SIKILIZA SAUTI YAKO YA NDANI - JOEL NANAUKA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024
  • 🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.se... 🔥🔥🔥

ความคิดเห็น • 115

  • @justinebaada9079
    @justinebaada9079 ปีที่แล้ว +29

    Hii sauti iliwahi nitokea kipindi nikiwa nimeajiriwa kwenye shule fulani ikinisisitiza niache kazi nikajiajiri. Asee niliamua kufanya maamuzi magumu ya kuacha kazi na kujiajiri Nashukuru kwa kweli maana sauti kumbe ilikuwa inaniaandaa nikaishi maisha yenye uhuru,zaidi ktk hiki ninachokifanya pia imenifanya nikutane na fursa nyingi zaidi ya pale nilipokuwa nafanyia kazi

    • @abdulatifabubakar9470
      @abdulatifabubakar9470 ปีที่แล้ว +4

      Hii umetisha sana, Kaka..
      .
      Nitajifunza kupitia wewe!

    • @ZeanaKubezya-hj6zc
      @ZeanaKubezya-hj6zc ปีที่แล้ว +1

      Hii sauti ni kubwa sana kwenye moyo wangu inapiga kelele kila siku kwamba mwaka huu natakiwa kufanya maamuzi magumu ambayo hatma ya maisha yangu nami nimekubali kufanya hivyo disemba 2023.

    • @ShabaniKawawa-eu2mg
      @ShabaniKawawa-eu2mg ปีที่แล้ว

      Yan kama mm broo nafanya kaz kwny taasisi shulen . Kwel cna aman nayo ila kutoka kunanpa taabuu sanaa

    • @alibujaga9728
      @alibujaga9728 ปีที่แล้ว

      Mm nilishawai kuisikia ila sikuizingatia naomba msada zaid

    • @kelvinsanga3614
      @kelvinsanga3614 ปีที่แล้ว

      Wewe ni mshindi

  • @florianflorian9606
    @florianflorian9606 ปีที่แล้ว +12

    Hii kitu ya muhimu mnooo tena mno,nilipuuzia hii sauti,lakini ilinikost zaidi ya miaka ishirini,asante Sana, jifunzeni hili SoMo nawasihi,ushahidi ninao kabisa imenigarimu vibaya hii .tafadhali mwenye kuusikia ujumbe huu aisee naomba auzingatie

    • @asiaa6573
      @asiaa6573 ปีที่แล้ว +1

      Nami ilinikuta hiyo mpendwa mpaka sasa naishi kwa majuto

    • @molaluhanga4870
      @molaluhanga4870 ปีที่แล้ว

      Kuna kitu kinaniumiza sana unaweza kusikiliza sauti ya ndani lakn kwa muda huo hauna uwezo

  • @user-ov9iw7ce3j
    @user-ov9iw7ce3j 4 หลายเดือนก่อน +1

    Naitwa Jamila nakushukuru sana kaka angu Mungu akubalike nmekutana na hiyo hali na ilinitesa sana

  • @emanuelmanasekimaro
    @emanuelmanasekimaro ปีที่แล้ว +2

    Maisha yangu ni wajibu wangu..kweli kabisa..kitu kingine unapoitii hiyo sauti unajisikia amani na furaha moyoni, gafla unaona giza limeondolewa mbele yako hadi uso unang'aa, ila ukishindwa kuitii furaha hutoweka na maumivu yasiyoelezeka yanatawala moyoni.

  • @michaelkessy5740
    @michaelkessy5740 ปีที่แล้ว +3

    Hii kitu nilikuwa na subiria sana.
    Maana mimi huwa na shida moja, Kitu nakiona kabla akijatokea, Alafu na puuzia kukifanya au kukizingatia, Mwisho wa siku najiraumu sana.
    Inapita muda narudia tabia hii kuikosea, Hasa leo nipate ujuzi juu ya sauti ya mdani ili nijifunze kitu.
    #HonMichaelDeusdedityKessy.

  • @stanleyandrea5153
    @stanleyandrea5153 ปีที่แล้ว +1

    Kiukweli baada ya kugundua sauti ya ndani halafu ikitokea kama naipinga moyo Huwa unaniuma sanaa. Nakuwa Sina budi kuitii tu. Ndugu zangu tuwe makini na sauti za ndani. Kaka joe mungu ukubariki sana wewe ni mtu na nusu.

