Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
Kila nikiona habari ya baba nasikitika mie binafsi nipo oman huu mwaka 9 nimemaliza ni hivi uyo binti ni ngumu kurudi ivyo ivyo bila kurudishaa gharama za waliompeleka haijalishi alifanikiwa au laah asilimia kubwa ya maagenti ndo ufanya ivyo hapo kikubwa watafuteni hao maajenti mjue gharama zao wakilipwa uyo dada atasafirishwa kinyume na hapo mtapoteza mawasiliano kabisaa.
Mnaomshambulia huyu dada mlioko huko nchi za. Wageni mnafanya kazi kwa kumuona Muongo yeye ndo atakua ana matatizo sio vizuri kabisa nyie kama mmepata maboss zenu wenu wazuri mshukuru Mungu tena sana lakin sio kwa kuwapinga wenzenu na kuwaona waongo wanaopata matatizo kun watu wanapata maboss wazuri kuna wengine wanapata maboss sio wazuri lazima watoroke kama unataka kwenda nchi za wenzetu cha kwanza Muombe Mungu akupe boss mwenye upendo na huruma hilo ndo la msingi
Nyie mnaomuona huyu dada muongo mshukurun mungu km mmepata maboss wazur msikatae kuna watu wanapitia changamoto kitanda usicholala hujui kungun wake achen kujiona nyie mmeyapatia maisha maana naona mnatamba mm nimejenga mm nimefanya hv na hv 😂😂😂wapo wanaopitia changamoto na wapo wanaoish vzr
Usiwe na furaha kwa sababu ya mazingira ya nyumbani kwako yalivyo? Tushukuru Mungu kwa tunachojaaliwa. Kuna watu wanaishi maisha magumu zaidi na hawalalamiki wanamshukuru Mungu.
Ndio nasema mimi daima jaman tupo oman na kazi na heshimA tunafanya kazi muhimu heshimA Ukiwa na heshima na ukijiheshimu na ukiwaheshimu maisha yanaendeleA….mtaka cha mvunguni lazima uiname…
Da Zali unasema tu watu tushafanya biashara hd mikono imeota sugu vichwa vinauma kubeba makapu lkn hatujatoboa chuma ulete nao wanataka hapo hapo lkn tupo Oman aah yetu tumeyatatua Alhamdulillah nimeshika hela ht Tz sijashika na sirudi hd mkononi nishike Milioni 7 ndy nione Tz hapo ndy nitatulia maana nishakuwa na kwangu Alhamdulillah
Nchi za Gulf zinataka subrah na uvumilivu na mtu ukiona huna muelekeo shida matatizo msaada wa ubalozini hamna ni vizur kurud nyumbani hatujafukuzwa jaman riski popote kurudi nyumban ndo mwanzo mpyaa Allah atusimamie in Sha Allah
@@HusnaMtitiko-yt4ru sana ilimladi unapata chako usipo kua mvumilivu ndio ata mwaka umalizi ww unaishi kwa watu mawazo yako umampa mwenyenyumba unaakili kweli
Wewe umesoma ndg yangu ndomaana unanenepa mimi niko Oman nasomesha najenga natunza familia yangu,, na Tz nisingeweza dada mimi single mama mwenye watoto 3 wote wanasoma weee Acha tupambane kikubwa tuombeeni tuu
Baba sasa anaharibu anachokitaka hajakipata anaingiza mada nyingine halafu aombi bali anatoa lawama hiyo sio kauli nzuri kusema wanaingiza watu kwenye mpira washindwe kumsaidia yy aah Mungu amsamehe hajui anachokiongea Allahu Akbar
Lakini madada WA bongo acheni kutukana wenzenu wakati wakisimliya Tesco wanayo pitiya na mtihani wanayo pata katika safari ya kutafuta maisha kama ww uko pazurii shukuru na unyamaze kimyaa unmasking wangu WA Africa isiwi WA kujidhalilisha aibuu
