Maajabu ya Mganga KWAKU BONSAM Kuhusu NGUVU za wachungaji wakubwa,BUSHIRI,RONALDO,TBJOSHUA ni HATARI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ก.ค. 2024
  • Bonyeza Hapa KUSUBSCRIBE th-cam.com/users/Tricodskills...
    FOLLOW TRICOD SKILLS on Instagram!
    / joseskills_
    LIKE TRICOD SKILLS on Facebook!
    / tricodmedia
    FOLLOW TRICOD SKILLS on Twitter!
    / tricodmedia
    #SiriNzito
    #TbJoshua
    #Bushiri

ความคิดเห็น • 264

  • @TricodMedia
    @TricodMedia  3 ปีที่แล้ว +3

    KIFO CHA TB JOSHUA Manabii Wakubwa WASHEREKEA KIFO CHAKE Wagoma kumzika FREEMASON WAHUSIKA
    th-cam.com/video/_0TKmQYqfMQ/w-d-xo.html

    • @macrinajoseph1422
      @macrinajoseph1422 3 ปีที่แล้ว +1

      Usije ukauwa wakili washetani ukimsaidia shetani bila kujielewa heshim kazi ya mungu yohana. 10 :10. Shetani kazi yake no.kuharibu matendo makuu yaliyotendeka.kupitia mtumishi wa mungu tb Joshua. Nampa mungu utukufu kwa karama zote alizoachilia ndani yatb Joshua atakae furahia. Kifo. Chake. Ni shetani tu. Nazani huko kuzim walisherekea lakini mungu anawatumishi wengi .hawataacha kumtandika

    • @azizihfarijala5307
      @azizihfarijala5307 3 ปีที่แล้ว

      Tuzungumzie habari za TB Joshwa

    • @zippyjepps2750
      @zippyjepps2750 3 ปีที่แล้ว

      Waw!!...........Mungu wangu.

    • @Patience.67
      @Patience.67 ปีที่แล้ว

      Asante Kwa ushuhuda nzuri

    • @lenadikihulu1871
      @lenadikihulu1871 ปีที่แล้ว

      Hawajuwi watendalo

  • @florencemushi6561
    @florencemushi6561 3 ปีที่แล้ว +5

    Sio kweli kabisa. Nana mchawi munawezaje kumuamini anachosema. Wakristo muwe macho. T B Joshua hayupo na kawaida yake huwa hajibu chochote humuachia Mungu. Mungu wa kweli huliangalia Neno lake alitimize. Siku hizi za mwisho ni za hatari sana, anatunga uongo na kuufanya uaminike ni kweli. Roho Mt
    Atussidie kutambua kweli ni ipi.

    • @hardd2497
      @hardd2497 3 ปีที่แล้ว

      TB joshua sio mtu wa kumuamini. Lakini vilevile huyu mchawi Nana hafai kuaminiwa. The devil is a liar.

  • @neemamaganga9774
    @neemamaganga9774 3 ปีที่แล้ว

    Asante kwa historia hii inatufundisha tutambue nyakati tulizo nazo kwa sasa na matukio yaliyopo. Watu wa Mungu tuamke.

  • @fadhilikawambwa5159
    @fadhilikawambwa5159 3 ปีที่แล้ว

    mko vizuri tricod media

  • @oliversimpliskimariokimari3510
    @oliversimpliskimariokimari3510 3 ปีที่แล้ว +2

    nashukuru kaka umeeleza stori vizuri

  • @daudmtange8005
    @daudmtange8005 3 ปีที่แล้ว +5

    Chama langu hili Tricod media daah mlikua kimya sanaa

    • @TricodMedia
      @TricodMedia  3 ปีที่แล้ว +2

      Kweli kabisaaa saiv tutajitahidi kuwa fasta zaidi

  • @alainebengasaligo7447
    @alainebengasaligo7447 3 ปีที่แล้ว +1

    naitwa ebenga nipo drc kongo nimefuraishwa nahistoria nana kwanku kwamajabu yake naiyo y'a Joshua kuhua raisi nana kwanku kushutumu Joshua zote nzuri kweli kazi nzuri sn mtangazaji unajua kutafsiri

  • @minicooper9642
    @minicooper9642 3 ปีที่แล้ว +2

    Asante sanaa tricod

    • @TricodMedia
      @TricodMedia  3 ปีที่แล้ว +1

      Shukrani sanaaa we ni mmoja ya watu ambao wananipa moyo sana pamoja sanaaa

  • @auntdorah9141
    @auntdorah9141 3 ปีที่แล้ว

    Mungu atusaidie wakristo, tunachoamini Yesu Kristo ana nguvu na hafananishwi wala kulinganishwa..hata waseme nini!
    Mungu ni Mungu na atabaki kuwa Mungu.
    manabii wa uwongo wapo lkn wa kweli wapo pia sisi tumtazame Yesu Kristo kwa imani🙏 na tuombe kwa imani kwa jina la Yesu na kwa imani.

  • @wilsonjustin3668
    @wilsonjustin3668 3 ปีที่แล้ว +5

    Sijutii kusubscribe hii channel napata mengi mazuri
    Tricod media the best

  • @khanakwasarahlydia2190
    @khanakwasarahlydia2190 2 ปีที่แล้ว

    My brother am speechless

  • @charkeskagama388
    @charkeskagama388 3 ปีที่แล้ว +4

    Sio kila utajili ni ushilikina wengine ni vipaji walivyopewa na mungu

  • @neemamaganga9774
    @neemamaganga9774 3 ปีที่แล้ว

    Hata nana asipozungumzwa hata maandiko yanazungumza juu ya manabii wa uongo kitu kikubwa nikumuomba Mungu atusaidie kutuepusha kuabudu kwenye makanisa yanayotumiwa na shetani. Na tupende makanisa yanayohubiri sana ufalme wa Mungu kwa kuwa ukiishi kwa hofu ya Mungu. Mambo mengi Mungu atayatengeneza kwenye maisha yako

  • @dawhiteschola8847
    @dawhiteschola8847 3 ปีที่แล้ว +4

    Jamani mm kwakweli namuomba Mungu anipe macho ya rohon wachungaji wengi wamekuwa wakitumia nguvu za giza mm sihukumu ila na Muomba Mungu aniepushe kabisa nahawa watu

  • @upendombwile103
    @upendombwile103 3 ปีที่แล้ว +2

    Yesu Kristo mwenyewe wali msema hakuna jipya Chini ya jua tb joshua Man of God 🙏💕

