WHI ONLINE TV
WHI ONLINE TV
  • 92
  • 85 346

วีดีโอ

KUMBUKIZI #TBT
มุมมอง 11หลายเดือนก่อน
KUMBUKIZI #TBT
MHE.DEUS SANGU/ ZIARA YA KIKAO KAZI/ WATUMISHI HOUSING INVESTMENTS (WHI)
มุมมอง 102หลายเดือนก่อน
Msikilize hapa Naibu Waziri, Ofisi ya Rais - UTUMISHI, Mhe. Deus Clement Sangu, alipozungumza akiwa kwenye ziara ya kikazi katika ofisi za Watumishi Housing Investments (WHI) zilizopo Posta Mpya jijini Dar es salaam.
WAZIRI MKUU ATEMBELEA WATUMISHI HOUSING ARUSHA/ UFAFANUZI KUHUSU MIRADI YA NYUMBA NA FAIDA FUND:
มุมมอง 41หลายเดือนก่อน
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Kassim Majaliwa Majaliwa akipokea ufafanuzi wa kina kuhusiana na miradi ya Nyumba kwa Watumishi wa Umma na usimamizi wa mfuko wa uwekezaji wa pamoja FAIDA FUND.
FAIDA FUND / JINSI YA KUWEKEZA / MAENDELEO YA MFUKO
มุมมอง 94หลายเดือนก่อน
Tazama hapa mfululizo wa vipindi vyetu vinavyolenga kutoa elimu juu ya huduma mbali mbali zinazotolewa na taasisi ya WHI na katika kipindi hiki utapata nafasi ya kusikia mengi kuhusu mfuko wa uwekezaji wa pamoja Faida Fund.
MKUTANO MKUU WA WAWEKEZAJI KATIKA MFUKO WA FAIDA FUND/ WAWEKEZAJI WATAJA FAIDA WALIZOPATA KWA MWAKA
มุมมอง 326หลายเดือนก่อน
Tazama hapa yaliyojiri katika Mkutano wa wawekezaji katika mfuko wa Faida Fund, ambapo baadhi ya wawekezaji walipata nafasi ya kuelezea faida walizopata katika kipindi cha mwaka mmoja.
NIMEANZA KUWEKEZA MAPEMA / NAOGOPA KIKOKOTOO/ MWEKEZAJI KUTOKA TANGA:
มุมมอง 35หลายเดือนก่อน
Msikilize hapa mwekezaji wa mfuko wa faida fund ambae amenza kuwekeza katika umri mdogo akiwa na malengo ya kuwa na fedha nzuri ya kujikimu pindi atakapostaafu.
BINTI YANGU CHANZO CHA KUFUNGUA AKAUNTI/ NASAIDIA WASICHANA WENGINE:
มุมมอง 41หลายเดือนก่อน
Msikilize hapa mmoja wa wawekezaji wetu waliohudhuria AGM akielezea safari yake ya uwekezaji hadi alipofikia kusaidia wasichana wengine.
MSIMAMIZI WA FEDHA ZA WAWEKEZAJI FAIDA FUND/ MSIWE NA WASI WASI/ KILA KITU KIKO SALAMA:
มุมมอง 113หลายเดือนก่อน
Mwakilishi kutoka Benki ya CRDB ambao ndio wasimamizi wa fedha za wawekezaji katika mfuko wa Faida Fund, Bw. Masumai Ahmed, akizungumza katika Mkutano mkuu wa kwanza wa kwanza wa Mfuko wa Faida Fund uliofanyika hii leo katika ukumbi w kimataifa wa mikutano JNICC - Dar es salaam
NANE NANE DODOMA/ KARIBU TUKUHUDUMIE:
มุมมอง 29หลายเดือนก่อน