Dada kipindi chako ni kizuri sana na kiukweli kabla hujasafiri kwenda nje weka malengo na jikumbushe kwa nn unasafiri, Dada mm nipo Iraq na kuna Watanzania wengi mm nawajua huku waschana wanafanyakazi kwa makengo karibu wote wamejenga wengine bado wanajenga, wananunua mashamba ili wakirudi Tz wajishughulishe na kilimo, sio kila mtu anakaa ofisini kila mara ukija huku ukiwa na nia ya kazi na malengo basi utakaa kazini
Jaman sio kwel we mtu mzima wajua kusoma na kuandika vip usijue kusoma tiket yako ama kufanya makubaliano na ajent kabla, ulitaka mwenyewe kwenda kurdistan njaa ilipokupiga bongo😅😅😅😅
Huko napajuwa ubalozo wahukopaka utuluki ila kudristani .hakuna ubalozi .. ila maajenti wanatuongopea wanakwambia unaenda utuliki. Waongo minishafika huko
@@olivanooraladin5436 my hawa ndo wale wavivu wasitaka kutumwa tumwa anataka akae tu kama boss mwisho wa mwezi ukifika anadai mshahara hizi kazi haziitaji mwajiriwa uwe na kiburi kutumwa fanya kile wanuna mara hufanyi inavyo takiwa bas maboss wengi hawataki wafanya kazi visiran na wasio jituma
Hapa baba unachofanya ni kutwanga maji kwenye kinu ndio una uchungu na mwanao lakin unamuhurumia mtu ambae hajihurumii zaidi anasema anadhalilishwa apo unapoteza mda
Mbona kazi zipo jamani,njoeni omani wapenzi ubarozi upo ,nendeni Emirates kazi zipo ubarozi upoo. Mliopo nyumbani ambao mnania ya kutaka kuja huku basi angalieni nchi mnazotaka kwenda ziwe na barozi
Ila ninachoona kila nchi kuna shida zao mm nilikaa Iraq miaka 3 Nashukuru Mungu nilipata watu wazuri sana mpaka sasa napatamani walah niliishi kama mtoto wao.
Kwanini Tanzania munaruhusu wanaichi kwenda Iraq?????? Wao wenyewe wana shidaa mpaka basii!!! Serikali ya hapa itakua inapewa hongo ndiyo maana wanaruhusu yote hayoooo!!
Ni mdogo wangu hajadanganya huyo kesha fanya oman miaka mitatu kaenda dubai kakaa miaka miwili ndo akaunganishwa na mtu kwenda huko iraq na mm dada ake nipo oman
Unakuja oman unaenda dubai una rud ten unaenda iraqi kam sii kuhaha ni nin mie nilikuja 2016 kuja oman nasai bado nipo nimejega kijijin nimejega dar ww ni kuhaha ulihaha hukuw unataka maisha ni kuhanfaika polen mnao haha na miji ya watuy ujinfa mtup
Nimefanya kazi Oman na Dubai huy anasem Oman wako vizur kwangu kulikuwa majuto kikubwa kuombeana 2 kila taifa linawema na wabaya rafik yangu yup uko Iraq mwaka wa 6 sas alianza Oman kukamshinda kwaiyo kila nchi inamitihan yake Tz hakuna wanaowatesa wafanyakaz jana 2 nimeon video inasambaa Tikitok boss anamzalilisha bint na ni Tanzania eti uchawi basi na ww mchawi ulijuaje angeeni ukwel sio mengin iv mengine ivi
Mimi niko Iraq nimesha maliza mwaka bado mwaka mmoja niludi Tanzania hiii sitoli imenisikitisha sana sijajua kama kuna watu wanapitia mateso makubwa kiasi hiki
HAWA WAIRAKI NI KAMA WAMAU MAU WATU MAKHABBITHI BAADHI YAO! SIO WATU WAZURI"!😢! KWANZA KUPELEKWA HUKO IRAGI WAMEWAPELEKA SIO KISHARIYA HATA KIDOGO! NA VIPI SERIKALI TMYA TANZANIYA INANYAMA KIMYA KUHUSU RAIYA ZAO!? KUTESA KAMA HIVYO!???😢! TANZANIYA BI SERIKALI KAMILI INA POWERS BA UWEZO KUWATETEA RAIYA ZAO" SIO KUKAA KIMYA TUU😢!! MHHHUUUHHH😢!
