VIGEZO VYA KUJUA WATU SAHIHI - JOEL NANAUKA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 137

  • @stanleyandrea5153
    @stanleyandrea5153 ปีที่แล้ว +6

    Kabla sijamkalibisha mtu kuwa rafiki angu. Nahakikisha kutofungua milango xana. So binadam ni watu wa kuwa nao mkini sana . AHSANTE 🙏 nazidi kuwa imala

  • @enosmwangondaofficial8589
    @enosmwangondaofficial8589 ปีที่แล้ว +3

    Nimejifunza kitu,nimeumizwa sana na ukaribu wa urafiki kwa kufungua milango ya ndani kabisa ya moyo wangu pasipo kujiuliza au kufahamu mambo haya ambayo Brother umeyafundisha hapo.Sasa moyo umepona na amani nimeipata.Asanteh sana ubarikiwe kwa somo zuri

  • @BrasiusJackson-db9no
    @BrasiusJackson-db9no 9 หลายเดือนก่อน

    Dah hii imenikutana kuna mtu akiwa na kitu huwa anajifanya yupo busy sana ila akiishiwa ndo anajifanya kuwa karbu nami😢😢

  • @prisilajohn2002
    @prisilajohn2002 ปีที่แล้ว +5

    Ni kweli kabisa na tukizingatia haya ni rahisi kupata rafiki sahihi na kujiepusha na migogoro kwa kutokukaa na watu wasio sahihi.

  • @MarcoPeter-y5n
    @MarcoPeter-y5n หลายเดือนก่อน

    Asante sana MUNGU Baba wa Mbinguni Akubariki

  • @ramadhankwilasa2371
    @ramadhankwilasa2371 ปีที่แล้ว +1

    Ahsante kaka

  • @BinifaceDominick
    @BinifaceDominick 3 หลายเดือนก่อน

    Mim nipo na rafiki yngu mmoja yeye anapenda sanaa kudidimiza kifedha. Pia mim nina hasira sanaa naitaji nibadilike nisiwe hvi napenda sanaa ila njia ndio sijuh nifanyeje

  • @JanetGasper-h5p
    @JanetGasper-h5p 4 หลายเดือนก่อน

    Friends nilikuwa nao na tumeishi mda mrefu sana but suddenly wamebadilika ni tofaut na nilivyowazoea

  • @MagrethKyando-m6m
    @MagrethKyando-m6m ปีที่แล้ว +1

    Kweli kanisa mafundisho unayofundisha tukiyashika na kuyatenea kazi yatatusaidia sana

  • @AbubakariLigi
    @AbubakariLigi 5 หลายเดือนก่อน

    Nikweli brother Joel nanauka hata mimi nimeshapitia namna ya ivyo nanilipata maumivu makalisana kwakusababishiwa na watu wangu wakalibu

  • @sixberthcostantini9290
    @sixberthcostantini9290 ปีที่แล้ว

    Unachokiongea nichakweli na kimenitokea mara kadhaa namuamini rafiki kwa haraka nakumpa siri za maisha yangu kumbe amekuja kwa lengo latekeleza alichodhamiria kukifanya
    Ila huwez kumjuwa anavyokuja kwasababu anajiweka karibu sana had inafikia hatua unamuamini

  • @KingdomLegacyChurchKLC
    @KingdomLegacyChurchKLC 11 หลายเดือนก่อน

    Brother nilitapeliwa pesa mingi.na watu niliowaingiza moyoni na kuniharibia kazini so niko makini sana kupitia somo hili sitafanya makosa tena hiyo imeenda.thanks brother Joe tunapona.be blessed

  • @nurdininanjota4056
    @nurdininanjota4056 ปีที่แล้ว +10

    Ushauri mzuri brother unazidi kutujenga akili Mungu awe karibu na wewe 🇹🇿🙏.

