EASY WAY TO MAKE HOME MADE BREAD/BOFLO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 45

  • @juwairiamussasuleiman2029
    @juwairiamussasuleiman2029 2 ปีที่แล้ว +1

    asante sn habbty nmefnya hii recipe nmekula nmeinjoy nizuri sna sna mungu akzdshye ujuz

  • @androidphone6843
    @androidphone6843 3 หลายเดือนก่อน

    Safia Asantea Sana

  • @naomyfaith8265
    @naomyfaith8265 2 ปีที่แล้ว

    Yummy napenda sana mitai

  • @a.856
    @a.856 2 ปีที่แล้ว +1

    Jazakallah khayran

  • @ayshahassan5573
    @ayshahassan5573 2 ปีที่แล้ว

    Ma Shaa Allah Tabaraka Rahman. Shukran Aunty for sharing May Allah bless your hands.

  • @G.r.e.a.t.I.Q
    @G.r.e.a.t.I.Q 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashaa Llah! Mh! Unenitamanisha!

  • @aminaali9423
    @aminaali9423 2 ปีที่แล้ว

    Masha Allah, nimependa boflo kwa mchuz wa mkalai kinyumban zaid pambe

  • @amnesalemmbarak7305
    @amnesalemmbarak7305 2 ปีที่แล้ว

    MashaAllah Tabaraka Rahman

  • @nasreenosman2705
    @nasreenosman2705 2 ปีที่แล้ว

    Safi sana asante

  • @aljabryummariyam1167
    @aljabryummariyam1167 2 ปีที่แล้ว

    Mashallah tabaraka Allah

  • @maryamkhamis9493
    @maryamkhamis9493 ปีที่แล้ว

    Shukran habibty ❤🫶🏽

  • @rashidaalkhaify4074
    @rashidaalkhaify4074 2 ปีที่แล้ว

    Shukran sana mw mungu akubarik sijajua maisha yangu kama boflo linageuzwa up side down asante

  • @salimafakhi9425
    @salimafakhi9425 2 ปีที่แล้ว

    Mashaa Allah

  • @ShaidaKanji
    @ShaidaKanji 2 หลายเดือนก่อน

    Habar

  • @safiaabubakar1120
    @safiaabubakar1120 2 ปีที่แล้ว

    Mashaa Allah mpaka nimelitamani Shukran habibty

  • @fatma-si5os6ni7
    @fatma-si5os6ni7 2 ปีที่แล้ว

    MASHA ALLAH 😋😋😋

  • @rehanadawood6377
    @rehanadawood6377 2 ปีที่แล้ว

    Thanks

  • @asyajumajuma8446
    @asyajumajuma8446 2 ปีที่แล้ว

    MashaaAllah kwa kutufundisha mapishi mbali mbali .Allah aitie barka mikono yako. InshaaAllah tutajaribu

  • @1969jamila
    @1969jamila 2 ปีที่แล้ว

    MaashaAllah jazakallahukheyr Shukran habibty 🙏🏼

  • @najmasalim6272
    @najmasalim6272 2 ปีที่แล้ว

    Boflo kwa urojo😋

  • @hermandemello2200
    @hermandemello2200 2 ปีที่แล้ว

    Ty Queen Shiba for the awesome lovely Zanzibar Boflo bread recipe n supper results I'm pleased and happy watching ur post from Tanga Tanzania Wow.

  • @umsalim6515
    @umsalim6515 2 ปีที่แล้ว

    MashaAllah queen 👸 💖, boflo linavutia na linaonekana hasa testy, thank you dear 😘

  • @shadyaalismaily8802
    @shadyaalismaily8802 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallah habibty umenikumbusha nyumbani nasubiri nipone nijaribu na mimi luv you😘😍

  • @nkmohammed819
    @nkmohammed819 2 ปีที่แล้ว

    Assalamu aleykum Dada
    Naomba Vipimo vya ingredients

    • @queenshibaskitchen9130
      @queenshibaskitchen9130  2 ปีที่แล้ว +1

      Nimeandika kwenye description below click ki erro cha grey chini ya video utapata full recipe

  • @HatungimanaMariam
    @HatungimanaMariam 3 หลายเดือนก่อน

    Nahitaji namba ili nipate kujua utengenezaji wa mkate

  • @hajmy1954
    @hajmy1954 ปีที่แล้ว

    Recipe ya boflo mbona hukutowa vipimo umetowa recipe za roj na kisambu?

    • @queenshibaskitchen9130
      @queenshibaskitchen9130  ปีที่แล้ว

      Sijakufaham.

    • @hajmy1954
      @hajmy1954 ปีที่แล้ว

      @@queenshibaskitchen9130 Mashallah boflo zuri ila kipimo cha unga kwa kipimo cha maji ni vipi? Shukran kwa upishi wako mtamu

  • @rehanadawood6377
    @rehanadawood6377 2 ปีที่แล้ว

    How much bakin powder

  • @saimarmuhsin9578
    @saimarmuhsin9578 2 ปีที่แล้ว

    Aslaam alaykum vipi hali Allah akulipe kwa kutupa ujuzi na inshaallah akijaalie umri mrefu wenye manufaa naomba kuuliza hivo vibati kabla ya kuweka donge hutii chochote nakusudia km kupaka mafuta na unga uli mkate usigande?

    • @queenshibaskitchen9130
      @queenshibaskitchen9130  2 ปีที่แล้ว +1

      Waleikum salam Alhamdulillah. Amin yarabi.
      Ehe kama vibati vinagandisha paka mafuta au siagi usitie unga itaharibu muonekano wake wa njee.

    • @saimarmuhsin9578
      @saimarmuhsin9578 2 ปีที่แล้ว

      @@queenshibaskitchen9130 shukran Allah akuondoshee husda na hasad ahsante sana kipenzi ubarikiwe sana

  • @Ayoon_Furniture
    @Ayoon_Furniture 9 หลายเดือนก่อน

    Uki bidua hauanguki?

  • @safiamahmoud2223
    @safiamahmoud2223 2 ปีที่แล้ว

    Nlikuwa nasubir ulikate nilione ndan n uroho wangu😂😂Alafu kwenye vibati umeweka siagi Au nn