  • @bryterbizzy5372
    @bryterbizzy5372 3 ปีที่แล้ว +3

    Nakukubali unatusanua vitu adimu big up bro

  • @savavibes
    @savavibes 3 ปีที่แล้ว +9

    You give us what we want to hear 🥂 God bless you man

  • @dullahtechtz3422
    @dullahtechtz3422 3 ปีที่แล้ว +5

    Nakubali sana kaka

  • @Lissarams
    @Lissarams 3 ปีที่แล้ว +4

    Daaah kaka Jose big up nlkua sielewi kabisa uyu kiumbe. Asante

    • @TricodMedia
      @TricodMedia  3 ปีที่แล้ว

      Huyu kiumbe ni nomaaaaa

  • @talalamumwakapanda7031
    @talalamumwakapanda7031 3 ปีที่แล้ว

    Vizur

  • @Kazubassyathyvry89
    @Kazubassyathyvry89 3 ปีที่แล้ว +4

    Duuuh, kuna mengi chini ya juu,hawa wachungaji wanazaliwa kila siku, makanisa ya hapa na hapa, watu kuweni makini nahawa watu wanaojiita watumishi wa mungu,huwezi juwa mi mungu gani wanamtumikia.

    • @TricodMedia
      @TricodMedia  3 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisaaaa

