MWANAMKE ANAEMILIKI NYUMBA YA MILIONI 200 "SIMU YANGU IMENIPA VYOTE"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 892

  • @iddiking6963
    @iddiking6963 4 ปีที่แล้ว +732

    Km na ww unaamini ipo
    Siku utamiliki mjengo km huu twende kazi🙏🙏🙏🙏🙏🙏

    • @bensonsamwel4930
      @bensonsamwel4930 4 ปีที่แล้ว +2

      Hongeradada elimu imekukomboa

    • @abuuchaula6961
      @abuuchaula6961 4 ปีที่แล้ว

      Me siwez buana

    • @davidchiwawa3702
      @davidchiwawa3702 4 ปีที่แล้ว +1

      Du. Mungu atuongoze na sisi tufuate nyayo zake tufanikiwe

    • @iddiking6963
      @iddiking6963 4 ปีที่แล้ว

      Abuu Chaula kwnn

    • @jacksonkinange4605
      @jacksonkinange4605 4 ปีที่แล้ว

      Chukua hatua mapema kwasababu kuna kampuni inakua kwa kasi mno

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 4 ปีที่แล้ว +289

    I pray whoever watching this sister what's she said gonna gets successful before ending of 2019🙏.

  • @magretelias4746
    @magretelias4746 4 ปีที่แล้ว +155

    Ee mungu nijalie na mm nimiliki nyumba yangu ongela Dada

    • @molaizer992
      @molaizer992 4 ปีที่แล้ว +2

      Magret habar naitwa kingmasai nataka nikuonyeshe njia aliyotumia huyu dada kufikia malengo yako njoo online 0692823933

    • @neemambisse7041
      @neemambisse7041 4 ปีที่แล้ว +2

      Naona wako very makini kwe kukuingiza just be careful

    • @elizabethm6671
      @elizabethm6671 4 ปีที่แล้ว +2

      @@molaizer992 hi,naweza fanya nikiwa Kenya?

    • @molaizer992
      @molaizer992 4 ปีที่แล้ว +1

      @@elizabethm6671 yap unaweza kufanya coz tuna ofisi yetu uko njoo WhatsApp 0692823933

    • @molaizer992
      @molaizer992 4 ปีที่แล้ว

      @@elizabethm6671 Hello Mrs

  • @aminashabani5399
    @aminashabani5399 4 ปีที่แล้ว +116

    Hakika hongera sana, unatuhamasisha kumiliki mjengo wa hivyo! But daima kuna siri katika maisha ya watu

    • @daudichawo240
      @daudichawo240 4 ปีที่แล้ว +4

      Umeona ehhee wawez sema vyote

    • @happinessjoseph2431
      @happinessjoseph2431 4 ปีที่แล้ว +5

      1000% true kabisaa sema tu ndo watu huwa hawasemi hizo siri japo wamepitia changamoto nyingi sana

    • @daudichawo240
      @daudichawo240 4 ปีที่แล้ว +6

      @@happinessjoseph2431 wanatudanganya tu,😀😀😀🤣

    • @jacksonkinange4605
      @jacksonkinange4605 4 ปีที่แล้ว +2

      Hakuna cha siri wengi wenu mnamitazamo hasi mimi nami pia nafanya Biashara ya Mtandao na waganda sasa hivi wanatengeneza pesa now Tanzania tayari kuna kampuni inakua kwa kasi mno kwa muda wa mwaka mmoja tu Watanzania wengi zaidi ya 70,000
      Tayari wanafanya huo mradi kama unataka kufahamu weka Comment yako hapa

    • @godfreywilliam9673
      @godfreywilliam9673 4 ปีที่แล้ว +1

      @@jacksonkinange4605 naomba unipe binu ndugu

  • @blessilaluambano1492
    @blessilaluambano1492 4 ปีที่แล้ว +3

    Kwa kweli nimeamini binadamu tunashida.kasha waambia network marketing na zipo nyingi sana Tena zinazouza bidhaa za afya zipo juu sana Kun Kam hazijui ngoja niwatajie Kuna neolife, forever,oriflame, alliance global ,bf Suma na zingine nyingi na watu wanafanya maendeleo makubwa mnooo.endeleeni kufikiria upuuuz upuuuz tu eti uchawi ndo mnavyosababisha Mungu aendelee kumbariki zaidi kwa fikra zenu mbovu

    • @momrackonlinetv4352
      @momrackonlinetv4352 4 ปีที่แล้ว

      Bora umeongea ndugu yangu maan elimu ya mjinga ni majungu ,

  • @kibasamohamedi8029
    @kibasamohamedi8029 4 ปีที่แล้ว +6

    Hosiana Sanga. Hongera Sana class mate wangu

  • @shakiramwinjuma1338
    @shakiramwinjuma1338 4 ปีที่แล้ว +3

    Hongera sana Dada Hosy .... Mungu akubariki mama .... Umetusaidia wengi kupitia biashara yako hakika hatuwezi kukusahau

  • @bonifacefrancis51
    @bonifacefrancis51 4 ปีที่แล้ว +103

    Sija elewa ata kidogo kama kuna MTU ajaelewa kama Mimi weka leke tujuane

    • @sekelamwasumbi7653
      @sekelamwasumbi7653 4 ปีที่แล้ว

      Boniface Francis aisee mwenyew ntafanya network marketing bro of coz it really kama unataka kuhakikisha find me 0684433389

    • @celinelawrence2015
      @celinelawrence2015 4 ปีที่แล้ว +1

  • @jazzymkalitv5535
    @jazzymkalitv5535 4 ปีที่แล้ว +5

    Sijaelewa chochote kile. Nimeelewa mauza uza tu. Hajaelezea ni biashara gani imemtoa kimaisha. Westing of the time.
    Hongera zake kwa nyumba nzuri.

