Hata mimi nimalawi lakininifwatiliaji mkuu kwamakini katinyimbo lakini tangu mtumishi zedekia alipo lala usingizi waupendo bado ninamatumaini makubwa nawewe mtumishi pamoja namudogo wake marehemu zedekia keep it up may God bless u
My prayer is that Pastor Godwin will continue worshiping God in Spirit and in Truth until The Messiah comes for The Holy Church. Kindly do not transform to the standards of this world. Soul nourishing worship song indeed.
Mnaniudhi watu mnaoangalia bila ku like... Kushare.... Nyimbo hizi zinatubariki
Kuwa mpole patience pays don't force things
it's for the few ,the lord is the provider
Tangia siku za Fanuel ,, Mungu amekuinua kwa utukufu wake 🙏🙏🙏. Kenya tunawapenda na twazidi kuwakabidhi mikononi mwake 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏🙏
Able are you, Mighty are you, We Worship You Lord
Wonderful worship.mungu akubariki mtumishi
kweli mungu wetu Hana historian ya kushindwa amini tu
Mungu akubariki mtumishi
Mungu aweza. Barikiwa sana waimbaji kwa ushuhuda huu.
😭😭😭😭 unaweza yesu, there is nothing impossible to you ooh Lord, lifting my heart , this is awesome 👍
Unaweza Yesu
Enyewe hisi nyimbo sinani bariki pakubea
Mwimbaji bora kabisa kwa upande wangu
Akika we ni mungu unayeweza
Kweli Mungu ni mweza
Hakika wewe Nimungu Unaeweza
Huu mwimbo unaniinua na kunibariki
Unaweza daima
Hakika wewe ni Mungu ,unaweza,even at my lowest you uplift me ooh Lord
A very blessing song! He is a very able God
Asante Yesu maana unaweza maishani mwangu.
For sure you are my God the God that is able to do everything glory be to you God
Powerful song 🙏🙏❤
Hakika yeye ni Mungu anayeweza.
Hata dunia ipinge wewe Yesu unaweza
Ameni mbarikiwe KWA wimbo mzurii
He is indeed ABLE
Amen amen mungu unaweza
Unaweza ewe Mfalme Yesu
Nani kama wewe Bwana, maana utukufu, nguvu, mamlaka, heshima na uweza ni zako, hata mile, amina.
The life and Spirit of Christ is in every words composing the lyrics of this song making it SACRED.
I love worshipping the Lord
Akika ww ni mungu unaeweza kuondoa matatizo yote katika maisha yangu❤❤❤
safi nyayo za sedekia
Am blessed with is song. Good bless your talent Godwin
AMEN AMEN MOYO WANGU UMEMTUKUZA YESU through this song
Hallelujah
More Grace
Well done man of God 🙏
God i desire to be a worshipper ,, may you break me !!!!! i want to experience your power ,, wewe ni muweza yote Hakuna Mungu kama wewe
Hallelujah..hakika n Mungu unayeweza wala hapana jambo likushindalo
Mungu wetu anaweza
This the best song and it will never fade
Mtumishi ubarikiwe sana
Hata mimi nimalawi lakininifwatiliaji mkuu kwamakini katinyimbo lakini tangu mtumishi zedekia alipo lala usingizi waupendo bado ninamatumaini makubwa nawewe mtumishi pamoja namudogo wake marehemu zedekia keep it up may God bless u
Ubarikiwe mtumishi
You always make the way where seem to be no away
It is powerful and gives hope
My prayer is that Pastor Godwin will continue worshiping God in Spirit and in Truth until The Messiah comes for The Holy Church. Kindly do not transform to the standards of this world. Soul nourishing worship song indeed.
Mungu akubariki
Wewe ni mungu wetuuu
Hakika wewe ni mungu unayeweza.Kwa kila jambo unaweza
Mungu akubariki Ombeni na waimbaji wote. Jesus ia able
Jesus is able🙏🤝✍
Blessed be the name of the LORD ❤
Wewe ni Mungu pekee.
Hakika mungu atukuzwe milele amen
Nkiuskiza huu wimbo nahisi uwepo wake Mungu 🇰🇪
Amen and Amen God bless you 🙏🙏🙏
Nimebarikiwa na huu wimbo.
good one
Wow this song is giving be goosebumps..I feel heavenly connected,
Mwa onaje wimbo huu miminikiona hivi nashukuru
I'm in the mood of worship... May my soul worship
Am here after TikTok . wewe ni Mungu inaweza
Hallelujah 🎉
Amen 🙏🙏
Amen
Wimbo huu umenibariki kabisa...... Wacha mungu akulinde mtumishi
I love this song,
Simple but a blessing song
Mungu niinue kupitia nyimbo nazipenda
Be blessed 🙏song iyi ni nzuri saana Mungu wabariki
Be blessed
🙏
it sounds like Fanuel Sedekia
Sound wambo mama boy
Mungu hakika unaweza hakuna kama wewe
Mungu unaweza yesu yote
Mungu awabariki
Ahsante kaka ombeni
Kweli yesu n muweza
praise be to God
Kwel yeye ni mung anaye weza halleruya
Glory be to God!!
Be blessed Great Man of God
Favourite worship song
Beautiful worship song, i cant stop playing it :)
Ooh yes unaweza Yesu🙏🙏🙏🙏🙏
Powerful song....blesses me alot
Gloire à Dieu !
Unaweza Yesu 🙏
Nikwli onayeweza Yesu God bless you mr Godwin
Amina sana godwi n
Amen hakika unaweza Mungu
This song is really a blessing in my life it has really touched my heart ....
Sure he's able God..
❤
Nothing is impossible
❤❤❤❤
Halleluyah
This song has a strong message
This song makes me complete
I love you God because you are able
I love that. It has lifted my soul