    • @LUPPER.
      @LUPPER. 3 ปีที่แล้ว +1

      Habari ndugu zangu , neema ya Mungu na amani yake iwe kwetu sote.
      Na jambo ningependa niwashirikishe ndugu zangu katika kristo, natumai litakua la kujenga kanisa sio kubomoa pia niko radhi kupokea mitazamo tofauti ili nami nijengwe kupitia ninyi.
      Binafsi naona kanisa au makanisa siku hizi yakihubiri kuhusu mali na mambo ya dunia hii kinyume na Injili ya Yesu kristo, nikama zipo injili za namna nyingine ambazo tumeonywa kwamba zitakuwepo na kwasababu hiyo kumekua na wimbi la mafundisho mbalimbali moja wapo ni mambo ya madhabahu na sadaka, japo yapo mengi.
      Mimi naona kunashida mahali hapo na mafundisho mengi yameingizwa, Shida si kutoa unatoa kwa mtindo gani au unatoa kwa nani? Injili ya Yesu inasemaje kuhusu kutoa?
      Huko Makanisani unajikuta unatoa sababu unahubiriwa mafanikio mambo ya ufalme wa dunia hii na kwakua nafsi inahitaji ya dunia unajikuta ni mtumwa wakutoa kwa mtu madhabahuni ukitegemea kupata vya nafsi uuridhishe mwili huku roho inapotea wakati tunatakiwa kukana nafsi zetu, mwishoe unajikuta nafsi na roho vyote vipo katika tabu na giza nene.
      Mimi najiuliza unapanda mbegu kanisani, unatoa fungu la kumi kanisani, unatoa sadaka za kawaida, unatoa sadaka ya maombi ya mwanzo wa wiki, sadaka ya maombi ya mwanzo wa mwezi, sadaka ya kuombea watoto, sadaka ili upate kazi,sadaka kujiambatanisha sijui na nini,sadaka ya kuombea ndoa, sadaka ya kupata mchumba, watoto n.k mbona zamani hayo yalikua kwa waganga wa kienyeji mara sadaka kubwa zaidi ndio muujiza wa haraka,sadaka kubwa zaidi ndio kubarikiwa zaidi, inafikia hatua mpaka makanisa yanaanza kushindana nguvu za madhabahu mara madhabahu hii inanguvu sana, nyingine hazina na penye nguvu zaidi panaonekana kwakua na mafanikio ya dunia hii na mali ,yani kanisa la kweli na lenye nguvu limekua lile ambalo mchungaji wake nitajiri zaidi, ( najiuliza Yesu kristo hatoshi kwa hayo yote?).
      Tena unaweza kutoa mapesa mengi tu kanisani kwaajili ya hili na lile bila kujua hilo sio kanisa la kristo. Unaona uko sahihi kumbe unamchukiza Mungu kutoa sadaka kwa ajili ya ubinafsi wako, kwaajili ya mambo ya dunia hii ili uwe na mali ambazo si za kutoka kwa Mungu kweli. Unaenda mbele za Mungu kwa unafiki na ubinafsi wakutaka kujiridhisha nafsi yako na familia yako, unaenda mbele za Mungu si kwaajili ya Mungu bali kwaajili ya vile unavyo vitaka kutoka kwake huku hutaki kutii sheria zake.
      Bali unaenda mbele za Mungu kwa kutaka kujinufaisha wewe tu na wale uwapendao sio kujitoa kwaajili ya wengine walio sura na mfano wa Mungu ambae Yesu kristo alionyesha mfano wa kujitoa kwaajili yetu.
      Jiulize Lini umeenda kutoa sadaka kubwa kwa mayatima , lini umetoa sadaka kubwa kwa wagonjwa na kuwatembelea, lini umetoa sadaka kubwa kwa wafungwa na kuwatembelea, lini umewasaidia wajane kwa sadaka kubwa, lini umemlisha mtu mwenye njaa chakula kitamu na kizuri kama unacho kula wewe, lini umesaidia watu mavazi wasio na mavazi na mengine mengi tu ambayo hayo au hizo ndio sadaka za kweli zinazo mfikia na kumfurahisha Mungu na kuwapa wana wa Mungu mafanikio ya kweli yenye furaha na yenye faida kwa wengine sio mafanikio ya kibinafsi, hii ndio injili ya Yesu kristo ya kweli ambayo mimi nawewe inabidi tujitahidi kuiishi japo ni ngumu.
      Na yote hayo utafanya sio kwasababu unataka ubarikiwe kwa mali za dunia hii kama zilivyo sadaka za siku hizi ,bali unafanya kwaajili ya Mungu, unafanya kwaajili ya Yesu kristo, unafanya kwasababu Mungu katuumba kwa sura na mfano wake hivyo ukifanya lolote jema kwa wadogo hawa umemfanyia yeye Mungu, unafanya kwaajili ya Ufalme wa Mungu ambao sisi tu warithi pamoja nae. Maana yake nini maneno hayo " Mathayo 6:33
      [33]Bali utafuteni kwanza ufalme wake, na haki yake; na hayo yote mtazidishiwa.
      Ndugu hatuta urithi ufalme wa Mungu tusipo fuata injili ya kweli ya Yesu kristo fungukeni wakristo huko makanisani mnapigwa sababu ya ubinafsi wenu na kupenda dunia hii hivyo mnahubiriwa mnavyo vitaka, vile ambavyo nafsi na mwili inavitamani na hata ukivipata ni bure maana mfalme wa dunia hii anavimiliki na huumpa yule atakae msujudia, havitakua na furaha wala amani kunasehemu utapigwa tu na shetani kama sio watoto, basi magonjwa, kama sio magonjwa basi ni ndoa, kama sio ndoa basi huna amani tu, kama sio kukosa amani basi una mashaka na wasiwasi mwingi kwa mambo ya dunia hii, utakua na majumba na mali na vitu vyote vya dunia hii ila hutoona kama umekamilika japo kwa macho ya nyama utaonekana mwenye mafanikio sana.
      Pia hutaridhika na kua na kiasi utakua unasumbukia vitu vya dunia hii hutoridhika kamwe utakua unapambana sana kutafuta mali, majumba, mapesa, hutoweza kutulia hemani mwa BWANA.
      Hivyo utaendelea kua mtumwa wa ibilisi ndani ya kanisa bila kujijua maana injili hizo au mafundisho hayo huingizwa kwa siri bila kanisa kujua( naposema kanisa simaanishi jengo). Injili ambazo hufundisha matamanio ya mwili ili kuiridhisha nafsi, nini maana ya maneno hayo " 2 petro 2:1-3. 1 Lakini pia walikuwepo manabii wa uongo miongoni mwa watu, kama watakavyotokea walimu wa uongo kati yenu. Kwa siri, wataingiza mafundisho ya upotovu hata kumkana Bwana aliyewakomboa, na kwa njia hiyo watajiletea maangamizi ya haraka. 2 Na wengi wata fuata tamaa zao potovu, na kwa ajili ya matendo yao njia ya kweli itadharauliwa. 3 Nao katika tamaa yao watajaribu kuwanunua kwa kuwaambia hadithi walizotunga wenyewe. Lakini hukumu yao imekuwa tayari tangu zamani, wala mwangamizi wao hajalala usingizi".
      Hivyo lazima tujue kanisa ni nini na haya tuyaendeayo ndio hasa kanisa? Yanafundisha Injili ya Yesu kristo ambayo ndio habari njema za ufalme wa Mungu(ufalme wa Mbinguni)?
      Hivyo lazima tujue injili tunayo hubiriwa niya ufalme wa Mungu ambayo Yesu ndio alihubiri au ya Ufalme wa Dunia hii na mali na hanasa zake zote ambae shetani ndio mfalme wake. Tukumbuke neno hili,
      Mathayo 6:19
      [19]Msijiwekee hazina duniani, nondo na kutu viharibupo, na wevi huvunja na kuiba.
      Walio ndani ya Yesu kristo baraka kwao ni kumpokea Yesu kristo, baraka kwao ni kuzaliwa mara ya pili wakitaraji ukamilifu wake siku ya mwisho atakapo kuja Yesu kristo, baraka kwao ni kutubu na kumrudia Mungu maana Yesu alihubiri akisema "tubuni na kuiamini Injili", baraka kwao ni kujitahidi kutimiza mapenzi ya Mungu na kuzishika amri zake" , na sadaka zao sio ili wabarikiwe sababu wamesha barikiwa kwa kua wana wa Mungu bali sadaka zao nikwaajiri kutimiza mapenzi ya Mungu hapa duniani kwanjia Ya Yesu kristo wakitizamia Ufalme ule ujao ambao sisi tuwarithi pamoja naye.
      Tazama neno hili Mathayo 6:33
      [33]Bali utafuteni kwanza ufalme wake, na haki yake; na hayo yote mtazidishiwa.
      Hakika mengine yatakuja na tutafurahia , na tutaridhika kwakile Mungu atacho tujalia wala hatutajilinganisha na wengine wala kusumbukia mengine maana tutaona yote ni yake Mungu hivyo ukamilifu wetu hautakua katika vitu bali katika Mungu pamoja navile alivyo tupatia.
      Tafakari maandiko hayo machache katika mengi.
      1 Yohana 2:15-17
      [15]Msiipende dunia, wala mambo yaliyomo katika dunia. Mtu akiipenda dunia, kumpenda Baba hakumo ndani yake.
      [16]Maana kila kilichomo duniani, yaani, ya mwili, na tamaa ya macho, na kiburi cha uzima, havitokani na Baba, bali vyatokana na dunia.
      [17]Na dunia inapita, pamoja na tamaa zake, bali yeye afanyaye mapenzi ya Mungu adumu hata milele.
      Mathayo 6:24
      [24]Hakuna mtu awezaye kutumikia mabwana wawili; kwa maana atamchukia huyu, na kumpenda huyu; ama atashikamana na huyu, na kumdharau huyu. Hamwezi kumtumikia Mungu na mali.
      Mathayo 25:31-46
      [31]Hapo atakapokuja Mwana wa Adamu katika utukufu wake, na malaika watakatifu wote pamoja naye, ndipo atakapoketi katika kiti cha utukufu wake;
      [32]na mataifa yote watakusanyika mbele zake; naye atawabagua kama vile mchungaji abaguavyo kondoo na mbuzi;
      [33]atawaweka kondoo mkono wake wa kuume, na mbuzi mkono wake wa kushoto.
      [34]Kisha Mfalme atawaambia wale walioko mkono wake wa kuume, Njoni, mliobarikiwa na Baba yangu, urithini ufalme mliowekewa tayari tangu kuumbwa ulimwengu;
      [35]kwa maana nalikuwa na njaa, mkanipa chakula; nalikuwa na kiu, mkaninywesha; nalikuwa mgeni, mkanikaribisha;
      [36]nalikuwa uchi, mkanivika nalikuwa mgonjwa, mkaja kunitazama; nalikuwa kifungoni, mkanijia.
      [37]Ndipo wenye haki watakapomjibu, wakisema, Bwana, ni lini tulipokuona una njaa, tukakulisha, au una kiu tukakunywesha?
      [38]Tena ni lini tulipokuona u mgeni, tukakukaribisha, au u uchi, tukakuvika?
      [39]Ni lini tena tulipokuona u mgonjwa, au kifungoni, tukakujia?
      [40]Na Mfalme atajibu, akiwaambia, Amin, nawaambia, kadiri mlivyomtendea mmojawapo wa hao ndugu zangu walio wadogo, mlinitendea mimi.
      [41]Kisha atawaambia na wale walioko mkono wake wa kushoto, Ondokeni kwangu, mliolaaniwa, mwende katika moto wa milele, aliowekewa tayari Ibilisi na malaika zake;
      [42]kwa maana nalikuwa na njaa, msinipe chakula; nalikuwa na kiu, msininyweshe;
      [43]nalikuwa mgeni, msinikaribishe; nalikuwa uchi, msinivike; nalikuwa mgonjwa, na kifungoni, msije kunitazama.
      [44]Ndipo hao pia watajibu, wakisema, Bwana, ni lini tulipokuona wewe una njaa, au una kiu, au u mgeni, au u uchi, au u mgonjwa, au u kifungoni, tusikuhudumie?
      [45]Naye atawajibu, akisema, Amin, nawaambia, Kadiri msivyomtendea mmojawapo wa hao walio wadogo, hamkunitendea mimi.
      [46]Na hao watakwenda zao kuingia katika adhabu ya milele; bali wenye haki watakwenda katika uzima wa milele.
      Yakobo 1:26-27
      [26]Mtu akidhani ya kuwa anayo dini, wala hauzuii ulimi wake kwa hatamu, hali akijidanganya moyo wake, dini yake mtu huyo haifai.
      [27]Dini iliyo safi, isiyo na taka mbele za Mungu Baba ni hii, Kwenda kuwatazama yatima na wajane katika dhiki yao, na kujilinda na dunia pasipo mawaa.
      Isaya 29:13
      [13]Bwana akanena, Kwa kuwa watu hawa hunikaribia na kuniheshimu kwa vinywa vyao, bali mioyo yao wamefarakana nami, na kicho chao walicho nacho kwangu ni maagizo ya wanadamu waliyofundishwa.
      Muwe na tafakari njema na Mungu awabariki, amina.