    • @ramadhanshekibulah8806
      @ramadhanshekibulah8806 4 ปีที่แล้ว

      Njoo nikuelkzee 0716799949

    • @josephatmruma7652
      @josephatmruma7652 4 ปีที่แล้ว

      Hukutaka kuelewa cz ulikua na mauza uza akilin mwako..

    • @georgendenga7163
      @georgendenga7163 4 ปีที่แล้ว

      Elezea katika lugha ambayo bibi yako wa kule Magubike ataelewa!

  • @thebisadorychannel7574
    @thebisadorychannel7574 3 ปีที่แล้ว +2

    You have inspired me me a lot.You are a blessed beautiful Woman.❤

  • @afamatv4848
    @afamatv4848 4 ปีที่แล้ว +3

    Hongera dada kwa kujenga nyumba yako. Kwa vijana wenzangu, hakunaga kitu kinaitwa biashara ambayo ni rahisi eti unachota pesa njenje. Hata hiyo unayoifanya na ukaiona ni ngumu kama vile haina faida endelea nayo hivohivo kuna siku na wewe utasimulia. "No pain no gain"

  • @zaheernakhwa903
    @zaheernakhwa903 4 ปีที่แล้ว +32

    Hongera sana Allah akuzidishie na sis mungu atufungulie njia ya maisha

  • @ashaally6993
    @ashaally6993 4 ปีที่แล้ว +41

    Hujafafanua vizuri dada unaenda mbele na kurudi nyuma...ila hongera!

    • @rosemuba2532
      @rosemuba2532 4 ปีที่แล้ว +3

      Kuna kitu anetuficha bana sio kweli

    • @nadiafataki8118
      @nadiafataki8118 4 ปีที่แล้ว

      Well done mom

    • @ashaally6993
      @ashaally6993 4 ปีที่แล้ว +1

      @@rosemuba2532 Kabisa

    • @credo7837
      @credo7837 4 ปีที่แล้ว +1

      Kabisa

    • @ashaally6993
      @ashaally6993 4 ปีที่แล้ว +1

      @@rosemuba2532 umeona eee! Mimi mwenyewe sijamsoma kabisa!

  • @deboracharles2433
    @deboracharles2433 4 ปีที่แล้ว +3

    Namjua nimesoma nae hongera hosiana nimefurahi kusikia haya anatokea iringa flelimo nakujua best

  • @didaamohsin6594
    @didaamohsin6594 4 ปีที่แล้ว +2

    Yaani hongera dada..umetufunza kitu..never give up...Ktk Maisha lazima kujituma

  • @user-sz8ct3ni9z
    @user-sz8ct3ni9z 4 ปีที่แล้ว +8

    Masha Allah.hongera sana.ya.rabi.nijaliye.namimi.nipate.inshaallah

  • @viniaskadunda5768
    @viniaskadunda5768 4 ปีที่แล้ว +36

    Biashara usimama kama kigezo ila kuna siri hipo katika maendeleo ya mtu japo biashara husaidia wengi.

    • @Bosman.cookingforyou
      @Bosman.cookingforyou 4 ปีที่แล้ว

      Ninaifanya biashara hiyo na niko tayari kumuelekeza yeyote ambaye anapenda ifanya. +4591664008. I'm in Denmark

    • @esterelias8189
      @esterelias8189 4 ปีที่แล้ว +1

      Umeona kuna siri kubwa mno tusidanganyike sio kirahisi

    • @balbinatarimo6247
      @balbinatarimo6247 3 ปีที่แล้ว

      Ndo mawazo yenu yalivyo me mwenyewe nimejenga kwakujinyima ila akilifinyu za watu Kama ninyi wakaanza nimejengewaa

    • @sabrinasab2910
      @sabrinasab2910 3 ปีที่แล้ว

      Umeona eee UKWELI hawasemi

    • @josephatntilumela4594
      @josephatntilumela4594 3 ปีที่แล้ว

      @@balbinatarimo6247 naomba namba yako mana namimi naitaji kujibana bana nijenge yang ni 0652889952

  • @salymkitumbika8644
    @salymkitumbika8644 4 ปีที่แล้ว +3

    Mkinga on point, Huwa hatutoki kwenye Key haswa kuhus mapambano ya kusaka Dough.