Umeongea point sana habibty watu kama wananijiwa Ni wavivu jaman wasije kufanya kazi nchi za nje matokeo yake ndo haya mtu hujaja kuenjoy huku umekuja kufanya kazi ili ulipwe hakuna kazi za raha ndugu zangu niwambie tu ukweli nina mengi yakuongea lakin naona muda hautoshi😅
Nasra sio muongo jaman hiv mnajua alicho pitia yaan Nasra huo sio mwili wake tena sasa hiv ndo kaaza kupendeza alivyo rud nyumban kila siku alikuwa analia dada nitafanyaje mm ili nirud nyumban acha kabisa yaan
Niye uyu muschana haweze kaxi alikuenda kwa nn bona munasumbuwa watu iraq kuna wa Tanzania wengi tu hamna shidaa toka uko mpumbavu mtangazajiii ww koma kutaja oman ww syo oman mpumbavu ww 😢😢😢😢
YANI INA MAANA IMMIGRATION HAWAWEZI KUMTAFUTA VANESSA MBISE. NA KAENDA NCHI ZA NJE KUPITIA AIRPORT ??? CKU ZINAVYOZIDI KWENDA IMANI NA VYOMBO INAPUNGUA.
Acha ujinga wewe salma umemjuwa juzi TU unajifanyaunamjuwa naumeaema una mwaka Wa Tano akili huna mbwa wewe!! Salma katishiwa na pia Kuna dada yupo hapo anatombwa na wakina Mohamed inawezeka a ikawa ni wewe mamayeeeee unauchungu sana kuliko baba ake umeanza wewe matraaako Yako wewe mfyuuuu mwache mwenzio aende kwao akaangalie upepo mwengine huko kumesha mkataaa kwanza kazi za huku Kwa mtu mwenye malengo hawezi kufanikiwa sis tupo huku hutudaganyi kitu mjaa raana wewe
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
Kila nikiona habari ya baba nasikitika mie binafsi nipo oman huu mwaka 9 nimemaliza ni hivi uyo binti ni ngumu kurudi ivyo ivyo bila kurudishaa gharama za waliompeleka haijalishi alifanikiwa au laah asilimia kubwa ya maagenti ndo ufanya ivyo hapo kikubwa watafuteni hao maajenti mjue gharama zao wakilipwa uyo dada atasafirishwa kinyume na hapo mtapoteza mawasiliano kabisaa.
Huyu mzee angesoma Yuko safi sana nimemkubali🎉
Yaan hata mm namkubalib sana yup vizur mashallah
Pole sana nasra mie nilafiki yako tulikuwa wote kwa baraka😊
Mnaomshambulia huyu dada mlioko huko nchi za. Wageni mnafanya kazi kwa kumuona Muongo yeye ndo atakua ana matatizo sio vizuri kabisa nyie kama mmepata maboss zenu wenu wazuri mshukuru Mungu tena sana lakin sio kwa kuwapinga wenzenu na kuwaona waongo wanaopata matatizo kun watu wanapata maboss wazuri kuna wengine wanapata maboss sio wazuri lazima watoroke kama unataka kwenda nchi za wenzetu cha kwanza Muombe Mungu akupe boss mwenye upendo na huruma hilo ndo la msingi
Uko sahihi
Ni kweli kabisa na huyu dada kaongea vizuri tu ❤
Ndo tabia zao vo hua nashangaa San mtu akipata sehemu zzuri 😅stor yoyote wanaion ya uongo
Asalam aliekum poleni sana kwa mitihani mwenyezi mungu atawasaidia in shaa allah
Nyie mnaomuona huyu dada muongo mshukurun mungu km mmepata maboss wazur msikatae kuna watu wanapitia changamoto kitanda usicholala hujui kungun wake achen kujiona nyie mmeyapatia maisha maana naona mnatamba mm nimejenga mm nimefanya hv na hv 😂😂😂wapo wanaopitia changamoto na wapo wanaoish vzr
Asojua mana usimpe maana mtu kama halijamfika ataongea lolote
Hakika jaman huku gulf hali ngumu ni kubahatika kupata mtu mzuri waarabu co wenzetu
Omani poa ❤❤❤❤
Hivi sie waafrika aliyeturoga ni nani? Ni wazungu au waarabu 🤔🤔🤔
Mungu aniondolee hiyo mitiani.. waendelee kunipenda mpaka mkataba uishe nipo qatar
Usiwe na furaha kwa sababu ya mazingira ya nyumbani kwako yalivyo? Tushukuru Mungu kwa tunachojaaliwa. Kuna watu wanaishi maisha magumu zaidi na hawalalamiki wanamshukuru Mungu.
