Muhtasari: Waefeso

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024
  • Tazama video yetu ya muhtasari wa kitabu cha Waefeso, inayoelezea muundo wa fasihi ya kitabu hicho na mtiririko wake wa mawazo. Katika kitabu cha Waefeso, Paulo anaonyesha jinsi habari njema inavyopaswa kujenga jamii zenye makabila mbalimbali ambazo zimeunganishwa kwa msingi wa kujitoa kwao kwa Yesu na kujitoa kwao kwa kila mmoja wao.
    #BibleProject #Biblia #Waefeso
    Wahusika Katika Utayarishaji wa Video:
    Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili
    Tai Plus na Eternal Entertainment
    Dar es Salaam, Tanzania
    Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake
    BibleProject Portland, Oregon, USA

ความคิดเห็น • 5