MAKADA 8 WA CCM WANAOWEZA KUMRITHI SAMIA URAIS MWAKA 2030; BASHUNGWA, NCHEMBA, BITEKO, MAKAMBA, NAPE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 พ.ย. 2023
  • #CharlesWilliam #Zungu #Day2NewsTV

ความคิดเห็น • 332

  • @jworld1480
    @jworld1480 5 หลายเดือนก่อน +2

    pole[pole
    luhaga mpina
    majaliwa kasim

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 6 หลายเดือนก่อน +2

    January ndiyo hatakiwi kabisa aluyechukua pesa za wastaafu za nssf mwizi huyo na sasa kwenye umeme umemshinda unakatika hovyo hakuna anaemtaka

  • @muddynkatira8089
    @muddynkatira8089 8 หลายเดือนก่อน +7

    Labda mpina kidogo ila hao wengine Allah atunusuru nao maan Hilo nigenge

    • @froma3732
      @froma3732 17 วันที่ผ่านมา

      Atabakia kuota mchana

  • @ChristerShao
    @ChristerShao 8 หลายเดือนก่อน +5

    Hakuna mwenye sifa.Mungu atatujalia kwa wakati ukifika.

  • @exaudswai
    @exaudswai 8 หลายเดือนก่อน +5

    Kweli ya Mungu Akuna hata mmoja hapo

    • @aliyageorge6794
      @aliyageorge6794 8 หลายเดือนก่อน

      Mtanzania yoyote anawazia Mwigulu, nape, makamba kuwa raisi wa Tanzania 🇹🇿 ni hamnazo!
      😂

    • @aliyageorge6794
      @aliyageorge6794 8 หลายเดือนก่อน

      Bora kimei ....
      Awe kuja raisi...

    • @mgazawagaza7501
      @mgazawagaza7501 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@aliyageorge6794katka hao wte rais Wang ni dotto biteko

  • @nassoropigauwa2503
    @nassoropigauwa2503 8 หลายเดือนก่อน +6

    Hapo ni MPINA BITEKO NA LABDA KWA MBAAAAAL TULIA ILA THE BEST NI MPINA

  • @askwarysiay635
    @askwarysiay635 8 หลายเดือนก่อน +8

    Mwaka 2030 ni mbali sana lolote laweza kutokea. Wako wapya wanakuja kwa kasi sana na uwezo mkubwa

  • @matumokimatumoki6424
    @matumokimatumoki6424 8 หลายเดือนก่อน +6

    Mwigulu hafai kbsaa

    • @GeraldLembris-jr3yz
      @GeraldLembris-jr3yz 2 หลายเดือนก่อน

      Yaan hata iyo nafas alonayo kwasas haimstahl kabisa

  • @abubakarally3413
    @abubakarally3413 8 หลายเดือนก่อน +5

    Makonda yupo wapi mbona hamujamuweka au wanamuogopa

  • @omarikessy2339
    @omarikessy2339 8 หลายเดือนก่อน +3

    Hapo anayefaa ni mmoja tu
    Bashungwa pekee yake,wengine nasikia ni wezi

  • @allanmbilinyi4826
    @allanmbilinyi4826 8 หลายเดือนก่อน +4

    KATI wasiyo faa ni January nimwizi na Mwiguru hawafai kabisa.

    • @omarikessy2339
      @omarikessy2339 8 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂 aisee nimecheka kwa sauiti kubwa sana

  • @NdekejaKamuli-sh5pe
    @NdekejaKamuli-sh5pe 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mwiguru hata akinilipa mil 5 nimpigie kura simpi

  • @ChancellorFelix-vm5yp
    @ChancellorFelix-vm5yp 8 หลายเดือนก่อน +7

    Paul Makonda ✓

    • @EFOMAL
      @EFOMAL 4 หลายเดือนก่อน

      Mtu wa maana kabisa. I save the comment

    • @user-pw2cm8ep1z
      @user-pw2cm8ep1z 10 วันที่ผ่านมา

      Makondaa ni kamanda👍👍👍

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 8 หลายเดือนก่อน +4

    Hapo mpaka moshi mweupe uwake kwani kuna mtu alitegemea Magufuli angekuwa Rais uongozi unapangwa na mungu tu

  • @NdeshaPaul-uz9bw
    @NdeshaPaul-uz9bw 8 หลายเดือนก่อน +4

    Wasijisumbue sana mamlaka hutoka kwa Mungu wote haohwana wito kama huo

  • @norahfrank
    @norahfrank 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hapo namwona mmoja tu .kijana aliyebeba hofu ya Mungu.