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  ปีที่แล้ว

      Ameen nashukuru sana

    • @salumhamis4735
      @salumhamis4735 ปีที่แล้ว

      @@joelnanauka Broooh UNAJUA hunaa bayaah

    • @mbanga6759
      @mbanga6759 ปีที่แล้ว

      @@joelnanauka Kaka mume wangu ananiuliza Sana nimekua mtu wakuliya Sana namaumivu Mali mpaka kidua kinawaka Moto nielekeze nifanye Nini kupona hili tatizo kwani mpaka BP IPO juu mda mlefu haishuki

    • @mbanga6759
      @mbanga6759 ปีที่แล้ว

      @@joelnanauka nisaidie Kaka ntakufa

    • @happynescostat7420
      @happynescostat7420 ปีที่แล้ว

      @@mbanga6759 Usiruhusu mtu yeyote akuvunje moyo,kwani ulikuja duniani kwa Ajili take? Jipe moyo na achana nae,

  • @RuwaidaAyoub-q6k
    @RuwaidaAyoub-q6k ปีที่แล้ว

    Asante Cana boro nitaanza kuyafuata ambayo umetufunxa

  • @monicakauky8914
    @monicakauky8914 5 หลายเดือนก่อน

    Ndiyo nimeshawahi kukutana na mtu nikamweka karibu lakini baadae alibadilika,niliumia Sana ila naomba Mungu anisaidie niwe nachunguza kwanza marafiki.

  • @SameJunior-xi1lw
    @SameJunior-xi1lw ปีที่แล้ว +1

    Ad leo sina rafiki sababu nawauliza malengo yako kwenye maisha yako vip
    Kama ujibu wewe n mwana mambo powa tu na sio rafiki ang naishi upweke saana nakosa mshirika ktk ndoto zangu😢

  • @Elnathatz9749
    @Elnathatz9749 ปีที่แล้ว +3

    Naomba kujua kwanini mtu anakuwa unakupinga kila unachoongea au kila unachokifanya kwake wewe unakosea yaan huwezi kufanya kitu kikawa right kwake jamani hili jambo linaniumiza hata nikijaribu kukaa kimya bado namkosea ni kwanini lakini 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢 NAOMBA MSAADA 😢😢😢😢😢

    • @Its_Tokyootz
      @Its_Tokyootz ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂hii kwel kabisa

    • @hidayakisensi2747
      @hidayakisensi2747 ปีที่แล้ว

      Ana roho mbaya hapend kufanikiwa yupo kukukandamiza Ili usijiamini.

  • @VigardSakani
    @VigardSakani 2 หลายเดือนก่อน

    barikiwa ,nmejifinza kitu

  • @AnnaSoa-yn9mg
    @AnnaSoa-yn9mg ปีที่แล้ว

    Nikweli hatamm nimewahikuna mtu wa namna hii lkn Sasa nimejifunza

  • @AdventJulius
    @AdventJulius 9 หลายเดือนก่อน

    Kweli kaka ni kuwa makini Mimi mwenyewe nishakutana na hao marafiki

  • @OtavinaMsigala-xx5bl
    @OtavinaMsigala-xx5bl ปีที่แล้ว

    Yaani Niko ivo kama umeniona

  • @ShaniMwamba
    @ShaniMwamba ปีที่แล้ว

    Live brother I am under stand you

  • @AshaKachapuka
    @AshaKachapuka 5 หลายเดือนก่อน

    Nilikuwa nafanya biashara bila kujua ndio mana nilikuwa siendei ahsante kaka mafunzo mazuri nitajiunga na kikundi chako

  • @adofullmuvi5758
    @adofullmuvi5758 ปีที่แล้ว

    Uko vizuli mm naita chakula Cha mandeleo nilifata ushauli wako nimefanikiwa sana ile mada ya heshima ya feza❤

  • @rachelraphael1355
    @rachelraphael1355 ปีที่แล้ว

    Kwakweli umenisaidia niliruhusu watu ambao sio sahihi kuingia kwenye maisha yangu

  • @AlexJefwa
    @AlexJefwa หลายเดือนก่อน

    Barikiwa 🙏🙏

  • @josephmichael9555
    @josephmichael9555 ปีที่แล้ว

    Hakika mkuu sijawai kujutia kusikiliza ushauli wako wa youtube na vitabu vyako hakika najiona kabisa yule wa Jana sio wa leo balikiwa Sana

  • @irenemchome8965
    @irenemchome8965 ปีที่แล้ว +2

    Kweli kabisa watu wanaumia sana,kukuta mtu hayuko kama alivyotarajia

  • @mwakalukwafredy1990
    @mwakalukwafredy1990 ปีที่แล้ว +1

    Darasa langu ni channel Yako kaka Joel Nanauka tangu nianze kukufutilia huku hakika nimeona thamani ya maarifa Yako.
    Yamenisaidia pakubwa sana

