ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก

RAIS JAKAYA KIKWETE NA MKEWE MAMA SALMA WAKATIZA MTAANI NA KUNUNUA NG'ONDA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ค. 2014
  • RAIS DK JAKAYA KIKWETE NA MKEWE MAMA SALMA KIKWETE WAKATIZA MITAANI NA KUNUNUA NG'ONDA KIBANDANI BWENI WILAYA YA PANGANI,TANGA

ความคิดเห็น • 251

  • @user-qc9jf6rn7u
    @user-qc9jf6rn7u 3 หลายเดือนก่อน +3

    Nawapenda sana Rais mstaafu Kikwete na mama. Mungu awape maisha marefu yenye furaha na amani.

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 22 วันที่ผ่านมา +1

    Wakati wa Jakaya maisha yalikuwa mazuri kusema ukweli kumuogopa mungu.Kikwete mungu akulinde sana. Tunakupenda na kukumbuka sana❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉❤🙏🙏👍👍😢

  • @yassinm69
    @yassinm69 4 ปีที่แล้ว +9

    Gonga like Kama umemsikia Mh kikwete akipiga mluzi

  • @nyambelewinfrida9074
    @nyambelewinfrida9074 5 ปีที่แล้ว +34

    Kama umemuona babu akisalimia kwa goti la kisukuma gonga like twende sawa.

  • @mavindimuhotwe4432
    @mavindimuhotwe4432 5 ปีที่แล้ว +21

    Walimwengu jamani duuuh.! Kweli hakuna mtawala mzuri ndani ya utawali. Alitukanwa alibezwa wakati wa utawala wake. Sasa kastaafu mwajifanya mwampenda na kumpa sifa. UNAFIKI HUO NA NI DHAMBI KUBWA

  • @Ja_Eid
    @Ja_Eid 10 ปีที่แล้ว +4

    Daah nimeipenda sana..jk kila la kher mungu akupe uhai mrefu sana...

  • @allyabdallah2794
    @allyabdallah2794 6 ปีที่แล้ว +18

    Huyu ndo alikua raic wawanyonge salute kwake daima tutamkumbuka

  • @fortunatemathiasbarabara3686
    @fortunatemathiasbarabara3686 6 ปีที่แล้ว +7

    mpaka machozi yamenitoka hongera kwake jakaya nawish ningekuwepo

  • @idanysedrc1200
    @idanysedrc1200 2 ปีที่แล้ว +1

    Mzee wangu bila wew nisingetoboa chuo kikuuu😘😘

  • @mussaabdiel9797
    @mussaabdiel9797 5 ปีที่แล้ว +11

    Dah nakumbuka wakat nasoma secondary Nina elfu30 mfukon saiv sisomi ila Nina buku tu umegundua nn apo

  • @meshackshedrack2974
    @meshackshedrack2974 8 ปีที่แล้ว +7

    Raisi mpenda laia ndiohuyukubali ukatae big up kikwete na mama Salina .

  • @huszarb7865
    @huszarb7865 7 ปีที่แล้ว +7

    Itachukua mda sana kuongozwa na mtu kama ww Tz respect nyingi kwako u are blessed

  • @swabratramadhan5045
    @swabratramadhan5045 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah dady Mungu azidi kukupa moyo huo na utu wako udumu milele

  • @ibrahimabdul5490
    @ibrahimabdul5490 8 ปีที่แล้ว +2

    Rais wa watu Manshaallah.
    Allaah akurehem baba.
    Ila hakika hautosahaulika milele.
    Mana kati ya Marais ambao wanaopenda ustaarabu kwa wananchi wake Jakaya namba moja.
    Rait ingewezekana urudi tena hata madalaka.
    Inshaallah akupe uhai mrefu..

    • @goodlackriwa6728
      @goodlackriwa6728 4 ปีที่แล้ว

      kweli .mungu amjalie aishi maisha marefu

  • @TZbwaay
    @TZbwaay 10 ปีที่แล้ว +7

    Naona leo ni siku nzuri ofisini kwa muuza genge..Angalia bana isije ikawa 'chuma ulete' ...;-)

    • @xmathematics_
      @xmathematics_ 6 ปีที่แล้ว

      Johnnie Nyoni 😂😂😂hajawahi uza kM vile

    • @mavindimuhotwe4432
      @mavindimuhotwe4432 5 ปีที่แล้ว +1

      Imani za kimasikini izo. We mwengine wasema ajawahi km hao. Hao wote kachukua na wengine wamebaki. Hata acngepta Kikwete angeuza tu ndio maana kaweka