  • @aloycebabene6239
    @aloycebabene6239 8 หลายเดือนก่อน +6

    Mwigilu hamna kitu

  • @ericlyamuya9303
    @ericlyamuya9303 8 หลายเดือนก่อน +2

    waziri mkuu sijamuona hapo Kama kweli tunampenda Sana nilishajaribu kuuliza kuhusu wazir kuwa raisi na kwa maoni nilioyapata atapita kwa kishindo

    • @mgazawagaza7501
      @mgazawagaza7501 8 หลายเดือนก่อน

      Kam tunatak rais kutok CCM bas hamn zaid ya majaliwa kasim majaliwa full stop

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle 8 หลายเดือนก่อน +6

    Mpina anafaa ila mwiguli January na na wengine wezi pia hakuna mzalendo zaidi ya Mpina

  • @alexsuleiman3795
    @alexsuleiman3795 8 หลายเดือนก่อน +4

    Mwigulu haafai ata kidogo

  • @AndrewMosore
    @AndrewMosore 26 วันที่ผ่านมา +1

    Tumchague mtu anaejua shida za wananchi Makonda anatufaa na Majaliwa (waziri mkuu)

  • @JosephMsanga-vl3ug
    @JosephMsanga-vl3ug 8 หลายเดือนก่อน +2

    Lait kama Ungali jua mwivi Atakuja lini Nyumbani Mwako Ungali kesha ili kumkabili!! Lakini Hujui!! Nashauri kama Macho ndo Yanaona Huko!! Basi Yamepofuka kasa. Basi kayawekeni Yabandia.

  • @bekabakari7394
    @bekabakari7394 8 หลายเดือนก่อน +2

    Tumpate kiongozi kama
    Magufuli sio wale
    Waliotimuliwa na magufuli

  • @ELITE779
    @ELITE779 8 หลายเดือนก่อน +2

    Hapo hakuna hata mmoja mwenye sifa za kuisaidia Tanzania

  • @joshuamwambene2874
    @joshuamwambene2874 8 หลายเดือนก่อน +3

    Watanzania tumuombe MUNGU tu katika hili tusikurupuke atoke kwenye kinywa cha MUNGU

    • @Jambo693
      @Jambo693 8 หลายเดือนก่อน

      Mfumo wa serikali tatu . ZANZIBAR , Tanganyika, TANZANIA. Tukutane 2030.

  • @estheronesmo1704
    @estheronesmo1704 4 หลายเดือนก่อน +2

    Hapo hakuna wa kumpiku Paul Christian Makonda

  • @magesagambajr3546
    @magesagambajr3546 8 หลายเดือนก่อน +1

    Dr Biteko huyu anafaa hao wengine Tena Nape,Kipala na Mwigulu wataishia uwaziri tu mbwa zake

  • @makelemohuya2723
    @makelemohuya2723 8 หลายเดือนก่อน +3

    Makonda sijamuona,na Sabaya

  • @alexmzumbwe1328
    @alexmzumbwe1328 8 หลายเดือนก่อน +2

    Askofu gwajima yupo wapi

  • @memorymakweta8253
    @memorymakweta8253 8 หลายเดือนก่อน +2

    Gwajima....na.... paulo harafu

  • @hassanisaimon1531
    @hassanisaimon1531 14 วันที่ผ่านมา +1

    makonda pekee ake ndiye anaefaa ,ingawa hajatajwa kama anaewania nafasi hiyo.

