HATUA 5 ZA TATIZO LA AFYA YA AKILI | Deo Sukambi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ย. 2024
  • Karibu katika kipindi cha UPONYAJI WA FAMILIA na Pastor Deo Sukambi. Leo tunajifunza HATUA 5 ZA TATIZO LA AFYA YA AKILI
    Kwa ushauri nasihi piga +255 746 104 034 au e-mail booking@deosukambi.com
    Unaweza Kusapoti huduma hii
    TIGO PESA +255 715 104 034 (DEOGRATIUS SUKAMBI)
    M PESA +255 746 104 034 (DEOGRATIUS SUKAMBI)
    Endelea kunifuatilia kwenye kupitia
    / deosukambi
    / deosukambi
    / deosukambi1
    Usisahau ku subcribe kwa mafundisho zaidi
    / @deosukambi
    Deo Sukambi is Counselor | Mentor | Pastor | Public Speaker | Corporate trainer | Author
    #DeoSukambi #Familia #Malezi #Watoto #Ndoa #Mahusiano

ความคิดเห็น • 8

  • @aishahakizimana1990
    @aishahakizimana1990 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ahsante sana kwa somo zuri...ubarikiwe🙌.
    Nadhan mdogo wang amefikia stage 4😅 . Naomba Mungu asione hii comment😊😂

    • @DeoSukambi
      @DeoSukambi  3 หลายเดือนก่อน

      Umeificha sana hawezi kuiona😂😂

  • @mutsuvaadamofficiel3508
    @mutsuvaadamofficiel3508 2 หลายเดือนก่อน

    Pastor naona una tuelewa vizuri na tunashukuru kwa maada ya Léo.mimi niko Congo.ila nimefata hatua zote na nimejukuta kati ya zote.ila kwangu kuna différence kwa tabia zengine.na nimejaribu kukutana na wauguzi lakini hawanielewi kiasi ya namna wewe una nielezea vizuri Sanaa.hapo sasa sijueee nifanye je

  • @mutsuvaadamofficiel3508
    @mutsuvaadamofficiel3508 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nataka musaada wa kisaikolojia, sijue ni upate je ? Na kama kuna vidonge vya kutumia na vihitaji

    • @DeoSukambi
      @DeoSukambi  2 หลายเดือนก่อน

      Kwenye saikolojia hatutoi vidonge bali tunatoa ushauri nasihi..wasiliana nasi kwa whatsap +255786903727

  • @Coachsamwel
    @Coachsamwel 3 หลายเดือนก่อน

    Nimeelewa sana aisee.. huku mtaan watu wengi sana wako na changamoto hizi..
    Swali je hawa wenye psychiatric mahospitalin yaan waliofikia hatua ya kuchanganyikiwa wanakuwa stage hiihii ya 5? Ama ni tatizo lingine kabisa

    • @DeoSukambi
      @DeoSukambi  3 หลายเดือนก่อน +1

      Mara nyingi Psychiatric kama haina uhusiano na substance abuse disorder basi inakuwa ni stage ya 4 ambayo victim amekosa copy mechanism ya kumsaidia kusurvive..mara nyingi stage ya 4 ikikomaa ni aidha itamlazimu aende stage ya stage as a way of surviving or impeleke kwenye paychiatric situation

    • @Coachsamwel
      @Coachsamwel 3 หลายเดือนก่อน

      @@DeoSukambi ahaaa nimekupata vizuri mkuu.. kwakwel hii video inatakiwa iwafikie wengi sana maana tatizo ni kubwa kabisa 😀