Umetembelea banda letu leo ...!? Tunaendelea kutoa Elimu kwa Watanzania wanaojisajili katika mfuko wa uwekezaji wa @faida_fund hapa Nanenane WHI tupo katika banda la MINISTRIES karibu upate huduma mbali mbali kuanzia miradi yetu ya Nyumba na Mfuko wa Uwekezaji wa pamoja FAIDA FUND.
MRADI WA NYUMBA ZA MAKAZI/ MIKOCHENI JIJIDI DAR ES SALAAM/ WAHI SASA:
มุมมอง 1.6Kหลายเดือนก่อน
MRADI WA NYUMBA ZA MAKAZI/ MIKOCHENI JIJIDI DAR ES SALAAM/ WAHI SASA:
MWEKEZAJI MPYA SABASABA/ AJISAJILI NA KUANZA UWEKEZAJI/ FAIDA FUND:
มุมมอง 712 หลายเดือนก่อน
Mwekezaji mpya katika mfuko wa @faida_fund aliyechukua hatua ya kujisajili na kuanza kuwekeza baada ya kupata Elimu ya uwekezaji kutoka kwa timu ya masoko na mauzo kutoka WHI WHI tupo ndani ya banda la karume Karibu tukuhudumie.
WATUMISHI HOUSING NDANI YA SABASABA/ BANDA LA KARUME:
มุมมอง 722 หลายเดือนก่อน
Huduma mbalimbali zinaendelea kutolewa katika banda la WHI katika Maonyesho ya 48 ya SabaSaba. WHI tupo ndani ya banda la Karume. Karibu tukuhudumie.
IJUE FAIDA FUND
มุมมอง 1252 หลายเดือนก่อน
Je unaujua Mfuko wa Faida Fund?? Ni Mfuko wa uwekezaji wa pamoja ambao unatoa fursa ya kukuza vipato vya watanzania kupitia uwekezaji katika masoko ya fedha kupitia Faida Fund.. Unaweza kujiunga kupitia WekezaWHI App, fas.whi.go.tz au *152*00# Eweeehh Mtanzania sehemu yoyote uliyopo usiache fursa hii ikupite.. watembelee @watumishi_housing_investments @faida_fund wapo SABASABA Banda la Karume a...
NYUMBA MPYA ZINAKUJA DODOMA/ MRADI WA MAGHOROFA/ MIKOANI TUNAKUJA/ WHI:
มุมมอง 9935 หลายเดือนก่อน
Msikilize hapa mkurugenzi wa Uendeshaji kutoka katika Taasisi ya Watumishi Housing Investments akizungumzia dira ya Taasisi kwa Mwaka 2024 pamoja na miradi mipya ya Nyumba inayokuja hivi karibuni.
WAWEKEZAJI KARIBUNI/ TIMU YA MASOKO NA MAUZO IKO AMRI ABEID/ ELIMU YA FEDHA NA NYUMBA KUTOKA 'WHI':
มุมมอง 6710 หลายเดือนก่อน
WAWEKEZAJI KARIBUNI/ TIMU YA MASOKO NA MAUZO IKO AMRI ABEID/ ELIMU YA FEDHA NA NYUMBA KUTOKA 'WHI':
NYUMBA ZA KUPANGA/ KODI KWA MWEZI/ MAJI, UMEME NA HUDUMA ZOTE MUHIMU ZA KIJAMII:
มุมมอง 1.2K11 หลายเดือนก่อน
NYUMBA ZA KUPANGA/ KODI KWA MWEZI/ MAJI, UMEME NA HUDUMA ZOTE MUHIMU ZA KIJAMII:
FURSA ZA UWEKEZAJI GEITA/ WAFANYABIASHARA WADOGO NA WAKUBWA/ NYUMBA ZA BEI NAFUU/ FAIDA FUND:
มุมมอง 10811 หลายเดือนก่อน
FURSA ZA UWEKEZAJI GEITA/ WAFANYABIASHARA WADOGO NA WAKUBWA/ NYUMBA ZA BEI NAFUU/ FAIDA FUND:
FAIDA ZA UWEKEZAJI KWA WASTAAFU/ MFUKO WA FAIDA/ HAKUNA HATARI:
มุมมอง 1.8Kปีที่แล้ว