Mzee wangu mungu atakufanyia wepes kola kotuy kinamwisho inshaallah
Allah atufanyie wepes Lkn Maajent Dah Mtihan nasisi tutulieni makwetu
Wacha niendelee kumshukuru Mungu na kumwombea mwarabu wangu tu yote unayoongea hapo sijayapitia naendelea kuipenda kazi yangu🙏🙏
Mshukur Allah maana changamoto zipo nying Kwa baadhi ya wengine na Familia zingine za Arabic
Hata mm kwakweli Niko omani kabisaa miaka kumi sasa yani naishi kama Niko nyumbani kabisa
Nikweli hata mim warabu baadhi yao ni wazuri nasiyo wote lam ilivo NCHI NYINGINE BINADAM TUKO HIV ILA IRAQI HAPAFAI
@@HaniffaOmary-v5rhata mim pia nina miaka 8 niko vizur na mshahara pia mzuri
Ndio nasema mimi daima jaman tupo oman na kazi na heshimA tunafanya kazi muhimu heshimA
Ukiwa na heshima na ukijiheshimu na ukiwaheshimu maisha yanaendeleA….mtaka cha mvunguni lazima uiname…
Yan mtuy alikuja huku hakupata mtaji aje hap apew mtaji w mungu wangu duuh polen wallah
Alhamdulillah kwa kusema ubora wa watu wa oman lkn wafanyakazi wengine hawana shukrani wala ubinadaam
Da Zali unasema tu watu tushafanya biashara hd mikono imeota sugu vichwa vinauma kubeba makapu lkn hatujatoboa chuma ulete nao wanataka hapo hapo lkn tupo Oman aah yetu tumeyatatua Alhamdulillah nimeshika hela ht Tz sijashika na sirudi hd mkononi nishike Milioni 7 ndy nione Tz hapo ndy nitatulia maana nishakuwa na kwangu Alhamdulillah
Hongera shoga
Asant sana Allah atufungue kwakweli katika nnchi zetu
Nchi za Gulf zinataka subrah na uvumilivu na mtu ukiona huna muelekeo shida matatizo msaada wa ubalozini hamna ni vizur kurud nyumbani hatujafukuzwa jaman riski popote kurudi nyumban ndo mwanzo mpyaa Allah atusimamie in Sha Allah
Ofisi iliomsafirisha jaman inasemaje
Mimi Niko iraq mwaka w nne maisha ya nje nikuvumiliato mambo y kuwa kunaraha hapana siku vizuri cku kibaya wallah
Kwakweli mm pia nipo iraq alafu tatizo ni uyo msichana kilakitu kumwambia mzazi
@@mirnababy5012tunakaza ndgu yangu tukiongea na wazazi tunajitahidi ku feki furaha 😢
@@HusnaMtitiko-yt4ru sana ilimladi unapata chako usipo kua mvumilivu ndio ata mwaka umalizi ww unaishi kwa watu mawazo yako umampa mwenyenyumba unaakili kweli
Kweli mengine unayavumilia tu huko nimekaa sasa Niko qatar
Pole sana dada
Safi nasra wangu kipendhy umetoa ushiriakiano alhamdulilah
Wanarogwa tamaaa Majuto mjukuu
Inatia huruma sana , nchi ya Tanzania Haina msaada kabisa ,sawa tu na waarabu. Hakuna ubinadamu.😢
Baba❤🎉
Pole mamiii
Wewe umesoma ndg yangu ndomaana unanenepa mimi niko Oman nasomesha najenga natunza familia yangu,, na Tz nisingeweza dada mimi single mama mwenye watoto 3 wote wanasoma weee Acha tupambane kikubwa tuombeeni tuu
nipe no yako
