SIRI NZITO ALIEFICHUA WIZI WA MWIGULU NCHEMBA ACHAFUA HALI | TUMEPIGWA ZAIDI YA TRILIONI 30

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 18

  • @hildandumbalo5827
    @hildandumbalo5827 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mpina hoyeee ❤❤❤🎉🎉🎉

  • @JacksonFrances
    @JacksonFrances 2 หลายเดือนก่อน +1

    Yaani Watu Kama Hawa Akina MWIGULU NCHEMBA,, NAPE na MAKAMBA Wanaifilisi Nchi na Hawajali wala Hawana Wasiwasi Alafu Baada ya Hapo Tunaenda kukopa Na Pesa Kibao Deni La Taifa Linaongezeka Tunashindwa Kulipa Nchi inazidi kuwa Maskini na Walala Hoi Wapo Kimya Hawajui la Kufanya Yaani "

  • @BugayeRenatus
    @BugayeRenatus 2 หลายเดือนก่อน

    Naiomba serikali yetu iangalie huu tshs 2000 ya @mwezi kwenye umeme ni sawa 24,000/@mwaka

  • @GraceDeo-g1n
    @GraceDeo-g1n 2 หลายเดือนก่อน

    Hatuna viongz Bali wapigaji

  • @GraceDeo-g1n
    @GraceDeo-g1n 2 หลายเดือนก่อน

    Hkn viongozi Kuna vibaka

  • @GeofreyMwandanji-ot2lf
    @GeofreyMwandanji-ot2lf หลายเดือนก่อน

    Sjawai kumuelewa

  • @josephmwakalobo7104
    @josephmwakalobo7104 2 หลายเดือนก่อน

    Mwee Kodi zetu tunazolipi kwa kukamuliwa

  • @emanuelpeter2489
    @emanuelpeter2489 2 หลายเดือนก่อน

    Jitu kama hili lihujumu uchumi ni lakunyongwa ila atanyongwa na nani wakati ye ndio mkuu wa wanyonganyonga

  • @victormbaga5772
    @victormbaga5772 2 หลายเดือนก่อน

    Mwigulu niwakutumbuliwa nakufilisiwa lijizi sana

  • @emanuelpeter2489
    @emanuelpeter2489 2 หลายเดือนก่อน

    Hakuna usalama kwa taifa

  • @judithmwamukinga4448
    @judithmwamukinga4448 2 หลายเดือนก่อน

    Nchi hii haina wasomi ila no huyu waziri kigoma malima alifanya nini? Tusindanganyane Mungu atahukumu kwa haki

  • @fadhilimoshi5754
    @fadhilimoshi5754 2 หลายเดือนก่อน

    Nilisema mapema tuu hili bunhe halitaki ukweli kwani wabunge wengi hawajachaguliwa walipita kwa goli la mkono.

  • @hildandumbalo5827
    @hildandumbalo5827 2 หลายเดือนก่อน

    Mwigulu bla bla tu. Mpina ni mkweli

  • @sospeterodhiambo6869
    @sospeterodhiambo6869 2 หลายเดือนก่อน

    Anakula kwa urefu wa kamba yake Bosi wao aliruhusu Lbd kauli za Waziri za kuchefua watu si wabunge tu hata wananchi na wafanyabiashara Aondoke tu huyo hatufai

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu mwigulu amewekeza ihefu fc

  • @SylvesterMakenzie
    @SylvesterMakenzie 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu mwingulu ni kipenzi chao nadhani tulio somea Cuba mtanielewa swali kipenz chao akina nan?CCM ina wenyewe na ndio wanaotuburuza nchi hii wanajiita wazur hawafi a.k.a walamba asali

  • @MajutoElliasi
    @MajutoElliasi 2 หลายเดือนก่อน

    Tunatajilisha watu mali za watanzania 😂😂😂

  • @SalmaMuhammed-u8s
    @SalmaMuhammed-u8s 2 หลายเดือนก่อน

    Mpina wewe ndo laisi wetu