  • @batunirashidi1667
    @batunirashidi1667 3 ปีที่แล้ว +2

    Asante sn

  • @queenwere1
    @queenwere1 3 ปีที่แล้ว +9

    We as a people need to go back to the God of our ancient ones. Clearly religion has become a scam with the pastors using ancient ways to solve problems and telling us that we continue praying

    • @TricodMedia
      @TricodMedia  3 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisaaa

    • @LUPPER.
      @LUPPER. 3 ปีที่แล้ว

    • @adoniaceisaya700
      @adoniaceisaya700 3 ปีที่แล้ว

      @@LUPPER. Kazi ya kwanza Ni ufalme wa Mungu then Hao Wengine ambao hatujui hatima zao mfano mm Kama anaumwa akataka aombewe ombi la kwanza Ni aokoke Maana kupona asiwe na Yesu asilimia KUBWA wema wa Mungu waweza fanya mtu kuokoka!!!Huyo mchawi sio wakuamini na kwa Taarifa yake zaidi ya TB Joshua wanakuja kumaliza kazi kabla ya Mwenye kazi kurudi Sababu Shetani Ni mdanganyifu tu!!!!

  • @michelinemapendo6652
    @michelinemapendo6652 3 ปีที่แล้ว +4

    Alimwambiyatena bushiri mukewake atafariki kama ataki kutengeze mamboyake vizuri khaaa frimason khaaaa afazali nife maskini .Mungu alitwambiya tulekidogo yatoke kwa Mungu

  • @mwigarleysaid5406
    @mwigarleysaid5406 3 ปีที่แล้ว +6

    Hakika Yesu ni Mungu mbinu za Shetani hazina nafasi

    • @nathanichemelako7983
      @nathanichemelako7983 3 ปีที่แล้ว +1

      Acha kumchonga Nisha yesu na Mungu kwahiyo yesu akiwa Mungu tutakuwa na Mungu wangapi kumbuka kutoka 20:1

    • @fadhilikawambwa5159
      @fadhilikawambwa5159 3 ปีที่แล้ว

      @@nathanichemelako7983 hajitambui huyo.

  • @mand6029
    @mand6029 3 ปีที่แล้ว +2

    kaka jose asante sana kwa hii video clip

  • @mand6029
    @mand6029 3 ปีที่แล้ว +2

    kaka jose skill nashukuru kutuelimisha , watanzania tujivunie asili zetu, MUNGU wa kweli yupo katika asili zetu, na sio kuparamia imani za wazungu, kwani kupitia imani za wazungu ndiko shida na tabu za waafrika zianziapo maishani mwetu sisi na waafrika , na wale ni wazungu kila mtu ashike asili yake,

    • @TricodMedia
      @TricodMedia  3 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisaaaa

    • @nyetaapaul619
      @nyetaapaul619 3 ปีที่แล้ว +1

      Nyie achani kijifariji kwa ujinga huo, hakuna miungu ya asili na kufanya hivyo ni kumshirikisha Allah(S.W), Mungu ni mmoja tu aliyetuumba na kuiumba huu ulimwengu! Hawa wachungaji wanafanya shirki na malipo yao watayapata siku ya kiama! "Achani magugu yakuwe pamoja na ngano" na ndo kinaendelea sasa magugu ni mengi sana ila siku ya kiama yatakusanywa matiti matiti na kutiwa moto, Muabuduni Mungu wa kweli na wasikilizeni mitume wake wa kweli(Musa, Daud,Issa na mtume wa mwisho Muhammad (S.A.W) siku za mwisho zimekaribia bado ishara kubwa tu, ndogo ndogo zimeshaonekana kama hizo za wachungaji feki, Issa atakaporudi kuishi duniani atawashangaa!

    • @TricodMedia
      @TricodMedia  3 ปีที่แล้ว

      @@nyetaapaul619 ibrahimu Musa na yesu hawana uhusiano kabisa na mtume huo ni uzazi mwingine kabisaaa wa Ismail ambae alifuata dini ya mama yake ambae alikua ni mpagani

    • @TricodMedia
      @TricodMedia  3 ปีที่แล้ว

      Mpaka mtume anaingiza imani ya wapagani kwenye tamaduni za kiarabu hakuna kitu ambacho kiliongezeka kipya kipya zaidi ya tamaduni za kiarabu na imani za majini ambazo zilikua kwenye tamaduni za kiarabu kwaio ukweli wako sio ukweli wa dunia ni ukweli wa waarabu

    • @mand6029
      @mand6029 3 ปีที่แล้ว

      @@TricodMedia , elimu ni kuwa na kichwa wazi, ujinga ni kuwa na kichwa kimefungwa, watu wengi wamefungwa akili na nchi za nje, wakapokea ujinga walioleta kwetu afrika na kuukumbatia na hata kuishi maisha ya wageni hao, WAAFRIka tujivunie Uafrika wetu,