  • @davidmlela3807
    @davidmlela3807 ปีที่แล้ว

    Mi nilishawahi kukutana na rafiki wa hivyo na nikaumia.kweli kaka huo ni ukweli

  • @chrismassawe2939
    @chrismassawe2939 ปีที่แล้ว

    Nimeshajuta mara 3 na leo nimejua namna ya kuangalia kwanza nani awe karibu na mimi nadhani abaki tu mke wangu

  • @annmulu934
    @annmulu934 ปีที่แล้ว +3

    Asante sana kaka J kwa kutuelimisha mambo ya muhimu katika maisha tunoyoishi Mungu hawe pamoja nawe

  • @esthernambeye4540
    @esthernambeye4540 ปีที่แล้ว

    Exactly kaka ni wengi muno walio nifanyia hivyo sina ata hamu nikahisi km mungu hayuko nami

  • @salmamasood2524
    @salmamasood2524 ปีที่แล้ว

    Habarkaka Joel nashkuru kwa ushauri kwakweli kuna mtu unakuta k

  • @daudmsigwa4860
    @daudmsigwa4860 ปีที่แล้ว

    Barikiwa kaka

  • @salumnamjupa-sy6cm
    @salumnamjupa-sy6cm 9 หลายเดือนก่อน +1

    Thanks uncle j...i will always swim in your helpful advices

  • @sumucalikamula2827
    @sumucalikamula2827 ปีที่แล้ว

    nishaipenda mrembo mwenye apendi mpira wa Miguu kama mimi.

  • @JallyaKatende
    @JallyaKatende ปีที่แล้ว

    Da nikweli kabisa na Hadi leo nimepoteza mwelekeo,. Na kupoteza vitu vingi ambapo inanigharimu na sijaweza kurudi Tena maisha yangu .kweli nilazima kutafakari kwanza

  • @AdamAndrew-o8k
    @AdamAndrew-o8k ปีที่แล้ว

    Nilikuwa na mtu wangu nampenda sana lakini akaniumiza vibaya sana

  • @zawadiamuli4186
    @zawadiamuli4186 ปีที่แล้ว

    Yaani mimi naomba unisaidiye sana nataka ni kuongeleshe kwenye WhatsApp

  • @SuleimanMasoud-c2p
    @SuleimanMasoud-c2p ปีที่แล้ว

    Ni ushauri mzuri kakangu.
    Mm nishatendwa na mwanadada mmoja nilie ona ni mshirika wangu katika mafanikio yangu na yeye

  • @EdgarShimwela
    @EdgarShimwela ปีที่แล้ว

    Asante sana bro. Mi binafsi unanijenga sana kupitia video zako.

  • @doricamongateko4886
    @doricamongateko4886 5 วันที่ผ่านมา

    Vitabu vyako vinapatikanaje...?

  • @AbarikiWilliam-x1d
    @AbarikiWilliam-x1d ปีที่แล้ว

    Big up!!

  • @stevenmatheo7134
    @stevenmatheo7134 ปีที่แล้ว

    Ni Kweli kaka nakubaliana na ww, hakika najifunza mengi kutoka kwako be blessed sana.

  • @zarnatmohd6635
    @zarnatmohd6635 ปีที่แล้ว

    Yamenikuta kaka nimemueka karibu kumbe alitaka kutumia jina langu baadae kabadulika kama sio yye

  • @nolimittvonline6822
    @nolimittvonline6822 ปีที่แล้ว

    Kabisaa nilifanyaga ujinga huu Ila kwa Sasa siwezi umenielimisha

  • @gosaizaka1495
    @gosaizaka1495 ปีที่แล้ว

    Blessed bro you tourched me

  • @AmaniManirambona
    @AmaniManirambona 8 หลายเดือนก่อน

    Hii nzuri pia nilipitia kumchunguza mtu niliemueka karibu❤

  • @Udindigwa
    @Udindigwa ปีที่แล้ว

    Amina

  • @Msambyamashingwe
    @Msambyamashingwe ปีที่แล้ว +2

    Fact ❤🎉

  • @BinifaceDominick
    @BinifaceDominick 3 หลายเดือนก่อน

    Pia nitumie nin kwa wingi ilinnipunguze hasira

  • @annamungure4335
    @annamungure4335 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki,nilishakuwa kwenye mahusiano alafu sikuchunguza kati ya hayo mambo 4