FAIDA ZA UWEKEZAJI KWA WASTAAFU/ MFUKO WA FAIDA/ HAKUNA HATARI:
FAIFA FUND YAWAFIKIA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI/ PESA ZAKO ZINAWEKEZWA WAPI? / KUJIUNGA BURE
มุมมอง 101ปีที่แล้ว
FAIFA FUND YAWAFIKIA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI/ PESA ZAKO ZINAWEKEZWA WAPI? / KUJIUNGA BURE
TUTAENDELEA KUBORESHA HUDUMA ZETU/ MIRADI MIPYA/ TUNAKWENDA VIZURI/ MAKAZI KWA WATUMISHI WA UMMA:
มุมมอง 57ปีที่แล้ว
TUTAENDELEA KUBORESHA HUDUMA ZETU/ MIRADI MIPYA/ TUNAKWENDA VIZURI/ MAKAZI KWA WATUMISHI WA UMMA:
SIMBACHAWENE AWAPONGEZA WHI/ KAZI NZURI NCHINI/ NI BAADA YA KUTEMBELEA MRADI WA NYUMBA 1000 DODOMA:
มุมมอง 93ปีที่แล้ว
SIMBACHAWENE AWAPONGEZA WHI/ KAZI NZURI NCHINI/ NI BAADA YA KUTEMBELEA MRADI WA NYUMBA 1000 DODOMA:
KWANINI UWEKEZE FAIDA FUND/ MAJIBU YA MASWALI MAGUMU KUHUSU UWEKEZAJI/ HABA NA HABA HUJAZA KIBABA:
มุมมอง 5Kปีที่แล้ว
KWANINI UWEKEZE FAIDA FUND/ MAJIBU YA MASWALI MAGUMU KUHUSU UWEKEZAJI/ HABA NA HABA HUJAZA KIBABA:
FAIDA FUND/ JINSI YA KUJIUNGA NA KUWEKEZA/ MAMBO MUHIMU KUHUSU UWEKEZAJI:
มุมมอง 4.9Kปีที่แล้ว
FAIDA FUND/ JINSI YA KUJIUNGA NA KUWEKEZA/ MAMBO MUHIMU KUHUSU UWEKEZAJI:
NYUMBA ZA KUPANGA GEZAULOLE KIGAMBONI/ KODI 300,000 NA 350,000/ = / UNALIPA MWEZI MMOJA MMOJA:
มุมมอง 8Kปีที่แล้ว
NYUMBA ZA KUPANGA GEZAULOLE KIGAMBONI/ KODI 300,000 NA 350,000/ = / UNALIPA MWEZI MMOJA MMOJA:
MHE.SIMBACHAWENE AWAPONGEZA WHI/ UJENZI WA NYUMBA BORA KWA WATUMISHI WA UMMA/ FAIDA FUND:
มุมมอง 49ปีที่แล้ว
MHE.SIMBACHAWENE AWAPONGEZA WHI/ UJENZI WA NYUMBA BORA KWA WATUMISHI WA UMMA/ FAIDA FUND:
"WATUMISHI WEKENI FEDHA FAIDA FUND,"/ "HUU NDIO WAKATI MUAFAKA," / KATIBU MKUU UTUMISHI /UWEKEZAJI:
มุมมอง 160ปีที่แล้ว
"WATUMISHI WEKENI FEDHA FAIDA FUND,"/ "HUU NDIO WAKATI MUAFAKA," / KATIBU MKUU UTUMISHI /UWEKEZAJI:
KATIBU MKUU UTUMISHI AAHIDI KUISAIDIA WHI/ "MNAFANYA KAZI KUBWA,"/ TAASISI HII NI MUHIMU SANA:
มุมมอง 85ปีที่แล้ว
KATIBU MKUU UTUMISHI AAHIDI KUISAIDIA WHI/ "MNAFANYA KAZI KUBWA,"/ TAASISI HII NI MUHIMU SANA:
WAZIRI WA UTUMISHI " KAZI HII NI KUBWA,/ NYUMBA HIZI NI KWA AJILI YA WATUMISHI NA WATANZANIA WOTE:
มุมมอง 42ปีที่แล้ว
WAZIRI WA UTUMISHI " KAZI HII NI KUBWA,/ NYUMBA HIZI NI KWA AJILI YA WATUMISHI NA WATANZANIA WOTE:
"TUNAJENGA KULINGANA NA MAHITAJI/ NYUMBA 1000 ZINAKUJA," - MKURUGENZI MTENDAJI WHI/ ZIARA DODOMA:
มุมมอง 113ปีที่แล้ว
"TUNAJENGA KULINGANA NA MAHITAJI/ NYUMBA 1000 ZINAKUJA," - MKURUGENZI MTENDAJI WHI/ ZIARA DODOMA:

