Mungu azidi kukutumia mtumishi kweli wew ni mpakwa mafuta nyimbo zako zinanitia moyo san ninapokata tamaa nikisikiliza tu mungu huniinua kiwango cha juu zaidi ubarikiwe
Pastor Ombeni and the team, Asante sana kwa nyimba za sifa. Worship that takes one into the presence of God. And thank you for including the wonderful young people. What a way of passing on to the next generation. May the Lord open doors for studio recording with the whole group including the young people. Katika jina la Yesu.
Bwana yesu asifiwe Leo nina niko mzee Nilipenda sana sana nyimbo zake nilikupo kuwa kwenye mfungo wa siku tatu nikiwa nimejifungia nyimbo zake zikanijanza nguvu za ajabu sikuona mzingo wa maombi muda mfupi Tutaonana jipe moyo mkuu 🙏🙏🙏
Sasa najua haya yote nasifu huruma yake. Asante Asante Mungu Baba kunihurumia na kunirehemu.
Asante brother ombeni, Mungu akuzidishe kwa wimbo huu.
Thanks
Asante MUNGU kwakunihurumia
@@GodwinOmbeniMinistries Mungu akubariki kaka mtumishi
Asante YESU kwa huruma yako juu yangu.
Ndyo furaha yangu kubwa naingojea nikifa.Amina mtumisho mungu akubariki sana
Mungu azidi kukutumia mtumishi kweli wew ni mpakwa mafuta nyimbo zako zinanitia moyo san ninapokata tamaa nikisikiliza tu mungu huniinua kiwango cha juu zaidi ubarikiwe
Mungu awabariki sana Watumishi wa Mungu nabarikiwa sana hakika Mungu awabariki sana
Sikustahili jambo hili..nimelipata bure tu!
Thank you Jesus for your amazing Grace.. the grace that is greater than all our sins
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu Ombeni.Kweli Mungu amenihurumia sana
Wimbo naupenda sana huu unachoma moyo wangu hakika Mungu anasitahili kuhimidiwa sanaa ubarikiwe Mtumishi kwa uimbaji wako
24TH JANUARY 2021 🙏🏿🙏🏿
Ndyo furaha yangu kubwa
Wimbo mzuri sana 🙏
Mwenzenu sichoki kuusikiliza huu wimbo
Hakika Mungu ni mwema
AMEN
Yesu ni mzuri saaaana
Mungu amenihurumia 2023
napenda hii sana mtumishi ombeni inanibariki nikiwa hapa kenya
Nawasalimu kwa jina la wimbo wangu pendwa wapendwa
Amina, Mwenyezi Mungu awabariki wote
Mungu akubariki sana kaka yangu, napenda sana nyimbo zako
Huu wimbo naupenda sna
Asante
thanks
@@GodwinOmbeniMinistries p
Mungu umetuhirumia. Tuhurumie zaid
God has been gracious to me This act is very big,I was not worth_of it ,I just got it free 🙏
like much
sunday 10th oct ,iam blessed!
Pastor Ombeni and the team,
Asante sana kwa nyimba za sifa. Worship that takes one into the presence of God. And thank you for including the wonderful young people. What a way of passing on to the next generation. May the Lord open doors for studio recording with the whole group including the young people. Katika jina la Yesu.
You have been a blessing to me pastor, may the Lord continue enlarging this ministry
Powerfully song
🎉🎉🎉🎉
🙏🙏🙏
Hongera san
Hakika,
Mungu amenihurumia.
Daima nitausifu ukuu wa Bwana maishani mwangu
Ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU
May Almighty God continue using you brother Ombeni
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu nabarikiwa sana kwa wimbo huu.
Jambo hili Lenye huruma nitalisifu daima
Natakakusimama
Amina kwa hii tenzi 🙏🙏🙏❣
Mungu awabariki salam kwa rightness tulikuwa wote singida kwa Mchg Manupa
Asante
Amen Barikiwa kwa huduma hii njema sana
Powerful song.. Be enlarged in mightiest name of Jesus
Humble song
Asante kwa wimbo
Thanks
Blessed
Bwana yesu asifiwe Leo nina niko mzee Nilipenda sana sana nyimbo zake nilikupo kuwa kwenye mfungo wa siku tatu nikiwa nimejifungia nyimbo zake zikanijanza nguvu za ajabu sikuona mzingo wa maombi muda mfupi Tutaonana jipe moyo mkuu 🙏🙏🙏
I can do all things, thorough Almighty who give me strength...!!!
MUNGU wa AJABU wimbo huu kwa BABA na MAMA yangu JUMAPILI kanisani MORAVIAN TUKUYU HESHIMA kwa BABU yangu
mungu amenihurumia tendo hili kubwa sana,
Seeing you in BCIC gives me comfort after a long time we have been praying at Bethel