SIRI NZITO NYUMA YA DOCUMENTARI YA TB JOSHUA 2024

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024
  • SIRI NZITO NYUMA YA DOCUMENTARI YA TB JOSHUA 2024
    SIRI ZA TB JOSHUA PLAYLIST
    • SIRI ZA TB JOSHUA
    chanzo cha kifo cha TB JOSHUA ni utata mtupu Kuna mengi mazito ya kutisha sana
    • chanzo cha kifo cha TB...
    HIVI NDIVYO TB JOSHUA Alivyogeuzwa MUNGU na KUABUDIWA kama FREEMASON aitwa MTOTO WA SHETANI
    • HIVI NDIVYO TB JOSHUA ...
    Maajabu ya Mganga KWAKU BONSAM Kuhusu NGUVU za wachungaji
    • Maajabu ya Mganga KWAK...
    #new
    #trending
    #tbjoshua

ความคิดเห็น • 55

  • @TricodMedia
    @TricodMedia  8 หลายเดือนก่อน +4

    SIRI ZA TB JOSHUA PLAYLIST
    th-cam.com/play/PL8LWGLvW88T_S28Ih674Zous2HALAtiWY.html&si=IgW9BGP0R1lwJ-Gc

  • @BlessingsNashanjila-zw5hg
    @BlessingsNashanjila-zw5hg 8 หลายเดือนก่อน +6

    Kwa upande wa fake miracles ni uongo, hakuwa na fake miracles

  • @lindakapongo8421
    @lindakapongo8421 8 หลายเดือนก่อน +1

    asànte nimekuelewa

  • @mand6029
    @mand6029 8 หลายเดือนก่อน

    ukweli mtupu asante sana kaka, natamani video hii iwafikie wa tz wote, safiiiiii

  • @florencemushi6561
    @florencemushi6561 8 หลายเดือนก่อน +5

    Hata wewe unababaisha. Story kamili zenye ukweli wanatoa disciples wake au wale WISE MEN.

  • @kerosenealimasi8019
    @kerosenealimasi8019 8 หลายเดือนก่อน +3

    Wa kwanza

    • @TricodMedia
      @TricodMedia  8 หลายเดือนก่อน

      PAMOJA SANAAAAA 😀

  • @abelmbilinyi1262
    @abelmbilinyi1262 8 หลายเดือนก่อน +6

    Joshua alikuwa mhubiri kweli kweli ,,, km kulikuwa na mapungufu ni ya ubinadamu na sio hayo tunayo shuhudiwa ila kuhusu kuhubiri na kutoa neno la Mungu alikuwa vizuri sio hawa baadhi wapiga kelele tulio bakia nao ,

    • @kadilamore802
      @kadilamore802 8 หลายเดือนก่อน

      Mapungu makubwa na ya kinyume na ukristu ..ya siri kuu mi pia nilimuamini at first ila Mungu alinifungua macho mapema😂

    • @kadilamore802
      @kadilamore802 8 หลายเดือนก่อน

      Ukiwa na shida utamwamini sana ...ila ukifanikiwa kutatua changamoto zako..kukubaliana na hari unayopitia kumuomba Mungu wako kwa roho na kweli..pia kutibu afya ya akili lazima uuone ukweli

    • @CheerfulSloth-dp7py
      @CheerfulSloth-dp7py 8 หลายเดือนก่อน

      God bless you

  • @eunicembuthia6535
    @eunicembuthia6535 8 หลายเดือนก่อน +2

    I've been waiting for this

  • @michelinemapendo6652
    @michelinemapendo6652 8 หลายเดือนก่อน +10

    KABLA TB CHOSHWA HAJAFARIKI MIMI NILIKUFATA NIKAKWAMBIYA UYU JOCHUA SIYO MUTU WA MUNGU HAMUKUAMINI ILA , Mungu nimwemaa🫶🙌🙌🙌🙏🙏🙏

    • @TricodMedia
      @TricodMedia  8 หลายเดือนก่อน +1

      Nakumbuka na nikafanya video zaidi ya nne kuhusu tb joshua kutumia nguvu za giza tuko pamojaaaa sema saiv nimeanza kuogopa kuwa mkweli sana ntakufa njaa bureee hawa watu sio wazuri hahahahaha

    • @NassorTwahiru-kf8fo
      @NassorTwahiru-kf8fo 8 หลายเดือนก่อน

      Hatujakuelewa hapo uliposema ukianza kuwa mkweli sana utkufa njaa​@@TricodMedia

    • @EsauBakari
      @EsauBakari 8 หลายเดือนก่อน

      hawawezi kuamini mpaka wajione

  • @sadamkhamis9043
    @sadamkhamis9043 8 หลายเดือนก่อน +2

    Acheni ujinga na utumwa hizo ni propaganda za wazungu ..hivi mtajielewa lini?