ความคิดเห็น

  • @ibrahimabdillah5729
    @ibrahimabdillah5729 7 วันที่ผ่านมา

    Dah...hii ni zaidi ya hatari Nyumba ya Chumba kimoja ni 99M!!!!!! Sidhani kwamba hii ni kuwasaidia hao Watumishi,bali ni kuwakadhamiza na kuwaumiza mno.

  • @YasintaLukonge
    @YasintaLukonge 13 วันที่ผ่านมา

    Kwa mfano nimewekeza shi 50000 kwa mwaka nitapata faida sh ngap?

  • @andrewmtabazi5894
    @andrewmtabazi5894 18 วันที่ผ่านมา

    Napata wapi kijitabu Kwa ajili kuendelea kujielimisha zaidi kuhusu faida fund

  • @theclamarealle6052
    @theclamarealle6052 22 วันที่ผ่านมา

    Hongereni sana naomba kuuliza sawali ni mpaka uwe mtumishi ndiyo unaweza kununua Nyumba hizi????

  • @mathewandililemwandenuka4692
    @mathewandililemwandenuka4692 หลายเดือนก่อน

    Jamaniiiii @evo

    • @evodiaaloyce3670
      @evodiaaloyce3670 หลายเดือนก่อน

      @@mathewandililemwandenuka4692 hahaaa muhimu kujipongeza

  • @mbwanajangwa
    @mbwanajangwa หลายเดือนก่อน

    Nimejiunga na faida fund. Nikatumiwa UJUMBE wa jinsi ya kuingia kwenye APP lakini inanikatalia na inaniketea sms ya INFORMATION INVALID CREDENTIAL. Nifanyeje na inaonekana pia nilijaribu mara nyingi saana.

  • @evodiaaloyce3670
    @evodiaaloyce3670 หลายเดือนก่อน

    Hongereni mliohudhuria, Nawaza sijui mlikula kuku?😅

  • @benedictaustard5583
    @benedictaustard5583 หลายเดือนก่อน

    Nyie WHI huwa siwaelewi kabisa,bei zenu ziko juu sana, mnawa-target watuishi wa Umma wa aina gani?. Kwa bei hiyo ya milioni 99 unapata nyumba ya vyumba 3 hapa Nairobi. Jua uchumi wa wateja wenu!.

  • @GilbertGombeye
    @GilbertGombeye 2 หลายเดือนก่อน

    Kuwekeza kwa ajiri ya kujenga nyumba unaanza na sh ngapi?

  • @GilbertGombeye
    @GilbertGombeye 2 หลายเดือนก่อน

    Huo uwekezaji ni kwa watanzania wote au watu wenu wa serikali maana tumesha wachoka

  • @daudkanyelele4862
    @daudkanyelele4862 2 หลายเดือนก่อน

    Naomba msaada wa kununua vipande vya WHI mm tyr ni mwekezaji lakini kila nikijaribu kununa inakataa

  • @ManswetKimario
    @ManswetKimario 2 หลายเดือนก่อน

    Habari njema hii; je tuliopo mikoani mfano Mwanza tunawezaje kuwekeza na Faida fund?

  • @azizakitele9165
    @azizakitele9165 4 หลายเดือนก่อน

    Bado vipo?

  • @jacobmalisa8251
    @jacobmalisa8251 4 หลายเดือนก่อน

    Test

  • @denislazaro-hp1xm
    @denislazaro-hp1xm 5 หลายเดือนก่อน

    wataendaje mtwara huko n shamba mzee

  • @godyjustine443
    @godyjustine443 5 หลายเดือนก่อน

    Habari Watumishi Housing Je naweza pata barua pepe ya idara ya faida fund ama nambari ya simu iliyo active? Asante sana

  • @sheikhalumbalambala2655
    @sheikhalumbalambala2655 5 หลายเดือนก่อน

    Je mna nyumba ambazo ziko wazi nahitaji

  • @ereneusmujuni6380
    @ereneusmujuni6380 6 หลายเดือนก่อน

    Nashindwa kufungua account kupitia app yenu

  • @ShekhahamedMuhsin
    @ShekhahamedMuhsin 6 หลายเดือนก่อน

    Beiyakununua

  • @karimsuleiman1299
    @karimsuleiman1299 7 หลายเดือนก่อน

    Ni njia gani za kujiunga pamoja na uwekezaji wenyewe na upatikanaji wa faida zenyew?

  • @winfridajosephjohn1216
    @winfridajosephjohn1216 8 หลายเดือนก่อน

    Mbn messeg hamjib

  • @StewartManisi
    @StewartManisi 8 หลายเดือนก่อน

    Nimepapenda sana pia nahitaji kiwanja Ila sijajua Bei zenu

  • @StewartManisi
    @StewartManisi 8 หลายเดือนก่อน

    Nimepapenda sana pia nahitaji kiwanja Ila sijajua Bei zenu

  • @hezronielisha9795
    @hezronielisha9795 8 หลายเดือนก่อน

    NI VEMA MJENGE MAGOROFA MAREF MWANZA ILI KUBORESHA JIJI.

  • @saidmselem4201
    @saidmselem4201 8 หลายเดือนก่อน

    Kuna deposit yoyote unayoiweka mbali ya kulipa kodi?

  • @GeofreyLuhimbo
    @GeofreyLuhimbo 8 หลายเดือนก่อน

    kujiunga nirahisi kweli Sasa ukiweka pesa wakati wa kutoa pesa ndo shida na simu hawapokei kutoa msaada

    • @kevymwinuka7849
      @kevymwinuka7849 2 หลายเดือนก่อน

      vipi ulijaribu kutoa na ikagoma..???

