CHANZO CHA UMASIKINI - Part 1

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • Ni muhimu sana kutenga muda wa kujifunza mambo kadhaa katika maisha yako ili umasikini usiwe katika maisha yako. Fuatilia sehemu ya kwanza ya mambo 12 ambayo ni chanzo cha umasikini na jinsi gani ya kuyaepuka.
    .
    TAZAMA (PART 2) HAPA: • CHANZO CHA UMASIKINI -...
    .
    Usiache ku SUBSCRIBE na kuniachia mawazo yako kwenye COMMENTS, LIKE na SHARE PIA kwa wengine.
    .
    NIFUATE MITANDAONI
    INSTAGRAM: / ezdenjumanne
    TWITTER: / ezdenjumanne
    FACEBOOK: / ezdenjumanne
    LINKEDIN: / ezdenjumanne
    .
    For Business please send me an email
    ezdenjumanne@gmail.com
    WHATSAPP GROUP : (+255)759191076
    #chanzo #cha #umasikini

ความคิดเห็น • 431

  • @successpathnetwork
    @successpathnetwork  4 ปีที่แล้ว +11

    Ukihitaji msaada wangu kuhusu :
    1. Kufungua channel
    ya youtube
    2. Kama unayo channel tayari (Unataka niipitie na kuirekebisha ikae kibiashara)
    .
    Wasiliana nami sasa kwa whatsapp namba (+255)759191076
    .
    TH-cam ni biashara nzuri sana kama ukiianza na kuifanya kwa usahihi. Karibu sana!

    • @stephano263
      @stephano263 4 ปีที่แล้ว

      Oooh

    • @geraldkapinga4864
      @geraldkapinga4864 4 ปีที่แล้ว +1

      M Mimi ninahitaji kuifungua TH-cam ila bado sijajua inakuwaje kaka angu nisaidie

    • @kennytv745
      @kennytv745 4 ปีที่แล้ว

      sirri

    • @kennytv745
      @kennytv745 4 ปีที่แล้ว

      Nifanyeje ili niweze kuwa msikivu

    • @lupinamasanja1257
      @lupinamasanja1257 4 ปีที่แล้ว

      1

  • @khamissmwakyembe4238
    @khamissmwakyembe4238 5 ปีที่แล้ว +76

    Kaka Allah akujalie uendelee kutupa masomo mzuri kila kukicha good job brother💪👍👏👏👏👏👏

  • @seuryanael3518
    @seuryanael3518 4 ปีที่แล้ว

    Mengi mazuri hapa. Lakni nashauri vijana wenzangu. Kufika kwenye ndoto zako ni kumcha Mungu, Acha pombe, sigara na uzinzi.

  • @gertrudemghoi5301
    @gertrudemghoi5301 4 ปีที่แล้ว +2

    Napenda mafunzo yako naona yatanifungua macho

  • @abelbenedicto5392
    @abelbenedicto5392 5 ปีที่แล้ว +25

    Hujawahi Kuniangusha Mr. Ezdeez , Ahsante Sana Brother. @Each one Teach one

  • @many2761
    @many2761 4 ปีที่แล้ว +14

    Thank my brother for you lesson I can change for all my live

    • @Millie-q6x
      @Millie-q6x 4 ปีที่แล้ว +1

      Great advice! Eloquent speaker

  • @LaBboogo
    @LaBboogo 5 ปีที่แล้ว +11

    Asante sana nafatilia video zako na joel Nanauka for real I got something from you guys I appreciate what you guy's are doing thanks

  • @dottnatt7110
    @dottnatt7110 5 ปีที่แล้ว +9

    Asante sana kaka, mafunzo yako yananipanua akili zaid.
    Allah akujaaliye umri mrefu.

