Miongoni mwa vitabu vyake ambavyo nimevisoma ni pamoja na : 1. Timiza malengo yako 2. Money formula 3. Mwongozo wa mafanikio 4. saikolojia ya mteja. 6. Mbinu sita za kujiajiri Hivi vyote ni vizuri sana. Asante Joel Nanauka
Sasa hii ni Interview au kipindi cha matangazo!!!!!! Mmemuweka Joel kama chambo ya matangazo. Interview haijapendeza hata wengine tumefuata kusikiliza nondo za Joel mnatuletea mitangazo yenu tu
Miongoni mwa vitabu vyake ambavyo nimevisoma ni pamoja na :
1. Timiza malengo yako
2. Money formula
3. Mwongozo wa mafanikio
4. saikolojia ya mteja.
6. Mbinu sita za kujiajiri
Hivi vyote ni vizuri sana. Asante Joel Nanauka
JOEL NANAUKA MY MENTOR ALL THE TIME
Asanteni sana wasafi mumenivusha hatua nyingine Mungu awabariki
Badilisheni staili yenu INTERVIEW na HABARI & MATANGAZO,tufikilieni na sisi watazamaji inatubowa
Yani kaka Joel Mungu akutunze daima
Great😘
JN you're the best
Upo sawa
Huyo jamaa anayebonyeza simu amefuata nini studio? Anabore!
Kipindi cha Good morning kikiwa na content kama hizi kitabamba sana, watu wataianza siku yao kwa nondo nzuri
matangazo mengi mamae mpaka kelo yan yan kipind kina lisaa moja na dakika 44 lakin matangazo ni lisaa limoja
Wamezingua kichizi na MATANGAZO yao
Zina kera sana
Punguzen matangazo kwa TH-cam mjaribu kuya edit
The mentor himself J.A.Nanauka
Ni interview hiyo au matangazo?
Yani ata mimi ninge kuwa Joel ninge jihisi vibaya
first comment
Matangazo yame zidi mpaka mnakela
Story nyingi mno.matangazo pia yamekithiri
Mustaphar (habari) fundi aise!
🙏
Duuuuh
Sasa hii ni Interview au kipindi cha matangazo!!!!!! Mmemuweka Joel kama chambo ya matangazo.
Interview haijapendeza hata wengine tumefuata kusikiliza nondo za Joel mnatuletea mitangazo yenu tu
💃💃💃💃
Yani ata mimi ninge kuwa Joel ninge jihisi vibaya
Mustaphar (habari) fundi aise!