Wafanyibiashara wa miraa Mombasa wapinga hatua ya serikali ya Mombasa kuwaongezea ada

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ต.ค. 2024
  • Ada Ya Juu Ya Miraa Mombasa
    Wafanyibiashara Wa Miraa Mombasa Wateta
    Serikali Ya Kaunti Imeongeza Kodi Ya Biashara Hiyo

ความคิดเห็น • 411

  • @alextercisio
    @alextercisio 5 หลายเดือนก่อน +38

    Acheni upuzi hiyo inastahili kuwa 100k

  • @zchalla4775
    @zchalla4775 5 หลายเดือนก่อน +24

    Huyo mama ana watoto waenda shule sisi wetu wale miraa

    • @HusseinAbdul-is9xq
      @HusseinAbdul-is9xq 5 หลายเดือนก่อน +1

      Ni chizi w maisha

    • @kabuthakabutha9472
      @kabuthakabutha9472 5 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂 🤭🤭🙌🏿

    • @hamzaalfaninyevu3186
      @hamzaalfaninyevu3186 5 หลายเดือนก่อน +1

      Bure kabisa...tena anatoa list yenye anasomesha watoto wake, huku watoto wa wenzake wakiharibika

    • @Richard-vv1ww
      @Richard-vv1ww 4 หลายเดือนก่อน +1

      HAO WATOTO WENU WENYE WANASOMA WANAKULA MIRAA NA MOGOKA,NDIO WASOME.WAJINGA NYINYI KULA HIZO TAKATAKA PEKEE YENU.

    • @CeciliaGakuha-rb8ce
      @CeciliaGakuha-rb8ce 4 หลายเดือนก่อน

      Kila mtu alee mtoto wake

  • @Hellter.skelter9
    @Hellter.skelter9 5 หลายเดือนก่อน +38

    Lipa ushuru Mombasa lazima iendelee muache upuuzi

  • @lenniefei6710
    @lenniefei6710 5 หลายเดือนก่อน +31

    Kila siku munasema tupigane na mihadarati na munasupport miraa na mugukaa !!!! Tupa hio takataka out of Mombasa kabisaa

  • @lenniefei6710
    @lenniefei6710 5 หลายเดือนก่อน +28

    infact ipigwe marufuku kabisa....imetuharibia watoto wetu pwani vibaya sana

    • @touristmorgan4090
      @touristmorgan4090 5 หลายเดือนก่อน

      Mbona mm sijaharibika

    • @lenniefei6710
      @lenniefei6710 5 หลายเดือนก่อน +3

      @@touristmorgan4090 coz wewe sio wa pwani

    • @touristmorgan4090
      @touristmorgan4090 5 หลายเดือนก่อน +2

      Apana niko mpwani kwa mfano pombe pia iko kila mahali lkn haijanibeba, starehe ni akili ya mtu mwenyewe

    • @abdallasalim4104
      @abdallasalim4104 5 หลายเดือนก่อน

      Khatuwa hii haiwezi kumliza hii shida ilishawahi tumiwa sehemu kadhaa ilifanya kazi kwa mda maalumu baade hali ikaregea vile vile km kawaida...kwa sababu wate wa bidhaa hii wapo wengi na wanafanya kwa hiyari Yao wenyewe bila ya kulazimishwa na sio uraibu huu pekee Kuna bangi kokeni tembo sigara shisha na biasha za watu kujiuza miili

    • @lenniefei6710
      @lenniefei6710 5 หลายเดือนก่อน

      @@abdallasalim4104 kwa hi hivyo una maana tuache iendelee tu kama iliyo?!

  • @wilsonmaina4462
    @wilsonmaina4462 5 หลายเดือนก่อน +15

    Kama ni mboga mngesikizwa but izo majani lipeni Kodi good move Mr gvn 001

  • @hawaaaidarus7046
    @hawaaaidarus7046 5 หลายเดือนก่อน +7

    Zidi Kuongeza bei,Mr Gorvener well done

  • @alextercisio
    @alextercisio 5 หลายเดือนก่อน +45

    Nugu nyinyi mnaharibu watoto wa wenyewe ndio watoto wenu wasome??? Ghasia nyinyi iwe 100k

    • @mohamedyeslam5194
      @mohamedyeslam5194 5 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂😂😂😂