Mzee asome surat inshilah bila idadi Allah atawafungua
Eeh Mungu Tusaidie
Baba sasa anaharibu anachokitaka hajakipata anaingiza mada nyingine halafu aombi bali anatoa lawama hiyo sio kauli nzuri kusema wanaingiza watu kwenye mpira washindwe kumsaidia yy aah Mungu amsamehe hajui anachokiongea Allahu Akbar
Tema mate chini wewe
@@hadijamohd6028 We umeona vizuri lawama anazo toa au awe mpole aombe msaada asaidiwe lkn sio kusema watu
Waafrika tuna Kila kitu lkn watoto wetu bado wananyanyasika huko uzunguni na u harabuni . Hivi sie waafrika aliyeturoga ni nani 😮😮😮
Apo kweli sadakta
Passpot kweli zinachukuliw lakin sim kwa oman hazichukuliw labda huko iraq mungu wangu duuh
Na pia na huku Iraq sio wote wanaochukua simu maboss
Lakini madada WA bongo acheni kutukana wenzenu wakati wakisimliya Tesco wanayo pitiya na mtihani wanayo pata katika safari ya kutafuta maisha kama ww uko pazurii shukuru na unyamaze kimyaa unmasking wangu WA Africa isiwi WA kujidhalilisha aibuu
Poleni ndugu zetu mliopo irag kuna mitikhani sana
@@khadejakhadeja9713 mitihan gani
Ndug yngu pambana Allah atakufungua japo mikono yako itakupeleka mbali utakavyo jituma
This is why we neeed more jobs on our on county's so all this wouldn't happen.
Dada kipindi chako ni kizuri sana na kiukweli kabla hujasafiri kwenda nje weka malengo na jikumbushe kwa nn unasafiri, Dada mm nipo Iraq na kuna Watanzania wengi mm nawajua huku waschana wanafanyakazi kwa makengo karibu wote wamejenga wengine bado wanajenga, wananunua mashamba ili wakirudi Tz wajishughulishe na kilimo, sio kila mtu anakaa ofisini kila mara ukija huku ukiwa na nia ya kazi na malengo basi utakaa kazini
@@mariayombayomba1606 swadakta habibty umeongea point sana
Jaman sio kwel we mtu mzima wajua kusoma na kuandika vip usijue kusoma tiket yako ama kufanya makubaliano na ajent kabla, ulitaka mwenyewe kwenda kurdistan njaa ilipokupiga bongo😅😅😅😅
Huku kwetu Kenya ajenti twamtafuta mwenyewe na njaa zako mimi niko saudi
Kutoroka nikosa pia kwenye nchi zawatu kila nchi inasheria zake
Dada zari ulivyo mshauri uyo Dada nimependa ushauriwako sana
Masikitiko ya Baba. Uyu toka mtotowake amekwenda uko ajaona mafanikio yoyote ndio maana. Anaumia na kukosa amani
Msiende huko jamani, kaeni hapa kwenye tu
inawezakana mawakala wana matatizo ila kwa kesi ya huyo dada anaonekana yeye ndo mwenye matatizo
Jamani ilo la kuuwa naa umetupiga jaman mhhh😮
Na tunapokuja huku unakubali yote yaani ni wewe na mungu wako wengi huwa wanajisahau Sana
Alafu warabu wote tabiya Yao ni moja
Salma arudi Iraq mitihan mitupu watu huenda wakakwama na,wakarud wakaenda nch nyengine rzk popote Salma bora oman 🇴🇲
Omani oyeeeeeeerrrrrr