  • @faudhiaGombaeka-kf7oe
    @faudhiaGombaeka-kf7oe ปีที่แล้ว

    Sijutii mada zako bro

  • @fredyelisha2686
    @fredyelisha2686 ปีที่แล้ว

    Kaka joeli asante sana 😊😊😊 tufundishe zaidi

  • @salmazwallo5920
    @salmazwallo5920 ปีที่แล้ว +1

    Asateee sana kaka napendaa sana mafunzo yako mungu akubalikii

  • @Keyjop
    @Keyjop ปีที่แล้ว

    Inafika wakati unaachana narafiki unaweka ukaribu na ndugu at the end unaanza kutafuta kasolo yako mwenyewe i mean unajikuta upo katika mgogolo na nafsi yako 😂😂😂 all in all nimejifunza kitu ku atofaut sana katika vitu hiv yaani love interest and intensions

  • @simionyona9122
    @simionyona9122 ปีที่แล้ว

    Ni kweli,nimewahi kutana nao sio mara moja 😊

  • @reiphan9894
    @reiphan9894 ปีที่แล้ว

    aisee kwakweli mbona kama inanihusu ivi

  • @ImperialHotel-nc6pb
    @ImperialHotel-nc6pb 6 หลายเดือนก่อน

    Wa kwanza Leo nipen likes zangu

  • @AYUBMWANGOKA
    @AYUBMWANGOKA ปีที่แล้ว +1

    It's facts imenitesa sana up to This moment sijapata majibu nimeishia kumuachia Mungu
    Your a great leader

  • @AshaKachapuka
    @AshaKachapuka 5 หลายเดือนก่อน

    Nilimpata mtuhuyo

  • @HappinessMhamba
    @HappinessMhamba ปีที่แล้ว

    Asante Kwa maarifa.

  • @jenithandyetabula3805
    @jenithandyetabula3805 ปีที่แล้ว

    Nazidi kujifunza mengi kwako kaka, na Mungu akubariki

  • @farajamtifu4155
    @farajamtifu4155 ปีที่แล้ว +1

    Yaani mungu akubariki sana, kuna watu niliwasimulia magumu yangu mwisho wake wakaanza kuyatumia hayohayo kuniumiza,

  • @teklakibamtura2534
    @teklakibamtura2534 ปีที่แล้ว

    Asante sana kaka Jo unachozungumza ni kweli namba 4 ilinitenganisha na mtu namshukuru Mungu sana

  • @mossesezekiel7862
    @mossesezekiel7862 ปีที่แล้ว

    Ahsante kwa mafundisho mweshimiwa!!!👍👍👏👏👏

  • @tonytyson1019
    @tonytyson1019 ปีที่แล้ว +1

    Wakati naendelea kusikiliza nikawa kumbuka aina 4 za maadui katika topic iliyopita nazidi kuimarika💪 shukrani sir

  • @RuthMomanyi-bh3ez
    @RuthMomanyi-bh3ez ปีที่แล้ว

    Oh thanks a lesson learned

  • @MsombaAlpha
    @MsombaAlpha ปีที่แล้ว

    Daaaaah! MUNGU azidi kukupa maisha marefu ili tuendelee kukifaidi hicho ambacho MUNGU ameweka kwako🙏🙏

  • @L2L-TZ
    @L2L-TZ ปีที่แล้ว +1

    Purpose is the function for what we're designed for. Joe is fulfilling his reason for why he was created for. God blessed you. I'm a professional therapist and life coach but each day I used to watch over and over your videos

  • @MaryNawakwi-c9e
    @MaryNawakwi-c9e ปีที่แล้ว

    Asante sana kaka kwa mafundisho yako mazuri watu wengi tunajiingiza katika marafiki wabaya pasipo kujiuliza mungu awe nawe ili uzidi kutupatia maarifa?

  • @tebeswiper2307
    @tebeswiper2307 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe Joel 👊✊

  • @KoudraAbdoul
    @KoudraAbdoul ปีที่แล้ว

    Asante bro Joël yani iyi dunia hayiishi mafunzo.

