JINSI BODABODA WALIVYOMWAGA VYAKULA NA POMBE MSIBANI WAKIDAI MAREHEMU HAKUWA ANAPEWA CHAKULA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 4 พ.ค. 2021
- siku kadhaa zilizopita iliripotiwa taarifa ikidai waendesha bodaboda katika kituo cha Kisangiro walimwaga chakula kwenye mazishi ya kijana aliyefahamika kwa jina la Leonard Abeli leo Ayo tv iimekutana na vijana waliokuwepo kwenye tukio hilo nakudai kwamba kijana huyo aliuawa na watu wasiojulikana na kipindi cha uhai wake hakuwa anapewa chakula
William Nderumaki Baba mkubwa wa marehemu amesema kwamba tukio hilo lilitokea na kijana huyo hakutengwa kama inavyodaiwa na nyumba aliyokuwa anaishi ni wazazi wake na alikuwa hakai sehemu moja na huendaa marehemu aliwafahamisha kwamba alikuwa hapati chakula
Kama umesikia Alambi mtu Apa gonga like
Halambi mtu arifuuu
ALAMBI MTU... NIMEPENDA SANA
😂😂😂😂😂Mungu anisamehe nimecheka msibani😢
MJUBA ALIKUA HALAMBI NA SISI TUKAONA TUSIWALAMBISHE🙌😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
😂😂🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂
😂
Kah mjomba ana balaaaaaa😂😂😂😂😂😂😂🙌
Daaaaah!!!! Mpende ndugu yako akiwa hai mwoneshe UPENDO msaidie unapo weza. Ila hiki kitendo cha hawa vijana kitakuwa fundisho kwa wengine
Kabisa
Kabisaaaa
Nifundisho zuri sana lakini bado kuna mijitu itapinga hili tukio.
Sisi watu wa moshi hatutakagi kabisa ujingaa huu piga like kama mtu wa chuga or Moshii
Weuweee
Huyu baba mshenzi mbinafsi na hafai kabisaaaaaaa anasambaratisha familia hata wewe mzee utakufa utaacha kila kitu ovyooooo. Big up bodaboda
Angemchapa makofi
Anaongea nonsense sana hata ajielewagi anachoongea
The internet remembers
Ila mimi nimependa sana ushirikiano wa Boda boda kwa walicho kifanya, watu tunapenda Maiti kuliko alipokuwa mzima.
Huo ni ukweli, tunapenda maiti kuliko mtu
Kweli watu wa nashidwa kumwuhudumia akiwa hai na huyu Baba hajierewi wewe ulikuwa Dar umejuwaje
@@sweetluc2660 ndiyo hapo sasa hata mimi nimemshangaa sana huyo Baba
Boda boda nawapenda sana muna umoja
Piga like kwa bodaboda
Oooooo99o99ooo99ooo99oo99
Wachaga wa kilema mikono juu... Piga like nying kwangu.....
boda boda Wana umoja kuliko wasanii 😀😀
🤣🤣🤣🤣kabisa yaan
🤣🤣🤣🤣
Kweli kabisa wa naumoja san
Wala aujakosea ni kweli
Haswa basi na ss Wana comments tuwe na umoja kama moda moda
Wap like za bodaboda👍👍 mna umoja Sana big up
Hii ndo maana halisi ya "mitaa imetulea".... Respect to the bodaboda OG's... Hii iko real sana... Chugas finest...
Nipeni like zangu wanaotaman boda wapate ulinzi🤣🤣🤣🤣
Mwana subscribe kwa TH-cam channel yangu pls
@@Dreidamaa Poa my friend
Yaan kilimanjaro na Arusha ni balaa kwa vijanaawataki ujinga... 😂😂😂😂...