    • @antonywambuguofficial
      @antonywambuguofficial 5 หลายเดือนก่อน +1

      Ata hao wanakula miraa,,,, it's a cash crop

    • @mamakekhubeiby4206
      @mamakekhubeiby4206 5 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @nivancewali8192
      @nivancewali8192 5 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂❤

    • @dietdawa
      @dietdawa 5 หลายเดือนก่อน +2

      Watoto wa wenyewe akuna mtu ame haribu wame jiharibu there choice

  • @chrispinmdachi551
    @chrispinmdachi551 5 หลายเดือนก่อน +40

    Hatutaki migokaa Wala miraa I hope ipigwe marufuku kabisa

    • @KelvinMark-h8v
      @KelvinMark-h8v 5 หลายเดือนก่อน +1

      Ukiwa nan 😅

    • @Oromomjanja7220
      @Oromomjanja7220 4 หลายเดือนก่อน

      Juu wewe ndo nani😂😂

    • @muhmuhsini005
      @muhmuhsini005 4 หลายเดือนก่อน

      Maombi yako yamekubalika ndugu yangu Hongera!

  • @muhammadkhatwab
    @muhammadkhatwab 5 หลายเดือนก่อน +21

    Kauzeni huko mutokako
    Hongera 🎉Gavana

    • @muhammadkhatwab
      @muhammadkhatwab 5 หลายเดือนก่อน

      @@kimanithings5603 na wewe rudi south sudan jinga

    • @CeciliaGakuha-rb8ce
      @CeciliaGakuha-rb8ce 4 หลายเดือนก่อน

      Hii Kenya sio ya mama WA mtu. Mombasa is a city, na pesa kutoka huko watokako wameru after national government kupokea from miraa ndio hiyo mnagawanyiwa for development na hamfanyi kazi. Especially kilifi, tana river etc. ONE MAN ONE VOTE ONE SHILLING

  • @khamisisuedi1056
    @khamisisuedi1056 5 หลายเดือนก่อน +19

    Nenda mukauze County nyengine iyo kodi kwanza ni kidogo ongeza kabisa jinga sana ndoa nyingi zimeharibika kupitia huo Mungokaa

    • @anthonykariuki2438
      @anthonykariuki2438 5 หลายเดือนก่อน

      na unga je na ubasha na ushirikina

    • @bakariweko3958
      @bakariweko3958 5 หลายเดือนก่อน

      Ulijuwaje ww piya umo ajuwaye mwanga piya yeye ni mwanga gavana ongeza ifike 150k County ninyingi sio mombasa tu

    • @kimanithings5603
      @kimanithings5603 5 หลายเดือนก่อน

      Mkikuja kenya mlitupata na miraa yetu na kwa hivyo sithani kama msomali ana haki ya kuongelelea wakenya kwa sababu nyinyi ni wageni

  • @jumabandikwa3621
    @jumabandikwa3621 5 หลายเดือนก่อน +21

    Fungia kabisa hyo kitu isikuje huku

  • @جاااحظمجنون
    @جاااحظمجنون 5 หลายเดือนก่อน +12

    Miraa inaharibu watu miraa mbali na Kenya

  • @alifarah5108
    @alifarah5108 5 หลายเดือนก่อน +26

    Hatutaki Mira mombasa gavana juu

  • @husseinjefwa4730
    @husseinjefwa4730 5 หลายเดือนก่อน +5

    Very good mnazi umekanyagiwa

  • @fancytulula9537
    @fancytulula9537 5 หลายเดือนก่อน +32

    Let them look for Market elsewhere... It has done alot of damage to families 😢

    • @sammymugendi650
      @sammymugendi650 5 หลายเดือนก่อน

      What kind of damage has it brought

    • @Blackmuslimtiger3025
      @Blackmuslimtiger3025 5 หลายเดือนก่อน

      Hatutaki hio business yenu yakiharamu coast,toeni uchafu wenu nyinyi wameru​@@sammymugendi650

    • @fancytulula9537
      @fancytulula9537 5 หลายเดือนก่อน +6

      @@sammymugendi650 some families would rather eat that stuff than buy food for their children. You're the sellers, you donot care.. You just want money...

    • @felixadan2206
      @felixadan2206 5 หลายเดือนก่อน

      Mogoka is so cheap.. you can't compare with alcohol and other drugs

    • @imranhassan9994
      @imranhassan9994 5 หลายเดือนก่อน +1

      Cheap is Poison...