  • @melkizedekiwiliam5533
    @melkizedekiwiliam5533 3 ปีที่แล้ว +2

    Hongereen Kwa habar nzur

    • @TricodMedia
      @TricodMedia  3 ปีที่แล้ว

      Asante sanaaaaa

    • @doctorngowi4870
      @doctorngowi4870 3 ปีที่แล้ว

      Please lets keep in contact. Lets keep in touch

  • @samwesupa6906
    @samwesupa6906 3 ปีที่แล้ว +2

    Nawakubali sana

  • @nanagreco814
    @nanagreco814 3 ปีที่แล้ว

    Jaman somen UFUNUO '''' inasemaje! Wachungaji wanafuta wingi wa waumimini sio kuwafundisha watu neno la Mungu na kuuurithi UFALME wa Mungu '''' so kuweni makini na zichunguzeni izo roho '''

  • @zakariamaina9456
    @zakariamaina9456 3 ปีที่แล้ว +3

    Kiboko yao we kaka good job👏💪

  • @mucci_AI
    @mucci_AI 3 ปีที่แล้ว +7

    Daaah hii story tamu aiseee brother skills

  • @lenadikihulu1871
    @lenadikihulu1871 ปีที่แล้ว

    Namhiji sana nana kwangu bosam

  • @rwizgelgeorge144
    @rwizgelgeorge144 3 ปีที่แล้ว +5

    Tb si wa 2000 ni wa 90 na usipende kuwaongelea watumishi wa mungu so powa kabsa....

  • @evangelistdanielsenyagwa4018
    @evangelistdanielsenyagwa4018 3 ปีที่แล้ว +1

    Ndomana siachagi kufuatilia Tricod

  • @preciouslissahparis1352
    @preciouslissahparis1352 3 ปีที่แล้ว +2

    Nilikuwa namsikia tu,Kwaku BONSAMU,akijigamba kuhusu mambo mengi,nashukuru umetufahamisha yeye in nani,

  • @joyokumu6791
    @joyokumu6791 3 ปีที่แล้ว +4

    254 Tunataka uandae ja prophet Dr Owuor

    • @dorkam6555
      @dorkam6555 3 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂

    • @TricodMedia
      @TricodMedia  3 ปีที่แล้ว +1

      Tutamcheki

    • @joyokumu6791
      @joyokumu6791 3 ปีที่แล้ว

      @@TricodMedia ok. Tunasubiria👏👏

    • @joyokumu6791
      @joyokumu6791 3 ปีที่แล้ว

      @@dorkam6555 yea, ama aje?

    • @jossyayielo7576
      @jossyayielo7576 3 ปีที่แล้ว

      Asante Kwa kuuliza🇰🇪🇰🇪

  • @rwizgelgeorge144
    @rwizgelgeorge144 3 ปีที่แล้ว +4

    Enough and enough ...Jesus is powerfully.usimfanye yesu kuwa mdogo maana kwanni unahitaji watu wasiamini nguvu ya mungu kashifa kitu cha kawaida na acha watumie Giza maana hata yesu aliambiwa anatoa pepo kwa guvu ya mkuu wa mapepo hivo ......holysprit is working usichanganye bro na wise man wamekuwa na ndo maana walienda kuanzisha kanisani tena kwa sapoti ya tb mwenyewe na bado walikuwa wakienda kwa tb na John chi alikuwa ameonana NAE wakati tb anakaribia kuondoka na hurry bado wako kwa tb hzo habari unamsifu mganga sio powa bro

    • @fadhilikawambwa5159
      @fadhilikawambwa5159 3 ปีที่แล้ว

      kwanini kwenye mechi ya nana wachungaji hawatokei?kama muongo

    • @abbiecox1
      @abbiecox1 ปีที่แล้ว

      MTAENDELEA KUUPIGWA HELA MPAKA MKOME

  • @odhiaodhia9898
    @odhiaodhia9898 3 ปีที่แล้ว +3

    Story nzuri sana hii

    • @TricodMedia
      @TricodMedia  3 ปีที่แล้ว

      Asante sanaaaa

    • @michelinemapendo6652
      @michelinemapendo6652 3 ปีที่แล้ว

      Kabisa Tb Joshua, watu hawajitabuwi ila kina ufrimason kubwa

  • @cyrekaaikanem7735
    @cyrekaaikanem7735 3 ปีที่แล้ว +2

    Mi naona hapa na waandishi wengi na watu wengi ,kama shetani anatukuzwa sana.inaniuma napoona kuwa kwa sehemu kubwa ni Kama Mungu hana nguvu,kama Mungu hawezi kufanya miujiza bali shetani.tu. kwani kila mchungaji anayefanya miujiza imeonekana anatumia nguvu za giza.
    Kana kwamba Mungu hawezi kutenda miujiza.

  • @rosepeter8996
    @rosepeter8996 3 ปีที่แล้ว

    nimebakia kuimba ule wimbo wa GOD is watching from a distance;.the judgment is waiting for the sinners.wakiwa hapa duniani wanafikiria hawatokufa.lakini mwishowe,......hukumu ipo sana.

  • @mwigarleysaid5406
    @mwigarleysaid5406 3 ปีที่แล้ว +1

    Video zao ziko wapi Sasa hao wachungaji mbona hakuna ushahidi wowote

  • @mand6029
    @mand6029 3 ปีที่แล้ว +2

    Watanzania na waafrika wote watambue kwamba katika asili ya mtu, ndipo kuna nguvu kubwa sana , amini usiamini ipo hivyo, wazungu wameleta imani za kuwapotezae waafrika muda wao na nguvu za kiasili, najivunia kuwa mwafrika ambaye natambua asili yangu

  • @alirukia1777
    @alirukia1777 3 ปีที่แล้ว +1

    👩‍❤️‍💋‍👩👩‍❤️‍💋‍👩

  • @lucypaul6890
    @lucypaul6890 3 ปีที่แล้ว +1

    Mimi naomba story yahoo wasaidizi wake

  • @margaretokuku5990
    @margaretokuku5990 3 ปีที่แล้ว

    Usimuhumu.mtu.wa.mungu.myngu.ndiye.mwe.nye.uwezo.halafu.wacheni.kuwachufua.watumishi.wa.mungu.chunga.mungu.anawaona.siku.moja.mtatoa.hesabu.mbele.ya.mungu

  • @kelvinmarvellous8575
    @kelvinmarvellous8575 3 ปีที่แล้ว +2

    Kila ukionacho au usikiapo hapa duniani basi kitazame na usikilize kisha sali sana

  • @berthamghanga1093
    @berthamghanga1093 3 ปีที่แล้ว +1

    Haya mambo ni mazito kwa kweli.

