Natamani sana kupata mawasiliano ya kaka huyu ktk video hii. Simfahamu kwa jina ila anaimba kwaya ya Tumaini Shangilieni (Solorist). Kwa anayemfahamu anisaidie mawasiliano ama namna nyingine ya mimi kuwasiliana naye. Natanguliza shukurani.
Oohhhhh panda mbengu njema katika maisha ! Pumzika kwa amani fanuel sedekia ulituachia kumbukumbu hambazo hatuwezi kuzisahau kamwe ! Hongera sana Godwin mungu awabariki🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Naelwa mtumishi alikua rafikiako wakaribu mungu akufariji he died when I I was still young but nlipenda nyimbo zake Hadi SASA ..mungu naazidi kukufariji kila siku...may his soul continue rip till we meet at tha palm gate of heaven😢 it is well Lord🙏
This team God blessings you alot ...nisikiapo wimbo huu macho yangu hujawa na machozi daaah!! MUNGU jmn wangu the day iwill disappear in this trouble world to heaven
Ubarikiwe Ombeni kwa nyimbo zako nzuri. Lakin kwa mujibu wa Biblia Takatifu ktk kitabu cha Muhubiri 9:5-6 Soma. Imeandikwa, Kwa sababu walio hai wanajua ya kwamba watakufa; Lakini wafu hawajui neno lo lote, wala hawana ijara tena; maana kumbukumbu lao limesahauliwa. Mapenzi yao na machukio yao, na husda yao, imepotea yote pamoja; wala hawana sehemu tena katika jambo lo lote lililofanyika chini ya jua.
Am from Kenya but all I can say is, napenda hizi nyimbo sana, nightmares will never endure for long, Fanuel is singing with the angels, though it 💔💔 but hope beyond that shore is joy, peace and anything else good that we always wish,,,God will wipe away all the tears,keep the mission going and may the Lord Jesus Christ bless you🙏🙏
My God my Lord, come and shade trails of tears on my cheeks. Hapana usiku. Hapana usiku. Hapana usiku. Hapana usiku. Mungu wetu si kiziwi hata asisikie. Mbarikiwe sana.
This song was a powerful consolation when I lost my mother last year August 6, RIP. May Almighty God keep the souls of deceased believers in eternal peace.#RIPMama
This song blesses me. May God be glorified for the life of Sedekiah n bless u you his servant Godwin for remembering him as a friend n hero to the kingdom of God
Indeed God will wiped our tears, Very powerful song. God grant you more wisdom in this ministry. Kwa yote aliyotenda, waiting for the vedio. Be blessed
Natamani sana kupata mawasiliano ya kaka huyu ktk video hii. Simfahamu kwa jina ila anaimba kwaya ya Tumaini Shangilieni (Solorist). Kwa anayemfahamu anisaidie mawasiliano ama namna nyingine ya mimi kuwasiliana naye. Natanguliza shukurani.
Fanuel Sedekia alifariki mwenye huu wimbo
Anaitwa Godwin Ombeni Yuko arusha
Godwin Ombeni Mungu akubariki sana
Brother wewe, fanuel sedekia, geither vocal band na ambassador of Christ choir mmenifanya niokoke kabisa, Mungu awabariki sana
Ubarikiwe sana Mtumishi Godwin Ombeni, hakika mlikuwa marafiki mnaomtumikia Mungu kwa bashasha
Aaaaamen hapana Usiku Kwa mji wa Mbinguni❤❤❤God bless you ❤❤
nice worship song mji wa Mwangaza ,also remembering zedekia (beatrice from kenya).
Hakika atayatafuta machozi na hasara na hapo miaka itakoma... "hapana usiku" am blessed...
Thanks
Oohhhhh panda mbengu njema katika maisha ! Pumzika kwa amani fanuel sedekia ulituachia kumbukumbu hambazo hatuwezi kuzisahau kamwe !