    • @veronicadaniel1122
      @veronicadaniel1122 4 ปีที่แล้ว

      Johnnie Nyoni Ww ndo chuma ulete

  • @fatmaali2050
    @fatmaali2050 2 ปีที่แล้ว +2

    Sifa moja ya kiongozi mzuri maisha hayawi taiti kipindi chake huyu mzee maisha yalikuwa mazuri

  • @agustinolazaro7864
    @agustinolazaro7864 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki Asante Kwa uongozi wako

  • @kadolenyambasu5511
    @kadolenyambasu5511 5 ปีที่แล้ว +7

    I miss u dady....nimeangalia had machoz yanataka kudondoka

  • @happymushi2219
    @happymushi2219 9 ปีที่แล้ว +2

    So nice JK.

  • @rashidihamis6202
    @rashidihamis6202 5 ปีที่แล้ว +6

    hana ulinzi mkubwa sana yaan kawaida tu

    • @abednego3876
      @abednego3876 4 ปีที่แล้ว +1

      Kwa sababu alikua haingilii maslai na wizi wa matajiri

    • @reggancamp5247
      @reggancamp5247 4 ปีที่แล้ว

      @@abednego3876 hahahahahahahahahahaaaaa

  • @abasiomary556
    @abasiomary556 5 ปีที่แล้ว +2

    tunakupenda sana baba natunakukumbuka, kama unakubaliana Na mm gonga like

  • @ejmalady6923
    @ejmalady6923 2 หลายเดือนก่อน

    Mzee alitujali sana akiwa waziri wa fedha na akiwa Rais wa jamhuri ya mungano,cjitambulishi.

  • @konde24ful
    @konde24ful 5 ปีที่แล้ว +1

    Tz kiukwel ipo vizuri maisha marefu tz East Africa

  • @jpmmusic9662
    @jpmmusic9662 4 ปีที่แล้ว

    Mama salima mzuri hongera my president tunakumis ulichagua

  • @nuhubalandya9164
    @nuhubalandya9164 6 ปีที่แล้ว +2

    yes! indeed

  • @estherbebe2303
    @estherbebe2303 3 ปีที่แล้ว +1

    This video makes me smile 😊

  • @givenmeja6964
    @givenmeja6964 8 ปีที่แล้ว +9

    tumekumis baaabaaa... kikwete daaaah...

  • @mcyudasicqo9610
    @mcyudasicqo9610 5 ปีที่แล้ว

    nashukuru sana katika utawala wako nilibahatika Kuwa miongoni mwa washereheshaji, jimboni mwetu, Mr jk

  • @joramkumbemba4810
    @joramkumbemba4810 4 ปีที่แล้ว +2

    Huyu mzee anaheshimu sana utu wa watu pia Mpenda democracy

  • @kingsfamily9373
    @kingsfamily9373 5 ปีที่แล้ว +4

    Sssa huyu ndiye ndiye raisi wawanyonge

  • @naseralenzi9419
    @naseralenzi9419 6 ปีที่แล้ว +6

    kikwete alikua mtoto wakita wallah mngu amjalie kweli kwel baba mwenyewe huruma penda sana wewe

  • @ngasikajoel9576
    @ngasikajoel9576 9 ปีที่แล้ว

    Yes show love Mr president even to low social status people! Very nice and human.I like that

  • @alhajiomary2294
    @alhajiomary2294 5 ปีที่แล้ว +2

    Hauwezi kuufahamu uzuri wa neema ila mpaka ukuondoke.mh kikwete tutakukumbuka daima kwa mazuri yko.