Yaaaap
Huyu mwandishi habari zake nzuri Sana yupo updated arusha na Moshi ipo chini ya camera 📷 zake
Sanaaaa
Sanaa
Na msharp saaaana ku cover matukio na kuuuliza maswali hongera sana God
Tuseme alikya anaumwa hakuweza kujuendeleza
@@d.a.t3383 napenda Sana Kazi yake anavumbua habari nzuri na sio udaku wa mitandaoni
Machalii wa mgombaz ni nyoko awaelewag awatakagi ujinga
Yaan Kilmjr, Mosh na Arusha tunawajua hamtaki ujinga kabc💪😄😄
Kabisaaaa
Hahahah sema umetisha Moshi ni WAP na Kilimanjaro ni WAP hahahhaha .
Boda boda hamjagusa2 myoyo ya watu2 bali mmetoa somo kwa ndugu wabinafsi kama huyo mzee asiejielewa
HOYEE NIMEWAKUBALI SANA MAKAMANDA LAZIMA WANYOOKE HAO HUYO BABA HANA MAANA KABISA YANI WAMEMUUA MTOTO WAO DA KWAKWELI HATARI MTU HATA KAMA HUMPENDI MSIMUUWE NDUGU ZANGU WA KILEMA MNANINI KIRU 😭😭😭
Taratibu yakununua mshuma wamezingua chali alikua analala njaa alafu kwenye msiba wameweka bofe kama umesikia gonga like please
Safi Sanaa watu tunawajali watu wakifa tu Tena mngewatandika na fimbo
haahaaa
Hahahahaha
😂😂😂😂😂
Kama umesikia "walijikataa tu kila mtu alipita njia yake "weka like tujuane 😂
😂😂😂
Bora hawajalamba na wao😅
😁😁😁😁😁
Nimeipenda hiyo kauli yao,halambi mtu
😁😁😁😁
Nyie ongeen lkn macharii wamesha sema hamlambii😃
😁😁😁😁😁
Hii ndo maana ya jamii kukulea
Nimeipenda sana hii ....kiukwel mtu hajaliwi akifa tu wanajal boraaaaa wamemwaga hahahaha alie furahu kama mimi agonge like hapa mtu alambiiiiiii
Mashallah maboork uyu mkaka mtangazaji nampenda mnooh habari zake nzuri saaana mashallah mungu akuongoze kka😘😘😘😘💞
Safi sana...
Wamefanya vzr Sana
Poleni wafiwa,Mungu awape nguvu mda wowote❤️🌞🙏🇰🇪.
Safi kabisa, "HALAMBI MTU"
Msiban wameandaa adi tikiti kwel duuuh huyu mzeeee anakwepa hongera bodaboda
Ruuuuuuuwaaaaa!!!! ngiterewie
Bora hawajalamba na wao
😂
Nimeipenda iyo kauli mbiu aulambi ✊😋🚫
Duuu wametishaa
Wametisha sana ,na haulambiii
@@isdoryassenga8374 😁😁😁😁
Safi sana wameshindwa kumpa huduma amekufa Leo wanaandaa vyakula na kunywa pumbavu wasilambe kabisa
Kweli kabisa hakuna kulamba, fundisho zuri sana
@@ruuh5149 mzima wapi wewe
@@ruuh5149 mi mwanza
Ooh. Wana kilema muifooo... Like kwenu wandu waru...
Ndio nn
Ngiesa mndu oruwa ngaseka leka tiki
Ngakuwesaleee. Leka tupu mndu woruuu.... Ngaseka mpk ngaoloka wandaaaaaa. Halambi mtu hapaaa
Kauli mbiu halambi mtu na mbege ikapusulio wanda chaa! chandu wandu wa kula kanyi waikundi mbege ruwa walesuo
Nimewapenda bodaboda aiseee, mmenikumbusha dada mmoja hivi alikuwa mgonjwa amepalalaizi majirani ndio walikuwa wanatoa msaada alipofariki walikuja ndugu zake aisee ni matajiri na wakawa wanalia bila aibuuuu 🤦🤦🤦 binadamu Wana mengi
Kati ya hao ndugu kunaalie mchezea binadam bhana nishidaa
Huyu mwandishi anapambana sana na matukio asee Big up
Daah ila binadamu tuna roho mbaya sana 😭😭 yani wana mtesa mgonjwa siku ya kuzika wana jifanya kula misosi kibao 😥😢
Eeee binadam kazi hapo sijui walishona vijoraa mana vingechanwaa
Hii ndo maana halisi ya " Upendo mwingi huja unapokufa wanakuletea maua wakt wanajua huwezi kuyanusa"
Songa alijua kuimba"Baadhi ya Mandugu ni Wanafiki sana wanapika Biriani kwny msiba wakati Marehemu walishindwa kumsaidia hata ya Mkate au Maandazi"
Uwiiiiiiiiiiiiiiiiii, matukio ya kuumiza moyo yamekuwa mengi saaana! E mungu nipe uvumilivu
Boda boda wametisha sana nimewapenda bure, ikawe fundisho kwa jamii zingne wahudumie mtu akiwa hai.
