Boflo nzuri Sana'a lkn wengi wenu mnatengeneza bofro ngumu Sana'a. Alafu mazingira mabaya Ila . sie tuna tengeneza bofro za uhakika na ukila hakika hauwez kwenda pengine . maana zinatiwa vitu vingi ukiziihitaki nichek
Mkate uliotulea kwa kifungua kinywa huu, Mh Jaku aliupigia kelele barazani kwamba umeshuka kiwango, ni kweli mkate wa boflo kama ulivyo wali ni kiainisho chetu basi turudi kwenye ubora wake kama ulivyokua hapo zamani.
Yani boflo nakachori najuic ya mbatata mishikaki ya kwa Adinani hongera sana Zenjibar tv kwakutusogezea vitu roho napenda
awwwwwww nimeumiss sanaa
Allah aibariki kazi ya mikono yenu mashaallah
Amiin
@@mamawa3mamawa321 Allahumma amin
Shukraan Sana
Boflo ndio Asili yetu watu Wazanzibar safi sana hakuna mkate mgumu mbele ya supu
Mashallah boflo lakin wengine hawajui kutengeneza inakua migumu
kweli hii ni fahari ya zanzibar
😋😋😋
Boflo nzuri Sana'a lkn wengi wenu mnatengeneza bofro ngumu Sana'a. Alafu mazingira mabaya Ila . sie tuna tengeneza bofro za uhakika na ukila hakika hauwez kwenda pengine . maana zinatiwa vitu vingi ukiziihitaki nichek
Zenjibar tv tz online hakika hii ni fahari ya zanzibar
Sasa apo nipate na supu ya kuku au ng'ombe
Wanidondosha mate
Hahahai utamuu tuu hivi saiv hizi boflo ni beii ganii kitambo sanaa boflo na blueband
Mkate uliotulea kwa kifungua kinywa huu, Mh Jaku aliupigia kelele barazani kwamba umeshuka kiwango, ni kweli mkate wa boflo kama ulivyo wali ni kiainisho chetu basi turudi kwenye ubora wake kama ulivyokua hapo zamani.
Nazipenda hatar ila zisiwe na nyama nyingi
Hawa new home fanecha hawatumii mitandao yakijamii km insta na fecbok km wanatumia naimba acount yao
Nana hata Mie nimeona mashine Ina kitu hii hatar watu wetu wanaumwa tatizo kuchu badilisheni mashine
Mbona hi machin ina kutu !🤦♀️
Vilopo muwe munavikosha
Ukikosha utaondoa utamuu dia