  • @MichaelKing-fj5nw
    @MichaelKing-fj5nw 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubarik Kaka kwa Mafuzo yko Mazury Sana TNA Sana Mung Atusaidie Kwakwer

  • @erastomedard3873
    @erastomedard3873 4 ปีที่แล้ว +10

    Thanks for your advice, Your a great teacher brother. Be bleassed

  • @zaitunikivelege5569
    @zaitunikivelege5569 4 ปีที่แล้ว +2

    Thanks bro ulizaliwa wewe kusudi wengine tuishi nabarikiwa nazidi kujifunza God bless you

  • @rahillhamidu2544
    @rahillhamidu2544 4 ปีที่แล้ว +1

    Shukran Kwa mafunzo mazuri Allah akubariki

  • @kareemiddi9882
    @kareemiddi9882 4 ปีที่แล้ว +4

    Asante sana ndugu kwa ushauri ulio bora

  • @happyjoseph4793
    @happyjoseph4793 4 ปีที่แล้ว +1

    Kaka kwanza unasuti nzur hauchoshi kusikilizwa .... kama na wew umeona like

  • @catherinendwiga5456
    @catherinendwiga5456 4 ปีที่แล้ว

    Asante,sana,kwa,mafundisho,yako,mazuri,yanatusaidia

  • @FahadiSajadi021
    @FahadiSajadi021 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ezdens jumanne wew nimwamba sana

  • @fedharmmark6398
    @fedharmmark6398 3 ปีที่แล้ว

    Ahsante kwa Elimu hii mkuu Ubarikiwe

  • @amzahismail4498
    @amzahismail4498 2 ปีที่แล้ว

    manshallah Allah akupe umri mlefu wenye manufa kwa kuelimisha jamii

  • @daudilukumay1069
    @daudilukumay1069 4 ปีที่แล้ว +1

    Mafundisho mazuri sana endelea kutufundisha mengi kuliko ya leo big up

  • @allysalum993
    @allysalum993 4 ปีที่แล้ว +3

    brother yaani unafanya kitu kizuri sana kwa watanzania na watu wengine ambao wanaangalia channel yako ... kwa mara ya kwanza naangalia video yako yaani zile point ambazo ulizokuwa unazielezea zimenifanya ni.subscribe kabla hata haijaisha video... tunakushukuru... ila usituangushe na sisi kwa kutuletea video nzuri kama hizi ... Respect...

  • @feisal38
    @feisal38 5 ปีที่แล้ว +2

    Masha allah tabarakallah shukran kwa kutuelimisha.

  • @sharifarajabu7255
    @sharifarajabu7255 5 ปีที่แล้ว +4

    Mashallah Allah akuhifadhi nipo tofaut sasa nashukuru kwa ajir yako

  • @careenchengula2682
    @careenchengula2682 3 ปีที่แล้ว

    Kaka asante kwa somo zuri, nimejifunza jinsi ya kuweka akija, kumbe hata kidogo inawezekana kuweka.

  • @simonlameck6491
    @simonlameck6491 4 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana ukopoa sana IRA jitahidi uwe unaanda mada fupifupi hats za dakika kumikumi best mungu akubariki na kukuzidishia

  • @bonifacejuma8447
    @bonifacejuma8447 5 ปีที่แล้ว +6

    Dah! nionyeshe rafik zako ntakwambia wewe ninan nime ipenda sana hiyo ya 6 brother asante sana

  • @husnakhalfan5220
    @husnakhalfan5220 4 ปีที่แล้ว

    Asante Sana umenifungua kiasi chake

  • @vinnathvinnie4562
    @vinnathvinnie4562 4 ปีที่แล้ว +7

    My economically daddy my mentor... Can't explain how I appreciate ya.... More love

  • @alexandrinadomaino9868
    @alexandrinadomaino9868 4 ปีที่แล้ว

    Asante sana aisee nimejifunza aswaaa

  • @barakahshaban8419
    @barakahshaban8419 ปีที่แล้ว

    Thnkx my broo sir gody blessed u much more

  • @angeloss_tz5901
    @angeloss_tz5901 4 ปีที่แล้ว +1

    Of course Mimi nimfatiliaji wa kipindi chako kwa umakini na nimefanikiwa kwa asilimia kubwa mungu akubariki kaka endelea kutulisha madini