  • @davidmeyasa8232
    @davidmeyasa8232 หลายเดือนก่อน

    3:26 umemsahau Waz
    iri jafo yupo vizurii sana

  • @godsson5954
    @godsson5954 8 หลายเดือนก่อน +4

    MPINA ANAFAAA

  • @graysonpastory1918
    @graysonpastory1918 8 หลายเดือนก่อน +4

    ❤uchambuzi wa kihuni huo hapo angalau yupo mmoja tu dr biteko wengine wote hawafai kabisa kabisa

    • @brightergermanus2163
      @brightergermanus2163 8 หลายเดือนก่อน

      HATA NDIO MAKOSA MAKUBWA TUNAYOMKOSEA MUNGU WATANZANIA .MAMLAKA HAIWEKWI NA WANADAMU. BALI MAMLAKA HUTOKA KWA MUNGU MUNATUPA KAZI KUBWA SANA YA KUWAOMBEA REHEMA KWA MUNGU KWA MAKOSA YENU YA KUMWINGILIA MUNGU KAZI YAKE YA KUWEKA MAMLAKA. SAFARI HII MTAYANYWA WENYEWE HATUTAOMBA REHEMA KWAAJILI YENU

    • @frankjohn8706
      @frankjohn8706 8 หลายเดือนก่อน

      Wahuni wapotelee mbali uongozi ni jambo.la ki Mungu

  • @dainessgaspar6042
    @dainessgaspar6042 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hapa hakuna mzalendo hata mmoja wote majizi tupu. Hatuwezi fika hata kidogo.

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 8 หลายเดือนก่อน

    Akuna Hata Mmoja Apo Mwenye Sifa Ya Kupewa Kula Zaidi Ya Mama Samia Uyo Uyo Dereva Wetu Sema2 Awe Mkali Wa Kukemea Mafisadi Sema Kiti Cha Uraisi Wengi Wanakitaka Bila Kujua Kama Uraisi Nijambo Gumu Sana Uzarendo Muhimu

  • @rabsonased7106
    @rabsonased7106 8 หลายเดือนก่อน +2

    Katika Hawa hayupo hata moja Ila ni makonda

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wako wengi mno wote wanafaa Ila Ongeza na yule Jamaa wa TRC Kadogosa, Prof Kabudi, RC wa Dar , Majaliwa, DR H Mwinyi

  • @veraisaria
    @veraisaria 8 หลายเดือนก่อน +1

    Bro ondoa nape makamaba simbachawene tulia mwigulu hapo mwenye sifa za kuwa rais wetu ni Doto biteko na mpina tu wengine ni makonda yani kama January na nape vijana wa hovyo sana hao!

  • @damianichayo895
    @damianichayo895 8 หลายเดือนก่อน +3

    Nikiwa raia. Mungu atupe yeyote hata pasipo kuwa kati ya hawa ila awe mtu wa watu kama alivyotokea Magu.

    • @judicalosika7642
      @judicalosika7642 8 หลายเดือนก่อน

      ✔️

    • @user-fj2ow2mp8x
      @user-fj2ow2mp8x 8 หลายเดือนก่อน

      Acheni unafiki labda alikua mtu wako

    • @albertandy1961
      @albertandy1961 7 หลายเดือนก่อน

      Mungu atuongolee mtu wake mwenyewe

  • @mungunimwemakilawakati1299
    @mungunimwemakilawakati1299 8 หลายเดือนก่อน +2

    Wanaofaa urais 2025;
    1. Mhe. Philip Mpango
    2. Mhe. Polepole
    3. Mhe. Biteko
    4. Mhe. Makonda
    Wazalendo wa kweli!

    • @day2newsTV
      @day2newsTV  8 หลายเดือนก่อน

      Hao wote unaowataja wanamuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan kugombea mwaka 2025. Tujadili kuhusu 2030.

  • @nghomanohosea9251
    @nghomanohosea9251 8 หลายเดือนก่อน +2

    Tulia, bashiru, biteko, makonda, majaliwa, pole pole, kwa nafasi hiyo ya rahisi wanafaa Sana,

    • @davidpallangyo114
      @davidpallangyo114 8 หลายเดือนก่อน

      Biteko anazo sifa Zote.Wengine hapo siwafamu vizuri

    • @judicalosika7642
      @judicalosika7642 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@davidpallangyo114✔️

  • @ushindiministry2556
    @ushindiministry2556 8 หลายเดือนก่อน +1

    Wapi Makonda, Ndugai, , na MZEE wa sukuma ndani hao ndiyo wagombe nitapiga kura ya ccm

  • @AkashiChile-pk1cn
    @AkashiChile-pk1cn 8 หลายเดือนก่อน +2

    Machako tu abaki mama

  • @ibrahimnganyule5367
    @ibrahimnganyule5367 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hii nchi imekuwa mali ya CCM wao ndio wapangane 2030 mambo yanaweza badilika watu wakapindua meza

  • @jumamakuri9176
    @jumamakuri9176 3 วันที่ผ่านมา

    Mungu keshachagua raisi 2030.