  • @johnjames2430
    @johnjames2430 4 ปีที่แล้ว +24

    Wewe mtangazaji unafaa kuripoti habari za mahakamani ndiyo unapofiti

    • @shemsaomar6498
      @shemsaomar6498 4 ปีที่แล้ว

      hongera Dada mungu akubariki kwamjongo

    • @annaphilly1967
      @annaphilly1967 4 ปีที่แล้ว

      Yaan mimi ata anakofit cjapaona maana hajui ata kuuliza maswali

    • @yusrahemed21
      @yusrahemed21 4 ปีที่แล้ว +1

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @abu_bakr7518
      @abu_bakr7518 4 ปีที่แล้ว +1

      @@annaphilly1967 😂😂watanzania nyi hunibamba.Love all the way from Nairobi💜

    • @faridamahamy3600
      @faridamahamy3600 4 ปีที่แล้ว +2

      Comment yk imenfny nimfahm huyu mtangzj,kumb ndo yule amby huw anatusomea hbr za kimahakama

  • @amanimanase5794
    @amanimanase5794 4 ปีที่แล้ว +1

    Kumbe mtu mwenyewe ana ajira yake safi na kapigwa tafu ni ajira akapata mtaji na kuendesha biashara zake vzr mpk kufikia alipo,so mkizungumzia kupata pesa kupitia mtandaoni bado hajelezea vzr kwaiyo cha msingi ni kujua tu hapo alipo elimu imechangia pamoja na biashara

  • @sweetyjanne255
    @sweetyjanne255 4 ปีที่แล้ว +2

    Dada Msomi Jitahidi Kwenye Matumizi Ya R Na L....Hongera Sana Kwa mafanikio Uliyopata Unatutia Moyo Wadogo Zako

  • @sudyslaa8278
    @sudyslaa8278 4 ปีที่แล้ว +26

    hizi online bussiness zipo vzr lkn usikurupuke ukaingia kwenye hizo issue za aim global, FOREVER n.k. ni vzr ukajifunza zaidi kwenye hizi bussines.

    • @nzegeatv6355
      @nzegeatv6355 4 ปีที่แล้ว

      Sudy Slaa
      Broo unamaanisha Grobo alance?

    • @hawa4968
      @hawa4968 4 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa..

    • @edithombunga7293
      @edithombunga7293 4 ปีที่แล้ว

      Kenya vijana wote wamezama kwenye aim global alliance
      Lakini hiyo aim global haiaminiki
      Inashukiwa ni ya kishetani
      Kwanza tufanye utafiti wa ndani kabla ya kujiunga

    • @topistarnelima6797
      @topistarnelima6797 4 ปีที่แล้ว +7

      @@edithombunga7293 aim global sio ya kishetani kupata pesa si rahisi wewe mimi niko kwa aim global kupata pesa unafanya kazi kwa bidii unaweza maliza miezi minne bila ata kupata mteja ingekuwa ya kishetani ingekuwa inapeana pesa za bure sisi waafrika tuna akili vinyu tukiona kitu cha manufaa hatutaki kujiunga tunapenda misaada tu ndio maana waafrika tuko masikini sana

    • @molaizer992
      @molaizer992 4 ปีที่แล้ว

      Sudi angalia ucje ukawa mtu unasema i.k.i.a

  • @user-mm5tf7yn6p
    @user-mm5tf7yn6p 4 ปีที่แล้ว +18

    Ongea dada mngu apewe sifa🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @lucypeter1549
    @lucypeter1549 4 ปีที่แล้ว +2

    Mtafutaji hachoki na Mungu humbariki kila mwenye bidii

  • @winniekimuyu118
    @winniekimuyu118 4 ปีที่แล้ว +4

    This be the videos I love to see respect to the lady and good job for bringing us good content si wale wa udaku

  • @marthapeter2401
    @marthapeter2401 4 ปีที่แล้ว +1

    Wow hongera umenipa inspiration kubw san yakujiamni na kuthamni k2 chako binafs

  • @zulihanani7355
    @zulihanani7355 4 ปีที่แล้ว +54

    They don't explain that business well,want exactly do u sell which products

    • @mercliliantv4226
      @mercliliantv4226 4 ปีที่แล้ว +2

      Hicho kitabu ni cha neolife...biashara anayofany ni neolife...ni networking business na inalipa kama ur committed ..mimi ni mwanachama ukitaka naweza kukuunga nicheki 0757656926.

    • @maryammaram2612
      @maryammaram2612 4 ปีที่แล้ว +1

      @@mercliliantv4226 munajihusisha na nin elezea ndio utahamasisha watu wakutafute

    • @mercliliantv4226
      @mercliliantv4226 4 ปีที่แล้ว +3

      Neolife inauza supplements za afya...inauza bidhaa za usafi ...inauza bidhaa za kilimo na pia inauza skin care products...Raha ya hii network marketing ni kuwa kila mwez inakupa nafasi mpya ya kuanza ...kutafuta wanachama na kulipwa..Ila ukiachana na biashara bidhaa zake ni nzur sana na endapo ukizitumia ww utakuwa mteja wa kwanz kabsa.. ni rahisi ukimpa mtu atumie maranyingi lazima arud kwani ni products zenye hadhi ya juu sana

    • @klaragreen7999
      @klaragreen7999 4 ปีที่แล้ว +2

      Mercy lilian. Weka account tujisomee tujiridhishe ili iwe rahis kuhamasika

    • @nuurinkluge7584
      @nuurinkluge7584 4 ปีที่แล้ว +2

      Those people they like only Show off ..fike life
      Which online Bissness??uko nanyumba tu ,,but wewe haiko utajili..