  • @farajamoses9085
    @farajamoses9085 ปีที่แล้ว +1

    Dah 😭😭😭 sikuisikiliza sauti ya ndani mara kadhaa na nikapata madhara makubwa sana.

  • @abdulfatahjuma3105
    @abdulfatahjuma3105 ปีที่แล้ว +2

    Fact what you said broo...hiyo ni sauti ya kiroho/ilham na huwa na ukweli ndani yake kwa asilimia 100%

  • @masilastahona7010
    @masilastahona7010 ปีที่แล้ว

    Naaam yaan tangu nimeanza kujifunza kwako nimetoka mahali kwenda mahali Fulani.... Mungu akutunze sana sana yani

  • @peterhamisi5948
    @peterhamisi5948 ปีที่แล้ว +1

    Samahani ningependa kuuliza swali ambalo labda lipo nje kidogo na mada
    Kuhusu sauti iliyojificha pia uliwahi kuizungumzia juu ya kutambua wito wako , naomba kujua tofauti iliyopo kati ya wito na kipaji cha mtu

  • @hildamasonda6528
    @hildamasonda6528 11 หลายเดือนก่อน

    This is true brother Joel kwel kabisa hii imewahi kunipata na inaumiza mnooo tuuuu

  • @nandobashongoma1559
    @nandobashongoma1559 ปีที่แล้ว

    Ndiyo kabisa nimeisha wayi kuliwa pesa na matapeli wa mitandao ,sababu kutosikiliza sauti yangu ya ndani, na kuna siku nimewahi kukwepa jeshi la polisi kwenye machimbo ya dhaabu kwa kusikiliza sauti yangu ya ndani 🙏🏼🙏🏼 mwalimu tunazidi kufuata elimu yako kutoka mashariki mwa jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo

  • @sikituukololo1161
    @sikituukololo1161 ปีที่แล้ว +1

    sauti ya ndani naisikiliza sana na inanisaidia mambo mengi na nisipotii changamoto zinanipata. Kaka Joel Mungu akutunze tuendelee kupata Elimu.

  • @mwanaimaabdallah7825
    @mwanaimaabdallah7825 ปีที่แล้ว +1

    Hii sauti ninayo tokea Jana ila Leo kupitia hapa nimepata jibu sahihi ubarikiwe sana Brother Joel 🙏🙏🙏

  • @anderlinekhamasishitika
    @anderlinekhamasishitika ปีที่แล้ว

    Asante sana MUNGU akutente mema ujombani walitudharau tulipo kua wadogo tuliwahitaji lakini walituona mavumbi leo mjomba annihita sauti ya ndani imekataaa

  • @SaimonKazimoto-xt1zo
    @SaimonKazimoto-xt1zo ปีที่แล้ว

    Heshima ya kutengeneza naiona ni nzuri sana kaka Joel natamani sana siku Moja niheshimike na jamii kubwa.
    Kaka Joel nmeipenda sana hii elimu ya jambo hili mungu akubariki Sana

  • @user-mb7ku4is1y
    @user-mb7ku4is1y ปีที่แล้ว

    Ahsante Sana Mwalimu Wangu. Umekuwa Msaada na Njia Sahihi Kwenye Maisha Yangu Siku Hadi Siku. Mwenyezi MUNGU Azidi Kukulinda na Kukuinua.
    Sauti ya Ndani Muhimu Sana

  • @ggvv9970
    @ggvv9970 ปีที่แล้ว

    Hii sauti nakutananayo sana kunikataza vitu lkn sijawai kuifanyia kazi...Inanikataza lkn najipa moyo wishowe napoteza....Duuu Asante sana kwa kunitoa kwenye kiza.

  • @timothykengere2535
    @timothykengere2535 ปีที่แล้ว +2

    Shukrani sauti ya ndani Muhimu

  • @pachoernest-eg1qd
    @pachoernest-eg1qd 6 หลายเดือนก่อน

    mimi naitwa pascal ,saut yangu ya ndani imekuwa ikinishinikiza kuwa mimi ni mfanyabiashara ,sasa mimi ndio napambanja lkn wazaz na ndugu wamekuwa wakinilazisha nisome na sasa nimegoma kwenda chuo angali nimefaulu na sasa niameanza biashara yangu ,pia ninaamini sana mimi ni mfanyabiashara mkubwa sana ,pia ww nini rmwalim wangu wa maisha unanihamasisha sana ,i love u nanauka