  • @stephenmsanzu9850
    @stephenmsanzu9850 5 หลายเดือนก่อน +20

    Acheni ujinga lipena kodi

  • @mecknaika4260
    @mecknaika4260 5 หลายเดือนก่อน +25

    80k nikidogo ingefaa iwekwe 150k, vijana wameharibika kwa sababu ya mogokaa

  • @TwahirHassan-p7b
    @TwahirHassan-p7b 5 หลายเดือนก่อน +17

    Hatutaki miraa Mombasa

  • @MuniraShughuli-kc7vj
    @MuniraShughuli-kc7vj 5 หลายเดือนก่อน +11

    Uwezeni kwenu mwatuaribia watto wetu 😏😏biashara ya Haramu😏

  • @kasimsaid5495
    @kasimsaid5495 5 หลายเดือนก่อน +1

    Good move,,,hii kitu inaharibu vijana wetu....nyinyi wameru nendeni muharibu vijana wenu Meru😖😖😖

  • @shazadsidik3711
    @shazadsidik3711 4 หลายเดือนก่อน +1

    Abdulasamad well done

  • @Blackmuslimtiger3025
    @Blackmuslimtiger3025 5 หลายเดือนก่อน +7

    Toeni uchafu coast bana nyinyi wabara wameru,hatutaki

  • @softjeanskhakis789
    @softjeanskhakis789 5 หลายเดือนก่อน +17

    Wewe. Una watoto wanasoma university. Na. Watoto wa wengine unawaharibu. Hawana maisha. Je. Ni haki

    • @sammymugendi650
      @sammymugendi650 5 หลายเดือนก่อน

      Poor reasoning

    • @wilsonmaina4462
      @wilsonmaina4462 5 หลายเดือนก่อน

      Eti you lipa Kodi shenji

    • @dodokibbah3513
      @dodokibbah3513 5 หลายเดือนก่อน

      Amewaharibu kivipi kwani anapeana bure au kulazimisha mtu kula si wanakula wenyewe kwa pesa zao,vipi kuhusu bangi illegal na wanatafuta ilipo tena wananunua ghali.
      Ni mtu mwenywewe hujiharibu

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj 5 หลายเดือนก่อน

      ​@@dodokibbah3513wanaharibu ndio watoto wawatu ndio hata kama hawajalazimisha ila mogoka ni sumu inaua nguvu za kiume ww Huna family inaonekana

  • @RamaKizeghe
    @RamaKizeghe 5 หลายเดือนก่อน +21

    Kwani meru hakuna soko mkauza? Lazima mombasa? Walipe laki 2 kabisaa

    • @shhjab3621
      @shhjab3621 5 หลายเดือนก่อน +1

      Yess

    • @bakariweko3958
      @bakariweko3958 5 หลายเดือนก่อน +1

      Sio mombasa tu alafu wasema watu wa mombasa ni wavivu na kazi

  • @gideonkasese9244
    @gideonkasese9244 5 หลายเดือนก่อน +11

    Aisee kumbe kenya hii kitu ni halali!! Apa Tanzania ukikutwa na hiyo ni hatari

  • @EmeldaOntita
    @EmeldaOntita 4 หลายเดือนก่อน

    Governor you are true kenyan citizen a parent what you have done god will grant you more years in this country called kenya for burning mongoka we are going to lose generation this is a fantastic move brav bravo for caring generation to come in our beautiful county

  • @mohamednyuni2631
    @mohamednyuni2631 5 หลายเดือนก่อน +14

    Ongeza ifike laki juu hio ni mihadarati tu kama cocaine,heroine ama pombe tax it like tobacco products

  • @manasseskamau5327
    @manasseskamau5327 5 หลายเดือนก่อน +7

    Hapo ni sawa. Miraa sio chakula.