  • @aishabrondi236
    @aishabrondi236 3 ปีที่แล้ว +4

    Dunia nzima wachungaji feki niwengi mnooo hâta huyo wanaigeria sikuwahi kumuamini

    • @charlesmapunda5905
      @charlesmapunda5905 3 ปีที่แล้ว

      Kweli kwa mtazamo wako hukuweza kumkubali lakini hushawahi kujiuluza kwanini huyu TB Joshua katikisa Dunia nzima? Kwakutumia nguvu ya Yesu? Duniani kuna Taifa la Izrael linajulikana Dunia nzima kwa misimamo na matukio ya Kinabii lakini kwa TB Joshua walimvulia kofia na Serekali wakampa mpaka tuzo, ni nani mwingine alisha tokea hivi karibuni ambae anaushawishi kama huyu?
      Nabii huwa hawakubaliki miaka yote, kumbuka hata Musa Yesu na Mtume Muhamad wote hawakukubalika mpaka walipo kufa ndio wanakubalika mpaka leo

    • @aishabrondi236
      @aishabrondi236 3 ปีที่แล้ว

      @@charlesmapunda5905 unaandika waraka kweli 🤣lazima dunia nzima aitikise kwauongo naupotovu kifochake nichakuacha maswali mengi mnoo nasema naninasema yule alikuwa feki tena feki watu kama mnafungwa huwaga hamjuwi kwamba mmefungwa naminyororo yashetwani

    • @aishabrondi236
      @aishabrondi236 3 ปีที่แล้ว

      @@charlesmapunda5905 wewe mpuuzi tuu unabii kaupewa nanani?hâta wewe pita njia zako unazo zijuwa uone kama hautapotosha watu kwakujiita nabiii duuu dunia tutaona mengi kuliko kumtegemea mungu unamuamini mtu kisa yamiujiza kapewa nashetani mnakuwa mnawapa ukubwa binaadamu kuliko kumpa ukubwa mungu

    • @charlesmapunda5905
      @charlesmapunda5905 3 ปีที่แล้ว

      @@aishabrondi236 Nilijua nachati na mtu mwenye Akili kumbe nimeingia chaka basi samahani dada

    • @ivanf.lekule5618
      @ivanf.lekule5618 3 ปีที่แล้ว +1

      @@charlesmapunda5905 huyo Alishawahi sema Hilary Clinton atakuwa raisi ila ikaenda kinyume, ashawahi tabiri mwaka jana ndo mwisho wa Corona ila wapi. Israel ni sehemu patakatifu ila hamna watakatifu. Kama mwaka kulikuwa na maandamano ya ushoga israel sasa unazani kuna nini?

  • @preciouslissahparis1352
    @preciouslissahparis1352 3 ปีที่แล้ว +2

    Tuendelee na tb Joshua, na hao wiseman wake

  • @faithijegwa3592
    @faithijegwa3592 3 ปีที่แล้ว

    Injili lazima ihubiriwe tu pigeni Vita Watumishi tunaelewa nyakati za mwisho. Hata wewe mtangazaji Yesu anakuhitaji

  • @navokisembo
    @navokisembo 3 ปีที่แล้ว +2

    So sad jamani tusiangamie kwa kukosa maarifa. Mungu atuokoe na hizi nguvu za giza.

  • @williamjob9889
    @williamjob9889 3 ปีที่แล้ว

    Unanifungua sana kichwa changu ndugu mtangazaji, tupe muhendelezo wa utumishi wa TB joshua

  • @doctorngowi4870
    @doctorngowi4870 3 ปีที่แล้ว +1

    Je Tanzania wapo?

  • @christianmwasakogo5579
    @christianmwasakogo5579 3 ปีที่แล้ว +1

    Unaelimisha vizuri sir ila Huyo nana ni tapeli na mhuni fulani tu hivyo apuuzwe,hata wew ukifanikiwa kuna watu watatafuta kick kuwa wamekufanikisha ili wapate umaarufu kama Mimi muongo tajirika uone

  • @iddywangu737
    @iddywangu737 3 ปีที่แล้ว +4

    Nime kua wa kwanza leo

    • @TricodMedia
      @TricodMedia  3 ปีที่แล้ว

      Hahahaha umetisha sanaaa asante sanaaaa

  • @doctorngowi4870
    @doctorngowi4870 3 ปีที่แล้ว +1

    Do you meam TB joshua will be live again

  • @jumakassim8718
    @jumakassim8718 3 ปีที่แล้ว

    Daaah hii hatari sasa dunia imetuhadaa sana

  • @Performer_X
    @Performer_X 3 ปีที่แล้ว +1

    We ni mpumbavu
    Ujui unayoyasema
    Nenda kalale
    Au Una tafuta umaarufu
    Mungu akusamehe.
    Ala

  • @florencemushi6561
    @florencemushi6561 3 ปีที่แล้ว +1

    Angekuwa na hiyo power, Ghana ingekuwa inashida world cup. Acheni uongo

    • @Michoarbah
      @Michoarbah 3 ปีที่แล้ว

      😂😋😂😂😂😂😂

  • @edimundelfazi5049
    @edimundelfazi5049 3 ปีที่แล้ว +2

    ukitaka laana wew zungumza juu ya watumishi kwasababu wew hakuwaita watumish bali yesu ndie atakayewahukumu basi

  • @ramadhaniseifuledi513
    @ramadhaniseifuledi513 3 ปีที่แล้ว +1

    Nakuelewa sana mkuu ni shida

  • @whitebridge-qv5jx
    @whitebridge-qv5jx 3 ปีที่แล้ว

    Tuendelee na stori za ao wisemen

  • @bupepastryions0p068
    @bupepastryions0p068 3 ปีที่แล้ว +1

    Duuh

  • @michelinemapendo6652
    @michelinemapendo6652 3 ปีที่แล้ว +2

    Watumishi wamungu wakweli hasasikilikanaki nakuwapata ninguvu ,ila watumishi waduniya khaaa nirahisi munu kuwapata