  • @johnfubusa1598
    @johnfubusa1598 8 หลายเดือนก่อน

    Kaka asante kwa masomo mazuri naomba namba yako ya simu

  • @mand6029
    @mand6029 8 หลายเดือนก่อน

    DISCIPLES: The Cult of TB Joshua, Ep 2 - Unmasking Our Father - BBC Africa Eye documentary.......................chekini hii pia, ukweli mtupu , asante kaka jose skills

  • @kadilamore802
    @kadilamore802 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hivi annointing water alikuwa anauza sh ngapi?nasikia pesa ndefu

  • @roseboaz1819
    @roseboaz1819 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ivi unaskilizaga life is spiritual yenye testimony ya Yule dada anaitwa Erica mukisa alokua mfuasi wa shetani ?? Kama umeskilza what do u think about that testimony

    • @kadilamore802
      @kadilamore802 8 หลายเดือนก่อน

      Mtu akienda kwa mganga pia anaona shida zake na pia anatibiwa matatizo yake hata Mungu alisema si kila anaye liita jina langu ni wangu watakuwepo manabii wengi sana wa uongo simama katika imani yako usiteteleke Mungu ni wetu wote

  • @worldhappiness1181
    @worldhappiness1181 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kama nimekuelewa, Nabii wako alitumiwa, akaja kugundua ametumiwa baada ya kupata utambuzi. The same ilvotokea kwa Jacko, n.k

  • @incredibledanceteam8425
    @incredibledanceteam8425 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka umejieshimisha.tuangushie ya Kanumba sasa mkuu

  • @pendokazi7525
    @pendokazi7525 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa hiyo mnataka Nini Sasa? Mtu kashafariki ndo mnaanza kusema mlikuwa wapi pindi Yuko hai ? Acheni huo ujinga wa kuongelea mtu ambaye hayupo duniani,fanyeni mambo yenu, Naona shetani kawatuma nyie!

  • @kerosenealimasi8019
    @kerosenealimasi8019 8 หลายเดือนก่อน +2

    Nawasikiliza nikiwa sandtown

    • @TricodMedia
      @TricodMedia  8 หลายเดือนก่อน

      UMETISHA SANAAAAA 😀😀😀😀😀

  • @saviormayeye3374
    @saviormayeye3374 8 หลายเดือนก่อน

    Hapo Kwa pdidy Nakupinga Asee😂

  • @abelmbilinyi1262
    @abelmbilinyi1262 8 หลายเดือนก่อน +4

    Hizi zote ni siasa , km waliweza kuigiza mpk video ya Yesu na watu wakaamin ile sura ndo ya Yesu , bac kuwafanya hawa watu walete shuhuda za uongo kilikuwa nikitu chepesi sana ,, Jamaan ata kwa macho hamuoni 😮

    • @matildafelix1377
      @matildafelix1377 8 หลายเดือนก่อน

      wew peke yako uliamini?

    • @IsayaSamweli-pm4dd
      @IsayaSamweli-pm4dd 8 หลายเดือนก่อน

      Fact. Leo hii wote eti tuiamini BBC news ilichosena ndiyo sahihi.
      BBC Swahili wenyewe waislam watupu, kwamba waislam wana Nia njema na kanisa?😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @rashidmoshi8438
    @rashidmoshi8438 8 หลายเดือนก่อน

    Nyie hamjui kila muhubili lazima uwe nanguvu za asili yani giza kilicho muuwa huyoo mashoga

  • @robisonikadogo7371
    @robisonikadogo7371 8 หลายเดือนก่อน

    Ata akimwabia turare pamoja muumini anaona kama muumini amebarikiwa

  • @incredibledanceteam8425
    @incredibledanceteam8425 8 หลายเดือนก่อน

    Tuleteee ya P.diddy tena mambo inazidi kuwa mbaya.mshukiwa ametoa kiffdee ametoa siri nyingine.anasema diddy ndie mshukiwa mkuu mauaji yya 2pac.tuchambulie tafadhali

  • @obinasimbeye1750
    @obinasimbeye1750 8 หลายเดือนก่อน

    Kupata hela tu kunakusumbua

  • @kadilamore802
    @kadilamore802 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kuna mganga mmoja nigeria anadai kuwa alimpa nguvu ila hakutimiza masharti akampa onyo kuwa atakufa ila hakumsikiza na kweli alikufa ghafla

  • @wamisangi2801
    @wamisangi2801 8 หลายเดือนก่อน

    Papa anapingwa kama TB Joshua wewe unaishi dunia ipi?

