Asante sana brother Joel mimi shida yangu maweza kupanga bajeti na kuweke pesa katika makundi ayo ila nikipata pesa tofauti na mshahara matumizi yanakuwa makubwa nawezaje kuyapunguza
Tangu nikufaham kaka umeniokoa pakubwa sana 2021 nilikufaham nikapata mafunzo moyo ulikua unauma nashindwa hata kupumua nikahisi nina corona nilipata somo kupitia wewe kakika shukrani zangu ni kubwa sana kwako😪😪🙏🙏🙏 chochote ninacho kiona kinanisumbua natafta video zako napata suluhu
Naomba ushauri siye wengine kinacho tumalizia Hela ni bando Sasa kati ya kununua bando kidogo kidogo na kununua bando jingi Kwa wakati mmoja kipi boraa ??
Kaka joel,Jana nimetuma pesa ya kitabu cha money formula,na msg nimetuma WhatsApp,lakini kitabu sijapata mpaka sasa?msg hazisomwi.ninauhitaji Sana wa hicho kitabu mbona sipewii???
Upo sawa mwalimu wetu Nikiwa Nairobi gikombaa kenya
Joel nanauka na kuzawadia maua yako kaka umenisaidia sana🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Hii topic ya leo naingoja kwa shauku zote
Mimi nimmoja wa kutumia pesa vibaya lkn Hili somo limenifungua akili asante sana
Fact
Hii ni elimu ya bure kabisa asant kaka 🙏🙏
Asantee kwa elimu nzuri, itanisaidia kupanga bajeti yangu
Sassa nimeeleewa vzuri namna ya kusev pessa ning
Mimi vocha inanimalizia sana pesa
hiii imekaa vzr zaidi
Asante sana brother Joel mimi shida yangu maweza kupanga bajeti na kuweke pesa katika makundi ayo ila nikipata pesa tofauti na mshahara matumizi yanakuwa makubwa nawezaje kuyapunguza
Barikiwa sana kaka
Tangu nikufaham kaka umeniokoa pakubwa sana 2021 nilikufaham nikapata mafunzo moyo ulikua unauma nashindwa hata kupumua nikahisi nina corona nilipata somo kupitia wewe kakika shukrani zangu ni kubwa sana kwako😪😪🙏🙏🙏 chochote ninacho kiona kinanisumbua natafta video zako napata suluhu
Sita acha kusikiliza video zako labda uache kupost Elimu ninayo ipata Ina enda kwenye vitendo moja kwa moja na Ina toa matokeo chanya
Nashukuru sana Abraham,tuendelee kujifunza
Naanza sasa Ahsante sana brother Joel Nanauka🙏🙏🙏siku moja nitakuwa shuhuda
Ila mwenye kipato kwa mwez laki 6 anatakiwa afanye vipi ktk hizo asilimia brother?😊
Sawa sawa
Ahsante Sana mwalimu kwa Elimu MUHIMU Sana ya kupambana na maisha
Asante mwalimu
Naanza sasa bro barikiwa sana
Upokee maua yako
Nikitu ambacho kinawe zekana iwapo mt ataamua acha mi nianze mwalim
Asante sana
Ahsante Mwalimu kwa Somo Muhimu na la Faida Sanaa.
Ujawai kukosea teacher Joel🇹🇿🙏.
Nimeipenda
Shukrani sana
fact bro
Mimi huyo jamani hata sielewi nazipeleka wapi
Wacha nianz kutumia hii njia
💯💯💯
🇧🇮🇧🇮🙌🇧🇮🇧🇮
Hii mbona Kama umeirudia mkuu
NI kweli alishatoa hii miaka kadhaa nyuma
Lkn ameiboresha/Amei-Update kutokana na Umuhimu wake.
Ni kweli
Imeboreshwa zaidi
mjomba je kama kipato unacho PATA mfano kama kwasiku unapata 8000 je bajet yakuwekeza unaweza kufanyaje Ili izalishe
😘🙌🏿✍️
Naomba ushauri siye wengine kinacho tumalizia Hela ni bando Sasa kati ya kununua bando kidogo kidogo na kununua bando jingi Kwa wakati mmoja kipi boraa ??
😂😂😂
Kaka joel,Jana nimetuma pesa ya kitabu cha money formula,na msg nimetuma WhatsApp,lakini kitabu sijapata mpaka sasa?msg hazisomwi.ninauhitaji Sana wa hicho kitabu mbona sipewii???
Pole kwa kuchelewa kupata, Tuma neno BADO kwenda watsapp 0742 112 946 utasaidiwa kukipata leo
Shukrani