  • @marsgenesis7200
    @marsgenesis7200 4 ปีที่แล้ว +22

    To be honest I respect the lady ila ameolewa that means pia mwanaume amechangia in one way or another

    • @kellygabriel6279
      @kellygabriel6279 4 ปีที่แล้ว +3

      mume hajachangia chochote nipo nae kwenye kampun moja hajasaidiwa chochote na mtu

    • @marsgenesis7200
      @marsgenesis7200 4 ปีที่แล้ว

      @@kellygabriel6279 ok that's gud

    • @zachariashimwela252
      @zachariashimwela252 4 ปีที่แล้ว +3

      Unajuaje kama mume hajachangia ingali wewe siyo mke wake?

    • @africanchild4525
      @africanchild4525 3 ปีที่แล้ว +3

      Sometimes just sababu umeolewa haimaanishi mwanaume nae kachangia. Kuna wengine wameolewa wakiwa na nyumba zao wenyewe mimi pia mmoja wapo. Mume wangu alinioa akiwa na nyumba yake mwenyewe na mie nilikua na yangu mwenyewe kwa jasho langu na tabia ya kusave kidogo nilichokua natengeneza. Ilinichukua miaka kumaliza ila mwishoe nikasema asante Mungu. Status ya kuolewa ipo pale pale ila haimaanishi mume wangu alichangia kujenga nyumba yangu.

    • @edinakyaruzi9226
      @edinakyaruzi9226 ปีที่แล้ว

      @@africanchild4525 good ❤️

  • @raphaelbruno2743
    @raphaelbruno2743 4 ปีที่แล้ว +2

    Dada mungu anapenda watu wanao kumbuka mapito yao na kulipa fadhila!mungu akubariki

  • @ashazaharan1750
    @ashazaharan1750 4 ปีที่แล้ว +4

    Iiii dada hongera saana. Umenipa hamasa namimi ipo siku nitamiliki nyumba na mimi.

    • @molaizer992
      @molaizer992 4 ปีที่แล้ว

      Asha habar nimeona txt yako imenipa hamasa ya kudhubutu naomba tuwasiliane0692823933

    • @reubensosthenes6264
      @reubensosthenes6264 4 ปีที่แล้ว

      Hayo makampuni bhana MUNGU anawaona😂😂

  • @margaretmkangala7774
    @margaretmkangala7774 4 ปีที่แล้ว +2

    Wasomi.wa.Tanzania.mnaniwachaga hoi ati amesoma llinga na anafanya biashala. Kama umelielewa bomu hilo la lugha gonga.like

  • @journeywithjesus
    @journeywithjesus 4 ปีที่แล้ว +1

    Hii ni nzuri .. Kuna kuna product mpya ambayo ni nzuri sana inaitwa Soul. Inasaidia magonjwa mengi sana.

    • @sospetermgendi3544
      @sospetermgendi3544 4 ปีที่แล้ว

      0654624379 nicheki ujifunze na uanze biashara KAMPUNI NI ALLIANCE IN MOTION GLOBAL bidhaa zetu ni virutubisho afya.. NA Ushirikishaji watu biashara.. Nicheki popote Tanzania Tume enea

  • @winfridaw.mwashala289
    @winfridaw.mwashala289 4 ปีที่แล้ว +3

    Naomba niseme siamini!Ila vijana ukweli achaneni na picha kwenye instra! Na these days hadi wazee ni muda woote mtandaoni! Fanyeni kaziii! Ila siamini mengine!

  • @elizabety3871
    @elizabety3871 ปีที่แล้ว +1

    Vizuri dada maisha ya sasa ni akiri tu ya kufanya kazi!

  • @furahakonde6259
    @furahakonde6259 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki Sana Niko na wewe kabisa nafurahi kusikiliza

  • @ponsianomkombe1060
    @ponsianomkombe1060 4 ปีที่แล้ว +41

    Maelezo yake hayaeleweki...

    • @alexmongo2577
      @alexmongo2577 4 ปีที่แล้ว +5

      Hapo ndo ujue ana janja janja nyingi

    • @rahillhamidu2544
      @rahillhamidu2544 4 ปีที่แล้ว +3

      Umeonaee

    • @jumawaziri8501
      @jumawaziri8501 4 ปีที่แล้ว +3

      mara alipata sponsor uganda, mara alikua anafanya biashara alipe ada hata haeleweki, kimsingi anatangaza tuu biashara yake mjanja sana aiseeee

    • @franklyonline
      @franklyonline 4 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/channels/7Fvu_3j2FqYEZXAo4nXeNg.html

    • @pendokomba9443
      @pendokomba9443 4 ปีที่แล้ว +1

      Mara kamaliza chuo 2012 then hapohapo anasema biashara ya mtandao kafanya kwa miaka nane

  • @sadikidaudi1223
    @sadikidaudi1223 4 ปีที่แล้ว +9

    Saanga simkinga huyoo Sasa Utashangaaje Mkinga na Mafanikio!!? Mkinga nimpambanaji ambae anaweza Kufanikiwa kutoka chini mpaka juu Mkinga akiwa na Lengo lake hatoki kwenye njia mpaka afanikiwe.