    • @sunwizy608
      @sunwizy608 4 หลายเดือนก่อน

      mmmh kaka ungesoma ukamaliz then ukajiajili wakati unaelim nzur pia.ata uyu mwalimu wetu anaelim na kipaji chake iko be careful bro

  • @sunwizy608
    @sunwizy608 4 หลายเดือนก่อน

    kila binadamu au kiumbe uwa anaikokitu ni nafsi ambayao ata ukifanya dhambi inasema unakosea na ndio inayotufanya sometime tuongee pekeyetu tukiwa na jamboooo ivyo nivyema sana kuisikiliza mala zote inapotokea iyosaut basi uwa inasimama kaitka upande wa haki au kufanikiwa ila tulio wengi tunapuuza

  • @Decute4074
    @Decute4074 ปีที่แล้ว

    Shukran sana kaka joel

  • @rayaally5841
    @rayaally5841 ปีที่แล้ว

    Naomba nitoe mchango wangu kwa Jamii hiyo sauti ni kweli ipo na ina msisitzo mkubwa katika mafanikio,naweza nikasema kama ni Mwenyezimungu anatukumbusha kama yy yupo na uwezo wake ni mkubwa saana usio na mfano

  • @Udindigwa
    @Udindigwa 7 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @arethi
    @arethi ปีที่แล้ว

    MUNGU akubariki sana kaka Joel umekua daraja la watu wengi sana kaka .

  • @satusalehe5531
    @satusalehe5531 ปีที่แล้ว

    Asante sana jamani tunajifunza mengi toka kwako , ubarikiwe sana🙏

  • @edwardbudodi4497
    @edwardbudodi4497 9 หลายเดือนก่อน

    Hii nimeiona mara nyingi sana Na Kwa kiasi kikubwa nikiitekeleza hiyo sauti bas napata mafanikio Ila nikiipuza kama Ni pesa au jambo lolote bas napata matatizo makubwa saana

  • @langemwepesi
    @langemwepesi 9 หลายเดือนก่อน

    Jamaa anajua shukran unanifanya nanauka kama joel...

  • @elizamwalongo6615
    @elizamwalongo6615 ปีที่แล้ว

    Hiii sauti ishawahi niongelesha kipindi namhudumua mteja ikiniambia vaa groves lkn nikapuzia jmn kilichonikuta 😢 but mung nimwema nimejifunza kuwa ile sauti inamana kubwa sanaa thank you Joel 🤝

  • @priscakinubo2195
    @priscakinubo2195 11 หลายเดือนก่อน

    Huwa naisikia sana,kunasehem nafanya kazi kutokana Na changamoto nilitaka kuondoka,lakini niliambiwa si muda wakutoka hapo we ka,mana umewekwa kwa kusudi,nimesikiliza nimekaa,pia naweza kukaa nikasikia tu ndani yangu naambiwa kasome biblia,nakwel nikisoma kunakitu napata chenye guvu,ubarikiwe kwakwel

  • @batsondeux1173
    @batsondeux1173 ปีที่แล้ว +1

    Yani ni kama utani lakini hii sauti ni ina nguvu sana ukiipuuza unakosa Amani kabisa aise kwakweli wewe ni Mtaalamu

  • @domitilaneovitus5724
    @domitilaneovitus5724 ปีที่แล้ว

    Ni kweli kabisa, sauti ya ndani ina maana kubwa, Asante kaka kwa ujumbe mzuri

  • @rukiakishar1155
    @rukiakishar1155 ปีที่แล้ว

    Kweli kabisa kaka Kuna muda inanitokea sana lakini siitilii mkazo Asante Kwa hilo

  • @frenkfarm1139
    @frenkfarm1139 ปีที่แล้ว

    nashukulu sana sanaaaaaaa Joel asa nanauka umeniongenzea kujiamini nakuamini sauti yangu 💪🤝

  • @PeterJohanes
    @PeterJohanes ปีที่แล้ว +1

    Kaka joel you're the best

  • @brackskinyozi3280
    @brackskinyozi3280 3 หลายเดือนก่อน

    Nimejifunza kitu Joel

  • @EmmanuelLudovick-qo7nc
    @EmmanuelLudovick-qo7nc ปีที่แล้ว

    Baraza mungu akupe maisha marefu elmu tunaipata

  • @hatubesaadimmadi3959
    @hatubesaadimmadi3959 ปีที่แล้ว

    hi imenigusa sana moyoni kwangu kwakuwa nilvokuwana umri wa miaka 14 nilikuwana duka akaja mzee mmoja usiku akavuja akachukuwa vitu vathamani dola 140 mama yangu alikuwa mgonjwa ana miaka miwili yuko kitandani .siku ya pili nakuvunjwa duka akaota ndoto babu kaja kamwambi nenda kijiji jirani msikitini
    wukachukuwe viatu va mjukuu wangu kweli kaenda na kavikuta .na mwizi kapatikana .na babu alifariki kabla ya kuolewa mama yangu.