  • @mwamin06luttu99
    @mwamin06luttu99 5 ปีที่แล้ว +6

    Wewe Ni wathamani Sana thanks brother

  • @mezani782
    @mezani782 4 ปีที่แล้ว +12

    Mawazo swadakta, elimu muhimu.. Pamoja sana

  • @babueddyothman300
    @babueddyothman300 4 ปีที่แล้ว +5

    Thank you xo much my young brother! Really you are given us a good lesson! From to day I want to change and I will teach my all friends to follow this way.

  • @salafitvsalafitv910
    @salafitvsalafitv910 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah darsa

  • @ibrahsanga2899
    @ibrahsanga2899 4 ปีที่แล้ว

    Thanks bro kazi yako ni nzuri mno ubarikiwe

  • @queenwinnie256
    @queenwinnie256 4 ปีที่แล้ว +4

    Asante I hope sijachelewa kujifunza, maana nimepita Maputo sana, ubarikiwe,

  • @mfaumemkoma-ey2jd
    @mfaumemkoma-ey2jd ปีที่แล้ว

    Ndugu yangu sate kwakunipa ujasili vitus vingi najifunza kupitia vidio unazo zitoa asate sana mungu akuzidishie

  • @andrekamango8573
    @andrekamango8573 2 ปีที่แล้ว

    Asante sana umenifungua ubongo wangu

  • @marybrison5504
    @marybrison5504 4 ปีที่แล้ว

    Ahsante endelea kutufunza

  • @samwellambau9630
    @samwellambau9630 4 ปีที่แล้ว +1

    Stepping stone l like that #succes path #

  • @winnyshayo8812
    @winnyshayo8812 5 ปีที่แล้ว +25

    BE BLESSED BROTHER.

    • @tp-kh8hl
      @tp-kh8hl 4 ปีที่แล้ว

      Eka na namba yako basi da winny kuna mambo nataka tudiscuss kuhusu biashara!..

  • @frankmassawe8752
    @frankmassawe8752 4 ปีที่แล้ว

    Brother God bless you aisee katika maisha yangu kunakitu nimekipata tangu nifahamu hii elimu yako unayoitoa

  • @atambitotzmagari7100
    @atambitotzmagari7100 4 ปีที่แล้ว +1

    mashaa Allah, Allah akuzidishie in shaa Allah

  • @godburton9378
    @godburton9378 4 ปีที่แล้ว +3

    Daah ! Safi sana.

  • @jamesLucas-pf7uu
    @jamesLucas-pf7uu ปีที่แล้ว

    Nakushu kulu sana kaka Mungu akubaliki

  • @ibrahimomary9855
    @ibrahimomary9855 4 ปีที่แล้ว

    Mungu akubaliki mm nimejifunza vitu vingi sasa

  • @neemanziku7718
    @neemanziku7718 4 ปีที่แล้ว +1

    Umetisha be blessed

  • @mathewmathesela1989
    @mathewmathesela1989 3 ปีที่แล้ว

    Ezden jumanee we jamaaa akili nyingii my mentor

  • @donyleonard3987
    @donyleonard3987 4 ปีที่แล้ว

    Kweli mkuu ubalikiwe sana

  • @aishaomar4318
    @aishaomar4318 4 ปีที่แล้ว +6

    Umaskini byebye😲❤👍

  • @masterkey2253
    @masterkey2253 4 ปีที่แล้ว +3

    I decided to subscribe, you're pouring wisdom, gottaa!