    • @harrisonsamwel3112
      @harrisonsamwel3112 4 ปีที่แล้ว

      kwa uchawi lakini

    • @Jacklinekajula92
      @Jacklinekajula92 4 ปีที่แล้ว

      sadiki Daudi kabisa

    • @salymkitumbika8644
      @salymkitumbika8644 4 ปีที่แล้ว

      @@harrisonsamwel3112 pole kwa mawazo mgando suala ni commitment tulonayo kama wachaga swala la uchawi ni sehemu ndogo sana kwa sasaa

    • @harrisonsamwel3112
      @harrisonsamwel3112 4 ปีที่แล้ว

      @@salymkitumbika8644 hujajua maisha bado wwe unaish kwakuangalia juu juu tu hujui undani wa mambo bado mdogo

    • @salymkitumbika8644
      @salymkitumbika8644 4 ปีที่แล้ว

      @@harrisonsamwel3112 Hahahaaa Dah! Aisee wacha nicheke tuu kweli Tz nchi ya Amani sanaaa MTU anaweza sema chochote usilolijua ni usiku wa Kiza, unachart na Mkinga Og from Makete Bulongwa, huwa mnaziskia tuu story za wakinga na mie ni Muhanga ktk biashara zangu so karangabaho

  • @sheryphamwenevalley6124
    @sheryphamwenevalley6124 4 ปีที่แล้ว +8

    Fafanua zaidi, maelezo hayatoshelezi hata kidigo, maana nyuma mbele.mbele nyuma, sema.biashara ya kweli uliyifanya bana usituchoshe

    • @sospetermgendi3544
      @sospetermgendi3544 4 ปีที่แล้ว

      0654624379 nicheki ujifunze na uanze biashara KAMPUNI NI ALLIANCE IN MOTION GLOBAL bidhaa zetu ni virutubisho afya.. NA Ushirikishaji watu biashara.. Nicheki popote Tanzania Tume enea

  • @restinasanga6420
    @restinasanga6420 4 ปีที่แล้ว +5

    Huyu Dada namjua yupokwenye kampun ya NEOLIFE anafanya biashara sanaa

    • @rithaeustark782
      @rithaeustark782 4 ปีที่แล้ว +1

      Kampun inadil na nin??

    • @unveiledsolutions8166
      @unveiledsolutions8166 3 ปีที่แล้ว

      @@rithaeustark782 ina deal na bidhaa mbali mbali zikiwemo za shambani, za usafi wa nyumba, nk

  • @yourgoto.8726
    @yourgoto.8726 4 ปีที่แล้ว +2

    Motivated me a lot !!!

  • @saidigeseni3511
    @saidigeseni3511 4 ปีที่แล้ว

    Oooooooh Kumbe ni MKINGA from MAKETE.... Hongera zake sana.

  • @niasanga2373
    @niasanga2373 4 ปีที่แล้ว +8

    MashaaAllah

  • @valentinanduku8718
    @valentinanduku8718 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongera dada

  • @kamanda007
    @kamanda007 4 ปีที่แล้ว +2

    Wabongo kuchambana Instagram inatosha, sasa mtumie mitandao kupiga pesa kuna opportunity nyingi sana

  • @goldenmoversteam8906
    @goldenmoversteam8906 4 ปีที่แล้ว +1

    Congrats Dada Hosiana ,nakukumbuka enzi hizo GNLD.

  • @angelavayinga914
    @angelavayinga914 ปีที่แล้ว +1

    Napenda sana kuangalia video km hizi maana huwa nakuwa na wivu wa kujiuliza kuwa kwanini huyu yuko hivi,na mimi mashindwaje?
    Kwa wadada wote jamani tujitume tutafute pesa kiuhalali, hatuwezi kubaki hivi hivi umri unaenda so tujitume.

  • @carolineondoro373
    @carolineondoro373 2 ปีที่แล้ว

    Thank u Mildred I need your help

  • @latifumalikita3670
    @latifumalikita3670 4 ปีที่แล้ว +41

    Kama na wewe unaamini utaokota nyumba kama hii gonga like.

  • @einotsolomon9945
    @einotsolomon9945 3 ปีที่แล้ว +1

    Motivational speakers.

  • @hundamaniamania872
    @hundamaniamania872 4 ปีที่แล้ว +8

    Hebu tutolee ujinga hapa
    Hai inspire chchte hyo hadith maana usome Makelele we ni Tajiri hebu imagine usome shule na Nyerere utskuaje maskini.
    Tuoneshe mmama kauza uji,genge ,mkaa nk.
    Hpo akitusua life tuseme yes tujifunze kitu

    • @Laughters_club
      @Laughters_club 4 ปีที่แล้ว

      Hunda mania Mania brainless kabisa wewe nenda ww kasome havard afu kuwa kama marck zuck

    • @shekhanabdallah9022
      @shekhanabdallah9022 4 ปีที่แล้ว

      Kenge kabisa naungana na wewe bhana huyu astivuruge

    • @annclaudiageorge7504
      @annclaudiageorge7504 4 ปีที่แล้ว

      Utabaki hivyohivyo

  • @kilimanjaroflavour
    @kilimanjaroflavour 3 ปีที่แล้ว +2

    Dada kasoma makerere university, na sio makelele. Na deglee ya psychology na sio deglee, amezaliwa iringa na sio ilinga; pia amesoma secondary na sio secondali. 🤦‍♀️🤦‍♀️

  • @nasraabdallah850
    @nasraabdallah850 4 ปีที่แล้ว +1

    Biashara biashara biashara biashara biashara biashara biashara biashara biashara biashara jmn mi sijaelewa hi biashara 🤣🤣🤣au mi kichwa kigum sielewi maongezi yote sijaskia nibiashara gani🙆‍♀️🤣🤣km nawe mwenzang ujaelewa tujuane 🤣🤣🤣like hp