  • @allanalex8822
    @allanalex8822 8 หลายเดือนก่อน +2

    Nilikuwa nasubir uongelee hili

  • @littlelunie.7653
    @littlelunie.7653 8 หลายเดือนก่อน

    Toa ushahid vitu gan hivo., na ibaada ngap ushawah ingia za tb joshua ukaona hazkua sawa. ? Au ubabwabwaja tu?

    • @carolinederi5690
      @carolinederi5690 8 หลายเดือนก่อน +1

      Mtumishi yeyote akileta vitu vya upako kwa madhabahu hyo ni fake kma hujui ujue leo izo stickers na maji zlikua za nn
      Pil wakat wa covid alisema itaaisha march of 2019 na ikaendlea hadi 2020

    • @kadilamore802
      @kadilamore802 8 หลายเดือนก่อน

      Nenda youtube sikiza documentary za watu walioteseka mikononi mwa tb joshua

  • @edwinalexander1170
    @edwinalexander1170 8 หลายเดือนก่อน

    Ebu mchambue TD jakes naye kapata skendo za kuwa gay and kuwa na uhusiano na P didy?

  • @OmegaMwinuka-dj4zw
    @OmegaMwinuka-dj4zw 8 หลายเดือนก่อน

    Wote ninyi ni mashetan mumetumwa na shetani kumchafua mtumishi wa mungu alipokuwa hai hamkusema

  • @PierreNacom
    @PierreNacom 8 หลายเดือนก่อน

    Jiangalie wewe...so kuwa na kiacount tu you tube unabwabwaaajaaa! Hujui kitu!

  • @richardboaz-mashagospel2346
    @richardboaz-mashagospel2346 8 หลายเดือนก่อน

    Pumba. Yaani niwe na kipawa ndani yangu na nitumie kusaidia watu, then unasema kanisa halikubari.. Hilo kanisa litakua la mashoga pekee. Ni kwa sababu hiyo hiyo walimuua yesu, maana ordinary wachungaji wakishindwa kutumia uwezo walionao wanatumia uwezo wa ibilisi kukuamlngamiza😂. Man you didnt do a good research come and I will tell you all about Tb Joshua then come back tell these people pure story

    • @BellyKepher-jq7ef
      @BellyKepher-jq7ef 8 หลายเดือนก่อน

      Mungu akikupa karama mtumikie, kanisa likubali au likable, haihusu Mungu pekee ndo wa kumuheshimu , siku zote Mtumishi wa Mungu wa kweli hakosi vita na kuchafuliwa

  • @rehanijuma1421
    @rehanijuma1421 8 หลายเดือนก่อน

    Kaka manabii wote 😂😢😅wababaishaji tuu wanatumia uganga yaani ni wanatumia uchawi tuu

    • @richardboaz-mashagospel2346
      @richardboaz-mashagospel2346 8 หลายเดือนก่อน

      Hata yesu mlisema anatumia nguvu za giza (bilzebul) hilo pepo la ujinga litawatoka lini?

  • @IsayaSamweli-pm4dd
    @IsayaSamweli-pm4dd 8 หลายเดือนก่อน

    Thibitisha HICHO unachosema Ili isiwe nawewe unaonhea porojo porojo Tu.
    Nguvu za Giza ni zipi naza Biblia ni zipi,?
    Miujiza ya nguvu za Giza ni ipi na ya nguvu za biblia ni ipi?
    Elezea tofauti zake ili tukuelewe na tukuamini la sivyo acha kuongea usichokijua.

    • @marymwapiya1274
      @marymwapiya1274 8 หลายเดือนก่อน

      Alikuwa anauza maji ya upako kikomo cha imani na sitika.

  • @worldhappiness1181
    @worldhappiness1181 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kama nimekuelewa, Nabii wako alitumiwa, akaja kugundua ametumiwa baada ya kupata utambuzi. The same ilvotokea kwa Jacko, n.k

  • @rashidmoshi8438
    @rashidmoshi8438 8 หลายเดือนก่อน

    Nyie hamjui kila muhubili lazima uwe nanguvu za asili yani giza kilicho muuwa huyoo mashoga

  • @rashidmoshi8438
    @rashidmoshi8438 8 หลายเดือนก่อน

    Nyie hamjui kila muhubili lazima uwe nanguvu za asili yani giza kilicho muuwa huyoo mashoga