  • @navokisembo
    @navokisembo 3 ปีที่แล้ว +2

    Malizia TB Joshua na hao watumishi wanne

  • @hardd2497
    @hardd2497 3 ปีที่แล้ว

    Nina maoni tofauti na haya. Kwanza kabisa msimuliaji ameonyesha BIAS ya wazi kabisa akionekana na yeye hamkubali TB joshua(49:43). Utaona kuna eneo hatumii maelezo ya huyo "shetani wa Jumatano" ili kumshambulia tB Joshua. Bali anaweka maoni yake binafsi akimtuhumu TB Joshua.(49;42) kama preamble. Kitu kinachoonyesha msimuliaji anamuamini zaidi huyu mChawi kuliko TB Joshua.
    Japokua simuamini Tb Joshua 💯 lakini nitamtetea kwa kusema Msimulizi ni mdau mwaminifu wa huyu Mchawi. Na ni mtu asiyempenda TB Joshua. Hivyo yuko tayari kuchukua taarifa za uzushi dhidi ya Tb Joshua kwa hali yoyote ile.
    Kuhusu WIseMEN WAPO hapo SCOAN. Na mara nyingi "Wiseman Harry"(huyo mwenye muonekano kama muhindi).amekua akihudumu hapo baada ya TBjoshua. Kuna kitu wanaita investigative journalism. Msimuliaji unatakia kujitahidi kutafiti kidogo ndipo uhadithie bila upendeleo.
    Msimuliaji anasahau kwa makusudi kua Huyo wizard alisema CR7 hatacheza mechi ya Ghana(Dk 28:14)
    kwasababu ya maumivu. Lakini UKWELI MCHUNGU ni kua CR7 aliweza kucheza uwanjani kwenye mechi ya Ghana na kibaya zaidi alifunga Goli. Kwahiyo mtakubaliana nami kua nguvu za huyo wizard (Nana kwanku bosam ) hazikufanikiwa.
    Mwishowe, katika Ukristo hakuna mahali Panapomtaka kiongozi wa dini akutane na mchawi ili kushindana Nguvu. Kwa wale manabii wa kweli wanatambua kua Utukufu wa Mungu hauendi kwa Mwanadamu.
    Kwahiyo huyo Wizard alitakiwa afanye maamuzi dhidi ya huyo mtumishi ili kuthibitisha uwezo wake. Na sio vinginvevyo.
    FINAL THOUGT
    Mara nyingi watu hueleza vitu wakionyesha upendeleo kwa yale wanayotamani hata kama Ukweli halisi hauwapeleki kule wanakotamani. Ndivyo ninavyoweza kumuelezea msimulizi wa hii habari.

  • @thomaslonusamuel5766
    @thomaslonusamuel5766 3 ปีที่แล้ว +4

    Tumalizane kwanza na TB Joshua

  • @hassanrashid8182
    @hassanrashid8182 3 ปีที่แล้ว

    Hizi Zama Ni za Mungu manabii wauongo lazima wafutwe ili wabaki manabii wa kweli

  • @greatest_of_africa
    @greatest_of_africa ปีที่แล้ว

    Say African power n usiseme nguvu ya giza

  • @brigitakawau8500
    @brigitakawau8500 3 ปีที่แล้ว +1

    Ila mtoto wakike wa Tb Joshua kajakufunga ndoa Arusha ya kanisa katoliki baada yakufunga ndoa ya kimilila huko kwao Kweli baba hajaudhuria kwenye hausi zaidi yamama na mwanae alisema anaweza kubadilisha Dini nayeye kumfwata mumewe mana walifunga ndoa tofauti yani kilammoja kabaki kwenye dini yake

  • @abezadamuor7358
    @abezadamuor7358 3 ปีที่แล้ว +2

    Nakubari sasa kaka nimefurahi 👍👍👍

    • @TricodMedia
      @TricodMedia  3 ปีที่แล้ว

      Asante sanaaaa

    • @therealvoicechurch6855
      @therealvoicechurch6855 3 ปีที่แล้ว

      Hamjui kama hamjui siku mkijua ndio mtajua kama mlikua hajuii... Yesu ndio hasili yanguvu zoteee Nimfalme alishinda kashinda na atashinda

    • @user-yw8pc8qx6y
      @user-yw8pc8qx6y 2 ปีที่แล้ว

      unasemaje wewe uliona ama uliambiwa

    • @user-yw8pc8qx6y
      @user-yw8pc8qx6y 2 ปีที่แล้ว

      🙏🙏🙏 wacha uongo

    • @user-yw8pc8qx6y
      @user-yw8pc8qx6y 2 ปีที่แล้ว

      mungu anakuona

  • @berthamghanga1093
    @berthamghanga1093 3 ปีที่แล้ว +1

    Hapo pakumroga Christiano Ronaldo pameniacha hoi,Mungu nae akatenda yake, pumbavu zake huyo mrogaji, wamekosa wote.

  • @preciouslissahparis1352
    @preciouslissahparis1352 3 ปีที่แล้ว +1

    Daaa,yaaan,ninacheka saana,kuhusu hii,mipambano,wachungaji hawatokei,ahaaaaaa.MUNGU TUSAIDIE

  • @tenetene2002
    @tenetene2002 3 ปีที่แล้ว

    Wachieni mungu kazi yake kwani mungu kawasaki kazi yakuukumu wacheni tabia za virauni

  • @haikha-vn8sb
    @haikha-vn8sb 3 ปีที่แล้ว +1

    Iko vzur kaka tupe zengn

    • @TricodMedia
      @TricodMedia  3 ปีที่แล้ว +1

      Zinakuja nyingine nzuri zaidi

  • @filbertshoo8304
    @filbertshoo8304 3 ปีที่แล้ว +3

    Nahitaj kuwepo whatsp..,shusha nondo za kuhusu huyu Tb Joshua ..,

    • @TricodMedia
      @TricodMedia  3 ปีที่แล้ว

      Karibu sanaaaaa

    • @TricodMedia
      @TricodMedia  3 ปีที่แล้ว +1

      Group lipo nicheki Watsap 0713728986 karibu

  • @verityngoda268
    @verityngoda268 ปีที่แล้ว

    Tuende-Lee Na Tb Joshua

  • @jumahassan273
    @jumahassan273 3 ปีที่แล้ว

    Mzee iz dakk za video ungekuwa unaziweka dakk 10 tu ili tuweze kufatilia nyingine ila iz dakk 40 na ah utakosa watazamanyi

  • @incredibledanceteam8425
    @incredibledanceteam8425 3 ปีที่แล้ว +1

    Pls tuma number ya watsup Jose nataka kuregister na kujoini

    • @TricodMedia
      @TricodMedia  3 ปีที่แล้ว

      Watsap +255 713 728 986 karibu sanaaaaa

  • @mhiluhizza1249
    @mhiluhizza1249 2 ปีที่แล้ว

    Mi sijaelewaa..anamsifia huyu mganga au anatoa Siri za wachungaji..........sijaelewaa..auu mtangazaji na muhumini wa huyu mganga

  • @daphnedaphne1512
    @daphnedaphne1512 3 ปีที่แล้ว +4

    First l love TB joshua. He is the true man of God. I will surely miss TB joshua.

