SABABU ZINAZOPELEKEA VITENDO VYA KIKATILI ZATAJWA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 19 ธ.ค. 2024
- Hali ngumu ya Maisha,Hasira na Gadhabu zimetajwa Kuwa moja ya Sababu Zinazo Sababisha Kukithiri Kwa Vitendo Vya Ukatili Kwenye Jamii Hususani Kwa Watoto na Wanandoa Jambo Ambalo Serikali Imetakiwa Kuendelea Kutoa Elimu Ili Kukomesha Tatizo Hili.