  • @fundivigaetzchannel1899
    @fundivigaetzchannel1899 ปีที่แล้ว

    Ahsante sana Kaka by ERADIUS OSCAR from Mwanza nyegezi Kona 🙏🙏🙏🙏

  • @tinanicholasligwile6972
    @tinanicholasligwile6972 ปีที่แล้ว

    Ni kweli kabisa yaan

  • @Gaksy001
    @Gaksy001 ปีที่แล้ว

    Bro hii imenitokea juzi, nilipark gari karibu na dirisha, asubuhi nataka kutoka bila gari. Nilipo angalia nikasema "dirisha ikitokea limeanguka litagonga pale then kwenye kioo cha nyuma kitamalizia", hapo natafakari mwenyewe. Nikasema nisogeze gari kwanza ndio niende nikaona nachelewa. Basi nikajipa moyo nikirudi nitalifungua dirisha.😅 mambo yote nayawaza nikiwa nimesimama. Nikaenda kurudi dirisha nimelikuta chini wiper ya nyuma imepasuka. Ila nashukuru mungu kioo hakikuguswa sababu wiper ilizuia.😢

  • @joycehaule9717
    @joycehaule9717 ปีที่แล้ว

    Nikweli umeongea vyema nanauka sauti ya ndani ni nzuri, kusikia sauti ya ndani imenisaidia sanaa

  • @kiawambui606
    @kiawambui606 ปีที่แล้ว

    Kabsa kaka 254 saizi najutia sanah kutoskiza nafsi

  • @I.LievinOfficial
    @I.LievinOfficial ปีที่แล้ว +1

    Be blessed brother Joel,talking from Burundi

  • @abdillahomar4541
    @abdillahomar4541 ปีที่แล้ว

    Upo perfect kwa saomo la sikolojia kaka

  • @josiahjosiah-MPs
    @josiahjosiah-MPs ปีที่แล้ว

    Daaaaah kwel😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮kewl come from

  • @festogeorgekwakala4146
    @festogeorgekwakala4146 ปีที่แล้ว

    Nikweli ilinitokea Kaka Joel saiv Niko makini sana

  • @richardmartin6429
    @richardmartin6429 ปีที่แล้ว

    Hongera, ni Mawazo mazuri.

  • @pros.vitenge2183
    @pros.vitenge2183 ปีที่แล้ว

    🙌 kwakweli

  • @tteantoinette5379
    @tteantoinette5379 ปีที่แล้ว

    You so good in mot...thank you Brother

  • @jennymwakibasi2069
    @jennymwakibasi2069 11 หลายเดือนก่อน

    Nimewahi puuzia sauti ya ndani ya moyo wangu nilipoteza pesa nyingi ssna

  • @user-os9nb8ub6k
    @user-os9nb8ub6k ปีที่แล้ว

    Asante sana kaka hakika uko sahii kabisaa

  • @OscarSwai-uz7qr
    @OscarSwai-uz7qr ปีที่แล้ว

    Nakuelewa sana bro keep it up tunafaidika kupitia wewe

  • @user-up8jq4ov9r
    @user-up8jq4ov9r ปีที่แล้ว +1

    Nilitapeliwa lakin Tano na nilisikia sauti inanikataza lakini sikuisikiliza

  • @anesansibert2968
    @anesansibert2968 ปีที่แล้ว

    Mungu akupe maisha marefu bro

  • @michaelryton6868
    @michaelryton6868 ปีที่แล้ว +1

    Waitinggggggg 🔥

  • @sadickashel7058
    @sadickashel7058 ปีที่แล้ว

    Uzidi kubarikiwa kaka

  • @ZeanaKubezya-hj6zc
    @ZeanaKubezya-hj6zc ปีที่แล้ว

    Asante sana, ubarikiwe!