  • @TarajiaHamisi
    @TarajiaHamisi 5 หลายเดือนก่อน +8

    Rudisheni meru ama county zngne

  • @AliBakari-h5i
    @AliBakari-h5i 5 หลายเดือนก่อน +2

    Hii ni sawa 😂

  • @abdurahimabdulkadir3926
    @abdurahimabdulkadir3926 5 หลายเดือนก่อน +6

    Mbona hatukuwaona ruto alipopandisha ushuru kila mahali s mlikua zii lipeni na kazi iendelee 200k mwanzo

  • @sitikhamis7978
    @sitikhamis7978 5 หลายเดือนก่อน +1

    Watoto wao waende University watoto wa mombasa wamekua wezi

  • @swabirattwas.12
    @swabirattwas.12 5 หลายเดือนก่อน +3

    Haya Mogokaa Na
    Ghathi Zirudi Kwao😢

  • @bentybenty2343
    @bentybenty2343 5 หลายเดือนก่อน +1

    Governa chukua maua yako..🎉🎉 3:36 🎉.Hongera na zidisha juudi hadi hizo taka taka ziwe mwisho Mombasa..

  • @aishasalim2878
    @aishasalim2878 5 หลายเดือนก่อน +1

    Yani mogokaa ungeondolewa kabisa umeozesha meno😂😂😂ukiona mtu yuwatafuna mogokaa aki niuchafu,hongera gavana

  • @Monishkataesh
    @Monishkataesh 5 หลายเดือนก่อน +16

    I support you government 💯🤣🤣🤣🤣 pelekeni Meru

  • @abdubgalgallo3612
    @abdubgalgallo3612 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ipigwe marufuku hata inaua vijana wengi....wanapeleka watoto wao shule na wa Mombasa wanadrop juu ya miraa

  • @Nora-v1m3p
    @Nora-v1m3p 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kazi nzr governor kept up

  • @HiHi-py8dg
    @HiHi-py8dg 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mombasa gavana juu masha Allah mombasa itaendelea bila mugukaa n miraa

  • @mohamedmustafa2656
    @mohamedmustafa2656 5 หลายเดือนก่อน +1

    Hatutaki miraa kabisa

  • @babuuosama8752
    @babuuosama8752 5 หลายเดือนก่อน +1

    80.000/= ksh kwa mwaka ni ndogo sana walipe 800.000/= ksh kwa mwaka Hawawezi Wapeleke meru wakatafune wenyewe !

  • @agneskarembo7805
    @agneskarembo7805 5 หลายเดือนก่อน +16

    Ingekua 100k kabisaaaa

    • @cheruyotngeno3498
      @cheruyotngeno3498 5 หลายเดือนก่อน

      Wewe tax unalipa ngapi?Na waheshimiwa wanaiba 80% of those funds!!

    • @gulftranspoters1762
      @gulftranspoters1762 5 หลายเดือนก่อน

      Lipeni kodi

  • @AliNuweya
    @AliNuweya 5 หลายเดือนก่อน +2

    Pelekeni Mugokaa Naivasha kama mulivyogurisha port operations.

  • @nassirmasoud2545
    @nassirmasoud2545 5 หลายเดือนก่อน +7

    Lipeni ushuru muache maneno mingi.vinginevo kauzeni huko hko kwenu kwani lazima mombsa?

    • @CeciliaGakuha-rb8ce
      @CeciliaGakuha-rb8ce 4 หลายเดือนก่อน

      Mombasa is a Kenyan city. It belongs to all Kenyans. Mababu zao wakipiganianhii Kenya ipate uhuru including this Mombasa, your tails we between your legs because of fear, sai ndio mmepata mdomo. In the history of Kenya they is no Arab ama mshihiri alipigania uhuru... But wameru are

  • @TT-LUBESLUBES
    @TT-LUBESLUBES 5 หลายเดือนก่อน +1

    bring us fruits vegetables

  • @bakarizinga8556
    @bakarizinga8556 4 หลายเดือนก่อน

    Governor hongera sana finya hao watu kabisa warudi kwaooooo

  • @josephmwangale9364
    @josephmwangale9364 5 หลายเดือนก่อน +9

    Piga marufuku imearibu hadi watoto wa dogo mtaani kazi nikukula mguka 24/7 .

  • @kombomwakaribu8252
    @kombomwakaribu8252 5 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu mama ana sema nini si wakauze huko kwao,kwani Mombasa na Coast hakuna watakao kusoma...pigeni marufuku kabisa , mimi nilichukua brother angu collage tena medical school na saa hii hafikirii kutafuta kazi kazi ni mugokaa tu. Kisha hiyo garama yote niliopitia na loans nyingi na hazina faida.