    • @crausmasala8572
      @crausmasala8572 3 ปีที่แล้ว

      Ni biashara ya mtandao nitafute 0743838072 nitakufundisha

  • @zulekhakhassun6858
    @zulekhakhassun6858 4 ปีที่แล้ว +3

    Muhimu ametuelezea tujitahidi kwenye tunachofanya. Sio lazma ujue biashara yake. Amini na tumia akili kuwa na subira katika unachofanya..hata ukiuza ndimu muhim kujituma tuu

  • @alexchungu9505
    @alexchungu9505 4 ปีที่แล้ว +25

    Usishindane na mwanamke, maana wanavyanzo vingi vya uchumi..

    • @alexmongo2577
      @alexmongo2577 4 ปีที่แล้ว

      Ndiyoo...walipewa mili yao ni hazina tosha ya utajiri

    • @alexchungu9505
      @alexchungu9505 4 ปีที่แล้ว

      Alex Mongo , sikupingi wajina

    • @marymathew6529
      @marymathew6529 4 ปีที่แล้ว +1

      Nakuunga mkono ktk hilo mi ni mwanamke lakini nakuelewa unavyosema hivyo,sijawah taman Mali ya mwanamke maana kuna siri kubwa ktk mafanikio ya mwanamke.

    • @jumaakhalifani8218
      @jumaakhalifani8218 4 ปีที่แล้ว

      😃😃😃

  • @imanyjohn1755
    @imanyjohn1755 4 ปีที่แล้ว +1

    Kunguni kweli hawa,yaani mambo ya tri-angle business ndo unaleta promo kubwa.matapeli wa kimkataba.

  • @luckyvenance4576
    @luckyvenance4576 4 ปีที่แล้ว +5

    Yan unaanza elf17 fasta elf96 fasta ivo ivo laki nne embu explain vzr mwenyewe nafanya cjawahi pata hata

    • @gladymndala1061
      @gladymndala1061 4 ปีที่แล้ว

      Lucky Venance had mm 😂😂😂

  • @jacklinemoraa3812
    @jacklinemoraa3812 3 ปีที่แล้ว

    Congratulations dada nimependa the way umejipanga I wish tu meet ili nami nianze hiyo online business moraa from kenya

  • @evaasenga6351
    @evaasenga6351 4 ปีที่แล้ว +3

    Hakuna binadamu ambae anaeweza kusema siri ya mafanikio yake yote.atakupa siri nusu tu. Kamili anayo yeye na mungu wake

  • @florangido202
    @florangido202 4 ปีที่แล้ว +5

    Ilinnga au Iringa!
    Makidahi punguza mbwembwe,
    alifaliki! au alifariki!

    • @stellanjeru6001
      @stellanjeru6001 4 ปีที่แล้ว

      Na amesomea chuo kikuu hata kingereza hajui

    • @liberatharichard4556
      @liberatharichard4556 4 ปีที่แล้ว

      Namm simuelew eti.huyu zamaradi ndo anamuweza hasomeki kabisaaaa

  • @agnessestoni5631
    @agnessestoni5631 4 ปีที่แล้ว +26

    Uyu dada ajaelza nibiashaar gani aliyo ifanya mpka ikampa vitu ivyo, Ajaeleweka kabisaaa Mara juice mara mapochiii mara SHULEE. Ss atujaelewa nikitu gani anacho Fanya???

    • @jazzymkalitv5535
      @jazzymkalitv5535 4 ปีที่แล้ว +2

      Kweli kabisa. Ni wale wachoyo, wasio penda kuona wengine wakifanikiwa kama alivyo fanikiwa. Haya yote ni mapito.
      Ila nampongeza kwa nyumba nzuri.

    • @neemalkiswaga6126
      @neemalkiswaga6126 4 ปีที่แล้ว +1

      Hawatoagi ukweli unafanikiwa vp mbaka ujiunge

    • @mohamediyusuph4290
      @mohamediyusuph4290 4 ปีที่แล้ว

      Agness Estoni yaani toka yule kondakta mwenye shule kule mbeya akutwe na hatia ya mauaji kwa kujihusisha na mambo ya kishirikina nimekuwa siwaamini tena watu wa hivi.napambana na hali yangu.

    • @neemalkiswaga6126
      @neemalkiswaga6126 4 ปีที่แล้ว

      @@mohamediyusuph4290 yaani wewe upo km Mimi

    • @clementsindamka8804
      @clementsindamka8804 4 ปีที่แล้ว

      Mbona kaeleweka vzur, Hapo haruhusiw kutaja kampuni, mi naelewa biashara hyo ila uwe na jitihada za kufanya kazi kweli kweli. Yapo makampuni mbali mbali hapa Tanzania