  • @MayeleMuddy
    @MayeleMuddy 9 หลายเดือนก่อน

    mawasiliano tafadhari

  • @doikulwa1165
    @doikulwa1165 9 หลายเดือนก่อน

    Ok. Ata Mimi naitaji. Kujiunga

  • @rosemarysulle9288
    @rosemarysulle9288 9 หลายเดือนก่อน

    Ikitokea nimefariki hiyo pesa vp?

    • @joycekasimbazi9817
      @joycekasimbazi9817 2 หลายเดือนก่อน

      Na mimi nauliza hapo vipi nikifariki

    • @mohamediswahibu9041
      @mohamediswahibu9041 หลายเดือนก่อน

      MRITHI WAKO UTAKAE MUANDIKA ATAPEWA HAKI YAKO

  • @edisonmaliva1719
    @edisonmaliva1719 10 หลายเดือนก่อน

    Safi sana

  • @elizabethmushi7424
    @elizabethmushi7424 10 หลายเดือนก่อน

    Bado zipo????

  • @elizabethmushi7424
    @elizabethmushi7424 10 หลายเดือนก่อน

    Naomba niulize hizo nyumba ni kwa watumishi 2 au ni watu wote?? asante watu wa kawaida tunazipateje??

  • @SaidaMosse
    @SaidaMosse 10 หลายเดือนก่อน

    Nami pia shida yangu kupata nyumba naweza nikawekeza ili nipate hiyo nyumba?

  • @didacianapeyton5798
    @didacianapeyton5798 11 หลายเดือนก่อน

    Je hizi nyumba ni kwa ajili ya watumishi tu?? Nauliza pia kama bado zipo ?

  • @kingkendrickk
    @kingkendrickk 11 หลายเดือนก่อน

    Ukitaka kununua vp

  • @mahuwi9925
    @mahuwi9925 11 หลายเดือนก่อน

    Tanzania matangazo bado sana 😢! Yani mradi mkubwa mnatoa tangazo la kiholea namna hii hamjaonyesha hata nje mandhari yakoje mshamaliza hapo🙌🏽

  • @jyoeemaswet828
    @jyoeemaswet828 ปีที่แล้ว

    ukiwekeza unatoa hela hiyohiyo au inaongezeka

  • @didacianapeyton5798
    @didacianapeyton5798 ปีที่แล้ว

    Hello hongereni kwa kazi nzuri mnayoifanya .Swali langu ni lwamba ili ufike gezaulore unapitia daraja la nyerere maanacyani kwamba wapi kari au rahisi kutumia ferry au daraja? Swali la pili ulinzi wa makazi mpangaji anachangia malipo au ni gree.swali la tatu maji yanayotumika hapo ni maji chumvi au maji baridi.asante naomba tafadhari nipate majibu maana nahitaji nyumba .

  • @gregorymhanze
    @gregorymhanze ปีที่แล้ว

    Je ninapotaka kutoa pesa nafanyaje (mawasiliano)

  • @dn.n4983
    @dn.n4983 ปีที่แล้ว

    Hipi nzuri hisa au vipande

  • @gregorymhanze
    @gregorymhanze ปีที่แล้ว

    Nnaomba kuuliza je ni watumishi wa serikali tu

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula ปีที่แล้ว

    Kuuza vp

  • @dn.n4983
    @dn.n4983 ปีที่แล้ว

    Wekezaji pamoja asilimia ngapi

  • @daudkanyelele4862
    @daudkanyelele4862 ปีที่แล้ว

    Kaka ndahani nimekuelewa naomba ushrikiano tu ili vijana tujiepushe mifumo mibovu ya maisha na kukalili pesa

  • @catherinetarimo3453
    @catherinetarimo3453 ปีที่แล้ว

    Naweza tumia vipande kununua nyumba

  • @catherinetarimo3453
    @catherinetarimo3453 ปีที่แล้ว

    Naoma mnahusika na kumiliki nyumba je naweza nkawekeza ili nipate hiyo nyumba

  • @samsonfoundertz8558
    @samsonfoundertz8558 ปีที่แล้ว

    Je nyumba zina kiwanja cha ukubwa gan?

  • @alphoncehanura3255
    @alphoncehanura3255 ปีที่แล้ว

    Deposit zaidi ya mwezi mmoja na huweki interest hiyo ni kuibia wapangaji.

  • @hamzaadrin941
    @hamzaadrin941 ปีที่แล้ว

    Hamuuzi

  • @hamzaadrin941
    @hamzaadrin941 ปีที่แล้ว

    Sawa tunakuja