Watu watatu wanauguza majeraha baada ya kuvamiwa Mombasa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 พ.ย. 2021
  • Watu watatu wanauguza majeraha baada ya kuvamiwa Mombasa
    Watu hao walivamiwa na genge la vijana Mshomoroni
    Mto mmoja yuko katika hali mahututi katika hospitali ya Makadara
    Mtu mmoja amekamatwa huku polisi wakianzisha msako

ความคิดเห็น • 6

  • @khamisijuma3167
    @khamisijuma3167 2 ปีที่แล้ว +4

    Watu wakisauni mishomoroni wao wenyewe wakiamua kikweli Hali itakoma kwasababu wanajuana vizuri nikijana gani nagani wanatabia ngumu

  • @husna34562
    @husna34562 2 ปีที่แล้ว +2

    Subhanallah hasbunallah waneemal wakil

  • @brandongitonga4688
    @brandongitonga4688 2 ปีที่แล้ว

    Am not coming there for vacation

  • @mohammedabdulhakim7953
    @mohammedabdulhakim7953 2 ปีที่แล้ว +1

    Bt why aki

  • @rosekadzokadzo1401
    @rosekadzokadzo1401 2 ปีที่แล้ว

    Wao wamevichwa na marinda humo kisauni mishomoron wamenisinya kweli..... Watapatikana tuu.... Mkufue jela nyinyi washenzi sana.. Kuweka roho za watu wasiwac.. Nonsense vijana

  • @abuubilal6586
    @abuubilal6586 2 ปีที่แล้ว +1

    Kwani hakuna wanaume wakuweza kupambana na hao vijana kwani hakuna serekali