  • @user-ck4iz8gp9g
    @user-ck4iz8gp9g 9 หลายเดือนก่อน

    Naitwa magreth nikweli kabisa kaka joeli nimewahi kuttokewa mara nyingi sana kuipuzia sauti ya ndani na nikakutwa na kitu kibaya

  • @funnyclipz1182
    @funnyclipz1182 ปีที่แล้ว

    Kweli kabisa kaka nakubali sana

  • @aishadotto3640
    @aishadotto3640 ปีที่แล้ว

    Asante sana my brother 👏❤

  • @abubakarihamissi4178
    @abubakarihamissi4178 ปีที่แล้ว

    kabisa

  • @PhinerJulius
    @PhinerJulius 2 หลายเดือนก่อน

    Kupuuza iyo sauti kumeniponza Mala 2 😂
    1. Mwanaume nilie zaa nae nda ya miaka mi 4
    Kila nikimuangalia nasikia uyu c wako nikapuuza
    Nikapata mamba mwaka wa 4
    Nipo zaa ndo nilijua ukweli ni mume wa mtu na anawatoto wawili na mkewe
    2. Biasha nilikopa seem nyingi ili niboleshe
    Ila ckuwa na aamani na ii biashara
    Sasa nimepoteza vote na deni la Milioni 30 juuu 😔😔😔

  • @paulinagabriel3003
    @paulinagabriel3003 ปีที่แล้ว

    Thank you brother Joel 👏🏻👏🏻

  • @ceciliasadala6220
    @ceciliasadala6220 ปีที่แล้ว

    Ahsante mwalimu

  • @Leah-oz8us
    @Leah-oz8us ปีที่แล้ว +1

    Daaaaaah nilipuuza sauti😭😭😭 hii mada inaniuma ndoa imenifanya niishi Kwa maumivu makal mpaka sasa yaenda miaka 10

    • @eliamartine4720
      @eliamartine4720 ปีที่แล้ว +1

      Pole sana Mungu akupe nguvu

    • @Leah-oz8us
      @Leah-oz8us ปีที่แล้ว +1

      @@eliamartine4720 ahsante 🙏

  • @ShabaniMussa-ho2qm
    @ShabaniMussa-ho2qm ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki broo

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 ปีที่แล้ว

    Najifunza sana 😢🙏🏿

  • @BarakaMasele-ku6nw
    @BarakaMasele-ku6nw ปีที่แล้ว

    True

  • @michaelryton6868
    @michaelryton6868 ปีที่แล้ว

    Asante Kaka Joel

  • @sapiamosi3285
    @sapiamosi3285 ปีที่แล้ว

    Nakubali Boss

  • @Pathro_Cavosia
    @Pathro_Cavosia ปีที่แล้ว

    Niliwai ipuzia hii sauti na Kidogo nife kwa kuvamiwa na wahuni ambao sauti ilikata nifanye nao biashara 😢

  • @ShabaniKawawa-eu2mg
    @ShabaniKawawa-eu2mg ปีที่แล้ว

    Thankc sana Broo be blessed . Ila changamoto kwang ni moja kuhusu sauti ang ya ndan na uoga. How can I differentiate kati ta sauti ang ya ndan naa uoga

  • @babuside1
    @babuside1 ปีที่แล้ว

    Kiukweli mimi binafsi iyo hali imeshanitokea, hii hali ilinitokea mwaka 2016 wakati nataka kuomba chuo course flan hivi but kwa bahali mbaya nilisoma course ambayo nasfsi yangu ilikuwa ikiniambie ninaelekea kufeli,so ningalitamani maneno haya ningaliyapata kipindi kile!

  • @ameirzapy1318
    @ameirzapy1318 ปีที่แล้ว

    Nishawahi kuiskia sauti wakati nadrive gari, kuna sauti moyoni iliniambia nisubir nisifanye haraka kupinda kwenye kona, nilicho kiona mbele yangu sikuamini hadi leo, gari ziligongana muda ule ule niliosimama tu😢

  • @bernadetachari7648
    @bernadetachari7648 ปีที่แล้ว

    Nikweli sauti hii niyamuhimu sana ilainahitaji usikilivusana ,napia kujishauri wewe mwenyewe kwa kina

  • @emanuelchanya5182
    @emanuelchanya5182 ปีที่แล้ว

    Ni kweli Joel

  • @fadhilimollel6295
    @fadhilimollel6295 ปีที่แล้ว

    Well said

  • @ruwaidamabrouk1797
    @ruwaidamabrouk1797 ปีที่แล้ว

    Fact broo

  • @humphureyurasa8424
    @humphureyurasa8424 ปีที่แล้ว

    It is true %, but I wish to talk with you but i don't know how............ I need your advice my brother.