  • @fadhilikirundwa6271
    @fadhilikirundwa6271 5 ปีที่แล้ว +4

    Jazzakallahu khair

  • @kalingalingatv3066
    @kalingalingatv3066 ปีที่แล้ว

    Mungu akujalie maisha malefu

  • @IngabireAisha3813
    @IngabireAisha3813 4 ปีที่แล้ว

    Kweli kabisa mola akuhifadhi tudhidi kunufaika nawewe

  • @user-kg9bf9kf1v
    @user-kg9bf9kf1v ปีที่แล้ว +1

    asantesana najifunza mambo mengine nikukusikiliza

  • @meshackkangwe3414
    @meshackkangwe3414 4 ปีที่แล้ว

    Nakuelewa sana kaka @Ezdenjumanne

  • @geoffreyshinga8107
    @geoffreyshinga8107 4 ปีที่แล้ว +8

    What you said is what ido so now am just accumulating capital to work on it

  • @saumusanjiama6991
    @saumusanjiama6991 4 หลายเดือนก่อน

    Kweli kabisa shukran

  • @ekaristhomwangande7932
    @ekaristhomwangande7932 4 ปีที่แล้ว +1

    Great

  • @aliabdalla6132
    @aliabdalla6132 4 ปีที่แล้ว +2

    Thank for reprogrammed and rewired our ethical and formal educational mind

  • @alicenjeri7367
    @alicenjeri7367 3 ปีที่แล้ว

    Great mafunzo bora

  • @heriethjoseph4769
    @heriethjoseph4769 4 ปีที่แล้ว +1

    Kaka nimefurahi sana na nimejifunza sana ctabaki nyuma barikiwa sana

  • @pharesybihongola9063
    @pharesybihongola9063 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe Sana 🙏🙏🙏

  • @bizimanaismail809
    @bizimanaismail809 4 ปีที่แล้ว +1

    Very nic

  • @mjakamjaka5759
    @mjakamjaka5759 3 ปีที่แล้ว

    Shukran sana brother kwa taaluma hii Allah akuzidishie

  • @sbchris2277
    @sbchris2277 4 ปีที่แล้ว +3

    Thank you BIG Brother

  • @catherinegabriel2669
    @catherinegabriel2669 5 ปีที่แล้ว +18

    Ukiwa na marafiki 9 waliochoka na wewe utakuwa wa 10. Nimeipenda Sana ubarikiwe kaka

  • @abdulbogoyo1243
    @abdulbogoyo1243 4 ปีที่แล้ว

    Asante sana mwalimu

  • @ahmednkindwa6503
    @ahmednkindwa6503 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli kabisa

  • @SunsetHunter4526
    @SunsetHunter4526 5 ปีที่แล้ว +8

    Thanx kaka Mkuu nimeyaandika kwa Diary kabisaa

  • @awamkhalid5361
    @awamkhalid5361 4 ปีที่แล้ว +1

    Ya marafik huwez kuwachagua kimsing tengeneza ur life philosophy ambayo n unique il kufikia mafanikio

  • @mwatibamkwawa9281
    @mwatibamkwawa9281 5 ปีที่แล้ว +2

    Mafunzo ni mazuri kwakweli ,tunashukuru

  • @mohamedimwaita4416
    @mohamedimwaita4416 4 ปีที่แล้ว

    Uko sawa sana.

  • @stelladavid8447
    @stelladavid8447 4 ปีที่แล้ว +1

    Yeah kwel

  • @maslahmurich7842
    @maslahmurich7842 4 ปีที่แล้ว

    Ni muhimu Sana kufatalia maongezi Kama haya Allah akujaze Kheri bro

  • @kulsoomkulsoom8897
    @kulsoomkulsoom8897 5 ปีที่แล้ว +6

    Shukran kaka Ezden

  • @jafaryhussein3258
    @jafaryhussein3258 4 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akup uhai zaid kufundxh jamii