  • @halimasaleh5705
    @halimasaleh5705 4 ปีที่แล้ว +35

    Ndiyo hayo ya vibubu kumbe nyuma ya pazia kuna mengine

    • @alexmongo2577
      @alexmongo2577 4 ปีที่แล้ว +3

      Unaweza kuta kauza sana papa,hahahh

    • @rosemuba2532
      @rosemuba2532 4 ปีที่แล้ว +1

      Haswaa

    • @halimasaleh5705
      @halimasaleh5705 4 ปีที่แล้ว

      Alex Mongo 🤣🤣🤣🤣🤣

    • @sweetprincess4771
      @sweetprincess4771 4 ปีที่แล้ว +1

      Nakwel Maan

    • @gladymndala1061
      @gladymndala1061 4 ปีที่แล้ว +2

      Halima Saleh na wakinga bhaana usikute kuna sadaka maana ni noma watu hawa😂

  • @broadfuturetv6737
    @broadfuturetv6737 4 ปีที่แล้ว +4

    Huyo dada anafanya matangazo ya kuingiza watu mkenge.... kwa kifupi hayo ni maendeleo ya mbinu za matangazo. Tokeni humo kwenye nyumba za watu.

  • @esterelias8189
    @esterelias8189 4 ปีที่แล้ว +1

    Laiti nyumba zingepewa vinywa zingetoa siri za ndani tuone tu nyumba zawatu nzuri siri za hizo nyumba wanazijuwa wao na kuna nyingine ninzuri sana na hazikaliki

  • @georgefxacademy9391
    @georgefxacademy9391 4 ปีที่แล้ว +6

    I BLESS YOU IN JESUS NAME CONGRANT

  • @journeywithjesus
    @journeywithjesus 4 ปีที่แล้ว +4

    Nyumba nzuri sana!!

  • @officialgifty5208
    @officialgifty5208 4 ปีที่แล้ว +20

    Hapa angeenda kuhojiwa na milad au vidox tungeelewa ila hapa weng tumetoka patupu

  • @uwimanacitegetse9926
    @uwimanacitegetse9926 4 ปีที่แล้ว +3

    Sijamwelewa vizuli huyudada kafanikiwaje? mana mayelezoake nimengi .sijuwinyiye wasikilizajikama mimi mume mwelewa? Malakasoma.........🙄❤🤔vyashala yamutandao🤔

  • @piusundisputed
    @piusundisputed ปีที่แล้ว +2

    Dada mm ukitaja network marketing, unazdii kuchanganya akili yangu, how and to what extent can you benefit from this kind of business??ni vizuri ungetoa more clarification ili niweze kuelewa, otherwise there might be something behind the scene towards your achievement

  • @salumesimon7660
    @salumesimon7660 4 ปีที่แล้ว +3

    Good

  • @evansmlalo4049
    @evansmlalo4049 4 ปีที่แล้ว +1

    Be blessed and keep it up.

  • @nduxmaryam
    @nduxmaryam 4 ปีที่แล้ว +1

    Huyu mwenye kumuhoji anamrudisha nyuma kila saa. Hongera dada.

  • @helgaaporinaly2811
    @helgaaporinaly2811 4 ปีที่แล้ว

    Hongera sana mdada Mungu azid kukupambania.

  • @godsonmatosha3194
    @godsonmatosha3194 4 ปีที่แล้ว +5

    Kijana yeyote anaijielewa hawez kutegemea kusikilza hadth za waliofanikiwa et ndo uanzie hapo kufanya maendleo never ! Kijana Amin kwa kaz unayoifanya hawa watoa hadith za paukwa pakawa fyekelea mbalii waongo 2, kitambue kijana aseeee

    • @liliansikazwe7444
      @liliansikazwe7444 4 ปีที่แล้ว

      unapotosha n lazima ujifunze kwa waliofanikiwa ..kuna mwingin anapata mshahara wa laki na anaona autosh kufanya chochot,na mwingin ana mshahara huohuo lakin ana maendeleo kukushinda na stress ana.....ina bid umtafute ukae nae chin umuulize kawezaje na mnalingana kipato?na ww utaipanua akili...ukikaa hvyohvyo utafel wenzako wanafaulu..acha kupotosha

  • @mdsadiq2569
    @mdsadiq2569 4 ปีที่แล้ว +11

    Mashallah hongera

  • @DjmubaTechServices
    @DjmubaTechServices 4 ปีที่แล้ว +10

    kama na wewe umeona kuwa huyu dada anatangaza kampuni yao basi huko pekee yko.
    huyu ni balozi anatafuta watu tu..

    • @kazkaz1943
      @kazkaz1943 4 ปีที่แล้ว

      Djmuba Tech Services baada ya kusikia tu iyo biashara nikajua tu anatafuta wateja kama wale living forever

    • @DjmubaTechServices
      @DjmubaTechServices 4 ปีที่แล้ว

      @@kazkaz1943 makampuni km hayo ni mengi sana siku hizi....
      maana hata kuwa muwaz kuwa biashara hiyo inafanya vp kazi hajasema, kam ni kuuza dawa online watu wengi tu wanauza.

  • @ashuraahmad551
    @ashuraahmad551 ปีที่แล้ว

    Shukran ayo tv

  • @tabumasumbuko7213
    @tabumasumbuko7213 4 ปีที่แล้ว

    Hongera mkinga msomi na mtafutaji wakinga mapemberoooooo

  • @ambroseinfochannel8773
    @ambroseinfochannel8773 4 ปีที่แล้ว +2

    Kabisaaaa tupo pamoja boss wangu tunawakarisha wote

    • @lovenessdiva7132
      @lovenessdiva7132 4 ปีที่แล้ว

      Kumbe mnawakarisha watu na boss wako

  • @joshuajames7287
    @joshuajames7287 4 ปีที่แล้ว +1

    Hapo Dada mm kwangu sijakuelewa naomba ulitolee ufafanuzi make unasema unafanya biashara ya mtandao ni biashara gani hiyo ya mtandao make sielewielewi.

