangeni kupambana kiuhakika Kwa mechi ya matukio.

  • @eliakazilo6078
    @eliakazilo6078 2 วันที่ผ่านมา +1

    Waandishi wengi Ni maandaziawajui Mpira..Yule she malon alipiga Mpira..hakupiga mguu wa mtu..na Waamuzi Bora huangalia hicho.ile sio penalty. Na pale CAF ndio huangalia uzuri wa Mwamuzi

  • @ikulunimahalipatakatifu7642
    @ikulunimahalipatakatifu7642 วันที่ผ่านมา

    CBE watashinda JMOS...,

  • @FransisThomas-g2t
    @FransisThomas-g2t 2 วันที่ผ่านมา

    sana

  • @MkingaGissbert
    @MkingaGissbert 2 วันที่ผ่านมา +2

    Simba inachukiwa hadi na wachambuzi wa habari wa michezo walijua jana tunafungwa

    • @neemamwijage
      @neemamwijage 2 วันที่ผ่านมา +2

      Lakini Mungu yupo nasi kila siku

    • @kolosii4351
      @kolosii4351 2 วันที่ผ่านมา

      Mbona simba ndio mara zote inapendelewa sana na wengi?? Kumbukeni msimu ulioisha mpaka kamwe alipojitokeza kwenye midia kuwa kila mchambuzi alikuwa anaisema vibaya sana.

    • @mariamomari-cl6jc
      @mariamomari-cl6jc วันที่ผ่านมา

      wachambuz feki wamesoma wp wote wanavyet fekitu

    • @mariamomari-cl6jc
      @mariamomari-cl6jc วันที่ผ่านมา

      ​@@kolosii4351mkundu wako ww siyo ligi ile namalefa mafara wakitanzania kama angekuwa mtanzania anachezesh mech yasimba ingekuwa penat maan nimachiz wale wanajielewa mikund yenu

  • @RashidBwanga
    @RashidBwanga 2 วันที่ผ่านมา +2

    Mbona mpira ameugusa jamani au sijaelewaaaa.

    • @mariamomari-cl6jc
      @mariamomari-cl6jc วันที่ผ่านมา

      unawabembeleza nn simba niyetu yanga niyao watuache natimu yetu

    • @mariamomari-cl6jc
      @mariamomari-cl6jc วันที่ผ่านมา

      miaka ishirni na5wanalanda landatuklabu bingwa kama wanajuw mpira walikuwa wanangoja nn

    • @mariamomari-cl6jc
      @mariamomari-cl6jc วันที่ผ่านมา

      kwanza wajuwe wamejifunza kwasimba yanga bado niwatototu

    • @mariamomari-cl6jc
      @mariamomari-cl6jc วันที่ผ่านมา

      viongoz wayanga namashabiki nimarmbuken wampira

    • @mariamomari-cl6jc
      @mariamomari-cl6jc วันที่ผ่านมา

      niwashamba hawajitambui

  • @KhalfanSeleman
    @KhalfanSeleman วันที่ผ่านมา

    Kacheza mpila yule

  • @GodTimbaland
    @GodTimbaland 2 วันที่ผ่านมา +1

    Hakuna penalty apo. Kwanza chemalone aligusa mpira. Pili alijidondosha na akadondokea nnje ya box

  • @MohammedHamidy-z8p
    @MohammedHamidy-z8p 2 วันที่ผ่านมา

    Nawala huitakii mema simba

  • @lesliemgimba
    @lesliemgimba 2 วันที่ผ่านมา

    It was a clear penalt

    • @obbykicki
      @obbykicki 2 วันที่ผ่านมา

      Learn more in football broo

    • @MichaelMathew-j3f
      @MichaelMathew-j3f 2 วันที่ผ่านมา +1

      Kivipi wakati mguu wa chemalone amecheza mpira? Ww naye ni hujui kitu

  • @PillyKassembo
    @PillyKassembo วันที่ผ่านมา

    Mbona kajibingirisha sana kaangukia mbaliiii ! kwaiyo alitaka penart apo?