  • @bongotv6199
    @bongotv6199 4 ปีที่แล้ว +12

    Dah bro una akili za busara na kipawa cha kugawa kile ulichonacho kichwani wa vijana kama sis ambao bado tupo chin nimejifunza mengi mungu anisaidie nifate hizi nyendo
    Ubarikiwe sana bro

  • @user-ih4mp1ds8k
    @user-ih4mp1ds8k 2 หลายเดือนก่อน

    Sina mengi zaidi ya kukuombea kwa alah akulinde

  • @nusralilobwa4752
    @nusralilobwa4752 4 ปีที่แล้ว +5

    Tunajifunza vingi yaani ukikata tamaa ukiangalia video kama hizi unakua kifikra na kuanza kufukuzia ndoto zako Allah akupe umri mrefu ili tuzidi kutanuka kimawazo kupitia unachokifanya.

  • @latifasaid2174
    @latifasaid2174 3 ปีที่แล้ว

    Inshaallah

  • @NivessKomba
    @NivessKomba 4 หลายเดือนก่อน

    Somo nzuri sana Bro

  • @leilamohamed7445
    @leilamohamed7445 4 ปีที่แล้ว +4

    Shukran kaka kwafunzo lako jazaka Allah likher

  • @mosesmanasseh5618
    @mosesmanasseh5618 4 ปีที่แล้ว

    asante. sana kaka nakuelewa sana

  • @sixberthcostantini9290
    @sixberthcostantini9290 4 ปีที่แล้ว

    Vzr Sana brother

  • @marrycianakarume2608
    @marrycianakarume2608 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante kwa somo zuri kaka ezdon mungu mwema akubariki

  • @chillaxybeatz4273
    @chillaxybeatz4273 4 ปีที่แล้ว

    Makini sana

  • @joyjoyous7203
    @joyjoyous7203 4 ปีที่แล้ว

    Twashukuru Mungu kwa mafundisho yako

  • @ramakheri9824
    @ramakheri9824 4 ปีที่แล้ว +4

    Thanks for your lesson bro,Be blessed

    • @paulolwila4253
      @paulolwila4253 4 ปีที่แล้ว

      Every check you get keep 10% of it
      Hii huwa inanishinda sana kila nikijarbu

  • @kassimmbalazi1335
    @kassimmbalazi1335 5 ปีที่แล้ว +10

    Asante kk

  • @xeviajohn3508
    @xeviajohn3508 4 ปีที่แล้ว +7

    Kuna watu wamedislike hii video...
    Ahsante kwa funzo

    • @rehemadaudi550
      @rehemadaudi550 2 หลายเดือนก่อน

      Ukiona mtu amedislike madini haya ujue alichoma sindano ya korona imeanza kufanya kazi😂😂

  • @kirimakidachini8406
    @kirimakidachini8406 4 ปีที่แล้ว

    Shukrani

  • @fredyhasitu220
    @fredyhasitu220 3 ปีที่แล้ว

    Thanks bro......💯💯💯💯

  • @barakaabel122
    @barakaabel122 4 ปีที่แล้ว

    Saaafi umenifumbua

  • @margretnyakiomba3523
    @margretnyakiomba3523 4 ปีที่แล้ว +2

    Thanks alot for your advice bro

  • @nasraabdi1529
    @nasraabdi1529 4 ปีที่แล้ว

    Kweli kbs umenena

  • @gene1672
    @gene1672 4 ปีที่แล้ว

    That is Very True Brother ...

  • @happinessmdegella4466
    @happinessmdegella4466 4 ปีที่แล้ว +1

    i get you Ezd org

  • @saidatyashraf5126
    @saidatyashraf5126 4 ปีที่แล้ว

    Barikiwa baba shukran kwa ushauri wako God bless you

  • @jemairisparick7541
    @jemairisparick7541 4 ปีที่แล้ว +1

    Number 6 and 5 it's big challenge associations means a lot , they either increase you, decrease you, neutralize you , or elevate you .!!, number 6 keep me silent for a while thanks so much brother God bless you