  • @isayasway8633
    @isayasway8633 4 ปีที่แล้ว +3

    Kama umeona mfuko wa Rambo gonga like yak hap

  • @rahmakhassani4148
    @rahmakhassani4148 4 ปีที่แล้ว +1

    Haya baba tunakumbukia bata kipindi chako saivi tunaziona kwa macho 😂😂😂😂

  • @rashidmohamed1949
    @rashidmohamed1949 11 หลายเดือนก่อน

    Safi sana...
    Tuwe huru namna hii...
    Mi napenda sana

  • @ludovicshirima1793
    @ludovicshirima1793 3 หลายเดือนก่อน

    Tuseme ukwl mh kikwete anajua kuoshi na watu ana kipaji hyu mzee.👏👏namkubali

  • @wahidaali2592
    @wahidaali2592 9 ปีที่แล้ว +1

    Nampenda sana Rais wetu

  • @uwimanasalua1334
    @uwimanasalua1334 9 ปีที่แล้ว +1

    Wow nice president I like it

  • @iddybora1876
    @iddybora1876 ปีที่แล้ว

    Yan huyu akigombea Tena uraisi anapita tunamkubali sana

  • @saidomary4950
    @saidomary4950 4 ปีที่แล้ว

    Simple kabisa hakuna ulinzi mkubwa dah miss u my president

  • @sahjunior6361
    @sahjunior6361 5 ปีที่แล้ว +4

    I miss you my dady

  • @sylviamombo815
    @sylviamombo815 4 ปีที่แล้ว +1

    Hadi raha

  • @iddykaponda4123
    @iddykaponda4123 4 ปีที่แล้ว

    Huyu ndyo rais wa wanyonge ongera sannaa jakaya mungu skubaliki

  • @rithamremi5515
    @rithamremi5515 2 ปีที่แล้ว +1

    Love them❤️🙏

  • @frankgibore9813
    @frankgibore9813 2 ปีที่แล้ว

    Kwakweli mtandao inatukumbusha mbalisana na ainayaviongozi tuliyokuwanao.

  • @chelseafcfcful
    @chelseafcfcful 10 ปีที่แล้ว +1

    Awsom prez

  • @petergathercole2500
    @petergathercole2500 7 ปีที่แล้ว +3

    That's good, just like Obama, am so impressed

    • @jonsonmungure6552
      @jonsonmungure6552 4 ปีที่แล้ว

      Tanzania tumepataviongozi wazalendo wachahe ndo vyura Mungu awape maishamarefu

  • @allykarim1513
    @allykarim1513 5 ปีที่แล้ว +3

    wenyewe wasitarabu sana

  • @husseinmussa8229
    @husseinmussa8229 6 ปีที่แล้ว +3

    kikwete bhana anapenda sana samaki wa aina hiyo ng,ando

  • @nassorsubah3100
    @nassorsubah3100 5 ปีที่แล้ว +3

    Angalieni tafauti ya makufuli na huyu makufuli anauliza matatizo ya watu kila anapokwenda ni kweli Rais wa wananchi na watu wanyonge jamani Angalieni wenyewe

  • @sir_ENOCKMACHA
    @sir_ENOCKMACHA หลายเดือนก่อน

    Kila kitu ni enzi na enzi....

  • @tigertiger3206
    @tigertiger3206 3 ปีที่แล้ว +2

    La Tanzanie est l un des pays le plus en paix

  • @imanianyimike4942
    @imanianyimike4942 9 ปีที่แล้ว

    Upendo wa dhati kwa watu wote, ubarikiwe, mungu awe nawe daima babaa,

  • @brownlovekiwall6076
    @brownlovekiwall6076 5 ปีที่แล้ว +1

    We love you papa

  • @khadijaabasi4549
    @khadijaabasi4549 ปีที่แล้ว

    Hiyo Safi kua na mke sokoni

  • @costantineernest745
    @costantineernest745 4 หลายเดือนก่อน

    4:48 sio siri kikwete mhhh

  • @faridaaloyce7672
    @faridaaloyce7672 2 ปีที่แล้ว

    Rais niliyeamini angenipa ajira...uwiii

  • @saeedal-awen2190
    @saeedal-awen2190 2 ปีที่แล้ว

    Hapo wngekua walinzi wa mwenda zake washasukuma watu

  • @matisony3603
    @matisony3603 5 ปีที่แล้ว

    Penda sana rais wangu jakaya mrisho kikwete umemuachia jemedar ngaz kwa hilo nashukuru sana by ibra da silva bunda boy

    • @neemaukopovizurikakamasawe3394
      @neemaukopovizurikakamasawe3394 5 ปีที่แล้ว

      westkid TZ vizuri sana mstaafu wetu kwa kupita sokoni na kuwaungisha wafanya biashara mama salima j kikwete oyeeee?

  • @maranathacharles6481
    @maranathacharles6481 8 ปีที่แล้ว +1

    Big up.