Wametisha nimependa sanaaaaaa hyo
Jamani Mtu Akifa tuelezane Ukweli tu huu unafki was Ndugu tuachane nao
God is watching.
Ndugu zangu tujifunze kupitia ili tatizo lipo sana mtu akiwa mgonjwa apatiwi uduma sahii akifa inafanyika sherehe sio poa😭😭😭😭Marafiki wa marehemu mmefanya vizuri sana
Wengine huweka budget hadi ya 2 milioni baada ya kufa ila hela ya matibabu ukiwa hai hawatoi
hizo ndo style za watanzania, raia akiugua hatumjali akifa tunajifanya tunampenda
Tena wamesubir wameivisha 🤣🤣
@@linahsemindu4261 mi nimeipenda hio safi sana 😂
Milad Ayoo Ongeraaa kazi nxuriiiiii hadiii Kjijini mpo,,
Mi nimependa sana masela. Kweli watu hawajali ndugu wakiwa hai, na wengine kuishi kwa njaa.. alaf akifa ndo wanaweka vyakula.
Bada ya kupata maziko vizur, Zoe la kumwaga misosi lilikua sawa tu😀
Sasa huyo baba mkubwa cjui mdogo yeye yupo dar kwenye shughul zake anakataa nin sasa na huku ni moshi
Hii nimehipenda safi sana
kwa waida ya watu hupenda maiti ili wajinufaishe kwa ajili ya matumbo yao bora mmemwanga hiyo mipombe
Eeeh mi mwenyewe nime penda
banadam sijui wapoje yaan wanakera kwa kweli
Aaaaahh wamewakomesha kishenzi
safi iwe fundisho hata kwa wengine wasiyojali ndugu zao wanapouguwa
Vizuri kabisa haiwezekane Mtu akiwa Mzima hawamjali sasa akifa siku ya Msiba unakuta wakipinga chakula Ni Hery nginsi walimwanga chakula walifanya vizuri sana hakya Mungu 👌👌👌
Safi sana kabisa congratulations kwenu umoja ni nguvu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣awalambi ata kidogo hahahahaha komesha jamani undugu mu binadamu aupo tena kwa watu
Binafsi naona hawa bodaboda wamefikisha ujumbe fulani kwa jamii tena zaidi ni ndugu. Wanaona mtu anaumwa au anachangamoto kadhaa hawamsaidii hadi anakufa ndipo wanakuja kula na kunywa. Tujifunze kitu hapo!!!