  • @emmanuelsalala-xu1xj
    @emmanuelsalala-xu1xj 8 หลายเดือนก่อน +2

    Makonda???😅😅😅

  • @joelsumaye8162
    @joelsumaye8162 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa hapo labda Dotto kidogo, wengine ni changamoto

  • @user-tz1fp1dr1q
    @user-tz1fp1dr1q 8 หลายเดือนก่อน

    Mwigulu kwahayatunayoyaona kwake, hawezipata hiyonafasi hatakidogo.waTanzania machoyetu ya naona namasikio yetu nayo yanasikia vizuri sana. Mwigulu hatufai kabisaaaa

  • @annamnanka-qk1bx
    @annamnanka-qk1bx 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Bora dotto

  • @nkwazigatsha
    @nkwazigatsha 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hakuna hata mmoja anayefaa hata kama mnatumwa kuwatangaza haya makapi. Anayefaa wanamjua watanzania. Acheni ubabaishaji

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 8 หลายเดือนก่อน +1

    Akimaliza.mama.samia 2030.anaingia gwajima atajitokeza kama magu

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 8 หลายเดือนก่อน +4

    Uongozi unapangwa na mungu tunaomba amani Tanzania

  • @andrewIzdory-sk4cu
    @andrewIzdory-sk4cu 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hapo kwa mwigulu ni zero minus. Hafai hata kuwa diwani

    • @banguha
      @banguha 8 หลายเดือนก่อน

      Hahaaa udiwan Bali hata baloz wa nyumba 10 hafai

  • @edmondnduwimana769
    @edmondnduwimana769 8 หลายเดือนก่อน +2

    Hakuna hapo

  • @deogratiashaule8958
    @deogratiashaule8958 8 หลายเดือนก่อน +5

    Ni mmoja tu anatosha kati ya hao wote , ni Dotto Biteko

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 8 หลายเดือนก่อน +1

    aliyekuwa anafaa kuwa Rais ni Majaliwa tu kwa kipindi hiki ni hilo swala la Katiba tu

  • @davidmeyasa8232
    @davidmeyasa8232 หลายเดือนก่อน +1

    8:07 mkitaka CCM iwake weka jafo au makonda

  • @mashramadhani1989
    @mashramadhani1989 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nahisi Bashungwa ndio anamvuto na wasifu wa kuwa Rais

  • @user-yu1xi7dh4o
    @user-yu1xi7dh4o 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mi namuona mmoja tu biteko basi kwa hapo lakini

  • @pendomalisa9308
    @pendomalisa9308 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kasm majaliwa tunaomba awe raising was tanzania

  • @Jal210
    @Jal210 8 หลายเดือนก่อน +1

    Majaliwa apewe first priority

  • @giovannir.restone182
    @giovannir.restone182 8 หลายเดือนก่อน +1

    Haitakua ajabu kuona..wote hao hakuna atakayekua rais 2030. Time will tell.

  • @lingwamalagila3003
    @lingwamalagila3003 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hapo mwenye uwezo ni Dr Tulia tu kama akiamua kuwa mzalendo waliyobaki hao hakuna muadilifu hapo hata aliyekuwa wa nishati hahaaa

  • @Jerryson24
    @Jerryson24 8 หลายเดือนก่อน

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @evaristmbuya6220
    @evaristmbuya6220 8 หลายเดือนก่อน +2

    Kitila mkumbo hakuna kitu hapa

  • @PeterGodfray
    @PeterGodfray 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hao wote x,Bali biteko tu anaweza na kufaa saana