  • @ramanycore
    @ramanycore ปีที่แล้ว

    Great point,,,,

  • @owenMichael-z8i
    @owenMichael-z8i 28 วันที่ผ่านมา

    nime wai lakini nili gundua mapemaa na kuachaa kufatana naee

  • @tumajunior6080
    @tumajunior6080 ปีที่แล้ว

    Asante kakangu kwa ushauri mzuri je ?nikiwa nishajiingiza tayari ntajisaidia vipi naomba ushauri kaka cz ht nikijaribu kujitoa ananitishia

  • @BinifaceDominick
    @BinifaceDominick 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa naitaji nifanye nae biashara kwasababu yeye yupo clear kibiashara hana hasira

  • @haidaryart
    @haidaryart ปีที่แล้ว

    Wengi sana nishakuwa nao karibu kwa style hio

  • @emanuelchanya5182
    @emanuelchanya5182 ปีที่แล้ว

    Ni halisi wapo watu kweli nilikutana nao na bila kujiuliza interest zao ni zipi unajikuta unaamini interest uliyonayo naye anayo lakini imeishia ktk majuto ya kupoteza vitu na nafasi muhimu.Upo sahihi Joel

  • @timothykengere2535
    @timothykengere2535 ปีที่แล้ว +1

    Shukrani 📚📚📚

  • @mohammedrashid2906
    @mohammedrashid2906 ปีที่แล้ว

    Ahsante brother

  • @ambore610
    @ambore610 ปีที่แล้ว

    Hii imenikuta sana mwalimu,nashukuru sana kwa mafundisho haya,sasa najua pakuanzia

  • @listonereuben4450
    @listonereuben4450 ปีที่แล้ว

    Nmepata kitu kizuri kwenye somo la leo,,,, thanks much my teacher of life

  • @vanessasalema6087
    @vanessasalema6087 2 หลายเดือนก่อน

    Noted.

  • @lucymwanyika5608
    @lucymwanyika5608 ปีที่แล้ว

    Amina sana 🔥

  • @IssahNgokos
    @IssahNgokos ปีที่แล้ว

    jamaa nilie soma nae ndio alikua darsa kubwa kwngu ikapelekea kua na rafik nimtakae mm mwenyewe

  • @jamilaabdul5481
    @jamilaabdul5481 ปีที่แล้ว

    Asante kaka nazid kuelimika

  • @bakarikombo9931
    @bakarikombo9931 11 หลายเดือนก่อน

    Mm nilifanya biashara na Rafiki baada ya muda nilishindwa mm cos yeye alikua mtu wa kujikweza na matumizi yasiyo sahihi

  • @maryamconstantine2232
    @maryamconstantine2232 ปีที่แล้ว

    Asante nazid kujifunza 🙏

  • @ramadhanalmashamza3458
    @ramadhanalmashamza3458 ปีที่แล้ว

    Asante sana brother ubarikiwe siku zote

  • @Janetijaneeh7465
    @Janetijaneeh7465 ปีที่แล้ว

    Ujumbe umefika baba

  • @MwamvitaMyombo
    @MwamvitaMyombo ปีที่แล้ว

    Asante kaka Joel kwa mafunzo unayotupatia Mungu akubariki

  • @johnmganga5107
    @johnmganga5107 ปีที่แล้ว

    Hii ni kweli kabisa

  • @saidjecha-mi5bh
    @saidjecha-mi5bh ปีที่แล้ว

    Nimekuelewa brother, nitalifanyia kazi

  • @emmanuelmkanyege1921
    @emmanuelmkanyege1921 ปีที่แล้ว

    Asante sana kwa somo zuri

  • @baboudeira9249
    @baboudeira9249 ปีที่แล้ว +2

    🇧🇮🇧🇮🇧🇮🙌

  • @abdulkharimsaidy5323
    @abdulkharimsaidy5323 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe

  • @shukranjulius9526
    @shukranjulius9526 ปีที่แล้ว

    Barikiwa zaidi kaka @Joel hakina unabariki wengi Mungu azidi kukubariki nakuzidi

  • @AishaAthumani-o1u
    @AishaAthumani-o1u ปีที่แล้ว

    Asante