🙏🙏🙏🙏Hatuwakatishi tamaa kwamaon ,lkn unakuta jengo la veta kama shule ya msingi 😭😭😭😭.jaman muwe wabunifu zaid m google hata mwonekano wa vyuo au majengo ya CHINA kuanzia 20000 muyaone .JAMAN FANYEN JAMBO LA UBUNIFU ZAID,NAAMINI UWEZO MNAO ......MUNGU AWABARKI NA AWAONGEZEE UWEZO.🇹🇿🇹🇿🇹🇿 INAWEZA👑👑👑
Hongeren sana ,lkn majengo ya DUBAI na SINGAPORE c mnayaona?fanyen vi2 vyakushangaza zaid kama taasisi.lONGEZEN UBUNIFU. KAMA MOROKO SQUARE INAVOONEKANA
Nyie WHI huwa siwaelewi kabisa,bei zenu ziko juu sana, mnawa-target watuishi wa Umma wa aina gani?. Kwa bei hiyo ya milioni 99 unapata nyumba ya vyumba 3 hapa Nairobi. Jua uchumi wa wateja wenu!.
Dah...hii ni zaidi ya hatari Nyumba ya Chumba kimoja ni 99M!!!!!! Sidhani kwamba hii ni kuwasaidia hao Watumishi,bali ni kuwakadhamiza na kuwaumiza mno.
Kkkkkkk hii mijitu ni mjinga kabisa million 234 ni sawa na dollar laki moja kwa Tanzania maisha ya Tanzania halafu ni mfuko wa watumishi ndio unajenga na vipato vya watumishi vinajulikana jama ndio maana wafanya kazi wanaiba wanachukua rushwa ukitowa miji mkubwa ulaya hiyo ni bei ya nyumba
mnakichaaa nini😂😂😂😂 milioni 234 si bora ninunue kiwanja nijenge😂😂😂
🙏🙏🙏🙏Hatuwakatishi tamaa kwamaon ,lkn unakuta jengo la veta kama shule ya msingi 😭😭😭😭.jaman muwe wabunifu zaid m google hata mwonekano wa vyuo au majengo ya CHINA kuanzia 20000 muyaone .JAMAN FANYEN JAMBO LA UBUNIFU ZAID,NAAMINI UWEZO MNAO ......MUNGU AWABARKI NA AWAONGEZEE UWEZO.🇹🇿🇹🇿🇹🇿 INAWEZA👑👑👑
Hongeren sana ,lkn majengo ya DUBAI na SINGAPORE c mnayaona?fanyen vi2 vyakushangaza zaid kama taasisi.lONGEZEN UBUNIFU. KAMA MOROKO SQUARE INAVOONEKANA
Waongeze u uni ina maana wawac he wizi kabda ya jengo kuanzia wamesha gawana asilimia 20 ya fedha za mradi
mwenyewe anaongea kama amepgwa shot. Wizi tu. Bora ununue kiwanja ujenge mwenyewe. takataka kabisa👿👿👿
So hao baba na mama hawana watoto okay na una mil. 99 bullshit
Wapeni wgeni ndo wataweza sio wenyeji
Kwanini wanaweka wafanyakazi ndani ya vichuguu ?!!😢
Nyie WHI huwa siwaelewi kabisa,bei zenu ziko juu sana, mnawa-target watuishi wa Umma wa aina gani?. Kwa bei hiyo ya milioni 99 unapata nyumba ya vyumba 3 hapa Nairobi. Jua uchumi wa wateja wenu!.
Mifumo ya uzimaji moto ipo ?
Nyie wapumbavu tu...bei kubwa nyumba za kishenzi...au kisa kukaa ghorofani
hata website mnayo? kampuni kubwa kama hii lazima muwe na website jamani
Dah...hii ni zaidi ya hatari
Nyumba ya Chumba kimoja ni 99M!!!!!!
Sidhani kwamba hii ni kuwasaidia hao Watumishi,bali ni kuwakadhamiza na kuwaumiza mno.
Does People has 99 millions to buy ? It is only able buy is worker of Government employee only