  • @PillyKassembo
    @PillyKassembo วันที่ผ่านมา

    Usela mavi uwo wachinga sana 😂😂

  • @jamaldeenmakenga
    @jamaldeenmakenga 2 วันที่ผ่านมา

    Hii channel ya Simba

  • @AlkxiMafioso
    @AlkxiMafioso 2 วันที่ผ่านมา

    Kachezeshee weweeee

  • @yonahizza-o8z
    @yonahizza-o8z 2 วันที่ผ่านมา

    Mmebebwa hamna Lolo mabululu

  • @zainachembera1133
    @zainachembera1133 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ukiua kwa kisu.utakufa kwa wembe tu.

  • @kassimambindwile392
    @kassimambindwile392 2 วันที่ผ่านมา

    WACHAMBUZI WENGI WANANUNULIWA MNOO

  • @user-gr9lq5nb3y
    @user-gr9lq5nb3y วันที่ผ่านมา

    Kiukweki alieutoa mpira nje ni mchezaji wa Al ahly baada ya chemalon kumsukumiza kwamguu wake chemalon wa kulia na mabululu akaugusa mpira na kuutoa nje.

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 2 วันที่ผ่านมา

    22/09/2024 siyo mbali.

  • @RobertBartazary
    @RobertBartazary 2 วันที่ผ่านมา +4

    Hakuna penalt hapo aligusa mpira

  • @fatumasuleiman6641
    @fatumasuleiman6641 2 วันที่ผ่านมา +1

    Halianza kugusa mpirajamani wacheni chuki.zaovyo

  • @chrysanthushakaunga6560
    @chrysanthushakaunga6560 2 วันที่ผ่านมา

    Makolo hayataki ukweli mwamuzi kawabeba

    • @AlkxiMafioso
      @AlkxiMafioso 2 วันที่ผ่านมา

      Kama utopoloo

  • @reubenalfred9707
    @reubenalfred9707 2 วันที่ผ่านมา

    Penalty clear kabisa

  • @benedictsenya
    @benedictsenya 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwa ninii timu hii isifungiwe Mika mitatu ? Na kuna sababu Gani kuipeleka timu youote kucheza mpira Nchi hii ?? Hawana heshima ya starehe hawafai kustareheshwa .!!!

  • @KingDrew-hw6uc
    @KingDrew-hw6uc 2 วันที่ผ่านมา

    Makolo kweli hawajielewi Yani wanaisema yanga wakati imeshinda ugenini wanajishangilia wao waliyo toa sale. Kamaile timu ndogo bas wanafanana nasimba sababu wote wamefungwa goli mojomoja nayanga

  • @eliahbukukumwaikuju7403
    @eliahbukukumwaikuju7403 2 วันที่ผ่านมา +1

    Waarabu hawajui kiswahili,ila wew makalio ya utopolo ndio unakosa usingizi

    • @mariamomari-cl6jc
      @mariamomari-cl6jc วันที่ผ่านมา

      wao wanajfanya wanajuw mpir waulize vilabu bor africa wako nafas yangap nyinyi yanga kwasimba baaaaaado san kama mnajuwa vunjen rekodi zilizowekwa nasimba clabu bingwa afrika nyoko zenu

    • @mariamomari-cl6jc
      @mariamomari-cl6jc วันที่ผ่านมา

      mnaigat fanyeni yenu nass tunayet mafara nyny

  • @pascalPembamoto
    @pascalPembamoto 2 วันที่ผ่านมา

    JUKWAANI ALIKWENDA KUFANYA NINI MANULA?,AU ALUKUWA MPELELEZI?.

  • @bezalelmbijima8182
    @bezalelmbijima8182 2 วันที่ผ่านมา

    Waoumia wasubiri mechi ya Marudiano waombe wawe marefa waroe penalty

    • @mariamomari-cl6jc
      @mariamomari-cl6jc วันที่ผ่านมา

      nikwr mech inayofuata kachezeshen nyny malimbuken wampir nyinyi

    • @mariamomari-cl6jc
      @mariamomari-cl6jc วันที่ผ่านมา

      mumekutan natimu midabwad mnajion mikundu yenu nyinyi

  • @AbuuAyubu-t7c
    @AbuuAyubu-t7c 2 วันที่ผ่านมา

    Ndio ukubwa wa simba zamani waarabu walikua wanazionea timu zetu mlikua wapi kenge nyie