  • @kisimamqhealthfacility1458
    @kisimamqhealthfacility1458 5 หลายเดือนก่อน +6

    Mulipe 100,000/-. Munaharibu watoto na hizo madawa ya kulevya. Muuze huko meeu wakule hizo mogokaa

  • @TwahirHassan-p7b
    @TwahirHassan-p7b 5 หลายเดือนก่อน +5

    Kwendeni hukoo

  • @LeahKaruga-f3v
    @LeahKaruga-f3v 5 หลายเดือนก่อน +4

    Pelekeni county nyingine sio Mombasa peke yake

  • @stephenmsanzu9850
    @stephenmsanzu9850 5 หลายเดือนก่อน +7

    Sawa rudisheni meru..

  • @abdulkarimmuhammad8831
    @abdulkarimmuhammad8831 5 หลายเดือนก่อน

    Wapenii migokaa watoto wennu makhaarat nyinyi i.a Allah atawashindaa

  • @kelvinmbogo2382
    @kelvinmbogo2382 5 หลายเดือนก่อน

    Muguka lazima Embu county tuko ndanii...waiting my leaders to talk about .
    Mbarire, Mundigi please respond.

  • @boazmaobe7245
    @boazmaobe7245 4 หลายเดือนก่อน

    Mbogisi sinanuka kama bitunguu😂😂😂....mnaharibu vijana tafuta biashara nyingine

  • @OsmanSalman-fh3xs
    @OsmanSalman-fh3xs 5 หลายเดือนก่อน +6

    Hii mogoka ingepigwa marafuku kama tz watoto WA shule pia siku hizi wanatafuna wakitoka shule inamadhara kingi kuliko faida

  • @fatumajuma592
    @fatumajuma592 5 หลายเดือนก่อน +2

    Abdulswamad oooeee hapo hapo

  • @SonOfNun5555
    @SonOfNun5555 5 หลายเดือนก่อน +5

    Hakuna kama hamtambui mnazi wetu Good job governor

  • @mwixxy4853
    @mwixxy4853 5 หลายเดือนก่อน +1

    Governor 5 tena

  • @DANIELMACHARIA-d5y
    @DANIELMACHARIA-d5y 5 หลายเดือนก่อน +6

    Then that County Gv call our President Zakayo bure kabisa

  • @MA-ht7po
    @MA-ht7po 5 หลายเดือนก่อน +2

    Sawasawa

  • @aliathman5511
    @aliathman5511 5 หลายเดือนก่อน +2

    Waende kwao baraa wakuuze

  • @nurumohd4397
    @nurumohd4397 5 หลายเดือนก่อน +9

    Pigenimarufuku marufuku miraa nimagonjwa wengi wamepata wazimu na wengi wamepata cansa wakalime mahindi na maharage

  • @MeraiOmar-ok8bo
    @MeraiOmar-ok8bo 5 หลายเดือนก่อน

    Wenu wanaenda shule ..wetu wanafikiria iyo migokaa...ipigwe marfuku kabisa🙌🤗

  • @amounanyale9220
    @amounanyale9220 5 หลายเดือนก่อน +4

    Funga kabisa mkauze viazi sio goks

  • @patoka254
    @patoka254 4 หลายเดือนก่อน

    My governor fanya kazi mogoka hapana vijana wanapotea

  • @nivancewali8192
    @nivancewali8192 5 หลายเดือนก่อน

    Biashara haramu mbona msiuze huko meru na bado 😂😂fire on fire 😂😂

  • @fatumamwalimu5765
    @fatumamwalimu5765 5 หลายเดือนก่อน +6

    Mnauwa family za watu kuwe na adabu, lazima mlipe 100,000 kwa mwezi ili kuweka madawa yakutibu hizo gasia za mugokaa

    • @mwendii
      @mwendii 5 หลายเดือนก่อน

      Wameua nani, how?

    • @fatumamwalimu5765
      @fatumamwalimu5765 5 หลายเดือนก่อน

      @@mwendii vijana wa Mombasa

    • @gulftranspoters1762
      @gulftranspoters1762 5 หลายเดือนก่อน

      Walipe kila trip wametufanya mbuzi na hata huko kwao mbuzi zenyewe haziikuli.