Huyu Nasra chamdomo unabahati waarabu wangekumaliza
yaani dazari nchi zakiarabu changa moto zipo sana
Mie siendi yeyote inchi tofaut na Oman 😊 warabu wa Oman kwa 80% wako pic sana hasa kwenye kula na mshahara wanaga shida😊😊😊
😂😂😂Shukuru mungu kipenz kwa kupata seem sahihi basii@@Dafetty
Naombeni nitume voic jamn nilivyo nayo mengi
Iraki sio pazuri utalia kilio cha mamba machozi kwenda na maji poleni sana
Huko napajuwa ubalozo wahukopaka utuluki ila kudristani .hakuna ubalozi .. ila maajenti wanatuongopea wanakwambia unaenda utuliki. Waongo minishafika huko
MI nimeshangaa yaani inawezakananaje mtu kila nyumba ushindwe hebu kuweni wa kweli
@@olivanooraladin5436 my hawa ndo wale wavivu wasitaka kutumwa tumwa anataka akae tu kama boss mwisho wa mwezi ukifika anadai mshahara hizi kazi haziitaji mwajiriwa uwe na kiburi kutumwa fanya kile wanuna mara hufanyi inavyo takiwa bas maboss wengi hawataki wafanya kazi visiran na wasio jituma
Mm kwa Iraq kweli nawatetea waarabu some time ni matatizo yetu tunataka tuishi kwenye nyumba za watu kama kwetu.
HAPO MAAGENTE WAKO WANAMTISHIYA NJO KWA MAANA ALISEMA VIDEO IFUTWE NAKWASABABU HILIJAMBO LILISHAKUWA SEREKALINI 🇨🇦
Kabsa ni kujituma tuy wallah
Hapa baba unachofanya ni kutwanga maji kwenye kinu ndio una uchungu na mwanao lakin unamuhurumia mtu ambae hajihurumii zaidi anasema anadhalilishwa apo unapoteza mda
Itakuw huyo salim hajitambui
Waarabu sio bin Adam 🤔🤔🤔
Omani hakuna matatizo kama ya. Iraq Omani shwari
Huyu salma anataka kumuua baba yake kwa presha😢
Nchi za kiarabu zote ukivunja mkataba unalipagharama pole Baba mungu ataleta kheri
Oman kuna unafuu Alhamdulillah
huyo Salima kwaushauri wangu angerudi kwanza ili baba yake akishamuona atapata baraka za mzazi haru ajipange upya
Mbona kazi zipo jamani,njoeni omani wapenzi ubarozi upo ,nendeni Emirates kazi zipo ubarozi upoo. Mliopo nyumbani ambao mnania ya kutaka kuja huku basi angalieni nchi mnazotaka kwenda ziwe na barozi
Wanawake ifike mda mjitambue unazaa tuy na wanaume waso jitambuw mnawapa wazazi mtihan kam huu
Salma babayako anakupambani msikilize huwezikupata kaz haliyakua babayako anasikitika rudi halafu utapatakaz nchizingine
😂😂Yeye asitake kujua picha mbay Au laa tunacho taka arud kwa uwezo wa allah
Huyu Mzee jamani kutunza watoto na uchumi alio nao anateseka
Ila ninachoona kila nchi kuna shida zao mm nilikaa Iraq miaka 3 Nashukuru Mungu nilipata watu wazuri sana mpaka sasa napatamani walah niliishi kama mtoto wao.
Hata Oman kuna wengine wanalia saivi
Kwanini Tanzania munaruhusu wanaichi kwenda Iraq?????? Wao wenyewe wana shidaa mpaka basii!!! Serikali ya hapa itakua inapewa hongo ndiyo maana wanaruhusu yote hayoooo!!