  • @murshidyabdallah1356
    @murshidyabdallah1356 2 วันที่ผ่านมา +1

    acha ujinga

  • @AnyomblyMgina
    @AnyomblyMgina 2 วันที่ผ่านมา

    Kwani simba siilshinda3

  • @MohammedHamidy-z8p
    @MohammedHamidy-z8p 2 วันที่ผ่านมา

    Wewe hujuwi kitu mchambuzi Gani unaleta upenzi

  • @gwakisakaswaga5249
    @gwakisakaswaga5249 2 วันที่ผ่านมา

    Rudi darasani... huwezi utangazaji

  • @andersonshimbi1378
    @andersonshimbi1378 2 วันที่ผ่านมา

    Mchambuzi ni feki na kolozidad tu

  • @abdallahlugendo3221
    @abdallahlugendo3221 2 วันที่ผ่านมา

    Nani mwenye mamlaka ya kutoa faulu kati wa wachambuzi na muamuzi wa kati haya malalamoko ya mchambuzi lini yametoa majibu sahihi na timu kupewa haki na timu pinzani kupewa ushindi

  • @twahaarusi4191
    @twahaarusi4191 2 วันที่ผ่านมา

    Wee huko kuchambua mpira upo kuisifia simba tangu umeanza unaisifihia simba tuu

    • @neemamwijage
      @neemamwijage 2 วันที่ผ่านมา

      Ulitaka asiongee ukweli chuki zako kaa nazo hukohuko

  • @VenustoOnesimo
    @VenustoOnesimo 2 วันที่ผ่านมา

    Wewew unapenda Simba mm nimeona mpila na mm nimecheza sikuinzi unareta mapezi mm iyo ni penati kabisa sasa unapenda ujinga sana mm nakwambia kangoma ni mchenzaji mnzuri san kwann arisaini timu mbiri wewe mtanganzaji wewe umecheza mpila kweri

  • @muhammadmuhammad5043
    @muhammadmuhammad5043 2 วันที่ผ่านมา

    Refa Mshuuruni Simba Kwa Msaada Mkubwa Kutokutowa Penat Ahli Ya Libia..

    • @mlugekarol2688
      @mlugekarol2688 2 วันที่ผ่านมา +2

      Labda mtusaidie, nani kasababisha mpirakutoka nje ya uwnja?

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 วันที่ผ่านมา +3

      JINA LAKO NA HIYO COMENT YAKO HAVIENDANI KAPIME MALARIA UKIAMBIWA HUNA UJUWE KURUJUWANI IMESHA KUPIGA WEWE 😂😂😂😂😂😂 KURUJUWANI OYEEEEEE OYEEEEEE 😂😂😂

    • @murshidyabdallah1356
      @murshidyabdallah1356 2 วันที่ผ่านมา +2

      wee msenge kweli tumshukuru refa unajua kanuni za mpira kweli yaani mtu kajilaza mwenyewe kama hamna akili hata macho yenu hayaoni ebu tumia akili watu wa yanga

    • @maryamnofli2109
      @maryamnofli2109 2 วันที่ผ่านมา

      ​@@murshidyabdallah1356
      Kurujuwani. Itawamaliza. Kenge. hawa
      😂😂😂😂😂😂

  • @mtumeananiasjohachim8760
    @mtumeananiasjohachim8760 2 วันที่ผ่านมา +1

    Wewe hosting mbona huna ataalamu wowote, et waliketa ushamba ule,, Sasa sijui wewe na wao nani mshamba?

  • @henelckneatunga2720
    @henelckneatunga2720 2 วันที่ผ่านมา

    SHIDA MNACHAMBUA KISHABIKI HATA HAYO MARUDIO NI WAZI HAJAGUSA MPIRA FONDO. NA OLE WENU KOCHA AKIWSCHEZESHA MABULULU NA YULE ALIEINGIA MWISHONI MMEKUFA HAPO HAKUNA DROO WALA USHINDI HATA MKIWA NYUMBANI.

  • @abdulmsabaha6427
    @abdulmsabaha6427 2 วันที่ผ่านมา

    Kaua faulu kaucheza mpira