  • @martinirungu6989
    @martinirungu6989 5 หลายเดือนก่อน

    Kuongeza hion ada itabalance and regulate the usage..to the traders its simple. Lipa hio 80k na uongeze bei kwa customer, addicts will still buy. Just like alcohol, ile expensive ni chuoa ya kwanza tu

  • @JophasJohn-oh8zu
    @JophasJohn-oh8zu 5 หลายเดือนก่อน +3

    Mbuzi ale nyasi na binadamu ale nyasi hapana shetani ashindwe na mapembe yake

  • @kuschprince3216
    @kuschprince3216 5 หลายเดือนก่อน +14

    " We dont want this takataka ya Miraa/ mugoka hapa pwani!! You´re the merchants of death, choma zote!

    • @johngeorge4834
      @johngeorge4834 5 หลายเดือนก่อน

      Wewe Ni umbwa Sana unauza mkunduthiz mombasa

    • @kuschprince3216
      @kuschprince3216 5 หลายเดือนก่อน +2

      @@johngeorge4834 " Hiyo takataka yenu kuleni wenyewe nyi manyani! Meru munazaa vizuka na wenda wazimu! kwenda/potea kwenu ukanyonye hedi ya mamako, kafir mbwa/punda kichaa! Mwanadhoko wee. Ulikuja unanuka kama maiti saa umemea / fura matako na kimbelembele ; "kinyocho cha mameyo!!!

    • @johngeorge4834
      @johngeorge4834 5 หลายเดือนก่อน

      @@kuschprince3216 wewe Si mkundu unauzanga mombosa ama rada yako shoga Mzee🖕😂

    • @kabuthakabutha9472
      @kabuthakabutha9472 5 หลายเดือนก่อน

      ​@@kuschprince3216😂😂😂

  • @jamalmasha1017
    @jamalmasha1017 5 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu mama anaongea ujinga gani...watoto wake wako bara wanasoma amekuja kuuzia watoto wa huku mogokaa

  • @jamesmenza2171
    @jamesmenza2171 4 หลายเดือนก่อน

    Kuleni wenyewe nyinyi mayonda sana,mwaharbu watoto wetu nyinyi wenu wanasoma vizuri puzi sana

  • @paskaltingaa9071
    @paskaltingaa9071 4 หลายเดือนก่อน

    Wafurahia maendeleo Yako binafsi huangalii athari ya watoto wa wenzako napongeza gavana

  • @AliBakari-h5i
    @AliBakari-h5i 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ata bangi waipatie class bwana

  • @TwahirHassan-p7b
    @TwahirHassan-p7b 5 หลายเดือนก่อน +5

    Haki yenu Iko meruu

  • @farjallahubeydabdulrahman4845
    @farjallahubeydabdulrahman4845 5 หลายเดือนก่อน +2

    hiyo bado ni chache wachape ushuru ya juu kwanza mogoka ipigwe marufuku no notice

  • @wycliffeochard1094
    @wycliffeochard1094 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mnazi ukipigwa vita mnatakaje? Abduswamadh uko sawa

  • @HassanLuchi-j6y
    @HassanLuchi-j6y 4 หลายเดือนก่อน

    Kaizeni kwenu

  • @alieliasmwakundie165
    @alieliasmwakundie165 5 หลายเดือนก่อน

    Nimakosa sana, kutendea wanainchi mambo kama hayo. Mbona wasiwape notice mapema, ili wajipange? Yani County waamke tuu, waanze kuzuia magari 3:36 yakiwa na mzigo tayari, kutoka 25 k mpaka 80k???

  • @mahdiyusuf3431
    @mahdiyusuf3431 5 หลายเดือนก่อน +3

    Stop miraa in kenya let’s grow more food end this drugs from our communities

  • @HiHi-py8dg
    @HiHi-py8dg 5 หลายเดือนก่อน

    ndio kher masha Allah nimefurai wa tanzania awatumi miraa na wanaishi iyo drugs

  • @MwanalimaMwaduka
    @MwanalimaMwaduka 4 หลายเดือนก่อน

    Gavana Allah akulinde akuongeze nguvu upambane kadri ya uwezo wko mugukaa upotee kabisa

  • @johncotter4016
    @johncotter4016 4 หลายเดือนก่อน

    Huyu mama ameharibu sana.watoto wa meru wasime watoto wa pwani wao wachonge mugoka

  • @mukuhinjenga9489
    @mukuhinjenga9489 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mogooka should be banned in Kenya not only Mombasa.