  • @mohamedramadhani4189
    @mohamedramadhani4189 4 ปีที่แล้ว +2

    Yan uyu mzee namlaumu jambo moja tu. Kaondoka na ajira zake katuacha tunahangaika tu. Wee baba wewe daa acha tu

  • @slowclimbertothetop4572
    @slowclimbertothetop4572 4 ปีที่แล้ว

    Ukihesabu pesa lazima upige na uluzi safi sana

  • @mohamedkondo-tq2bm
    @mohamedkondo-tq2bm 7 หลายเดือนก่อน

    Mzee anataka ng'onda mtu wa pwani safi sana

  • @iddybora1876
    @iddybora1876 ปีที่แล้ว

    Mzee ludi madalakan eeh Mungu tazama vilio vyetu Bora ww tunakumbuka utawala wako ujawahi kutokea cjawah kuckia mtu akikubeza lkn hao wengine wanajijali wao Mungu toa hukumu ya Allah yah Karim

  • @mariamhabibu4711
    @mariamhabibu4711 4 ปีที่แล้ว

    Nakumbuka katka utawala wake tulimtunga jina la big dady na alipokuja Zanzibar kufungua Ofis ya Mkuu wa mkoa na kuweka jiwe la msing shulen kwetu tulimpokea kwa upendo wa hali ya juu na zawad tulimpatia mis you baba

  • @mariamlusandi2869
    @mariamlusandi2869 6 ปีที่แล้ว +6

    Du kumbe imeisha nimebaki tu naangalia cm huku machozi yakitaka kunitoka ,,, tutakukumbuka sana rais mpenda watu

    • @mariambogozo7819
      @mariambogozo7819 5 ปีที่แล้ว

      daaah tunakukumbuka Allah akujalie kher in shaallah

    • @zenaycechanzinho6702
      @zenaycechanzinho6702 5 ปีที่แล้ว

      Mariam unalia nn wakat bdo miaka kma 8 hiv....magu amalize madaraka🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @maigajohn702
    @maigajohn702 4 ปีที่แล้ว

    Mungu ibariki tanzania

  • @athumanmfangavu7320
    @athumanmfangavu7320 4 ปีที่แล้ว

    Nimeipenda hii

  • @davidprosper5304
    @davidprosper5304 10 หลายเดือนก่อน

    Inapendeza Safi Sana kudumisha mila

  • @kingsfamily9373
    @kingsfamily9373 5 ปีที่แล้ว +7

    Angekuja aunco magu hapo kwanza angemwambia muuzaji ampunguzie bei arafu angemwambia auripi kodi

    • @godrickcharlz9271
      @godrickcharlz9271 5 ปีที่แล้ว +1

      KINGS FAMILY wangebishana kupunguziana mpaka kesho

    • @zenaycechanzinho6702
      @zenaycechanzinho6702 5 ปีที่แล้ว

      @@godrickcharlz9271 yaan muuzaj angepunguza kwa kuogopa hao askar tu tena shingo upande🤣🤣🤣🤣🤣😎

    • @zenaycechanzinho6702
      @zenaycechanzinho6702 5 ปีที่แล้ว

      Weee usimtajee yule babu yako ni hatar🕵️‍♀️

    • @frankngereza7670
      @frankngereza7670 4 ปีที่แล้ว

      😂😂😂

    • @abdallahkawambwa2968
      @abdallahkawambwa2968 4 ปีที่แล้ว

      Maisha mema baba

  • @abelyedson6483
    @abelyedson6483 7 ปีที่แล้ว +2

    Tutakukumba milele na milele Baba

  • @auntdorah9141
    @auntdorah9141 4 ปีที่แล้ว

    Hanaga makuu...bado tunampenda ...hii picha inaonesha ni mfano halisi wa Amani ktk nchi yetu...
    Mungu azidi kuwalinda.

  • @harunamohamed3870
    @harunamohamed3870 6 ปีที่แล้ว

    mashaallah nimeipenda hiyo

  • @rickrosswabongo4116
    @rickrosswabongo4116 9 ปีที่แล้ว +1

    A President of the people

  • @nurjahanabdulrahim9588
    @nurjahanabdulrahim9588 4 ปีที่แล้ว

    Nureen Ibrahim tuna omba mkuu wa Mkoa Mjini aje kutembelea Mkunazini Kwa lukman restaurant Na mara wote watu wana weka gari I mean parking bila ya pango.hamna utaratibu mkunazini imekua ofiyo you need to see utali wengi Na wana ona uchafu watu wana park gari kama wanao taka wenyewe