Kabisaaaa hii ni fundisho kabisa
Du nimependa hali ya hewa verynice MaashaaAllah
Hio ndio kilema yetu vizuri sana umnyime chakula wakati wa uhai amekufa ndio mnapika mnavyakula kweli what goes around comes around
Vizuri sana mmefanya vizuri nawapongeza mmekuwa na msimamo mzuri mno
Mmeona iyo Hali ya Hewa Nduguu zangu
HAMLAMBIIIIII, HALAMBI MTU KITU YOYOTEEE ILEE, this is too instructional my people, its not worth it to accord a burial ceremony with more food and more drinks while the deceased he wasn't get any help from his family, NI FUNDISHO KWA WANAFAMILIA WOTE KUWAJALI NDUGU ZAO WAKIWA HAI. 😭😢
Mazingira mazuri mno napenda saan hio Hali yahewa barid mvua mpk ukungu asee ashukuriwe Mungu muweza wa yote
Miladi ayo nawapenda sn
Safi kabisa bodaboda umoja wenu , Mungu azidi kuwabariki
Siyombaya mhhhh wakati inaonekana jamani tuwache ubinafsi
Vizuri sana boda boda
Dhaaa nyumba yake sio mbayaaa🤣🤣🤣 kweli kunamtu anaweza akakupa jiwe ule akikwambia kula huu mkate
Bora awajalamba tena mmefanya lamana haswaaa🤣🤣🤣
Noma
Aisee halambi mtu hapa, nasema halambi mtu. Haiwezekani mjuba afe kwa njaa ndio mpike mavyakula yenu.
Bobabda Ni wamoja sana big up!
Hali ya chumba alichokua anaishi marehem inaonyesha kweli hao bodaboda walikua sahihi,kuna kila dalili alitelekezwa hasa ukizingatia wanavyodai ndugu xake wana hela hawakujali mazingira aliyokua akiishi,hayavutii kabisa kwa kweli,kuna kitu cha kujifunza hapo.
Safi sana shazi
Good work Godfrey TzA
Kweli vjna mnaakiri safi sana
Safi sana wanangu wa kisangiro big up sana home sweet home
Hahaha mmenifurahisha sana tena mngewamwagia ht mwilini washenzi wakubwa mbwaaaaa awo wanafurahia sio safi sana
Hii habar muhimu sana
Mjuba alikuwa alambi wakaona na wao wasilambe....🔥🔥🔥
Ni vizuri kuwa OG
Safi sana vijana,
Aixee halambi mtu hapa ,Safii🙏
Wangekuwa wengine duh ,wangekula Kwanza alafu ndo wakaanza fujo
Safi sana
Hapo sawa kabisa
Safi sana ni funzo
Safi sana vijana
Wako vizuriii
Jaman nimeipenda hii
Mpo vizuri vijana
Safi sana vijana wezangu
Huyo Mzee anaonekana anasema uongo. Lkn kwa kua mtu ameshakufa basi
Nimemshtukia hata mimi anasnitch kwa maiti 😡
@@geeva99 umeona eeh vijana wamemstahi tuu
Show kari wanangu mmefanya kitu pw sana mizinguo hatumaindi respect kwa Bodaboda
😹😹😹..wachaga salute..
Daaaah jamn polen san
Masikini mnaupendo sana ndugu zangu
Asanten bodaboda kwa hili nawapongeza
Safi sanaaa
Good Sana Yan hvyo ndvyo inatakiwa ili watu wajifunze et mpka matkiti pombe muuh wamezd 🙄
Maboda boda wanaushirikiano sijawah ona huku boda imeibiwa dom wameendesha boda 50 mpk dar wameitafuta wameipata😀😀😀
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙆♂️🙆♂️🙆♂️🙆♂️🙆♂️duuuuuuh nashangaa sana maboda boda wana ushirikiano kuliko hata wasanii
Heee😳😳kumbe hatari
Nyumba yake sio mbaya×3 huyo mzee roho yake mbaya kupitiliza....jamani jamani tena bila haya ama hajui anaongelea nyumba ipi?hadi meko iko katikati ya nyumba ina maana hata jiko la mkaa hana 😥😥😥😥kuna watu wamembua ma roho mbaya duniani
Mirad ayo unafaa sana kuigwa sana kwa taarifa zako
Inaumiza sana mtu tunashindwa kumjali wakati mzima akifa ndiyo mapochopocho kibao nimewapenda hao vijana
Kabisa
Hiyo inaitwa nyoka halambi Unga, safiii Boda boda
Inauma sana
Kilema nini Tabu wakuu »»»»»» hongereni sana bodaboda asee✊✊✊✊✊✊
Sahihi kabisa walichokifanya