  • @user-lw3tg3yg5b
    @user-lw3tg3yg5b 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa maisha ya sasa na uongozi huu wamateso kwa wananchi mpaka hatua ya kuuza bandari zetu na nchi kwa ujumla bado mnawataja hao watu? Hapo ni 2 au 1 tu anaweza lakini nao wamechafuka kwa kuwa kwenye uongozi wa walanguzi kwanza hata 2025 kama nchi zenye raia makini ccm wasingepewa uongozi kutokana na walichakifanya baada ya kifo cha JPM

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 6 หลายเดือนก่อน

      User Uongozi ni Karama na unatoka kwa mungu na kama utaupata kwa hila utakupa tabu sanaaaa

  • @tanzanite9944
    @tanzanite9944 8 หลายเดือนก่อน

    Hakuna hata Mmoja kati ya hao Anayekubalika na Wananchi au kuongoza Nchi, Labda kidogo Biteko ila waliobaki ni Machokoraa wa Siasa tuu kutumikia Matumbo yao kupitia CCM. Mtu anayetazamiwa na Kidogo Wananchi wanaweza kimwelewa ni Majaliwa au Mpango na sio Hao watoto Machokoraa.

  • @emmanuelsalala-xu1xj
    @emmanuelsalala-xu1xj 8 หลายเดือนก่อน

    Ni Dr Hussein Mwinyi,hao wengine mhuu😊😊

  • @damianichayo895
    @damianichayo895 8 หลายเดือนก่อน

    Unapotambulisha chombo chako cha habari ongeza " upendeleo na mapendekezo yangu" HAYO NI YAKO WEWE KAMA SI KUTUMWA.
    wengine waonavyo hapo ni nusu tu ya hao wawezao kufikiriwa.

  • @kilungahamis1270
    @kilungahamis1270 8 หลายเดือนก่อน +1

    Yani Ccm kama hawataki chama kirudi madarakani basi wamsimamishe Mwigulu kama mgombea wao😂😂😂 hata kura 20 hazifiki😂😂

  • @pancrasluoga4584
    @pancrasluoga4584 8 หลายเดือนก่อน +2

    Kulia kwa tulia

  • @hamidabarraball3162
    @hamidabarraball3162 8 หลายเดือนก่อน

    Bado wao tena 2030?
    Tunataka kujaribu na chama Kingine sasa labda tutakuwa na maisha afadhali kidogo 😢

  • @yahayaramadhani6418
    @yahayaramadhani6418 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mwigulu hafai kabisa kuwa Rais wa Nchi hii kwani ni dikiteta hatufai kabisa.

  • @jamesbayo1910
    @jamesbayo1910 8 หลายเดือนก่อน

    Acheni kampeni za kjinga acheni Muda ufike. Mungu ataamua.

  • @yuenwilington835
    @yuenwilington835 8 หลายเดือนก่อน

    Hapo sijaona kabisa jamaa yangu,bola samia aendelee.

  • @NdeshaPaul-uz9bw
    @NdeshaPaul-uz9bw 8 หลายเดือนก่อน

    Wote hao hakuna mwenye wito. Mbona mnajisumbua? Hamjui kuwa mamlaka hutoka juu. Nawaambieni ukweli mnapotaka kiongozi wa nchi tusali na kumwomba Mungu atupe kiongozi wa chaguo lake. Hiyo ndiye atakayefaa. Muda mnaotumia kuhisi na kujipanga huyu anafaa au yule anafaa hiyo nafasi itumike kumwomba Mwenyezi Mungu atualatie kiongozi wa chaguo lake. Sisi binadamu tunadanganyika kwa kumtazama mtu. Ukweli ni kwamba Mungu anajua Kila mtu na nia zake zote.

  • @MathiasMongo-jk9so
    @MathiasMongo-jk9so 8 หลายเดือนก่อน +1

    1.Philip Mpango
    2.Hussein Mwinyi

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hakuna kitu hapo, wrote ni majizi

  • @OmarMohamed-bs2hf
    @OmarMohamed-bs2hf 6 วันที่ผ่านมา

    Njama za makamo wa raisi kutaka kujiuzulu kumbe kuna watu wanautaka umakamo alafu wamuuwe samia ili wa weze kurithi kisheria uraisi

  • @yahayaramadhani6418
    @yahayaramadhani6418 8 หลายเดือนก่อน

    January Makamba, ndio walewale wapigaji wapesa zetu sisi wanyonge huyu hatufai kabisa kuwa Rais wa Nchi hii hana huruma nanchi hii na kwetu wanyonge hatufai kabisa.