  • @edsoniminani7061
    @edsoniminani7061 4 ปีที่แล้ว

    Jamani Hakika Tanzania imebarikiwa kwa kuwa na viongozi wenye kuwapenda wananchi wao cheki huo ukarimu wa Raisi wetu

  • @OchoaHomeDecor_
    @OchoaHomeDecor_ 7 หลายเดือนก่อน

    Sema huyu mzee miyeyusho sana anagonga na miluzi kabisa 😂😂

  • @emmanuelnzyuna8907
    @emmanuelnzyuna8907 5 ปีที่แล้ว

    ur the good President

  • @madiyaahmad7453
    @madiyaahmad7453 5 ปีที่แล้ว

    The best president please come back

  • @hamadeddy8089
    @hamadeddy8089 5 ปีที่แล้ว

    Rais alietuacha tukiwa tunampenda tuna muhitaji tuna mkumbuka Sana ingekua sheria ya kutawala mpaka mwisho ningetamani aendelee kuwepo madarakani Mola akupe maisha mema yenye afya Tele Mhe. KIKWETE

  • @luckyvenance4576
    @luckyvenance4576 5 ปีที่แล้ว +3

    Kikweteee😍😍😂

  • @hisanmwakijungu10
    @hisanmwakijungu10 2 ปีที่แล้ว

    Tanzania raha sana tuipende nchi yetu

  • @ikramsafnes3019
    @ikramsafnes3019 5 ปีที่แล้ว +1

    SAFI sana

  • @gloryben4417
    @gloryben4417 9 ปีที่แล้ว

    waooooooooooh unatish mzeeee big uo

  • @nyakinyaki1702
    @nyakinyaki1702 5 ปีที่แล้ว

    tunakukumbuka sana mh kama ingewezekana ungeendelea tu kutuongoza sie wanyonge, bado tunakupenda sana mh

  • @Amaannehal
    @Amaannehal 9 ปีที่แล้ว

    Very nice People's President

  • @bekashan4792
    @bekashan4792 2 ปีที่แล้ว

    Ni hapo tu sijaona sehemu nyingine, JPM kiboko yao

  • @kapanyatv4186
    @kapanyatv4186 4 ปีที่แล้ว

    Nakubar Sana

  • @richardtungaraza7509
    @richardtungaraza7509 3 ปีที่แล้ว

    Enzi baada ya huyu hapo ungeona kila aina ya ulinzi,mabunduki,makamanda,bastola nk

  • @princesele6209
    @princesele6209 5 ปีที่แล้ว

    dah mungu azid kumuweka huyu mzee kipenzi cha watu

  • @mwambirekwamboka9525
    @mwambirekwamboka9525 7 ปีที่แล้ว

    Mzee WA mambo safi 😆😆😆😆 may. U leave long Mr Jakaya

  • @nyakinyaki1702
    @nyakinyaki1702 5 ปีที่แล้ว

    kikwete alikuwa na huruma sana kwa watanzania, na hakutumia nguvu Bali alitumia busara na lugha nyenyekevu kwa watanzania

  • @bernardmunuo2137
    @bernardmunuo2137 9 ปีที่แล้ว

    Mungu ibariki Tanzania

  • @emmasayi1680
    @emmasayi1680 9 ปีที่แล้ว +3

    man of the people. Mtu wa watu

  • @julaimalidadi7721
    @julaimalidadi7721 6 ปีที่แล้ว

    kwahakika viva rais we2

  • @danielmanyama4504
    @danielmanyama4504 4 ปีที่แล้ว

    Our president!

  • @salmamasoud6055
    @salmamasoud6055 8 ปีที่แล้ว

    waoo mm nampenda sana bi salma anavyojistri yani hanagashida na mtu wala hanakujisikia kama wake wengine wa wakubwaa penda sana wajina wanguu mwaaaaa

  • @samwelmashauri9414
    @samwelmashauri9414 5 ปีที่แล้ว +1

    Hawa wanapendana sana na mkewe!!!

    • @robertabel6998
      @robertabel6998 4 ปีที่แล้ว

      Kama unaelewa magu.ni raisi wa wanyonge gonga like twende sawa

    • @hadijamagufuli2661
      @hadijamagufuli2661 2 ปีที่แล้ว

      @@robertabel6998 ❤️❤️hili sili muuwa baba wawatu 😏

  • @florencekashaija7539
    @florencekashaija7539 5 ปีที่แล้ว

    Rais wetu na mama Salma bado mnavutia sn