Yeah iyo ni kweli lakini kukata tamaa sio maamzi kuwa unaamua kukata tamaa hapa kukata tamaa hutokana na msukumu fulani ambao unatokea ndani ya mtu. Pia msukumo huwa unaweza kusababishwa na mambo mbalimbali sasa mtu akishidwa kujisimamia na kuwa na mtazamo wa aina moja na bidii anaweza kupotea kabisa. Hivyo kuwa makini na misukumo hasi katika maisha yako. Endelea kuwa joel maisha yako yatakuwa mapya
Kwa kweli mimi nikiwa na mke aliniacha akaenda akaolewa na mtu mwingine,bwana bodaboda,i nikatoka kwenda vijijini, Nairobi, niliporudi nyumbani nilipata yule mke wangu amerudi tena kwangu,kubomoa nyumba zangu 3 za mabati na kubeba kila kitu ,niko nayo watoto 3 pale amezaa huko mtoto 1,aliniacha,2019,akaolewa 2020 ,basi 2021,akazalia yule bwana mtoto, mmoja, kama wewe changa moto hi hauwezi kukata tamaa.jameni mr,. Naomba ushauri lako mr Joel thnks
Mimi nikiwa kwenye matatizo cakwanza nalia nikimaliza nachukua sim napigia ndugu zangu pamoja namarafiki wangu waukweli wananipa suluhisho kwa mda mdogo na kama nimokosana na boss wangu basi tunaika chini tunaangalia wapi tatizo lilitokea hama mwenye alianza kukosea ni nani badae tunaombana msamaha na maisha anaendelea na mushukru mungu uwa sijuwi kukaa na matatizo yangu
ulio sema nikweli kaka, mfano mzuri nikwangu. kuna baba flani hivi nilienda kumuomba kitu tushee nayekukifanyia kazi pamoja sote alikataa nakusema mbona unauwezo wakukinunua kijana ,nami nikamjibu hapana pesa niliyonayo ninusu yabei hiyo.huwezi alinibeba nakunipeleka sehemu husika akiniogezea nusu yapesa ile kama 4,000,000 . kwamaana hii nakubali siokweli kila mtu anakuchukia
wanaotakia mazuri hakuna, na kama wako ni 1 out of million
My mentor..
Ww ni daktari wa maarifa
Imetimia Dr. Joel Nanauka
Mafundisho yanatutia ujasiri na kutupa mwanga zaidi kuendelea mbele. Ubarikiwe sana mtu wa Mungu
Shukran sana Kiongozi...
Maneno mazito kabisa na yenye thamani...
Mungu akubariki sana...
Kaka, naomba uanze kutumia ile beat uliyokua unatumia kipindi Cha nyuma Ni nzuri sana
kweli kabisa kila shida ina suluhisho lake
Kuna siku nikikua Nina shida ya pesa Yan nilikata tamaaa ila Mungu meema nilivyoenda shuleni mwalimu alinilipia ela yote iliyobaki daaah
Kukata tamaa pia kunatokana na aina ya mfumo wa maisha anayoishi MTU..
Yeah iyo ni kweli lakini kukata tamaa sio maamzi kuwa unaamua kukata tamaa hapa kukata tamaa hutokana na msukumu fulani ambao unatokea ndani ya mtu. Pia msukumo huwa unaweza kusababishwa na mambo mbalimbali sasa mtu akishidwa kujisimamia na kuwa na mtazamo wa aina moja na bidii anaweza kupotea kabisa. Hivyo kuwa makini na misukumo hasi katika maisha yako. Endelea kuwa joel maisha yako yatakuwa mapya
Wow nimestuka kusikia hivo unavio ongea ,ila nimejiulia mbona haya maneno yamenga tu Mimi kweli kweli, oh
Asante Sana Kaka n kweli uliicho kisema no kitu ambavyo hata mm nilikuwa na pia ma ra nyingi na kunifanya nikate tamaa
Mama yangu anankatisha tamaa kwa kunitukana but kwa kukusikiliza nimepata nafuu thank you so much 👍😄😄😄
MUNGU azidi kukubariki asante kwa kuniona, na kunifumbua macho
Nakubali elimu yako kaka
Kwa kweli mimi nikiwa na mke aliniacha akaenda akaolewa na mtu mwingine,bwana bodaboda,i nikatoka kwenda vijijini, Nairobi, niliporudi nyumbani nilipata yule mke wangu amerudi tena kwangu,kubomoa nyumba zangu 3 za mabati na kubeba kila kitu ,niko nayo watoto 3 pale amezaa huko mtoto 1,aliniacha,2019,akaolewa 2020 ,basi 2021,akazalia yule bwana mtoto, mmoja, kama wewe changa moto hi hauwezi kukata tamaa.jameni mr,. Naomba ushauri lako mr Joel thnks
Pole sana hii dunia inamaumivu mengi ILA ipo mwisho wake
Asalam alykum nikweli mm nishaona watu ambao wanajifungia ndani chumba tu kwa sababu hixohizo ulizozitaja kukweli n mbaya sanaa mtu kukata tamaa
Nimekuja hapa.maana niko kwenye hatua ya mwisho ya kujiua kwa kukata tamaa ya maisha
Please don't give up, God loves you.