  • @mathiaslyamunda2526
    @mathiaslyamunda2526 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kama haujanitaja huu uchambuzi ni fake 😀😀

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 7 หลายเดือนก่อน

    Mama samia aliingia kwa ajili ya Kstiba baada ya kifo cha Magufuli sasa 2025 ni lazima awe na wagombea wenza

  • @HalidMuhammad-gi9qy
    @HalidMuhammad-gi9qy 4 วันที่ผ่านมา

    Mwigulu sio mwanasiasa na hafai kua kiongozi hata kidogo chondechonde wtz

  • @RaymondCharlesSaliboko-to6vx
    @RaymondCharlesSaliboko-to6vx 8 หลายเดือนก่อน

    Namuona mmoja tu mh mwigulu nchemba mm namkubali sana,anajiamini anasauti, naanamini malengo yake

    • @user-uo8ut8fv6i
      @user-uo8ut8fv6i 2 หลายเดือนก่อน

      Mimi sie ndi brund rabda twende nae

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 หลายเดือนก่อน

    Jaffo yuko vizuri sama

  • @ELIFASMADEBHO
    @ELIFASMADEBHO 8 วันที่ผ่านมา

    MAJALIWA PLEASE

  • @erickrichard3134
    @erickrichard3134 8 หลายเดือนก่อน +1

    😅😅😅Mwigulu si bora tumpe. Nchi darasa la saba

  • @alphoncejuma9652
    @alphoncejuma9652 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mwigulu hafai kabisa

  • @onesmomalifedha4709
    @onesmomalifedha4709 8 หลายเดือนก่อน +1

    Biteko labla,wengine wote hapo fyuuuu!!!!

  • @elizabethnzunda9223
    @elizabethnzunda9223 8 หลายเดือนก่อน +1

    Polepole na majsliwa

  • @MihayoMageta
    @MihayoMageta 8 หลายเดือนก่อน

    Kwenye hiyo list ondoa January, Nape na Simbachawene.

  • @galluskanenge4898
    @galluskanenge4898 8 หลายเดือนก่อน

    Mmeanza kujipanga na kuwapanga ,kwani ni lazima Rais atoke CCM ? Wewe ni nani hata ukawapanga hao ? Wewe umeanza kuwewesekea kwenye kisemeo ili kuonyesha kuwa umebobea kuunda teknolojia ya uzushi 😢

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mnapoteza mda wenu

  • @senyagwadickson9084
    @senyagwadickson9084 8 หลายเดือนก่อน

    Hapo mwenye akili nzuri ya kuwa Rais ni Biteko na Mpina tu lakini hayo mengine ni majizi, mafisadi wakubwa utakuwa kichaa kama unamchagua Makamba , Nape , Mwigulu hayo ni majizi tu

  • @hurumasaimon3651
    @hurumasaimon3651 8 หลายเดือนก่อน

    Dr Mpango makamu wa Rais vp wadau?

  • @LusajoKabuka
    @LusajoKabuka 8 หลายเดือนก่อน +1

    Sisi tunaomba nakuomboleza mbele za mungu mumba mbingu na nchi amvalishe viatu vya magu nyie mnaonesha sura za watu mnatushawishi atakuja km magu ambaye hakuna aliyejua kua atakua rais mungu tunayemuimba sikama mwanadamu yeye niwatofauti hana upendeleo ndie atatupa raisi

    • @JosephJon-wk6il
      @JosephJon-wk6il 8 หลายเดือนก่อน

      Majaliwa ndo anafaa mwigulu nimwizi makamba hafai tulia hafai bashungwa daa

  • @bahatilaizer8706
    @bahatilaizer8706 8 หลายเดือนก่อน

    Dr Biteko upo sawa mh

  • @jacksonkabaata6011
    @jacksonkabaata6011 8 หลายเดือนก่อน

    Umepuyanga bro