- 1 399
- 3 956 257
BETE TV
Tanzania
เข้าร่วมเมื่อ 29 มิ.ย. 2020
Welcome to BETE TV,News and Entertaiment TH-cam Channel.
BALOZI KOMBO AELEZA SABABU ZA TANZANIA KUSHIRIKIANA NA SOMALIA
Tanzania na Somalia zimesaini hati nne za makubaliano ya ushirikiano katika sekta za jumla, utalii, ulinzi na afya. Mkutano huo umefanyika jijini Mogadishu leo Desemba 19, 2024, chini ya uongozi wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Balozi Mahmoud Thabit Kombo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Somalia, Balozi Ahmed Moalim Fiqi.
Makubaliano haya yana lengo la kuimarisha ushirikiano wa kidiplomasia na uchumi na pia kuboresha huduma za afya na usafiri kati ya mataifa haya. Waziri Kombo amesisitiza kwamba Somalia itafaidika na huduma za afya, ikiwa ni pamoja na matibabu, dawa na mafunzo kwa wataalamu wa afya.
Vilevile, ameeleza umuhimu wa kuboresha miundombinu ya usafiri ili kuwezesha usafiri wa moja kwa moja kati ya Dar es Salaam na Mogadishu. Kwa upande wa Waziri Fiqi amesema kuwa ushirikiano huu utaleta fursa ya kutatua changamoto za amani na usalama katika ukanda wa Afrika Mashariki, hivyo kuharakisha maendeleo ya kijamii na kiuchumi.

มุมมอง: 99
วีดีโอ
SABABU ZINAZOPELEKEA VITENDO VYA KIKATILI ZATAJWA
มุมมอง 8514 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Hali ngumu ya Maisha,Hasira na Gadhabu zimetajwa Kuwa moja ya Sababu Zinazo Sababisha Kukithiri Kwa Vitendo Vya Ukatili Kwenye Jamii Hususani Kwa Watoto na Wanandoa Jambo Ambalo Serikali Imetakiwa Kuendelea Kutoa Elimu Ili Kukomesha Tatizo Hili.
WALIOFARIKI KWA RADI LUDEWA WAZIKWA,DC AFUNGUKA
มุมมอง 1282 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Hatimaye Watu watatu waliofariki dunia kwa kupigwa na Radi katika kijiji cha Kiwe kata ya Mawengi Katika Halmashuri ya Wilayani ya Ludewa mkoani Njombe wamezikwa leo. Mkuu wa wilaya ya Ludewa Olivanus Thomas ni miongoni mwa waombolezaji waliofika msibani hapo na kuwasihi wananchi waendelee kuwa wavumilivu kipindi hiki kwani kifo ni fumbo kubwa hku akitoa rai kwa wananchi kuacha kuhusisha vifo h...
HUU NDIYO MKAA ULIOTHIBITISHWA NA TBS ,MKURUGENZI STAMICO ATOA NENO
มุมมอง 934 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Madini STAMICO CPA Dkt Venance Mwasse amesma shirika limebuni teknolojia ya kutengeneza mkaa kwa kutumia malighafi ya makaa ya mawe ili kuunga mkono juhudi za Mhe Rais za matumizi ya Nishati safi ya kupikia kwa watanzania tena kwa bei nafuu ambayo kila mtanzania anaweza kuimudu hivyo amewataka watanzania kutumia fursa hiyo. @stamicomadini5446 #STAMICO
RC CHALAMILA:TUJENGE TABIA YA MATUMIZI YA NISHATI SAFI
มุมมอง 544 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Disemba 17,2024 amehamasisha wakazi wa Mkoa huo kujenga tabia ya matumizi ya Nishati Safi ya kupikia ambayo ndiyo dhamira ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan kuona Watanzania wote na nchi zingine za kiafrika zinaachana na matumizi ya Nishati chafu ya kupikia badala yake zinatumia Nishati Safi ya Kupikia. RC Ch...
RADI YAUA WATATU MKOANI NJOMBE
มุมมอง 2447 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Watu Watatu Wamepoteza Maisha Baada ya Kupigwa na Radi Katika Kijji cha Kiwe Kata ya Mawengi Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe Kutokana na Mvua Zinazo Endelea Kunyesha Nchini. Akitolea Taarifa ya Tukio Hilo Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe Mahmoud Banga Amesema Tukio Hilo Limetokea Disemba 15 Mwaka Huu Majira ya Saa Kumi na Moja na Kuleta Madha Makubwa Kwa Watu Hao Kupoteza...
PROF MKUMBO : PATO LA MTANZANIA KUKUA ZAIDI YA MARA 5, DIRA 2050
มุมมอง 1617 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais,Mipango na Uwekezaji Prof ,Kitila Mkumbo amesema Dira ya Taifa ya maendeleo 2050 imejikita katika kuhakikisha pato la mtanzania mmoja mmoja linakuwa za mara tano kwa kipindi cha miaka ishirini na tano ijayo.