Brother, you are the savior of people's understanding, may God give you a long life
Ongera sana uma upeo mkubw wa kuwaza
Sawa mkali.
Dini yangu ya uislamu inanifunza nisikate tamaa kwa hiyo kamwe sitokata tamaa ahsante kaka kwa mafunzo mazuri
Ni kweli broo
nakuwerewa sana kaka
Napenda maneno yako yanatia moy
Watuwengi wanakuombeya mabaya tu yan mwalim
Ahsante sana mwalimu kwa somo lako.
Ahsante Brother kwa Elimu hii Ubarikiwe sana 🙏
SEE YOU AT THE TOP
Asnt san mung akubaliki
Kweli Kaka unasema kweli kabisa
Ahsante sana kwa somo zuri 🙏
Asante sana kipekee nimejifunza kitu kikubwa sana
Bonsoir ubarikiwe nakufata 5/5 niko Congo Drc
Barikiwa sana
Mungu akubariki san san br
Nakuelewa sana kaka.
Kwel kaka
Ahsante kaka nauka bado naendelea kupata madiini yako ,Mungu akuliipe kheri
Uwii Asnt Mungu uliyenileta APA maan duh nko ovyo sana😥😥
Kaka Mungu akubariki sana napenda unavyotumia kitu Mungu ameweka ndani yako kwa ajili ya wengi
Wow i just love this....thanks joel am following from nakuru kenya...one day i will attend your meetings..
Asante sana Mr Joelnanauka umeendelea kufanyika baraka
Kweli na mimi Niko napitia kipindi hiki sasa hivi
Pole, zingatia haya uliyofundishwa sasa
Asante sana kwa somo.
Barikiwa
Asantee kaka mungu akubariki
asante sana kaka mafundisho yako yamekuwa yaki niimalisha sana
Sijawahi kuwa na mentor naomba msaada wa namna yoyote
Mbona kama Ni mmi unanisema
mimi nina tatizo la ada kaka yan natafuta nusu ya ada muhura wa pili chuoni siku zinazidi kwenda
Braza ilikuaje au unategemea boom tu brother pole sana bro
Kabili tatizo iyo meipata
nakubal
Aminaaa mungu akupe maisha mlefu jmn
Mimi hii ya kukimbia tatizo imenipata 2017
mimi tatizo langu kubwa napandisha vioo au kufa na tai shingoni plz nishauri kitu kaka @joel
Fwata hatua hizi zilizoelekezwa na Joel, utavuka..
Unaakili KUBWA Kaka inatakiwa upewe hata wizara selekalini
Mimi nikiwa kwenye matatizo cakwanza nalia nikimaliza nachukua sim napigia ndugu zangu pamoja namarafiki wangu waukweli wananipa suluhisho kwa mda mdogo na kama nimokosana na boss wangu basi tunaika chini tunaangalia wapi tatizo lilitokea hama mwenye alianza kukosea ni nani badae tunaombana msamaha na maisha anaendelea na mushukru mungu uwa sijuwi kukaa na matatizo yangu
Nitakipata vp kitabu cha namna ya kupanga mwaka
Asante kaka
Asante daktari
Mimi Natalia vitau
Thanks again for your support and help
MUNGU azid kukubaliki sana Kaka
Bro saf
🙏
Asante
ulio sema nikweli kaka, mfano mzuri nikwangu. kuna baba flani hivi nilienda kumuomba kitu tushee nayekukifanyia kazi pamoja sote alikataa nakusema mbona unauwezo wakukinunua kijana ,nami nikamjibu hapana pesa niliyonayo ninusu yabei hiyo.huwezi alinibeba nakunipeleka sehemu husika akiniogezea nusu yapesa ile kama 4,000,000 . kwamaana hii nakubali siokweli kila mtu anakuchukia
🔥🔥
🎉
Bro umenifanya nijione wa muhimu Sana leo
Hii ndo hali napitia Sasa hivi. Nimepata nguvu Sana kusikiliza hii video. Kila unacho ongea ninapitia
Brother
MUNGU akunariki sana kwa kuniona nakunipata njia 🙏🏻
Barikiwa
Asante bro
🙏