    • @jeldaondisa3767
      @jeldaondisa3767 4 หลายเดือนก่อน

      They can't burn business imeshikilia uchumi😅😅it's like burning mtumba clothes, that impossible. Hiyo Ni business inafanywa Hadi Na politicians.

    • @mukuhinjenga9489
      @mukuhinjenga9489 4 หลายเดือนก่อน

      @@jeldaondisa3767 what a poor analogy!!

    • @jeldaondisa3767
      @jeldaondisa3767 4 หลายเดือนก่อน

      That's the bitter truth you'll have to put up with.

  • @AliAbdul-ve5ve
    @AliAbdul-ve5ve 5 หลายเดือนก่อน +3

    Meru hawali miraa kama mombasa hiyo kwanza ipigwe marfuku

  • @opondowere3327
    @opondowere3327 5 หลายเดือนก่อน +3

    Wapeleke watoto shule ni fees,

  • @mohamedmustafa2656
    @mohamedmustafa2656 5 หลายเดือนก่อน

    Sawa kabisa

  • @mohamednyuni2631
    @mohamednyuni2631 5 หลายเดือนก่อน +2

    Meru miraa hailiwi kama pwani wacha zako mama tembea utafiti

  • @elbajnaf3186
    @elbajnaf3186 5 หลายเดือนก่อน

    Kanyaga wao paka watoe mavi...piga marufuku kabisaaa!!!

  • @kabuthakabutha9472
    @kabuthakabutha9472 5 หลายเดือนก่อน

    Akufukuzae leo amekeambia utoke wazi wazi. 😂😂😂😂

  • @mwanakombopopo5117
    @mwanakombopopo5117 5 หลายเดือนก่อน +7

    Mbona kidogo iyo wangelipa elf 500000 kwani hakuna mazao mengine ya kulima mukajipatia riziki na watoto wakasoma

  • @LeedyA-k3g
    @LeedyA-k3g 4 หลายเดือนก่อน

    Hamna kwenu

  • @dhahabukalama2635
    @dhahabukalama2635 4 หลายเดือนก่อน

    Hao wanaokula mugokaa sio watoto wa watu. Fanyeni kazi nyengine.

  • @johnsonsafari5077
    @johnsonsafari5077 4 หลายเดือนก่อน

    Mama mwenye kutegemea kulipa karo Kwa kutegemea Mugoka, wapwani wanakuhurumia usiumie kulipa watoto university ,secondary . Wafundisheni kulima Mugoka na pia muwape watoto wenu hiyo Cash crop wakule. Masomo si Muhimu, na pia kuleni wenyewe

  • @LeahKaruga-f3v
    @LeahKaruga-f3v 5 หลายเดือนก่อน +5

    Kuleni nyasi wenyewe,mumeharibu watoto wawatu hata wanasoma nayo kwa mfuko

    • @mwendii
      @mwendii 5 หลายเดือนก่อน

      Miraa and tea leaves and coffee are one and the same thing in terms of composition, are you saying that tea and coffee should also be banned?

    • @Moralkid001
      @Moralkid001 5 หลายเดือนก่อน +1

      Zifanyiwe chai kma zinakaa kufanana basi😂

    • @kabuthakabutha9472
      @kabuthakabutha9472 5 หลายเดือนก่อน

      ​@@Moralkid001😂😂

    • @kabuthakabutha9472
      @kabuthakabutha9472 5 หลายเดือนก่อน

      ​@@Moralkid001😂😂

    • @cryptohornbill9658
      @cryptohornbill9658 5 หลายเดือนก่อน

      @@mwendii That's rubbish, and personally you know it. Have you ever seen someone talking shit and behaving weirdly for taking 4 cups of tea like these unhygienic muguka chewers?

  • @antonymwenda632
    @antonymwenda632 5 หลายเดือนก่อน

    Hibi sasa binanuka kama bitunguu pale 😂😂😂😂🏃

  • @EvalyneJohn
    @EvalyneJohn 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kwani mombasa nikwenu wameru mko wapi

  • @mamakekhubeiby4206
    @mamakekhubeiby4206 5 หลายเดือนก่อน

    Kuleni mwenyewe na watoto wenu 😂😂😂😂😂😂