SHEIKH MARDHIYA AMUUNGA MKONO RAIS

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น •

  • @Zanzibar-e4h
    @Zanzibar-e4h 4 วันที่ผ่านมา +5

    Allah akuoneshen haki naona sasa mnapotea badala ya kusimamia dini mnaingia ktk mipira kuna uhalali gani mpira .mnaendekeza njaaa mnajipendekeza

  • @Bmsecret
    @Bmsecret 3 วันที่ผ่านมา +2

    Chawa mnafiki shekhe uchwara

  • @SaumuMwijaa
    @SaumuMwijaa 5 วันที่ผ่านมา +3

    Mabrouk,Allah akuzidishie moyo mkunjufu

  • @Samsungjprime-ww9ve
    @Samsungjprime-ww9ve 3 วันที่ผ่านมา

    Mashaallah

  • @DelightfulMacawBird-tl5hf
    @DelightfulMacawBird-tl5hf 4 วันที่ผ่านมา +1

    AL habibi leo hujavaa kanzu sijakujua😂😂

  • @MdNasr-jm8pj
    @MdNasr-jm8pj 4 วันที่ผ่านมา

    Mpe kimamy nae asalimie😂 haya shime vjna Zanzibar heroes 🎉🎉🎉uchukue ushindi

  • @Zanzibar-e4h
    @Zanzibar-e4h 4 วันที่ผ่านมา +3

    Nandomana duwa zenu hazivuki blok 6 zinaishia varanda kwasab hamna msimamo na maneno ya Allah. maridhi unajuwa km mpira hauna uhalali unajitowa fahamu

  • @salmaabdu5011
    @salmaabdu5011 3 วันที่ผ่านมา

    Spitali zanzibar bado kabisa labda jengo tu

  • @KhalfanAbdalla-x7u
    @KhalfanAbdalla-x7u 4 วันที่ผ่านมา +2

    Kwa hili mmeishushia hadhi timu ya TAIFA ya Zanziba na mnyama akishinda tuishangilie nchi ipi

  • @Binfuad
    @Binfuad 4 วันที่ผ่านมา

    Shehena

  • @MbaroukAbdallah-k8h
    @MbaroukAbdallah-k8h 4 วันที่ผ่านมา +2

    Wapiga dua wamekua watangza mipira

  • @Shariffshariff-q7j
    @Shariffshariff-q7j 3 วันที่ผ่านมา

    Kavaye kofeya

  • @nassorseif7907
    @nassorseif7907 4 วันที่ผ่านมา +1

    Kujipendekeza tu chawa wa ccm

    • @MdNasr-jm8pj
      @MdNasr-jm8pj 4 วันที่ผ่านมา

      Unaanza ivyo 😢

    • @nassorseif7907
      @nassorseif7907 4 วันที่ผ่านมา

      @MdNasr-jm8pj naanza nijni kwani huoni hamna kitu hapo ni riyaa ya kujipendekeza

    • @MdNasr-jm8pj
      @MdNasr-jm8pj 4 วันที่ผ่านมา

      @nassorseif7907 saport team yako kijana

  • @نوفل-س5ر
    @نوفل-س5ر 4 วันที่ผ่านมา +1

    Anaondosha matatizo au anaongeza matatizo ,maana nakua najiuliza hayo maovu yote yanayofanyika munakua hamuyaoni.ama hayajakupateni nyinyi.

  • @iddijumaali7192
    @iddijumaali7192 5 วันที่ผ่านมา +2

    Sheikh wa mpira😂😂😂

  • @شيخنيف
    @شيخنيف 4 วันที่ผ่านมา

    Mpira ni Haramu mpaka wanao onekana ni viongozi katika Jamii nao wanaupigia upatu?

  • @iddijumaali7192
    @iddijumaali7192 5 วันที่ผ่านมา +1

    Labda njaaa

  • @mohdahmed5389
    @mohdahmed5389 4 วันที่ผ่านมา +1

    Acha ujinga wewe ,barabara kuu ya mkoani chake maili 17 tu ni mashimo matupu,acheni pumba,kama dini hamujui ,endelezeni huo uchawa,matumbo yanawasumbua

    • @FahadAbubakari-y3f
      @FahadAbubakari-y3f 3 วันที่ผ่านมา

      Sasa vitajengwa vote kwa wakati mmoja haya vipi uko kwangine walikojenga kilomita nyingi tuache nongwa na tuwe wakweli kwa hivo kule kulikofanywa mambo si kitu haya wakaja jenga hiyo kilomita 17 usemazo ndo kila kitu kitakua kimemalizika

    • @mohdahmed5389
      @mohdahmed5389 3 วันที่ผ่านมา

      @FahadAbubakari-y3f wewe unaijua hio barabara ya mkoani chake?au uchawa tu na wewe,punguzeni njaa! munaangamiza nchi na vilivyomo vya kwa njaa zenu,watu wanateseka nyinyi munaleta pumba ,asilimia 85 ya barabara za pemba ni mbovu,kazi yenu sifa tu

    • @FahadAbubakari-y3f
      @FahadAbubakari-y3f 3 วันที่ผ่านมา

      @mohdahmed5389 sa Nani chawa? Mi alhamdulillah iyo siasa ya huko haijanipa chochote ila nna maisha yangu na naendelea mshukuru Mungu hivo sio chawa na hakuna wakunifanya kua chawa zanzibar ni unguja na pemba hivyo Kuna barabara kubwa na ndefu kuliko hiyo zimejengwa na watu wameziona na hakuna alosema hiyo kamwe haitojengwa hasira kashfa wala hazina maana

    • @mohdahmed5389
      @mohdahmed5389 3 วันที่ผ่านมา

      @FahadAbubakari-y3f sasa ukiwa umejaaliwa kushiba usiwakejeli wenye njaa,zanzibar watu wanadhiki wala mfano wake haina ,wala kwasasa zanzibar haina haja ya barabara wakati matumbo yao yako empty,anaemtetea dhalimu nae dhalimu ,watu zaidi 21 kauwa wengi vilema,wanawake wamebakwa ili mradi tu akae kwenye madarala ?wewe sheikh hutojua machungu ya watu mpaka na wewe siku moja upoteze mpendwa kwa kuuliwa na hawa madhalimu leo unaowapigia kofi ,ingawa sikuombei yakukute.

    • @HalimaSalym-jl2ui
      @HalimaSalym-jl2ui 3 วันที่ผ่านมา

      Kuna mayatima na wajanae na masikini hawajiwezi, bado munaingia kwenye michezo ya kishetwani

  • @Grataaaaa
    @Grataaaaa 4 วันที่ผ่านมา +1

    Hmna lolote miccm midhali. Uyo raix mwenyewe alienda kanisani kutowa million Mia wakati angechimba visima wallah watu hawana ata maji hamna lolote michawa ya ccm