Huyo kaka anayeimba Tumaini Shangilieni anaitwa Nani???? Jamani huyo kaka ananibariki sana. Natamani kupata mawasiliano yake. Mbarikiwe sana kwa huduma njema.
NYIMBO TAMU SANA. HONGERENI SANA. KWA NYIMBO. TUMAZIFAHAMU HIZO NYIMBO ZOTE. LAKINI MNAIMBA KWA HISIA YAANI MNAKUWA KWENYE UWEPO WA BWANA. MME BARIKIWA SANA. NI FAMILIA YA KUIGWA.
@@GodwinOmbeniMinistries Bwana asifiwe mtumishi. Kuna wimbo unaitwa "wewe ni Mungu wastahili sifa" umeimbwa katika mapigo ya twist. Nauhiraji sana mtumishi nitaupataje?
neema ya mungu yanitosha
Chakutumaini sina ila damu yake Yesu kea kweli..Mungu nataka nikufahamu zaidi
A powerful song. I love your songs Mtumishi wa Mungu. Neema ya Mungu uongezewe kwa wingi.
Asante Yesu kwa Yote
Anayenikumbatia mtetezi wangu ni Yesu ndiye mwamba ni salama
Yesu ndio mwamba salama siku zote bariki mtumishi
Hallelujah hallelujah sifa kwa Bwana 🙌🙌🙏🙏🙏🎺🎺🎺🎺
Hallelujah..wimbo huu umebariki maisha yangu. Barikiwani watumishi wa Mungu.
Mungu aendelee kukupa ngufu uweze kumtumikia kwa nyimbo zuri amen
Your facial expressions takes it all ..how you praise and worship God
Yesu nasimama ndiy mwamba ni salama 👌👌👌👌love u guys betheli group my church
Ndiye mwamba ni salama.
Bonge la wimbo, be blessed watumishi wa Bwana
wimbo murwaa ndugu ombeni..namukosa Sana ndugu ezekiel
Amen tunaendelea kuburudika na Nyimbo za upako
TUMTEGEMEE MWOKOZI!
BARIKIWA MTUMISHI
Ahsante sana mtumishi wa Mungu.ninabarikiwa kupitiya mwimbo huyu
Mungu akubali mtumishi wimbo umenibariki mno yani sana sana
Amen! Yesu mwamba ni salama kwakwel!!
ninapenda nyimbo zako na furahiya saaana mafundisho yako ya kusifu na kaabudu mungu
Nafarijika sana na wimbo huu mbarikiwe waimbaji.
I exault the Lord forever. Be blessed the servant of God
Huyo kaka anayeimba Tumaini Shangilieni anaitwa Nani???? Jamani huyo kaka ananibariki sana. Natamani kupata mawasiliano yake. Mbarikiwe sana kwa huduma njema.
These are well done. Thank you for keeping hymns alive in this manner. More grace to you.
The song just sounds new. For sure Yesu ndiye mwamba ni salama.......good work
Asanteni sana mungu awabariki maana nabarikiwa sana
Seul ton sang versée à la croix, qui me donne l'accès de me présenter devant ton trône de gloire Éternel, toi qui es ma force, mon bouclier
Thanks God for washing my sin
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu
God bless you. This song is so good such that it blesses my soul
I feel touched with this song God bless you Godwin and the family
I really love your songs so much it's really touching God bless you Godwin .
Thank you for great ministry. God be blessed
NYIMBO TAMU SANA. HONGERENI SANA. KWA NYIMBO. TUMAZIFAHAMU HIZO NYIMBO ZOTE. LAKINI MNAIMBA KWA HISIA YAANI MNAKUWA KWENYE UWEPO WA BWANA. MME BARIKIWA SANA. NI FAMILIA YA KUIGWA.
Thank you very much for this beautiful song, one of my favorite songs. Love it .
Ubarikiwe MTU Wa mungu
Hakika ndiye mwamba ni salama
🙏🙏🙏🙏🙏
Awesome! The song has blessed our hearts. God bless you all.
I love the song pastor hallelujah
Hallelujah Hallelujah Hallelujah
Amina kwa Mwokozi
Waoh. Amen
Christ the solid rock I stand all other ground is sinking sand.
Amen Amen ndatenda hangu Mwari anesimba .Burutsirai nyasha dzenyu Mungu
Amen
Always blessed by your songs . more Grace .
GOD BLESS YOU MY DEAR FAMILY FOR GREAT WORSHIP SONGS
Thanks
Amen god bless you
Nzuri
Nice song that pulls me from dust whenever i trip
Praise the Lord for you! Great amazing!
Amen and Amen
Hallelujah hallelujah hallelujah
Amen 🎉
Amazing worship
Glory be to GOD 🙏
GOD BLESS YOU
Amazing
its a good song
Gkory to Jesus
It's 2023
24TH JANUARY 2021 🙏🏿
24TH JANUARY 2021
💪❤️
YES! YES!
Ameni mtumishi wa mungu najisikia vizur nikiskiliza nyimbo za kuabudu
@@rivisonrwita7894 helo ndugu napat gospel music
Ubarikiwe sana Mungu azidi kukupa utukufu
Nakushukuru rafiki
Mungu akulinde akuzidishe imani na umri mrefu uzidi kutuinjilisha hakika tunapata chakula cha roho.
@@GodwinOmbeniMinistries Bwana asifiwe mtumishi. Kuna wimbo unaitwa "wewe ni Mungu wastahili sifa" umeimbwa katika mapigo ya twist. Nauhiraji sana mtumishi nitaupataje?
Goodwin Ombeni asante sana mtumishi Mungu akupe nguvu na simama ktk bwana
napenda huu muziki na jinsi mlivyouimba kwa kutumia mahadhi ya kijito cha utakaso. Baraka tele
Powerful
Amen
Amen
Amen
Amen