  • @mimahnywage9245
    @mimahnywage9245 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah 😋

  • @kasimramadhani1502
    @kasimramadhani1502 2 ปีที่แล้ว

    Your supper woman.

  • @johnrimoy6874
    @johnrimoy6874 3 ปีที่แล้ว +2

    Sio ajabu kwa graduate wa makerere kumiliki nyumba km hiyo. Kila mtu ana tegemea awe na mafanikio.

  • @zeliamnyoge7340
    @zeliamnyoge7340 3 ปีที่แล้ว

    Nice da hons love more

  • @hbkeyamjukuu4747
    @hbkeyamjukuu4747 4 ปีที่แล้ว +7

    Mie nimeishia la 7 na namiliki mjengo kwa kuosha vyombo na kuwapikia warabu... mkuje munihoj na mm🏃‍♀️🏃‍♀️

  • @officer1208
    @officer1208 4 ปีที่แล้ว +16

    Ohohhohooo!! Hapana cheza na Mukinga wewe.
    Iga ufe.

  • @kenybenjiz7850
    @kenybenjiz7850 4 ปีที่แล้ว +21

    Motivational speakers 😂😂

  • @hafidhramadhan3942
    @hafidhramadhan3942 4 ปีที่แล้ว +6

    Vijana tumieni Jicho la 3, na Hawa motivation speakers. Biashara za ntandao???? 200Ml imelala mjengoni, na ngp inarun Biashara?? For how long? Young Lady! U have 2b Open what are u doing

    • @jacksonkinange4605
      @jacksonkinange4605 4 ปีที่แล้ว

      Open your mind it's really
      Most of Tanzanian
      They complain about NETWORK MARKETING
      But it's really

  • @salumabdallah6680
    @salumabdallah6680 4 ปีที่แล้ว +1

    Dada hongera kwa mafanikio na elimu ulionayo ila sema Iringa sio Ilinga unaboa bana

  • @sameeralrahbi5469
    @sameeralrahbi5469 3 ปีที่แล้ว

    Masha Allah

  • @beatriceherman8783
    @beatriceherman8783 4 ปีที่แล้ว +3

    Hongeraaaa mdada

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 4 ปีที่แล้ว +4

    Huyu Muhoji ndio Hakuwa na Maswali,Hongera sana.

  • @abdilahmwiru6917
    @abdilahmwiru6917 4 ปีที่แล้ว +1

    Ukweli hata simwelewi lamda anabiashala njee za mitandao .pili anatuzunguka like mbuyu !

  • @fadyaalmansoor6020
    @fadyaalmansoor6020 3 ปีที่แล้ว

    Mashallah hongera sana.

  • @publicadvisor6952
    @publicadvisor6952 4 ปีที่แล้ว +18

    Nilijua tu hata hapa anafanya biashara. Kashakuambia pale mlimani city opposite na....

    • @sherrysalim50
      @sherrysalim50 4 ปีที่แล้ว +1

      FreeEducation4everyone 😂🤣

  • @fatimaabrar6718
    @fatimaabrar6718 4 ปีที่แล้ว +3

    Kapiga deki kwawarabu huyo asitudanganye japokuwa kujenga silazima kufanya kz nnje..

    • @topistarnelima6797
      @topistarnelima6797 4 ปีที่แล้ว

      Kwa mwarabu huwezi jenga nyumba kama hiyo ata mimi nimefanya kwa mwarabu pesa ni kidogo sana

    • @janethshem5782
      @janethshem5782 4 ปีที่แล้ว

      Fatima Abrar shida iko wapi na wewe kadeki

    • @fatimaabrar6718
      @fatimaabrar6718 4 ปีที่แล้ว +1

      Tuko majuu swahiba twazitafuta nanyumba tushajenga upo shost hatuko mitandaini kutafutana jirani kama ilikuuma post yangu utajiju ...

    • @janethshem5782
      @janethshem5782 4 ปีที่แล้ว

      Fatima Abrar Uko sahihi apate kwa waarabu Au popote mradi kajenga na keshaukata kimaisha!!Afanye chochote mradi hajaiba kwa mtu na nijasho lake!!Sisi wabeba mabox usa mbona tunapasua kuliko washinda saloon wa Dar

  • @princegabytv7251
    @princegabytv7251 4 ปีที่แล้ว +9

    #networkmarketing
    Hizi biashara zinakuja juu kwakweli

  • @jaklinifaustini4259
    @jaklinifaustini4259 4 ปีที่แล้ว +5

    Honger

  • @salimshaban7120
    @salimshaban7120 4 ปีที่แล้ว +1

    dah hongera Sana

  • @zakyahya4645
    @zakyahya4645 4 ปีที่แล้ว +1

    Mmh mungu nisimamie na mimi nimiliki mjengo ata wa chumba kimoja

  • @marthamohamed5261
    @marthamohamed5261 4 ปีที่แล้ว +44

    siamini kwa iloo ata kdg hasa kwa kabila la wakinga