DKT BITEKO :KUWENI BARAKA, SIO KITUNGUU KUWATOA MACHOZI WENGINE
มุมมอง 2679 ชั่วโมงที่ผ่านมา
DKT BITEKO :KUWENI BARAKA, SIO KITUNGUU KUWATOA MACHOZI WENGINE
MAAGIZO YA WAZIRI MKUU KWA MKURUGENZI KIGAMBONI
มุมมอง 2729 ชั่วโมงที่ผ่านมา
MAAGIZO YA WAZIRI MKUU KWA MKURUGENZI KIGAMBONI
UTALII WA PUTO ,RAIS SAMIA AZIDI KUPEWA KONGOLE
มุมมอง 1642 หลายเดือนก่อน
UTALII WA PUTO ,RAIS SAMIA AZIDI KUPEWA KONGOLE
WAZIRI MKUU AAGIZA KUSIMAMISHWA KAZI MTUMISHI KITENGO CHA JUMUIFU CHA AMANA TAMISEMI.
มุมมอง 4492 หลายเดือนก่อน
WAZIRI MKUU AAGIZA KUSIMAMISHWA KAZI MTUMISHI KITENGO CHA JUMUIFU CHA AMANA TAMISEMI.
MAAFISA WANNE KIGAMBONI WAKALIA KUTIKAVU
มุมมอง 2902 หลายเดือนก่อน
MAAFISA WANNE KIGAMBONI WAKALIA KUTIKAVU
MDAU WA MAENDELEO ELIUD MWAITELEKE:ASILI INA NGUVU
มุมมอง 1132 หลายเดือนก่อน
MDAU WA MAENDELEO ELIUD MWAITELEKE:ASILI INA NGUVU
NAMNA WANYAKYUSA WALIVYOSAGA NA KUKOBOA | HAKUKUWA NA MASHINE .
มุมมอง 2342 หลายเดือนก่อน
NAMNA WANYAKYUSA WALIVYOSAGA NA KUKOBOA | HAKUKUWA NA MASHINE .
SHUHUDIA NGOMA YA WANYAKYUSA MAARUFU KISESELO ILIVYOWATOA JASHO WATAZAMAJI
มุมมอง 4562 หลายเดือนก่อน
SHUHUDIA NGOMA YA WANYAKYUSA MAARUFU KISESELO ILIVYOWATOA JASHO WATAZAMAJI
DORIA YA KUIMARISHA ULINZI NA USALAMA YAFANYIKA MBEYA|KAMANDA ATOA NENO
มุมมอง 3412 หลายเดือนก่อน
DORIA YA KUIMARISHA ULINZI NA USALAMA YAFANYIKA MBEYA|KAMANDA ATOA NENO
MATAIFA MADOGO YAUNGWE MKONO KIUCHUMI-MAJALIWA
มุมมอง 992 หลายเดือนก่อน
MATAIFA MADOGO YAUNGWE MKONO KIUCHUMI-MAJALIWA
TANZANIA YAPONGEZWA KWA KUWA KINARA WA AMANI BARANI AFRIKA
มุมมอง 2402 หลายเดือนก่อน
TANZANIA YAPONGEZWA KWA KUWA KINARA WA AMANI BARANI AFRIKA
WANANCHI KIGAMBONI WAFUNGUKA KERO WANAZOPITIA|CHALAMILA ATOA MAAGIZO
มุมมอง 3394 หลายเดือนก่อน
WANANCHI KIGAMBONI WAFUNGUKA KERO WANAZOPITIA|CHALAMILA ATOA MAAGIZO
HABARI NJEMA KWA VIJANA WA KITANZANIA
มุมมอง 2284 หลายเดือนก่อน
HABARI NJEMA KWA VIJANA WA KITANZANIA
DK NCHIMBI ATOA TAMKO SAKATA LA CHADEMA KUSHIKILIWA NA POLISI
มุมมอง 1134 หลายเดือนก่อน
DK NCHIMBI ATOA TAMKO SAKATA LA CHADEMA KUSHIKILIWA NA POLISI
CHADEMA WAPIGWA MARUFUKU KUFANYA MAANDAMANO MBEYA
มุมมอง 5184 หลายเดือนก่อน
CHADEMA WAPIGWA MARUFUKU KUFANYA MAANDAMANO MBEYA
MANENO YA MWAMBIGIJA KWA DR TULIA NA MWALUNENGE
มุมมอง 7544 หลายเดือนก่อน
MANENO YA MWAMBIGIJA KWA DR TULIA NA MWALUNENGE
MWALUNENGE AONGOZA HARAMBEE TAMASHA LA JAMII YA WANYAKYUSA|MILIONI MIA MOJA ZAPATIKANA.
มุมมอง 3404 หลายเดือนก่อน
MWALUNENGE AONGOZA HARAMBEE TAMASHA LA JAMII YA WANYAKYUSA|MILIONI MIA MOJA ZAPATIKANA.
WAZIRI JAFO ATOA MAELEKEZO MITA ZA UMEME KUPIMWA|ATOA PONGEZI WMA
มุมมอง 2055 หลายเดือนก่อน
WAZIRI JAFO ATOA MAELEKEZO MITA ZA UMEME KUPIMWA|ATOA PONGEZI WMA
MAMA APAMBANA NA MWIZI NYUMBANI KWAKE|ALIRUSHA PANGA NIKALIDAKA WAKATI TUNAVUTANA LIKANIKATA
มุมมอง 7905 หลายเดือนก่อน
MAMA APAMBANA NA MWIZI NYUMBANI KWAKE|ALIRUSHA PANGA NIKALIDAKA WAKATI TUNAVUTANA LIKANIKATA