Hongera sana Godwin mungu awabariki🙏🏽🙏🏽🙏🏽
ameeena
Naelwa mtumishi alikua rafikiako wakaribu mungu akufariji he died when I I was still young but nlipenda nyimbo zake Hadi SASA ..mungu naazidi kukufariji kila siku...may his soul continue rip till we meet at tha palm gate of heaven😢 it is well Lord🙏
Nakumbuka Arusha iposikia juu ya kutwaliw kwa mtumishi Mungu zedikia mji ulitaharki. Rip mtumishi wa Mungu Zedekiah
Thanks a lot kwa huo wimbo wa mwagaza,umenifanya kukumbuka baba alifanya nikajua utamu wa kuabudu marehemu mpendwa sedekia.God bless you
Wimbo bora wa miaka yote Mungu atusaidie tuvuke salama ila namkubuka sana Fanuel Sedekia
Amina
Ndugu Ombeni, aliyeiacha alama ambayo haitasahaulika si binadamu Bali ni YESU TU, baraka maridhawa
Godwin omben, Mungu akubariki Baba kupitia sauti yako Fanuel anaiehi ndani yangu 😭😭😭😭😭
Mungu atayafuta machozi ya hasara Amina
Barikiwa mno mtumish wa Mungu
Hakika arama ya Mt Fanuel haitafutika ametutangulia2
Ni hakika Fanuel Sedekia ameacha alama isiyofutika, na umefanya vyema kumkumbuka katika wimbo huu
This team God blessings you alot ...nisikiapo wimbo huu macho yangu hujawa na machozi daaah!! MUNGU jmn wangu the day iwill disappear in this trouble world to heaven
Hapana uck mungu aendelee kukupa kipaji uko uliko swz kusem jins gan umenikaa moyon sedekia
Yesu Ni Nuru kweli,,Hapana usiku!
Ubarikiwe mtumishi
Siku note Mungu ni mwaminifu sana.
Hii albam naitafuta sana hii
Alipandanda mbegu njema....
Am blessed Hapana usiku
Nisikilizapo nyimbo nzuri kama hizi najihisigi nipo karibu na Mungu'napo hujawa na amani sana
Hakika moyo wangu umepata pa kupumzika barikiwa sana Mchungaji Ombeni❤️❤️❤️
Ubarikiwe Ombeni kwa nyimbo zako nzuri. Lakin kwa mujibu wa Biblia Takatifu ktk kitabu cha Muhubiri 9:5-6 Soma. Imeandikwa, Kwa sababu walio hai wanajua ya kwamba watakufa; Lakini wafu hawajui neno lo lote, wala hawana ijara tena; maana kumbukumbu lao limesahauliwa. Mapenzi yao na machukio yao, na husda yao, imepotea yote pamoja; wala hawana sehemu tena katika jambo lo lote lililofanyika chini ya jua.
Mungu awabariki wimbo unagusa mno
Amina
Pliz naomba mnsaidie he ule wimbo waimbwa weweni mungu wetu nimungu unaeweza unaweza unaweza unaweza bwana ninani ameumba
Ni mimi Album ya Umetukuka, itawekwa baadae kidogo
Barikiwa sana mtumishi wa baba
Since I was young, I have grown up listening to your songs, godwin, I am very blessed
Hakika hatujampoteza, ametutangulia na aliko ni mwangaza. Mungu awabariki sana ndugu. Kazi nzuri.
Hakika Mungu atayafuta machozi na hasara.......
Mungu atayafuta machozi ya hasara kweli🙏🙏🙏
There is no glorious night for God
Kwamji wa mwangaza hapana usiku barikiwa
KAKA GOD BIG UP,FANUEL SEDEKIA PUMIKA KAKA,HAKUNA USIKU
Am from Kenya but all I can say is, napenda hizi nyimbo sana, nightmares will never endure for long, Fanuel is singing with the angels, though it 💔💔 but hope beyond that shore is joy, peace and anything else good that we always wish,,,God will wipe away all the tears,keep the mission going and may the Lord Jesus Christ bless you🙏🙏
Ameen Mtumishi kwa Nyimbo nzuriii barikiwa saaana
Ameeen
Ombeni wimbo huu waniguza Roho yangu... Namkumbuka fanuel kama Jana tu. I miss him.. Hope Familia yake wako salama salimini
Mungu akubariki kwa ujumbe wa mungu kupitia nyimbo zinanibariki Sana
mungu atafuta machozi na hasara hapo miaka itakoma Hapana usiku
It hurts me alot,kifo ni baya,ata wewe kifo siku moja utakufa tu
Mungu atayafuta machozi na hasara hapana ucku
RIP Fanuel Sedekia ulituvuta wengi kwa Yesu
hongera sana nyimbo nzuri sana ombeni umenikumbusha msiba wa rafiki sedekia sitamsahau
Mungu akubariki sana mtumishi wa mungu nabarikiwa sana na nyimbo zako mungu akuinue kwa viwango vingine
Dada mwenye light pink sweater na uliyevaa kembe shingoni mmenibariki sana Oct 2020
Mungu akubariki sana mtumishi wa BWANA, Godwin Ombeni; na azidi kukuinua kwa huduma yako!