    • @melkizedekiwiliam5533
      @melkizedekiwiliam5533 3 ปีที่แล้ว +4

      There is big secret behand Tb Joshua.

    • @lifeoflimitlessvibez
      @lifeoflimitlessvibez 3 ปีที่แล้ว +1

      Not quite man of God. Stop following a mere man but rather follow the Gospel.

    • @aidanmbilinyi8184
      @aidanmbilinyi8184 3 ปีที่แล้ว

      How sure a man from God ,dont be a brain worshiper find God and not follow a person created by God i wish happy life

    • @rehemakipesile4930
      @rehemakipesile4930 3 ปีที่แล้ว +1

      It's not your fault, you have brainwashed!!😔😔😔

    • @Mazoea
      @Mazoea 2 ปีที่แล้ว

      @@melkizedekiwiliam5533 He was under Masonic

  • @afamefunaokeke6966
    @afamefunaokeke6966 3 ปีที่แล้ว

    mnachosha sasa ili mrithike ni nguvu za giza .....mmeshinda mmale unono..na msomeshe

  • @shilangida4330
    @shilangida4330 3 ปีที่แล้ว

    Ukimaliza kusimulia hii story ya wenzio usisahau na yako pia

  • @cydrahope5251
    @cydrahope5251 3 ปีที่แล้ว

    Kila neno analotamka mtu atatoa hesabu yake mbele ya Mungu

  • @allanalex8822
    @allanalex8822 3 ปีที่แล้ว +2

    Tukimaliza hapa twende marekani kwa kina jay z

    • @TricodMedia
      @TricodMedia  3 ปีที่แล้ว +1

      Sawa sawa kuna story niliziachia kati za jay z umetisha sanaaa tukimaliza hapa tunaenda kwa jay z

  • @macrinajoseph1422
    @macrinajoseph1422 3 ปีที่แล้ว +1

    Wagana Ana mke.na.kanisa kubwa anamiliki. Wote Wana huduma. Wanamakanisa tuhuma hizo za Joshua za uwongo

  • @yohanakaini
    @yohanakaini 3 ปีที่แล้ว

    Tupe hiyo stiri ya wise men

  • @shebybruce4718
    @shebybruce4718 3 ปีที่แล้ว +1

    Kaka unazingua hujamaliza stori ya bruce lee mbona

    • @TricodMedia
      @TricodMedia  3 ปีที่แล้ว +1

      Ilikua inaangaliwa na watu wachache sana nikaona niipe muda kwanza

  • @josephkmarwa7425
    @josephkmarwa7425 3 ปีที่แล้ว

    Sinan dini. Ila. Naamini . Mungu
    Dunia .
    Ya sasa nipesa

  • @bensonmwangi1815
    @bensonmwangi1815 3 ปีที่แล้ว +3

    Nipereke kwahuyu mbabu

  • @mathsfinalconsultant227
    @mathsfinalconsultant227 3 ปีที่แล้ว +1

    Si Leo nimo Mapema 😹😹

    • @TricodMedia
      @TricodMedia  3 ปีที่แล้ว

      Hahahahahaha umo mapema sanaaaa

  • @achsahcharles6728
    @achsahcharles6728 3 ปีที่แล้ว +1

    Lakini pia inaonekana Nana anapenda sana sifa na anatafuta umaarufu kwa nguvu , mfano huyo mchungaji aloenda kumvamia, alisema ni kweli alienda kuchukua hilo dude but likawa halifanyi kazi, akampigia Nana na kumwambia dude lako halifanyi kazi nataka kulirudisha nimtumikie Mungu kweli, Nana akaanza kumkwepa, akawa akienda hamkuti, akamblock afu from the blue ndo anaibuka na police na waandishi. Kwanini alikua anakwepa dude lake na mchungaji alikua na ushahidi wote wa namna Nana alikua anamkwepa. Yeah probably ana hayo mavitu but he is exaggerating his power kupata wateja

    • @TricodMedia
      @TricodMedia  3 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisaaaaaaa

    • @aidanmbilinyi8184
      @aidanmbilinyi8184 3 ปีที่แล้ว

      Iv mchngj aliend kulifata kwaajl gn afu waumin wamueleweje

    • @aidanmbilinyi8184
      @aidanmbilinyi8184 3 ปีที่แล้ว

      Sasa huyo n mchungj kweli mhh kwa alichokifnyaa mh

  • @bensonmwangi1815
    @bensonmwangi1815 3 ปีที่แล้ว +2

    Nataka kuyanjuwa vuzuli

    • @zuleyvendor6577
      @zuleyvendor6577 3 ปีที่แล้ว

      Wewe ni mrundi etiii 😂😂😂😂

  • @unjushekimweri6787
    @unjushekimweri6787 3 ปีที่แล้ว +1

    Alfu wengi wao hao ma prophet kwann wanafuga Afro hapo kuna Siri kubwa nahisi

    • @TricodMedia
      @TricodMedia  3 ปีที่แล้ว

      Hahahahaha kweli kabisaa

  • @benjaminchakwe6689
    @benjaminchakwe6689 3 ปีที่แล้ว

    Uo ni uongo ao kina ronaldo ni mafreemason nashangaa unaleta upuuzi apa

  • @davidrugendopatrick7944
    @davidrugendopatrick7944 3 ปีที่แล้ว

    Kama wamekuali kubandilika na kutubu dhambi zao wasameewe na waokoke

  • @johnbow3716
    @johnbow3716 3 ปีที่แล้ว +1

    This is wonderful but it's not good for you to ly people

    • @Samix201
      @Samix201 2 ปีที่แล้ว

      Ok bring the truth then

  • @happinessmwenda2773
    @happinessmwenda2773 3 ปีที่แล้ว

    KAZI YA MUNGU HAIAGA MASHINDANO.

  • @espoirhodja9904
    @espoirhodja9904 ปีที่แล้ว

    Kama awo uliyo wataja wameenda kwake uyo nana