Bibi koma kutaja oman oman ni kuzuri saaaana tena wana waoenda wa Tanzania nani atakusikiya ww mjaamba mavi ww mtangazajii😢😢😢😢
Ni mdogo wangu hajadanganya huyo kesha fanya oman miaka mitatu kaenda dubai kakaa miaka miwili ndo akaunganishwa na mtu kwenda huko iraq na mm dada ake nipo oman
Unakuja oman unaenda dubai una rud ten unaenda iraqi kam sii kuhaha ni nin mie nilikuja 2016 kuja oman nasai bado nipo nimejega kijijin nimejega dar ww ni kuhaha ulihaha hukuw unataka maisha ni kuhanfaika polen mnao haha na miji ya watuy ujinfa mtup
Huna kwenu ano haha nani kama sio ww ulo komaa kweny mji wawatu
Hii ni kweli au drama ka ni kweli serikali yetu Iko kimyaaa kweli 🤔
Na iyo dada muhongo we uho mkorogo kazi iyo kwio
Ni mdogo wangu sio muongo kaongea ukweli
Da zari siku nyingi
Wallah huyu mzee angekuw kam wazazi wengine watuy wasingeteswa NCHI ZINGINE HAKUKAA KIMYA KUHUSU MTT WAKE
Assalamu Allaaeykumu dadazari hujambo
Jamani namshukuru Mungu nipo nafanya Kazi za ndani Italia ninalipwa milioni mbili na laki tisa.yani Maisha mazurii kama Nipo Tz.
Sasa million mbili na laki Tisa unaishije? Maana ghalama za maisha Italy NI juu Sana yaani million2? Au unakula na kulala hapohapo?
ulipatajepataje naomba no yako
Kwenye Hilo jumba Unaweza Kukaa Hata Mwaka
Japan nitafuten mm ninamengi sana san
Nimefanya kazi Oman na Dubai huy anasem Oman wako vizur kwangu kulikuwa majuto kikubwa kuombeana 2 kila taifa linawema na wabaya rafik yangu yup uko Iraq mwaka wa 6 sas alianza Oman kukamshinda kwaiyo kila nchi inamitihan yake Tz hakuna wanaowatesa wafanyakaz jana 2 nimeon video inasambaa Tikitok boss anamzalilisha bint na ni Tanzania eti uchawi basi na ww mchawi ulijuaje angeeni ukwel sio mengin iv mengine ivi
Nyumba za kukaa hata miaka mili hutokezea sio kila nyumba miezi mitatu ipo mwaka miaka miwili hoja agreement
Warda anaendeleaje, dada zai???
😂😂😂Nakutupa tupa tishu hovyo hovyo wadshenzi Sana watt wao hawajuwi kila siku ni watt
Huyu dada ni mswahili mvivu tu anapoenda kuzurula
Jamani makadama wa Iraq mpo kama mpo tujuane weka laiki
Tupo sana
Weka group bas
Mimi niko Iraq nimesha maliza mwaka bado mwaka mmoja niludi Tanzania hiii sitoli imenisikitisha sana sijajua kama kuna watu wanapitia mateso makubwa kiasi hiki
@@musnamohamed4199 Ebu nipee you’re contact
Nipoooii
😢
HAWA WAIRAKI NI KAMA WAMAU MAU WATU MAKHABBITHI BAADHI YAO! SIO WATU WAZURI"!😢! KWANZA KUPELEKWA HUKO IRAGI WAMEWAPELEKA SIO KISHARIYA HATA KIDOGO! NA VIPI SERIKALI TMYA TANZANIYA INANYAMA KIMYA KUHUSU RAIYA ZAO!? KUTESA KAMA HIVYO!???😢! TANZANIYA BI SERIKALI KAMILI INA POWERS BA UWEZO KUWATETEA RAIYA ZAO" SIO KUKAA KIMYA TUU😢!! MHHHUUUHHH😢!