Uimbaji mzuri, nabarikiwa sana, BWANA awatie nguvu.
Barikiwa saana
Mungu akubariki sana Kwa nyimbo zako takatifu
My God my Lord, come and shade trails of tears on my cheeks. Hapana usiku. Hapana usiku. Hapana usiku. Hapana usiku. Mungu wetu si kiziwi hata asisikie. Mbarikiwe sana.
Godwin, God wins always. Our faith and hope is the Lord Jesus the hope of glory.
Machozi yananitoka niusikiapo wimbo huu, Amen ubarikiwe mtumishi wa Mungu
Ubarikiwe mtumish kwa nyimbo zr kiukweli nabarikiwa saana
Calvary greetings, it is true that God will wipe out our tears from our eyes. Brother keep it up. God is for you and so am I.
Sedekia sedekia sedekia
Mungu atayafuta machozi
Nabarikiwa sana MUNGU atayafuta machozi Na hasara
Wimbo huu unanikumbusha mengi mno
Amen 🙏 mtumishi barikiwa xn baba Mungu azidi kukutunza
Hongera sana kwa kumkumbuka MPENDWA wetu fanuel sedekia jamani MUNGU awabariki sana
Mungu atafuta machozi na hasara Amina Mungu awabariki watumishi
Fanuels voice is still active and ministering thru Godwin ombeni.
Rest in blossom warrior.
amen barikiwa sana jumamosi yangu ya Leo imekuwa ya amani sana.
Hakika wimbo unanibariki, nikiwakumbuka wapendwa wetu wengi waliotangulia.
This song was a powerful consolation when I lost my mother last year August 6, RIP. May Almighty God keep the souls of deceased believers in eternal peace.#RIPMama
Mungu azidi kuwabariki watumishi wake
Thankyou for comforting me,May fanuel continue resting in that Light, alot of love from Kenya, God bless Tanzania and her wonderful people
Mwaka 2022 bado tuna sikiliza… Amina 🙏🏽🙏🏽🙏🏽 mungu apewe sifa na utukufu
Mungu awabariki sana wimbo ni mzuri sana nasikia raha sana kuusikiliza
This is a family. This guys looks alike. I love when family sings together.
Godwin jua halitakiwi Mungu akubariki thank you team
Thanks for remembering our dear fanuel indeed he's very much alive in our hearts God bless you all.
amina sana barikiwa mtumishi
Ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU Godwin Ombeni
What a glorious day when we will meet our savior and our loved ones again . Memory is one thing that death cannot take away from us.
Barikiwa Sana Mtumishi wa Mungu Yehova
Amina watumishi. Munguawainde
Amen Bwana amtafute machozi na hasara ,Nabarikiwa sana kaka yangu
Amen nimebarikiwa sana
Naupenda
This song blesses me. May God be glorified for the life of Sedekiah n bless u you his servant Godwin for remembering him as a friend n hero to the kingdom of God
Indeed God will wiped our tears, Very powerful song. God grant you more wisdom in this ministry. Kwa yote aliyotenda, waiting for the vedio. Be blessed
Hallelujah... Utukufu hadi utufu mkuu
Hakika Mungu utanifuta machozi🙏🙏
Godwin be blessed am also blessed.philis from Nairobi
Hakika kwa mji wa Mbinguni hapana usiku
4yrs but still new to me juu siwezi lala bila kusikiliza
kweli kabisa.karibu tunaenda nyumbani!!
Amen ubarikiwe Sana this is deep love
Amen...Mungu atayafuta machozi yote
Mungu akubariki mtumishi nabarikiwa nikiwa kenya.
Haleluya
Mungu AKUBARIKI SANA. WACHACHE SANA UKUMBUKA WANZAO WAKIFA
Wimbo umenibariki sana... kweli Mungu amenifuta machozi na hasara...
Mungo awabariki sana watumishi, huu Wimbo naupenda sana
The song is soo good I wish mngesimama
Amen nyimbo inabariki sana
Haleluyaaa
indeed.he is one minister that always get moved by his songs
Amen mtumishi mungu akubariki
Amen Mtumishi wimbo huu unagusa, Naweza kuwapata wapi RUACH?
Thanks for this song ireally love it...God bless you guys
God don't leave us😢
Good hymn
Will the Lord find us doing this when He will appear?LORD Help my soul
Wimbo mzuri sana