MABASI 'MWENDOKASI' KUMWAGIKA DAR KUANZIA FEBRUARI
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 9 ก.พ. 2025
- DAR ES SALAAM: MSEMAJI Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema Serikali kwa kushirikiana na sekta binafsi imepanga kuleta mabasi zaidi ya 700 kwenye mradi wa mabasi yaendayo haraka maarufu mwendokasi kuhudumia maeneo ya Kimara, Barabara ya Morogoro na Mbagala, Barabara ya Kilwa ili kuhakikisha msongamano unapungua jijini Dar es Salaam.
Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo: / spotileo-176. .
HabariLeo: / habarileo
DailyNews: / dailynewstz
INSTAGRAM;
HabariLeo: ....
SpotiLeo: ....
TWITTER;
Twitter HabariLeo: Ha...
Huyu Madame anajuwa kweli kuuliza maswali ya maana, hongera kwake
Kweli kabisa atafika mbali anauliza vitu vya msingi sana
Huyo dada ni mwandishi mzuri, anauliza maswali muhimu
Best Gov spokesman
Huu mradi usimamiwe na sekta binafsi,serikali inaibiwa mno!
iwe ni online....sio kushika cash
Jamaa pwagu sana aishiwi maneno ivo vijiji 40 vilobaki history iyp nilisikia kama miaka tano iliyopita mpaka bado😊
Yataharibika yote kwa maji ya mvua yanayo jaa jagwani kila mvua ikinyesha
Uzeni vx za 500m mnunue mabasi ya kubebe walala hoi
Aibu tupu
Go electric change from disel
Eti serikal haina uwezo tuwaachie sekta binafsi kodi inaenda wap
Sasa Serikali inawaona machinga wanageuza barabara za mwendokasi kama soko na wao wamekaa tu, kwa nini wasilishughulikie hili kabla ya mabasi kuja? Maana baadaye mazoea wamachinga watasema wameonewa! Kuhusu mabasi ya umeme, kwa nini tunashindwa ku-invest kwenye mabasi ya umeme? Maana nishati ya gesi nayo ina matatizo yake makubwa! Tunalo jua zaidi ya siku 300 Tanzania, kwa nini tusivune solar ili iweze ku-power mabasi?
MaChinga Ni Uchaguz Tu Ukiisha Watatupisha..😊😊
Tulia uchaguzi uishe 😂
Mwenye namba za Msigwa naziomba.
Aliyekaribu naye amuambie kitendo cha kuweka Matangazo ya Biashara kwenye haya Mabasi ni uchafuzi wa Mazingira.
Muambie hiki ni kioo cha Usafi wa Jiji
***Zuhura Yunus yuko wapi tena?***
Kadi zilirudishwe kwa abiria aweze kulipa mwenyewe ku deposit tu ili serikali ikusanye mapato sahihi waudumu muache mpango kando wa kuja na karatasi zenu mlizo print binafsi ili kujinufahisha hii nchi ni yetu sote kwanini mnufaike wa chacha tu.
Hivi sio tena scania? Ni Mchina haya bora liende.
Ya umeme yapo Uganda tu hapo kiongozi fanyeni mpango
Nendeni na mikoani mbona kila kitu Dar tu, fanyeni kama nchi nyingine uko ulaya
Alafu Mabus yafanye kazi 24 Hrs sio mwisho saa 5
Mliyaleta yakafa tumeona yamekufa.treni ya umeme asaivi i2mie disrl?
Sasa ukiweka pembeni mabasi 200 na kuagiza mengine! Vipi kuhusu uchafuzi wa mazingira? Hakuna mpango wa ku "recylce" hayo mabasi chakavu pamoja na magari mengine yanayoagizwa yakiwa yametumika na baada ya muda mfupi yanakuwa mabovu kiasi kwamba hayatengenezeki?
Tumechoka kupanga foreni huku kimara kukata tiketi. Rudisheni Kadi za kuswap hapo vituoni
Sasa hayo mabus yaliyoharibika uzeni kama chuma chakavu sio yamerundikwa tu panya zinachezea
Yani yale ya mwanzo tumepata. Asara saizi munaleta mengine shida apo ni usimamizi tuuu
Hebu leten zile marcopolo zinastandard za jiji ya dar na hivyo vituo hebu badilishe viwe na muundo wa kuvutia yan mtu akiingia ktk kituo ni utalii tosha
Kule Zanzibar mwinyi akifanya kama hivyo wao hawataki.washazoweya uchafu na kukaa katika mabonde na vibanda.wao wataka muungano Tu
@@hajiabdalla5772 😁😁😁
Ni vyema mujitowe kabisa ktk biashara humuwezi biashara.sababu nyinyi ni wezi
Serikali yetu inamaono madogo sana ,yani wanashindwa kutumia mabasi ya umeme wanakimbilia kwene udalali wa kupata 10% za gasi
unataka kukimbia kabla hujatambaa
@@giftmeela6250 ✍️✍️
@@giftmeela6250 kaka sio kazi kubwa yani tuweze kwene train tushindwe kwene mabasi ya umeme china yamezagaa ujerumani malori yanatumia umeme sio kitu kikubwa
How March instead of a planned December last year as it had been declared before ?
Magomeni kila siku lazima wakate mara 1 mpaka mara 2 hatuoni faida ya huo mradi wa Julia's nyerere
Sio NEEMA bali ni JUKUMU
Machi ikifika utasikia kuanzia juni😂
Serikali yetu inamaono madogo sana ,yani wanashindwa kutumia mabasi ya umeme wanakimbilia kwene udalali wa kina rostam kuleta gas
Dar ingekuwa na metro station foleni na watu kukosa usafir kungekua hakuna kabisa.
Kuongea ni raisi nchi mpaka daradara wawekezaji na bado
Kwa nini hamkufikiria hivyo toka zamani? Serkali hii (yaani toka Nyerere mpaka Huyu wa sasa) very slow
Acha kuwa muwongo tumewachoka
Hahahaa