Mimi. Nimewekeza mifugo nikitoka Oman kwahuu situmwi tena nimeshakua mjasiliamali
Iyo Iraq Oman unapewa kabla ya safari
huyo nasra anaonekana malaya tu wew ushindwe oman, ushindwe dubai, ushindwe na iraq... wew hizo kaz huziwez usisingizie agent
Umeongea point sana habibty watu kama wananijiwa Ni wavivu jaman wasije kufanya kazi nchi za nje matokeo yake ndo haya mtu hujaja kuenjoy huku umekuja kufanya kazi ili ulipwe hakuna kazi za raha ndugu zangu niwambie tu ukweli nina mengi yakuongea lakin naona muda hautoshi😅
Umejua aje malaya au na ww malaya...watu wanateseka we unaongea pumba
Kwakweli
@@Oppo-t3s2xtumegongana comment😂
@@Oppo-t3s2xumeniwakilisha ndugu
Haijatokea mtu kukaa miaka miwili bila kwenda kazin dada umezidi uongo sana wewe umeongea vitu vingi vya uongo muogope mungu wako
Nyie ndio wale skio lakufa
Nasra sio muongo jaman hiv mnajua alicho pitia yaan Nasra huo sio mwili wake tena sasa hiv ndo kaaza kupendeza alivyo rud nyumban kila siku alikuwa analia dada nitafanyaje mm ili nirud nyumban acha kabisa yaan
Washa kutengeneza ww ndio maana unakuwa mbishi sana
@@BelindaMosha-vs3pc😂😂😂😂😂
Kwani selikali hakuna ya Tz wakamkamata huyo Ajenti. Mbonamambomadogotu hayo polic wakiamua inawezekana kurudi. Alimpelekaje mpakaashindwe kumrudisha kamatenihiloajenti moifunge
Niye uyu muschana haweze kaxi alikuenda kwa nn bona munasumbuwa watu iraq kuna wa Tanzania wengi tu hamna shidaa toka uko mpumbavu mtangazajiii ww koma kutaja oman ww syo oman mpumbavu ww 😢😢😢😢
Oman kafanya miaka miwili muache kumuhukumu mdogo wangu changamoto alizo pitia sio kukoment upuuzi
Vijana kuna kitu cha kujifunza
YANI INA MAANA IMMIGRATION HAWAWEZI KUMTAFUTA VANESSA MBISE. NA KAENDA NCHI ZA NJE KUPITIA AIRPORT ??? CKU ZINAVYOZIDI KWENDA IMANI NA VYOMBO INAPUNGUA.
Kumbe urabuni ni utumwa tu! OMG
Huyo dada hataweza fanikiwa baba Hana raha razi za mzazi ni dawa
Maisha magum
Sarima yuko salama ondoa ofu bwana baba salma yuko salama usiwaze ata mie nipo uku mwaka wa tano changa moto kawaida uku salama amani ipo
Acha ujinga wewe salma umemjuwa juzi TU unajifanyaunamjuwa naumeaema una mwaka Wa Tano akili huna mbwa wewe!! Salma katishiwa na pia Kuna dada yupo hapo anatombwa na wakina Mohamed inawezeka a ikawa ni wewe mamayeeeee unauchungu sana kuliko baba ake umeanza wewe matraaako Yako wewe mfyuuuu mwache mwenzio aende kwao akaangalie upepo mwengine huko kumesha mkataaa kwanza kazi za huku Kwa mtu mwenye malengo hawezi kufanikiwa sis tupo huku hutudaganyi kitu mjaa raana wewe
Vipi waarabu ni wale wale na hamna mwarabu alie staarabika na ww unasema waarabu wa Oman wazuri hawana shida🤔🤭
Kabisa mwarabu mwarabu tu akuna Nzuri niww tu mungu alivyokupangia
Raha ya maboss wa oman ata uchambane nao vipi mtanuniana mwsho wa mwez watakupa mshahara wako wala awana mda wakukuludisha kokote😅
Kbs yan @@jasminmohagthari3730