  • @upendokasumani8384
    @upendokasumani8384 ปีที่แล้ว

    Hii sauti nilisha isikia nikaipuuza ila Leo najutia kwa kuipuza

  • @gressluhimbo1020
    @gressluhimbo1020 ปีที่แล้ว

    Thanks

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 ปีที่แล้ว

    Asante sana

  • @tinanicholasligwile6972
    @tinanicholasligwile6972 ปีที่แล้ว

    Umeongea ukweli kabisa

  • @user-lh2sz2yn1u
    @user-lh2sz2yn1u ปีที่แล้ว

    Ni Kweli Kabisa, Ila hii Sauti Inakuwa Nyembamba Sana, Huwaga Naisikiaga Kwa Mbaali, Ila Naipuziaga, Hlafu Badae Naijutia Tena

  • @MpegwaMwanyilu
    @MpegwaMwanyilu 12 วันที่ผ่านมา

    Ndy nimepuzia kibao

  • @muniraahmed8794
    @muniraahmed8794 ปีที่แล้ว

    Nikweli kuna wakati unahisi uzito wa kuamua jambo kumbe kuna kitu kinatokea .

  • @Usawa_phonetech
    @Usawa_phonetech ปีที่แล้ว

    ❤❤❤

  • @elenstanley4533
    @elenstanley4533 ปีที่แล้ว

    Hio ni sauti ya Roho mtakatifu anakua anaongea na WEWE ila hua hatujui mm hio sauti hua naisikia Kila mara

  • @hashimumchalo7613
    @hashimumchalo7613 ปีที่แล้ว

    Asee ni kqweli kabisa

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 ปีที่แล้ว

    📝

  • @becamrindoko
    @becamrindoko ปีที่แล้ว

    💥

  • @lynusjacob6727
    @lynusjacob6727 ปีที่แล้ว

    🙏🙏🙏🙏

  • @omanjalan582
    @omanjalan582 ปีที่แล้ว

    hii sauti nmeiskia nanashuiur nmeifata ikanisaidia

  • @erickathanas
    @erickathanas ปีที่แล้ว

    Nikwe bro maana Kuna muda na ckia sauti ikisema ndani yangu usifanye kitu fulani na ninapo fatilia nakuta kumbe hicho kitu kilikuwa na hasara kwangu

  • @albertkarakha4364
    @albertkarakha4364 ปีที่แล้ว

    Utajuaje hiyo sauti?naomba unieleze.

  • @namsifuwadeya497
    @namsifuwadeya497 ปีที่แล้ว

    Kiukweli sauti hiyo hua ipo

  • @thegretotvthegretotv6869
    @thegretotvthegretotv6869 ปีที่แล้ว

    kaka natamani kukuonana naww nitalipia ilo naomba utalatibu mkuu ili nipate kuonana naww

  • @datyfair
    @datyfair ปีที่แล้ว

    Kuna mtu mmoja niliwai kumsikia akisema kwamba sauti kama iyo ikikujia zungumza nayo kwa kuibembeleza kabisa ili matokeo yawe tofauti yasiwe ya majuto badae ilo unaukweli ndaniyake?

  • @baboudeira9249
    @baboudeira9249 ปีที่แล้ว

    🇧🇮🇧🇮🇧🇮

    • @felistanyoni9627
      @felistanyoni9627 ปีที่แล้ว

      Sauti kama hii iliwahi nitokea kunikataza jambo lkn kwa kusikiliza ushauri wa watu nikaipuuza saizi nina majuto makubwa sioni ata wakunisaidia

    • @felistanyoni9627
      @felistanyoni9627 ปีที่แล้ว

      Ila naomba nafasi ya kuzungumza na wewe naamini utanisaidia kutatua tatizo langu sijui inagharimu sh ngapi

    • @saidramadhan5050
      @saidramadhan5050 ปีที่แล้ว

      Sjawai kukupinga brother umenifanya nimekuwa watofaut sana namwenye upeo wakufkilia nahata kushauli watu wananierewa kupitia mafunzo yako

    • @sungwasitta3339
      @sungwasitta3339 ปีที่แล้ว

      Ahsantee Sana hii sauti imekuwa ikinisaidia Sana Kaka J